Kumbe!Mambo ambayo hukufahamu kuhusu mbochi mzungu wa Atwoli

Mbochi wa katibu mkuu wa chama cha wafanyakazi nchini COTU Francis Atwoli amekuwa akienea sana katika mitandao ya kijamii baada ya picha zake kuibuka akimnawisha mkewe Atwoli Mary Kilobi mikono.

Ni picha ambayo ilitamba sana kwenye mitandao na kuibua hisia tofauti kwa muda mfupi baada ya mary kuposti kwenye mitandao hiyo,

Screenshot-from-2020-06-24-22_26_39

kenyansister Yaani mpaka Mboch ni mzungu? 🤔

malagho 🙆Mbochi mzunye🙊🙊🙇‍♂️lanes lanes lanes🙌🏃

churchil_winstoe Mmeamua ni Reverse😂😂😂

brendayieko Househelp wako ni mzungu…

ge.offrey9785 End of slavery, you are a good example to other Africans madam

Atwoli alijitokeza na kukana madai kuwa mwanamke huyo ni mfanyakazi wake bali alisema kuwa ni mshauri wa nyumbani.

Ni mshauri wa nyumbani! Atwoli ajibu baada ya kudaiwa amemwajiri mbochi mzungu

Wengi hawakukubaliana na Atwoli bali walisema kuwa ni mbochi wake na kuwa anatumia manno hayo matamu ili kujiondoa kwa madai hayo.

Haya hapa baadhi ya mambo ambayo hukufahamu kuhusu mbochi huyo.

1.Jina lake ni Madam Pavic

2.Ni mzungu kutoka Colombia

3.Amemfanyia katibu Atwoli kazi kwa muda wa zaidi miaka mitano

4.Ni mnyenyekevu na upishi wake huko katika kiwango kingine

 

Wakenya wachemka baada ya viongozi kuvunja sheria za covid-19

Wakenya Jumamosi, Mei 30, walichemka baada ya kuibuka kuwa walala hoi wanazidi kukandamizwa na serikali huku mabwenyenye wakisazwa.

Waliteta kuwa Wakenya wa kawaida wamekuwa wakikabiliwa vikali kuhusiana na sheria za coronavirus ilhali viongozi wanazikiuka bila kuchukuliwa hatua.

Picha za kundi la wanasiasa waliokongamana nyumbani kwa katibu wa muungano wa wafanyikazi Francis Atwoli ziliwasha moto mtandaoni.

Mkutano uliofanyika nyumbani kwa Atwoli waendelea kuibua hisia mseto miongoni mwa wananchi

Wabunge takribana 40 walikongamana na kufanya kikao na wanahabari kutangaza maafikiano yao. Hata hivyo, hawakuangazia maagizo ya wizara ya Afya kuhusu kuepuka mikusanyiko ya watu.

fbcd33f62e3f37d3

Wakenya walitaka kundi hilo la wabunge kupelekwa kwenye karantini ya lazima kama vile walala hoi wamekuwa wakifanyiwa. Wakenya wa kawaida wamekuwa wakitiwa mbaroni na kufikishwa mahakamani wakidaiwa kutozingatia sheria hizo.

Aidha wapinzani wa kundi la Atwoli pia waliteta kwenye mtandao huku Seneta Kipchumba Murkomen akidai kuna uwezekano viongozi hao hata walipata kinywaji.

Francis Atwoli afanya kikao na viongozi wa eneo la Magharibi

“Kama mnaweza kufungua baa fungueni kanisa pia. Tuwache ukora.” alisema Murkomen.

8b958673ab492826

Katika kaunti ya Nyandarua, Gavana Francis Kimemia pia alionekana na umati wa watu ambao hawakuwa wameangazia sheria za covid-19. Wengi walishangaa ni kwa nini viongozi wakuu wanapuuza sheria hizo badala ya kuongoza kama mfano mzuri.

Je sheria hizo zimewekwa kwa ajili ya mwananchi wa kawaida ama piaa hata viongozi ni swali ambalo wengi wanaulizana kila kuchao.

 

Francis Atwoli afanya kikao na viongozi wa eneo la Magharibi

Maswali yaliibuka miongoni mwa wananhi baada ya Francis Atwoli kufanya kikao na viongozi wa eneo la magharibi huku mudavadi akiachwa nje na kuto hudhuria kikao hicho.

Karata za kisiasa zinaendelea kuchzwa na viongozi wwengi huku nchi ikikabiliwa na janga la corona na kupungusa shughuli za humu nchini na hata uchumi kuenda chini.

Wengi wamepoteza kazi zao zilizokuwa zinawapa mkate wa kilaa siku na hata wafanyabiashara kufunga biasha zao.

cd922d56b80c412e

Viongozi wa kisiasa waliochaguliwa kutoka eneo la Magharibi mwa Kenya Ijumaa, Mei 29 walikutana na kutangaza msimamo wao kisiasa.

