Ona hapa asili ya ukwasi wake Raila Odinga

Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Amollo odinga ni kati ya wanasiasa ambao ni nguzo imara hususan katika maswala ya biashara nchini na kimataifa.

Kando na kuwa mwanasiasa nguli na stadi, kiongozi huyu ni tajiri mkubwa ambaye amewekeza katika biashara tofauti tofauti.

Ushawishi wake wa kisiasa pamoja na ujasiriamali umemuweka kwenye ramani ya viongozi tajika duniani.

Tumekusogezea hapa baadhi ya mali na biashara anazomiliki:

 

Kampuni ya East Africa Spectre

Related image

Hii ni kampuni inayohusika katika kutengeneza mitungi ya gesi. Kiwanda hiki kilianzishwa na babake Raila odinga.
Majumba ya pesa kubwa
Image result for multi million homes Raila odinga owns
Raila anamiliki majumba ya hela kubwa nchini katika maeneo kama: Karen,Kisumu,Runda ,Mombasa na sehemu zingine. Makadirio ya majumba haya ni takriban Bilioni 3.
Kampuni ya Pan African 
Image result for pan african petroleum company
Hii ni kampuni inayohusika katika uigizaji na usambazaji wa bidhaa za petroli.
Spectre International Limited
Image result for spectre international limited
 
Hadithi imetafsiriwa na kuhaririwa na Abraham Kivuva