Mahakama yamtaka Kinoti kufika mbele yake

Mahakama mjini Kiambu imemtaka mkurugenzi mkuu wa jinai DCI George Kinoti kufika mbele yake baada ya kukiuka agizo lililotolewa na mahakama moja Nairobi la kutaka kuachiliwa kwa magari mawili ya Rashid Echasa.

Maagizo hayo yaliyotolewa Ijumaa, yamemtaka Kinoti kufika mbele yake Julai 3.

 

“You are hereby required to attend this court at 8pm on July 3, 2020 in the above case to explain why you have not released motor vehicle as ordered by the court in the above case and remain in attendance until released,” 

Court summons DCI Kinoti over release of Rashid Echesa's vehicles

Rao yuko poa! Gavana wa Mombasa Hassan Joho asema

Hakimu mkuu Stella Atembo Juni 10, alitoa uamuzi kuwa magari yaliyokuwa yamezuiliwa ya Echesa aina ya Toyota Lexus, Ford Ranger na Merceds Benz yalikuwa yanazuiliwa kinyume na sheria.

“The act of detaining property without any support or any law of order of the court with sufficient reasons contravenes the constitution which provides for the right to private property and opportunity to be heard,”  Stella Atembo.

Mahakama pia ilibaini kuwa magari hayo matatu hayakuwa miongoni mwa masharti yaliyotolewa na mahakama ya kuanzisha uchunguzi.

Waiguru ni msafi! Kamati ya seneti haijampata na hatia

Maafisa kutoka DCI yalitwaa magari matano kutoka kwa Echesa mnamo Machi 2 mwaka huu baada ya mkaazi mmoja kutoka kaunti ya Kisumu kufikisha lalama zake kwa DCI akisema alikuwa amelaghaiwa magari hayo.

Systema ya majambazi! Mahakama yataka Echesa apewe gari lake

Aliyekuwa Waziri wa Michezo Rashid Echesa anatarajia kuregeshewa bunduki na gari  vyote vilivyochukuliwa kutoka nyumbani kwake mtaani Karen, Nairobi kwa madai ya ufisadi.

Uamuzi uliotolewa na korti Alhamisi Juni 4, uliafikiwa baada ya kesi iliyowasilishwa mahakamani dhidi ya Mkurugenzi wa Uchunguzi wa Jinai (DCI) ikitaka Bw Echesa kuregeshewa bastola aina ya Beretta 92, Ceska na Range Rover yenye nambari za usajili KCR 786H.

Tafakari! Mwanamume amnajisi mwanawe wa miaka 16 na kumgonga na kifaa butu kichwani

ECHESA

Kupitia kwa wakili wake Bryan Khaemba, aliyekuwa waziri huyo alikuwa amelalamika kwa kusema kusafiria vyombo vya umma kulikuwa kukimweka katika hatari kubwa ya kuambukizwa Virusi vya Corona.

Wee! Cheza na slayqueens wa Nairobi ukipate,Mwanamke afikishwa mahakamani kwa madai ya wizi

Hakimu Mkuu wa Mahakama ya Milimani, Kennedy Cheruiyot katika uamuzi wake pia alifahamishwa bastola 2 zilikuwa sehemu ya ulinzi wa Echesa kutokana na hadhi aliyonayo ya uheshimiwa.

View image on Twitter

Katika uamuzi huo, hakimu Cheruiyot aliskiza na hatimaye kushawishiwa vya kutosha kuwa, malalamiko ya Echesa yalikuwa ya kweli.

David Maraga atofautiana na mabadiliko maalum ya rais Uhuru

“Nimeshawishiwa kuwa mlalamikaji ana haki ya kumiliki bunduki na kuruhusiwa kuwa gari lake,” jaji aliamrisha.

Machozi ya mamba! Echesa arai mahakama kuruhusu apewe gari lake

Waziri wa michezo wa zamani Rashid Echesa ameiomba mahakama ya Nairobi kumruhusu aende kuchukua gari lake aina ya Range Rover baada ya kuzuiliwa kutokana na kesi za ufisadi zinazomkabili.

Echesa kupitia kwa wakili wake Bryan Khaemba ameiambia mahakama ya Milimani kuwa tangu gari lake kuchukuliwa Machi 2 mwaka huu, amelazimika kutumia magari ya uchukuzi wa ummaa kwa kusafiri.

Mahakama yampa OCS wa Kamukunji wiki mbili kuhakikisha mshukiwa aliyetoroka amepatikana

Khaemba sasa ameenda kwa mahakama hiyo akisema kuwa huenda mteja wake ambaye ni Echesa akaambukizwa virusi vya corona kswa kutumia magari ya uchukuzi wa umma.