Kundi hilo lilikutana nyumbani kwa katibu wa muungano wa wafanyikazi humu nchini Cotu Francis Atwoli.

Kulingana na duru ndani ya kikao hicho, ajenda kuu ilikuwa ni nafasi ya eneo la magharibi na viongozi wake katika siasa zinzopangwa na kinara wa ODM Raila Odinga na Rais Uhuru Kenyatta.

Aidha licha ya Musalia Mudavadi kuwa kigogo wa kisiasa kutoka eneo la Magharibi, kikao hicho cha Atwoli kiliteua viongozi wapya kuendeleza ajenda za eneo hilo.

“Leo tumekutana na kuwateua Francis Atwoli, gavana Wycliff Oparanya na waziri wa Ugatuzi Eugene Wamalwa kuongoza jamii yetu katika mazungumzo kuhusu eneo hilo na serikali.”Seneta Malala Alizungumza.

8b958673ab492826

Kundi hilo lilisema liko nyuma ya Rais Kenyatta na mwafaka wake wa handisheki na Raila. Viongozi waliohudhuria kikao hicho ni kutoka vyama vyote na pia waliovuma awali kama mfanybiashara Cyrus Jirongo.

Haikubainika iwapo Mudavadi na seneta wa Bungoma Moses Wetangula walikuwa wamealikwa,Wawili hao ndio wamekuwa vigogo wa eneo la Magharibi huku Atwoli akionekana kama mshauri wa eneo hilo.

No beef? Ruto alijikaanga mwenyewe asema Atwoli

Katibu mkuu wa muungano wa wafanyikazi nchini COTU Francis Atwoli amesema hana tofauti za kibinafsi na naibu wa rais William Ruto .

Atwoli,  ambaye ni mkosoaji mkubwa wa Ruto amesema wawili hao wanatofautiana tu  kisera na  falsafa za kisiasa .

atwoli

Who’s Next? Jeshi la Ruto Bungeni lapatwa na hofu baada ya washirika wake senate kufurushwa

‘Sina kinyongo na Dp Ruto ,ni mkenya .Na leo anaweza kunialika kwake tule pamoja name pia nifanye hivyo ‘ amesema Atwoli

Kiongozi huyo wa COTU   amejitokeza kama miongoni mwa wanaopinga vikali azma ya Ruto kumrithiri rais Uhuru Kenyatta baada ya uchaguzi mkuu wa 2022.Ameongeza kwamba Ruto ndiye anayefaa kujilaumu kwa hatua ya washirika wake kupokonywa nyadhifa  za uongozi katika senate .

Wale ambao tayari wamefurushwa kutoka nyadhifa hizo ni pamoja na   seneta wa Elgeyo-Marakwet Kipchumba Murkomen  seneta wa  Tharaka Nithi  Kithure Kindiki  na seneta wa nakuru   Susan Kihika . shoka hilo la kuwaondoa washirika wa Ruto kutoka nafasi za uongozi sasa linaelekezwa bungeni .

Aluta Continua: Uhuru sasa kuwafurusha washirika wa Ruto Katika kamati za senate

Kulingana na Atwoli ,Ruto hajaliwa muaminifu kwa rais Kenyatta na ameendeleza kampeini za kuchukua usukani kabla hata muda wa Kenyatta afisini haujatamatika.

Amesema kuondolewa kwa viongozi wanaomuunga mkono Ruto kutoka nafasi zao hakufai kuchukuliwa kama hila dhidi ya viongozi fulani  au jamii zao .

 

 

Pole sana: Mkewe Francis Atwoli, Mary Kilobi ampoteza nduguye

Mkewe katibu mkuu wa chama cha wafanyikazi nchini, COTU, Francis Atwoli, Mary Kilobi amempoteza nduguye.

Nduguye Mary, Emmanuel Weyusia aliuliwa kwa kupigwa risasi na wezi jana usiku mtaani, Thika.

Mwanahabari huyo wa KTN news alichapisha habari hizo za kuhuzunisha katika mtandao wake wa kijamii.

PATANISHO: Ndugu ya mume wangu alirushia mtoto wetu mapepo

9TH OCTOBER IT IS! HAKI I CAN’T BELIEVE THIS HOT BROTHER OF MINE EMMANUEL WEYUSIA HAS GONE TO BE WITH THE LORD. MARSH WE’VE LOST YOU TO SOME CRUEL PEOPLE WHO SHOT YOU. MARSH, YOU WILL FOREVER BE MY BIG BROTHER OUR VERY PROTECTIVE BRO, MY MAMAS 1ST BORN. HOW DO I SAY RIP. GOD, IT MAY NOT BE WELL WITH ME NOW BECAUSE OF HOW I FEEL BUT I STILL HOLD ONTO YOU FOR COMFORT. EVEN THOUGH YOU HAVE ALLOWED THIS PAIN TO COME MY WAY, YOU ARE STILL MY GOD.

