‘Diamond Platnumz amechoka na mimi!’ Eric Omondi afichua

Mchekeshaji  Eric Omondi  pia ametambulika katika fani ya burudani  kwa hisani ya wajibu wake Daniel Ndambuki katika kipindi cha Churchill. Akiwa na zaidi ya wafuasi milioni 2.5 katika instagram  na kwenye kumbi mbalimbali za mitandao,  Eric amejitengezea sifa na jina la kumpa uzito .

omondi 2

Kama hujaoa ,Warembo ndio hawa,fursa ndio hii

Nyimbo zake za  miigo ya nyimbo za Diamond  zilimfanya awe rafiki wa karibu wa msanii huyo wa Tanzania  na wangali marafiki hadi sasa

Akizungumza katika mahojiano kwenye Churchill, Omondi amesema;

DIAMOND NIMEMCHOSHA. AMECHOKA NA MIMI. AFTER I DID NABEBA MAWE, DIAMOND CALLED ME AND INVITED ME TO HOST ZARI’S ALL-WHITE PARTY IN 2015 IN DAR ES SALLAM, TANZANIA.

Eric hajakuwa kwenye runinga kwa miaka tisa baada ya kuamua kwenda digital. Amesema hivi kuhusu  nyakati za kumfedhehesha katika fani ya uchekeshaji .

‘Alinipiga matiti pasi ndio wanaume wasiniangalie’ Asimulia ‘utamaduni’ wa Cameroun aliofanyiwa na shangazi yake

IT WAS AT NYAYO STADIUM DURING CHAGUO LA TEENIZ AWARDS IN 2010 WHEN I TRIED TO PULL A HOLLYWOOD MOMENT BY COMING DOWN THE STAGE FROM THE ROOF ON A ROPE, KAMBA ILIKWAMA NIKAHUNG HAPO 15 MINUTES …THE EMBARRASSMENT.

 

 

 

 

 

 

Mama’s Boy! Diamond Platnumz achora tattoo za jina la mamake katika mkono wake

Diamond Platnumz   hivi karibuni amekuwa akionyesha tattoo katika mkono wake wa kushoto. Tatoo hiyo ni ya jina la mamake, Sandra .

Msanii huyo wa Tanzania  amekuwa katika uhusiano na wanawake wengi lakini hakuna aliyewahii kuuteka moyo wake ili kustahili kuchorwa kwa vyovyote katika mwili wake, lakini  Diamond sasa amedhihirisha jinsi anavyomuenzi mama Dangote .

Toto Dume! Mtazame Daktari wa Naija anayempagawiza Vera Sidika

dia 2

Amekuwa na tattoo hiyo kwa miaka mitatu sasa na hivi karibuni Mamake walionyesha picha za  tattoo hizo na kuandika ;

CHAKUDEKA MTOTO WA MAMA ALHAMDULILLAAH   ASANTE KWA ZAWADI HII @DIAMONDPLATNUMZ

Diamond ana michoro mingine kadhaa ya tattoo katika mwili wake  na moja katika kifua chake inasoma  ;

I BELIEVE IN GOD.

Kazi ni kazi! Kutana na makahaba wajasiri wanaotengeza pesa mitandaoni(Picha)

dia 3

Katika mkono wake wa kushoto  ameweka  herufi N,T,N  na D  ambayo ni majina ya watoto wake; Nillan, Tiffah, Naseeb,  na Dylan.

Pia ana michoro ya tatto ya tarehe mbili spesheli kwake moja ni siku yake ya kuzaliwa  2-10-1989  na nyingine iliyoandikwa kwa kiroman ni siku ya kuzaliwa kwa mamake; 7-7-1967.

 dia 4

 

dia 5

dia 6

 

Diamond yuko Single! Asema dadake Queen Darleen

Msanii wa Bongo Diamond Platinumz yuko Single na wanadada wanafaa kukumbuka hilo wakati wote. Hayo  yamesemwa na dadake msanii huyo Queen Darleen ambaye amesema kakake bado ni mtanashati na hivyo basi hafai kujifungia.

 

Unajua hali ya jamaa uliyejaribu kumuua?’ soma jibu la Babu Owino kwa jamaa aliyempiga kijembe

Queen aliyasema hayo katika ujumbe  alioambatanisha na picha ya kakake katika akaunti yake ya instagram. Huenda sasa ni rasmi kwamba  Simba kweli kaachana na Tanasha Donna kwa sababu dadake anawafungilia wanadada wengine milango katika maisha ya kaka yake.

