Moses Kuria ataka wabunge kuangalia timu ya mawaziri ya Matiang’i

Mbunge wa Gatundu South Moses Kuria amependekeza ya malezi ya kamati ya wanachama 27 katika bunge kusimamia baraza la mawaziri wanao ongozwa na waziri wa mambo ya ndani Fred Matiang’i.

Moses ameandikia spika Justin Muturi akisema kuwa kamati hiyo itawaunga mkono utambuzi wa halhamashauri kuu. Pia anataka kamati hiyo kuitwa (Parliamentary Development Coordination Committee).

Rais Uhuru Kenyataa mwezi jana aliweza kumteua waziri Matiang’i kuwa msimamizi wa (National Implementation and Communication Cabinet Committee).

Video of the day: Massawe Japanni’s dancing skills are top notch!

Baraza la mawaziri linalojumuisha makatibu wote wa mawaziri, mwanasheria mkuu Paul Kihara na mkuu wa utumishi wa umma Joseph Kinyua.

“Kutoka kwa yaliyotangulia,ni muhimu bunge kuwa na jukumu lake kwa msaada wa halhamashauri kuu na utambuzi wa agenda nne kuu,” Alisema katika barua yake.

moses kuria
Mbunge wa Gatundu south Moses Kuria

Matiang’i amewakilishwa na katibu wa hazina wa baraza la waziri Henry Rotich. Timu yake itahakikisha kuwa kuna uratibu wa mawasiliano na maendeleo ya mipango ya serikali na miradi.

Kamati pia inaweza kupendekeza kusitishwa kwa baadhi ya mikataba na kupendekeza hatua za kisheria.

Millionea katika walio pigwa risasi na polisi kwa kuhatarisha wizi

Wakiripoti katika kamati ya Matiang’i ni timu ya kiufundi ikiwahusisha makatibu wakuu 14, inapaswa kujulikana kama utekelezaji wa maendeleo ya kitaifa na kamati ya kiufundi yaani (National Development  Implementation Technicak committee).

Kulikuwa na maneni kuwa uteuzi wa Matiang’i kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo ya baraza la mawaziri ilifanyika ili kupunguza ushawishi katika serikali wa naibu rais William Ruto.

Ruto amekuwa mwangalifu katika miradi ya chama cha jubilee.

SAD: Emiliano Sala’s dog, Nala, still awaits it’s master since his plane disappeared (PHOTOS)

Pia wizara zinaweza kusimamiwa na kamati husika katika nyumba, Kuria alisema kuwa nafasi ya mapendekezo kuwa kuratibu matarajio ya sheria na bajeti.

Moses kuria aliweza kuandika majina ya viongozi watakao kuwa katika kamati hiyo.

Miongini mwa walioratibiwa na Kuria ni; kiongozi wa wengi Aden Duale, kiongozi wa wachache John Mbadi, Benjamin Washiala, Junet Mohamed, Jimmy  Angweny, Rebert Mbui, Cecily Mbarire, Chris Wamalwa, Sabina Chege, Kathuri Murungi, Timothy Wanyonyi, Esther Passaris, Fatuma Gedi, Bashir Abdhulahi, Rachel Nyamai, Kareke Mbiuki, Mishi Mboko, Danson Mwahoko, Soipan Tuya, Caleb Kositany, Florence Bore, Beatrice Adagala,  Dan Wanyama,Rosa Buyu, Opiyo Wandayi na Ngunjiri Wambugu.

Read more here

 

 

 

How well do you know Moses Kuria? Here are 7 interesting things about him

On Thursday Moses Kuria, was the talk of town after reports were rife that he was set to resign as Gatundu South member of parliament.

The outspoken politician has been the talk of two the past few days since a clip of him criticizing the president on new year’s eve went viral. Leaders from Mount Kenya region ganged up against him and he was forced to apologize for his utterances.

kuria

Well here are things you did not know about Moses Kuria.

1.He was born in 1971, meaning he will celebrate his 48th birthday this year.

2.He served as an alter boy at Gatundu Catholic church before indiscipline started creeping in once he joined high school.

3.He is a graduate of University of Nairobi where he studied for a Bachelor of Commerce although his first love was to study law.

Michezo afrika
Michezo afrika

4.He worked as a bank manager in Saudi Arabia working with Rajhi Bank, the decision came after he went abroad to search for greener pastures.

He has also worked with Standard Chartered .

5.He was SONU treasurer, a position that may have helped mould his political career.

Moses Kuria

6.He is married to Joyce Njambi and together they have two kids.

7. He has served as a member of the Budget & Appropriations Committee in the National Assembly.