Zifuatazo ni jumbe za risala za rambirambi kutoka kwa wakenya na mashabiki wake Mary Kilobi.

Fredrick Shitubi Just woken up to exceedingly shocking news that a dear friend, Emmanuel Weyusia (left), was gunned down by thugs last night. Death, where is thy sting? Such a sad morning. Rest in peace bro.

Mudavadi amshutumu Ruto kwa kubadilisha makaazi yake kuwa makao ya kampeini

Hon Wafula Okumu Emmanuel Weyusia, why you my long-time friend, friend!? and why now!? Why!? I just don’t know how to say RIP! I still don’t believe! It must be a lie!

Wafula Paul How can God let this happen. The killers of Emmanuel Weyusia do not know who they have taken from us. What a dark day. How shocking. What a man. What a cruel world. How do you mourn such a good man?

Lyndah Tabani Aki pole tu sana family anr friends, it is God’s plan. May he rest in peace. Be strong pls.

Etyang Frank This is so shocking. Unimaginable that Emmanuel ‘s life has been ended so fast. REST IN PEACE MY BROTHER. SING WITH THE ANGELS. Mariah Kilobi Atwoli take heart my dear. It is tough.

Sisi kama Radiojambo tunaipa familia ya Mary Kilobi pole na kuwaombea mola.

Margaret Kenyatta apongezwa kwa juhudi za kupambana na ukimwi

Atwoli amlimbikizia sifa Raila kwa ustadi wa kupanga mambo!

Katibu wa COTU  Francis Atwoli  alimsifia  kinara wa upinzani na kiongozi wa chama cha ODM  na kumtaja kuwa shupavu katika kupanga mikakati ya chochote anachofanya.

Atwoli alikuwa anatoa hotuba ya kumkaribisha Raila kwenye mkutano wa OATUU jijini Nairobi.

”Katika maisha yangu, Raila ndiye mtu ambaye anajua kupanga mambo sana. Waweza kuwa na Raila mpaka saa nane asubuhi na kisha baaadaye ushtukiye kumuona akihudhuria mkutano mbali licha ya uchovu.” Atwoli alisema.

Patanisho: Jamaa alalamika baridi imezidi baada ya kumfukuza mkewe

”Na ndio maana nasema kuwa, una mipangilio mwafaka na hakuna mwanasiasa ambaye anafaa kupewa jina hili”

Atwoli alimsifu Raila kwa zaidi ya robo saa na akazidi kusema kuwa, majina yote ya lakabu ya aliyekuwa waziri mkuu yanamfaa.

Majina haya ni kama Agwambo, Enigma na majina mengine mengi.

”Sisi ambao tunatoka katika mashirika ya kutetea maslahi ya wafanyikazi na makundi ya vuguvugu, tunakuenzi sana na kuiga utendakazi wako .” Atwoli alisema.

Mhubiri ashtakiwa kwa kutumia jina la Uhuru kulaghai familia ya Akasha

”Babake Obama ametoka kwenye jamii moja na ulipozaliwa  na ndio sababu tuna watu bora kama wewe ambao huleta matokeo bora kwa wote duniani.” Atwoli alizidi kusema.

Zaidi ya hayo, Raila alisimama na kusema kuwa, kitu ambacho Atwoli amesahau kuwaambia watu  ni kuwa, yeye ni binamu yake Obama.’

”Alichosahau kuwaambia ni kuwa, mimi ni binamuye Obama”

Atwoli: Kenyans will hunt down corrupt officials

Kenyans will take the law into their hands and hunt down people looting public resources and punish them if the government fails, Cotu boss Francis Atwoli has said.

Atwoli said people who “are taking advantage of us and stealing the resources meant for our children seek to make our children languish in poverty as they swim in wealth” must be stopped at all cost.

He spoke on Wednesday during the Pan-African Trade Unions conference held in Hilton Hotel, in Nairobi.

Atwoli said workers in the country toil to earn resources which are hardly enough for them and it is unfair to have a few people looting a way easy.

The vocal trade union boss also blamed unnamed politician with presidential ambition of being “linked to every corruption scandal.”

“You cannot surround yourself with every corruption person and also be named or suspected to have a hand in every corruption case and still expect to be a leader,” he said.

There have been unending reports of mega corruption scandals in the country running to the tunes of billions of shillings involving senior government officials, including Cabinet secretaries and even the aide to DP William Ruto.

He said workers will take matters into their own hands if people accused of corruption are left to roam free.

“If some of them will not be put in jail, I can tell you, your Excellency, that citizens are going to take action,” Atwoli said.