Tanasha

Brothel biz: Jirani yangu anaendelea na biashara yake ya ‘brothel’ licha ya agizo la quarantine

Katika posti hi ya Insta, dadake mwingine wa Diamond, Esma naye alicheka kwa bezo akisema kwamba huenda akina dada wanamuogopa Kaka yao. Huenda familia ya Diamond ipo nyuma yake kuhusu maamuzi anayofanya ya kuwatema vipusa wote wanaoingia katika maisha yake. Huku wanadada walioathirika wakilalama, dada zake na mamake wameonekana kulichukulia suala zima kama sarakasi na drama!

 

Mhariri: Davis Ojiambo

(+Picha) Umaarufu wa watoto wa Diamond Platnumz, idadi ya wafuasi Insta

Watoto wa staa wa Bongo Diamond Platnumz wanaongoza kwa ufuasi Insta kwa sasa.

Watoto hawa wanne wanazidi mastaa hapa nchini kwa mashabiki Insta.

Tiffah ana wafuasi 2,300,000

Prince Nillan anafuatwa na watu 919,000

Daylan mtoto wa Hamisa Mobeto ana wafuasi 457,000

Naseeb Junior anafuatwa na watu 105,000

 

Image result for naseeb junior photos
Naseeb Junior

Tiffah ambaye alikuwa mtoto wa kwanza wa Diamond Platnumz na Zari The BossLady ana wafuasi Milioni 2.3.

 

Image result for naseeb junior photos

Ni watoto maarufu wa mastaa ambao wanafuatwa na mashabiki wengi katika mitandao ya kijamii.

Mtoto Naseeb alizaliwa Oktoba 2.

Image result for zari nillan
Zari na Prince Nillan
Image result for best photos of tiffah
Picha ya Tiffah

Tanasha na Diamond Platnumz ndio wapenzi wapya Afrika Mashariki ambao wanatoa mzuri mfano wa kuigwa.

“Karibu duniani NJ. Babako anakupenda! Naseeb Junior,” aliandika Diamond Platnumz katika mitandao ya kijamii.

Huyu atakuwa mtoto wake wa wanne baada ya kuzaa na Hamisa Mobetto na Zari The Boss Lady.

Mtoto huyu ameitwa jina la staa huyu Naseeb Abdul Juma.

Image result for hamisa mobetto child with diamond
Hamisa mobetto na Daylan

Image result for best photos of tiffah

Aliitwa jina hili kwa sababu alizaliwa siku sawa na ya babake.

Staa huyu wa mkwaju wa Baba Lao alikata keki na wauguzi katika hospitali ya Agha Khan punde tu Naseeb Jnr alizaliwa.

Image result for best photos of tiffahBaada ya siku 40 , wazazi wa Naseeb Jnr waliita marafiki katika nyumba ya Diamond iliyopo On Tuesday the  Dar es Salaam, Tanzania ili kusherehekea.

Katika mila na desturi za waislamu, mtoto na mamake wanatakiwa wakae ndani hadi siku 40 ili mwanamke apate muda wa kupumzika.

Image result for diamond platnumz children

Mastaa Tanzania walifika katika hafla hiyo wakiwemo Rayvanny, Lava Lava, Mbosso, Mama Dangote, Queen Darleen, Esma Khan na Wolper miongoni mwa wengine.

Aidha, familia ya Tanasha haikufika katika sherehe hizo.

 

Ameumbwa akaumbika! Tazama picha za mtoto wao Diamond na Tanasha Donna

Binti kidosho wa kutoka mumu humu Kenya Bi Tanasha Donna ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamziki stadi Diamond Platnumz.

Wawili hawa walibarikiwa na kitoto kichanga hivi juzi na si siri kuwa wamejawa na furaha tele.

Binti huyu alijifungua kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es Salaam tarehe 2 mwezi wa 10.

  
Kutoka siku hiyo, Tanasha amekuwa akiwaeleza mashabiki wake anavyo jihisi kama mzazi.

 

Mamake Diamond amekuwa akiweka picha tofauti tofauti za mjukuu wake na kujidai kuwa anafanana naye.

