PATANISHO: Mteja wangu ndiye aliniharibia ndoa

Fred alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe bi Rael ambaye walikosana miezi miwili iliyopita.

Patanisho: Hii ni siku yangu ya mwisho kwa ndoa ikiwa hutanipatanisha

 

Mimi huwa mtu wa bodaboda na kuna alikuwa ananipigia ili nimpeleke sokoni kila siku, ikawa ananipigia simu hadi usiku nimuendee. Mke wangu ambaye anamjua akaanza kunung’unika akisema kuwa tuna uhusiano.

Siku moja yule msichana akanipigia simu na mke wangu kitu saa mbili akanipigia simu akisema kuwa ameondoka na kuwa nafaa kubaki na yule mwanadada ninayempenda. Aliongeza akisema kuwa hakuwa na uhusiano wowote na yule mwanadada.

PATANISHO: Karibu nimuue ndugu yangu lakini damu ni nzito kuliko maji

Wawili hao wamejaliwa mtoto mmoja katika ndoa ya miaka miwili.

Alikuwa na rafiki ambaye alikuwa anamchukua na boda kitu saa kumi usiku na hapo nikaamua niondoke. Nikama walikuwa wanaelekea mahala kwingine kwani saa kumi wanaenda wapi? Aliuliza Rael akisema kuwa kila alipouliza alikuwa anagombanishwa.

Bwana Fred naye alikiri kuwa amewachana na yule mteja kwani amegundua kuwa anamharibia ndoa yake.

Rael alikubali msamaha wa bwana yake na kukiri kuwa atarudi nyumbani ili walee mtoto wao.

Pesa Otas! City will spend £100m to back Pep with Mahrez and Fred as targets

Dynasty has been a word knocking around for much of this season at Manchester City. Not by the players, or indeed their manager, but it is a lingering idea nevertheless.

Clearly it was not too far from Vincent Kompany’s thoughts in the immediate aftermath of Sunday’s title victory. Before he went out buying pints for locals in south Manchester, the City captain addressed the wider implications of Pep Guardiola‘s first league crown without much prompting.

‘It’s not a dynasty,’ he said. ‘It’s just one title. We’re super happy but there’s still so much work to be done before this squad’s full potential is unlocked.’

That is how Guardiola believes his players must react to successes. Kompany spoke of wanting to see the mentality of this squad, to see if they are able of being the first team to defend a title since Manchester United in 2009. They now need to press home their obvious dominance.

It is how Guardiola’s reign will be viewed in the long term. This season has been so mesmeric for so many reasons but the foundations laid are for the heaviest trophy cabinet, not just this.

City truly believe they have a man to rule English football for as long as he wants to be here. We will see quite how revered he is in the corridors of power over the coming days and weeks as they gear up to visibly honour the Catalan’s stylish football.

Read more

PATANISHO: Nilipata Rafiki Yangu Kitandani Mwetu Uchi Wa Mnyama

Bi Caroline, alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mumewe Fred, 28, kwani alimfumania na mpango wa kando na kisha akaamua kutoweka.

“Nilikuwa nimeelekea kazini wakti tulikuwa tunaishi Mombasa. Kufika kazini mwili haukuwa unahisi vyema kwa hivyo nikarudi nyumbani, kurudi nyumbani nikabisha mlango na bwanangu hakufungua kwa takriban dakika kadhaa.

Mwishowe alifungua lakini alikuwa amejifunga towel na nikamuuliza mbona hakuwa anafungua na nikaelekea hadi chumba cha kulala ili nilale. Kufika kitandani nikapata mwanadada mwingine akiwa uchi wa mnyama jinsi alivyo zaliwa.” Alisema Caroline mwenye umri wa miaka 23, ambaye alidai jambo hilo lilimgadhabisha na hapo akafunga virago vyake na kuondoka.

“Tangia hapo hajawahi niongelesha na hadi wa sasa inakaa nikama mie ndiye niliyekuwa na makosa. Bado nampenda moyoni.” Aliongeza akidai kisa hicho kilitokea mwezi wa Januari.

Alipopigiwa simu bwana Fred alikubali kuwa alifanya makosa.

“Kulikuwa na mrembo fulani rafikiye ambaye alikuwa ananisumbua, mke wangu akielekea kazini naye alikuwa anakuja kwangu kupiga ma story kabla nitoke nieleke kazini. Kutoka hapo akakuja siku moja akaniomba mia mbili, mwendo wa saa mbili akabisha mlango akaniambia hii maisha lazima tusaidiane kwani wewe sio mwanaume kamili?

Na hapo kwa yale majaribu nikamueleza kabla mke wangu arejee tutakuwa tumemaliza ‘mission’ na hapo bahati mbaya akatufumania.” Alieleza bwana Fred.

Pata uhondo kamili.