Atwoli told the participants from various countries in the continent that the workers support President Uhuru’s war on corruption.

“I want to tell the President of this country that workers are behind him in the fight against graft,” Atwoli said.

The conference was attended by AU envoy Raila Odinga who opened it.

Others included Education CS Amina Mohammed and the labor chief administrative secretary Abdul Bahari.

Siaya senator James Orengo also attended.

Atwoli amtumia mkewe Mary Kilobi jumbe za mapenzi

 

Wapenzi hao wawili wamekuwa wakibadilishiana ama wakitumiana jumbe za kimapenzi katika mitandao ya kijamii.

Katika picha moja ambayo iko kwenye mitandao msomaji huyo wa habari amevalia rinda la rangi nyekundu.

Atwoli aliweza kuweka picha hiyo na maandishi ya kiingereza akimwambia kuwa ‘I trust you in the city of peace’ yaani anamwamini aliwa katika mji huo wa amani.

‘Atwoli was broke when I married him’ – Roselinda

mary kilobi
Mary Kilobi

Huku wakiwa katika mazungumzo hayo, Mary aliweza pia kumjibu kwa kimombo na kusema “Peaceful is an understatement! The most beautiful place I have visited so far. Can’t thank you enough love.

Ni wazi kuwa wawili hao wanafurahia maisha pamoja na kama vili Kilobi alivyosema katika mahojiano yake ya awali.

Wanahitaji Patanisho? Atwoli kicks wife and son out of Kileleshwa home

Bosi wa COTU ambaye ni mume wake amemuonyesha mapenzi kweli na kumpa heshima ambayo anastahili.

“Sisi ni marafiki wazuri sana mtu yeyote ambaye yuko karibu nasi anajua kwamba sisi hatuwezi tenganishwa na chochote.

“Amenionyesha mapenzi kweli na heshima ambayo nastahili kupewa,” Alisema Kilobi.

Atwoli aliweza kuongelea uhusiano wao na Kilobi katika runinga ya KTN (KTN screen siren) baada ya ndoa yao kuja kwenye mwangaza Oktoba mwaka jana.

“Ni mwanamke mzuri, ananijali na pia amejitolea katika uhusiano wetu, hayo ndio naweza kusema,” Atwoli alisema akiwa katika mahojiano ya moja kwa moja televisheni.

Katika mahojiano yaliyopita Kilobi alisema kuwa Atwoli alisema hataki kuwa mpenzi wala kuwa na uhusiano wa kiholela.

Ilikuaje: Guardian Angel aeleza jinsi alivyoteseka baada ya kukataliwa na babake

Aliongezea kuwa aliweza kuwa na uhusiano na watu wengi lakini licha ya hayo aliweza kumpa heshima na kumuonyesha mapenzi kweli.

Haijawekwa wazi kuwa Kilobi ameenda kujivinjari Egypt lakini ukweli nikuwa Atwoli aliweza kukutana na viongozi wa (trade union) humo nchini.

Katika hoteli moja ya Intercontinental katika mji wa Cairo inayoongozwa na Mohammed Saleem.

Video of the day: Francis Atwoli seeks divine intervention on woes facing farmers

Cotu Secreatary General Francis Atwoli has turned to God for divine intervention on woes facing maize farmers in the North Rift  region.

Atwoli says it is unfortunate those mentioned in the maize scam are children from the maize growing counties.

Speaking in Eldoret during a graduation ceremony at Neema institute on Saturday, Atwoli said he is ashamed to even talk about the maize scandal because those involved  are children stealing from their parents.

Atwoli surprised the congregation when he went into a three minute prayer asking God to intervene for the farmers.

He observed that the problems of farmers from Trans Nzoia, Kakamega  and Uasin Gishu were not caused by an outsider but sons and daughters of the soil who formed  flimsy  companies to defraud farmers.

The confrontational Cotu boss speaking in parables said the maize scandal is like a child scheming to steal from the mother as the crowd cheered. ‘’God  am your creation I have no power, I have no armed military, am helpless you gave us the opportunity to elect leaders who have turned selfish and are stealing from us God help us,” he prayed. He wondered how a  cartel  sneaked  large quantities of maize into NCPB stores.

Watch the video below:

No Degree For Bwana Francis Atwoli, Masinde Muliro University Explains Why

Masinde Muliro University puts off award of honorary degree to Cotu boss Francis Atwoli

Masinde Muliro University has put off plans to award Cotu Secretary General Francis Atwoli an Honorary Degree during its 12th graduation ceremony to be held on Friday.

Vice Chancellor Professor Fred Otieno has confirmed that the proposed award of the Honorary Degree Humane Letters (Labour Relations) to Atwoli has been put off.

The university has denied claims that it had been under pressure from the ministry of education to cancel the award on political grounds.

– The Star/ Mathews Ndanyi

Read more here