Mama kahaba awaacha watoto Kakamega na kutoweka

Tanasha and Diamond's son Tanasha and Diamond's son

Tanasha and Diamond's son  Tanasha and Diamond's son

Tanasha and Diamond's son

Hela anayowekeza Akothee katika mahitaji ya mabinti wake, asimulia

Tanasha alijifungua kwa njia ya kawaida, yaani hakufanyiwa upasuaji na alipozungumza na mashabiki wake, alisema kuwa atapanga kupata mtoto mwingine baada ya miaka 5.

Vilevile, alifunguka mwanzo mwisho na kusema kuitwa ‘mama’ ni kitu ambacho kimemfanya awe na furaha sana.

 

Amepatikana: Jinsi Diamond hujitetea kila anapopatikana na mipango wa kando

Mwanamziki Diamond amejulikana kwa usanii wake uliokolea na hata pia tabia yake ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mabinti wengi.

Diamiond naye, si mchache kwani kila wakati apatwapo akiwa na mpango wa kando, yeye hujitetea vilivyo na ni vigumu sana kutoamini anachosema.

Tazama uongo Diamond husema kila wakati apatikanapo na wapenzi wake akiwa na mpenzi mwengine.
  1. Zari

Diamond alikuwa na mpango wa kando alipokuwa na uhusiano wa kimapenzi na mama wa watoto wake wawili.

Staa huyu alipoulizwa kilichomfanya afanye kitendo kama hiki alisema kuwa, mke wake alikuwa anaishi Afrika Kusini na yeye Tanzania na kwa hivyo hawakuwa wanaweza kushirikiana kimapenzi mara kwa mara.

Katika mahojiano kitambo kidogo, Diamond alisema kuwa, ni yeye alimkosea sana mke wake Zari kwani, Zari alikuwa mwanamke mzuri sana aliyependa familia.

”THROUGHOUT MY RELATIONSHIP WITH ZARI, I WRONGED HER MORE THAN SHE WRONGED ME. SHE WAS SMART, SHE WAS A WIFE MATERIAL THAT I CAN ASSURE.” Diamond alisema.

Hatimaye Mkewe Ali Kiba afunguka mengi kuhusu talaka

Vilevile, Diamond alisema kuwa kilicho wafanya wakate uhusiano wao na mke wake ni kutokutana mara kwa mara na iwapo anatamani kushiriki na mke wake kimapenzi hakuwa anaweza.

”WHAT I CAN SAY LED TO US INTO SPLITTING WAS THE DISTANCE AND LACK OF  CONSTANT ENGAGEMENT WITH EACH OTHER.”

Sexy Zari

I’M STILL YOUNG AND I’M A STAR. WOMEN ARE ALWAYS DROOLING OVER ME. IMAGINE, I LEAVE THE OFFICE, I GO HOME AND I DON’T GET MY LOVER, SHE IS IN SOUTH AFRICA. I WILL ENDURE THIS FOR ONE OR TWO WEEKS AND THEN GIVE UP.”

2. Wema Sepetu

Wema Sepetu ambaye alikuwa mpenzi wake Diamond alisema kuwa, hata ikiwa Diamond ataachana na yote na arudi kwake kumposea, haezi kubali.

“EVEN IF DIAMOND DECIDED TO DROP EVERYTHING AND PROPOSE TO ME, I’D NEVER ACCEPT HIS PROPOSAL,” alisema.

Diamond alipokuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wema Sepetu alifanya uhusiano wa kimapenzi na rafiki wa dhati wa mpenzi wake, Bi Jokate Mwegelo

Wema Sepetu

3. Jokate Mwegelo

Jokate na Diamond walikuwa na uhusianio wa kimapenzi kabla ya binti huyu kupendana na Ali Kiba.

Akizungumzia uhusiano wake na Jokate Mwegelo, Diamond alisema kuwa binti huyu hakuwa na kosa lolote kwani ni yeye alitaka uhusiano wa kimapenzi na binti huyu na kisha baadae akamwacha ili amrudie Wema Sepetu.


”JOKATE WAS VERY INNOCENT AND NEVER DID ANYTHING WRONG TO ME.

I PUT HER THROUGH A LOT OF TROUBLE AND CREATED A PERCEPTION IN PEOPLES MIND THAT SHE WAS A BAD GIRL WHO HAD SNATCHED ME FROM WEMA

‘Wakati wa kupata bwana ulinipita,’ Sepetu afunguka kuhusu ndoa

TRUTH IS I’M THE ONE WHO PURSUED HER. I DATED HER THEN BROKE UP WITH HER WITHOUT A REASON AND RAN BACK TO WEMA.” Diamond alisema.