ECHESA

Katika ombi lake la Machi 11, Echesa aliitakja mahakama kuishauri afisi ya DCI kuachilia gari lake akisema kuwa kwa kuwa alikuwa waziri wa zamani huenda maisha yake yakawa hatarini kwa kuendelea kutumia usafiri wa umma.

Ukaidi wa Tanzania! Wanahabari wa Kenya wapigwa faini ya shilingi 46,000 ama wafungwe jela

 

 

“Let the vehicle and his firearms be released until the State is ready to respond to the application,” .“It is almost three months since the application was filed in court [and there is no progress on the matter]. It is against logic why the case was filed under a certificate of urgency,” amesema Khaemba.

ECHESA 1

Ameongezea kuwa Echesa amelazimika kukaa nyumbani kufuatia vitisho vya kila mara na kuhofia kuwa maisha yake yamo hatarini.

 

 

Wapelelezi kuvamia nyumba ya Echesa kutafuta hati za kesi iliomkumba

Wapepelezi wa DCI hii leo wamevamia nyumba ya aliyekuwa waziri wa michezo Rashid Echesa katika eneo la Karen ili kutafuta hati ambazo zinadaiwa ni za kashfa hiyo.

Photo Of The Day: Rashid Echesa officially hands over to Amina Mohamed

Wapelelezi hao kutoka kwa Economic Crimes Unit, walikatazwa kuingia katika nyumba hiyo, baada ya masaa machache iliwalazimu kuingia kwa kutumia nguvu huku wakipitia kwa ukuta ili waweze kuingia ndani.

Haijabainiwa kama Echesa alikuwa nyumbani wakati huo wapelelezi hao walizuiwa kwa muda mrefu.

Mengi yafuata;

Ruto ni rafiki wa zama kabla niwe waziri-Echesa

Aliyekuwa waziri wa michezo Rashid Echesa alikiri kuwa naibu wa rais William Ruto ni rafiki yake hata kabla awe waziri wa michezo.

Aliongeza na kusema kuwa haitaji wakala wowote anapoenda  kumtembelea naibu wa rais.

Sio Mimi: Ruto ajitenga na mkutano wa Echesa katika afisi yake .

rashid echesa

Echesa aliongea baada ya kukamatwa na kumaliza wiki moja kizuizini, aliachiliwa kwa dhamana ya millioni moja.

Ruto alikataa madai hayo, kuwa Echesa hakuwa na wakala wowote alipomtembelea katika ofisi yake eneo la jumba la Harambee kuhusu mpango wa kushughulikia vifaa vya kijeshi bandia.

Echesa aliwaarifu askari wanaolinda afisi ya Ruto kuwa ana wakala na naibu wa rais jambo ambalo Ruto alikana baadaye.

Akiongea katika mahojiano na runinga ya NTV, Echesa alisema kuwa yeye na naibu wa rais ni marafiki wa muda mrefu hata kabla ya awe waziri.

“Si hitaji wakala wowote ili kumuona naibu wa rais Ruto, kwa sababu sisi ni marafiki kutoka kitambo, wacha wapeleke ushahidi mbele ya mahakam.” Echesa Alisema.

Ruto amtaka DCI Kinoti kuharakisha upelelezi wa sakata ya jeshi    

Alikana madai ya kusaini mkataba wa kushughulikia vifaa vya kijeshi huku akisema hajui billioni 40 zimetoka wapi na kwa nia gani.

“Sijui billioni 40 kwenye zilitoka, sijawahi tia saini katika mkataba wowote na kama nilitia basi sheria hiko na pia iko wazi.

Nataka kumpa DCI changamoto achapishe saini hizo.” Alizungumza Echesa.

Alizidi na kuonea na kusema kuwa  Stanley Kozlowski, ambaye ni mkuu katika madai ya kashfa hiyo amekuwa rafiki yake kwa muda wa miaka sita.

” Mama yake ananijua sana, mama yangu na baba yangu wanamjua Stan alikuja huku kwa ajili ya utalii.”

Sikujua kuwa alikuwa na biashara humu ambacho nili jua hakuwa na kibali cha kufanya kazi.”Alisema.

Echesa alisema kuwa hajawahi kuwa na kampuni wala si mkurugenzi wa kampuni yeyote.

Cha mno walishtakiwa kwa kumlaghai Stanley mabillioni za pesa huku wakimwambia uwa watampa vifaa vya kijeshi ili auze.

Echesa alikataa madai hayo yote.