4. Penniel Mungilwa ‘Penny’

Penny Na Diamond walifanya uhusiano wao wazi mwaka wa 2013 baada ya kukata uhusiano wake na Wema Sepetu.

Kabla ya wapenzi hawa kuwa na uhusiano wa kimapenzi, Diamond alihusiana kimapenzi na binti huyu huku Wema Sepetu akiwa mpenzi wake.

Ushirikiano wa kimapenzi wa Diamond na Penny haukukaa kwa muda mrefu kwani Diamond alimwacha binti huyu na kurudi tena kwa Wema Sepetu kabla kumwacha na kumpata Zari Hassan.

Diamond ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na binti wa kutoka humu kenya Bi Tanasha Donna, alisema kuwa anampenda sana bitni huyu na hatakuwa na mpango wa kando.

”ROHO YANGU MIE. NAKUPENDA MPAKA NAKUPENDA SANA. NAJUA WANASUBIRI LINI…ILA WATASUBIRI SANA! SIKUCHEAT HATA IWEJE.” Diamond alisema.

Hata hivyo tukizingatia yaliyowafika waliokuwa wapenzi wake Diamond, tunaomba tu alichosema Diamond ni ukweli na kuwa atakuwa mwaminifu kwa mpenzi wake Tanasha Donna.

 

Je ni sababu zipi ambazo mpenzi wako amewahi kujitetea nazo ulipompata na mpango wa kando?

Rich Mavoko ‘aheshimu’ Harmonize kwa kutoka wasafi

Rich Mavoko akataa madai kuwa wimbo wake mpya ‘Babilion’ alikuwa amemwimbia Harmonize.

mavoko

Kwa ufupi, mwanzamziki huyu Rich Mavoko, aliwaambia mashabiki wake wasikazane kuuchambua wimbo wake Babilion wakidai kwamba alimwimbia Harmonize baada ya kutoka lebo ya Wasafi, kwani huo ni uongo mtupu.

Wasafi Records ni lebo ya muziki iliyoanzishwa na staa Diamond Platnumz ambaye pia amebobea kwa mziki wake.

Dennis Itumbi Ashtakiwa kwa kutogharamia ulezi wa mtoto wake

Rich Mavoko ndiye aliyekuwa wa kwanza kutoka Wasafi, baada ya kuwa na vurugu kati yake na meneja wa lebo hiyo.

Mbali na hayo, Rich Mavoko alisema kuwa ,alikuwa asharekodi wimbo wake, Babilion na hakujua kuwa wimbo huo ulikuwa umeambatana na wakati ambao Harmonize alikuwa ametoka Wasafi.

“I had already recorded that song and I didn’t know the timing of the song went hand in hand with Harmonize leaving WCB,” alisema.

‘Sikufa hata baada ya kunywa sumu’ Bwana Kinoti Gatobu

Zaidi ya hayo, Mavoko alisema kuwa, alitoa wimbi wake na mashabiki ndio walioandika maoni yao kuhusu Harmonize, lakini kwake yeye, wimbo huo unahusu maisha tu.

“I gave people the song but they wrote a caption to it. It’s all about the fans’ comments because I do read them. The song is generally about life.”alisema.

Vile vile, Mavoko amesema kuwa, anaheshimu uamuzi wa Harmoize kuamua kutoka kwenye chama cha Wasafi, na hana mambo mengi ya kusema.

“I respect Harmonize’s decision. I can’t say more about it.”

Hata hivyo, maneno ya wimbo huu unaonyesha wazi kuwa, Rich Mavoko ameiimbia chama cha Wasafi.

Wakenya mashuhuri waliochukua talaka ili waokoe maisha yao!

Nimemsaheme Diamond asema Zari Hassan

Zari Hassan amesema kuwa amemsamehe aliyekuwa mpenziwe, Diamond PLatinumz kwa yale yote aliyomtendea ikiwamo kusema hadharani kuwa Zari alikuwa na uhusiano na Peter wa bendi ya P-Square pamoja na mkufunzi wake wa gym.

 

Zari

Diamond Platinumz asherehekea siku ya kuzaliwa ya bintiye

“Kuna jambo la umuhimu katika kuwasamehe watu. Mimi nimemsamehe kwa mambo yote aliyonifanyia kwani kwa sasa nipo katika mahali pema kuliko nilivyokuwa mbeleni,” Zari alieleza Millad Ayo.

Zari pia amesema kuwa atahakikisha kuwa wanawe Tiffah na Nillan wamemsamehe baba yao kwa kuwaacha peke yao.”Kwa sasa wao ni watoto wachanga sana ila singetaka Tiffah awe na kinyongo na baba yake,” Zari alisema.

Zari aliweka wazi kuwa alikuwa na matamanio ya kufunga pingu za maisha na mkali huyo wa Kanyaga huku pia akisema kuwa Diamond alikuwa anajua jambo hilo. Hata hivyo, Zari amekanusha madai kwamba alikuwa na uhusiano wa ngono na Peter wa P-square.

Kwenye mahojiano ya hapo awali, Diamond alisema kuwa Zari alipeleka tunda nje ya familia kwake Peter jambo lilokuwa chanzo cha mwisho wa ndoa yao.

Pamoja na hayo ,Zari alisema kuwa picha alizokuwa anazungumzia Diamond alipigwa mwaka 2011 wakati alikuwa na uhusiano na marehemu bwanake, Ivan.

Kwa sasa, Diamond anatoka kimapenzi na binti wa kikenya,Tanasha Donna na ambaye wanatarajia mtoto hivi karibuni.

soma mengi hapa

Diamond Platinumz asherehekea siku ya kuzaliwa ya bintiye

Bintiye Diamond Platinumz na aliyekuwa mpenziwe Zari Hassan, Princess Latiffah alifikisha umri wa miaka minne hio jana. Hivi juzi, Zari alisema kuwa Diamond hajawatembelea wanawawe kwa zaidi ya miezi tisa sasa huku pia akiyaacha majukumu yake kwa wanawe.

ILIKUAJE: Eric Omondi alitumia fedha zangu kujijenga – Madini Classic

diamondplatnumzandtiffah
Diamond alimtakia bintiye siku njema ya kuzaliwa kwenye mtandao wake wa Instagrama kwa kumposti picha yake ikiwa na maelezo ya,”Daddy Loves You.”

Kando na Diamond, mamaye mzazi pia alisherehekea siku ya kuzaliwa kwa mjukuu wake kwa ujumbe mfupi uliosema,”Happy Birthday mtoto Tiffah, roho yangu mimi kipenzi cha mama Dangote. Your grandma wishes you a long life full of blessings.I Love you.”

Diamond na mamaye Latiffah, Zari walivunja uhusiano wao na kwa sasa Mr Platinumz anatoka na Tanasha Donna kimapenzi na wawili hao wanamtarajia mtoto mwezi ujao.

Soma mengi hapa

Diamond akana madai ya kuwatenga watoto wake

Diamond platinumz ameyajibu madai ya aliyekuwa mkewe Zari Hassan alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari vya Tanzania.

Diamond-and-Zari-with-their-son-Prince-Nillan-680x380

Hivi majuzi, Zari alisema kuwa Diamond amemuachia majukumu ya kuwalea watoto wao wote wawili huku ikisemekana kuwa Diamond hajawahi watembelea watoto wao kwa muda wa miezi tisa iliyopita.

Jambo hilo lilitokea baada ya Diamond kupiga picha watoto wake wawili kupitia njia ya ‘screenshot’ alipokuwa anazungumza nao kupitia njia ya video.

PICHA: Gwiji wa Liverpool Mo Salah azuru Kenya

“Hata hakuzungumza nao. Alipiga simu kisha walipochukua akapiga picha na kukata simu kabla hawajaanza mazungumzo.” Zari alisema.

Diamond amekanusha madai hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kule nchini Tanzania,”Suala la malezi ya watoto halinishangazi mimi kwa sasa. Wazazi wanapopeana talaka mambo mengi huzuka na hasa ya watoto ila natumai kuwa kila kitu kitakuwa sawa hivi karibuni.”

“Juzi nilikuwa katika sherehe za siku ya kuzaliwa na mjomba wa watoto wangu na zari alinipigia simu. Nilikuwa na mtoto wangu na Hamisa Mobetto na tulizungumza naye.” Diamond alisema.

Diamond aliongeza kuwa anaweza zungumza kuhusu wanawe ila sio kumhusu aliyekuwa mpenziwe Zari Hassan aliye na uhusiano kwa sasa.

soma mengi hapa: