Patanisho:”Hii ndio siku ya mwisho nakuongelesha.”Bwana amuambia mke wake

Hivi leo katika kitengo cha patanisho,ilikuwa ni wazi kuwa, wakati mwingine chombo kikienda mrama huwezi kirejesha mkondoni.

Patanisho ya leo ilishindikana kwa sababu wapenzi hawa wote hawakuwa tayari kuridhiana na walikuwa na misimamo migumu.

Hakuna ambaye alikuwa anataka kuomba msamaha na kurudiana na mpenzi wake hata baada ya kuishi kwenye ndoa kwa miaka 10.

Betty Bayo aeleza mahangaiko YouTube, sifa za Victor Kanyari kwake

Wakati mwanamume alituma ujumbe wa kuomba apatanishwe na mamake watoto wake hakuonyesha kuridhia matendo yake yaliopelekea wao kuachana.

”Mpigieni huyu nijue msimamo wake kama atarudi ama nijipange ”Bwana aliandika.

Bwana alisema pia, kilichomtengenisha na mkewe ni mambo ya kinyumbani na kudai kuwa sababu kuu ilikuwa mkewe kuwapiga watoto kila mara na kupiga kelele nyumbani.

Mama watoto alipopigiwa simu alikuwa na msimamo mkali na kusema kuwa hawezi rudi tena kwenye nyumba ya jamaa huyu kutokana na madharau yake.

”Siwezi rudi mimi,heri nilee watoto wangu mwenyewe na nitafute kazi lakini siwezi rudi huko. Bwana anasema ati niliua mtoto wake?”Bibi alisema.

Maisha ya huntha! changamoto za kuwa na sehemu mbili za siri

Mume wake naye hakuonyesha nia ya kumwomba msamaha vizuri, alisema wazi kuwa ni sawa vile ambavyo mke wake ameamua na leo ni siku ya mwisho anaongea naye.

”Leo ni siku ya mwisho tunaongea na wewe,nakutakia heri.Ni vile umeamua sasa siwezi fanya kitu.”Bwana alisema.

Mke naye alipoambiwa aseme maneno yake ya mwisho alisema kuwa, ni kweli yeye harudi huko na ni heri mume huyu atafute mke mwengine.

 

Patanisho: ”Alinitusi kwa sababu mama yangu ni mgonjwa”

Katika kitengo chetu cha Patanisho, bwana mmoja jina lake Hussein alituma ujumbe na kusema kuwa, wamekorofishana na mke wake kwa sababu  anashuku ana mke mwigine.

Hata hivyo, binti huyu, Mama Aisha alipopigiwa simu alisema kuwa, mume alitoka kwake na kuhama kwa sababu mume wake alimtusi vibaya sana.

Vuo za Bahari Hindi, afurushwa Likoni baada ya kutaka kuogelea

Vileile, Mama Aisha alifunguka na kusema kuwa alitoka kwake na kwenda kwao kwa sababu mama yake ni mgonjwa.

”Mimi niko kwetu kwa sababu mama yangu ni mgonjwa.”Mama Aisha alisema.

Hali ilivyo Bahari Hindi, Bassen aeleza kuwa alivyodhania sivy

o

Licha ya hayo, wapenzi hawa, bwana Hussein na Mama Aisha walikubaliana na kuambiana maneno matamu baada ya baba Aisha kumwomba mke wake msamaha.

 

Gidi left elated after Ghost Mulee did this for Marie-Rose

Today happens to be Gidi’s daughter, Marie-Rose’s 3rd birthday.

The presenter was left elated after his colleague, Ghost Mulee, sang the happy birthday song for his French-based daughter.

Gidi posted the video thanking his long time friend adding that Marie-Rose will forever cherish the gesture.

‘May you forever sparkle,’ Gidi’s warm birthday message to Marie-Rose

His post read,

Thanks @ghost_mulee for Marie-Rose birthday song. She will forever cherish this 🙌😊

Happy tutu tu u daddy! Marie-rose sends Gidi a birthday cake as he denies he’s 50-years old!

Watch the video below.

PATANISHO: Bwanangu hulala chumba tofauti akija nyumbani

Bi Tabitha, 46, alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mumewe bwana Robert, 54, ambaye walikosana Disemba 2017.

“Mtoto alikuwa amekosea na nikamuadhibu na hapo mzee akakasirika na ikawa tu hatuelewani.” Alisema Tabitha akidai kuwa mama mkwe ndiye alichochea kesi hiyo akidai kuwa amemuadhibu vibaya.

PATANISHO: Ukiwacha pombe kwa miaka miwili nitarudi kwako

Baada ya Robert kuondoka Msambweni na kwenda Nairobi, mkewe bado yumo huko na kila mara wanapopatana kila mmoja hulala kwa chumba tofauti.

“Kama hataki turudiane anipate huku nyumbani anipeleke kwetu. Yeye hunishughulikia kila kitu ninachotaka bila tatizo lakini simu zangu huwa hajibu” Aliongeza.

Wawili hao wamekuwa kwa ndoa ya miaka 27.

PATANISHO: Bibi yangu aliniambia nitajua sijui nikampiga

Juhudi zetu za kumpata bwana Robert hazikufua dafu huku bi Tabitha asijue la kufanya.

PATANISHO: Ndugu yangu aliwakata kata baba na mama mdogo

Bwana Vicky alituma ujumbe akiomba fursa ya kumuomba babake bwana Joel, msamaha kwa niaba ya nduguye mkuu.

Kulingana na mwanadada, nduguye yuko jela Kericho baada ya kumvamia baba na mama mdogo na kuwakatakata.

PATANISHO: Nilimfukuza bibi yangu na kuharibu kazi yake

“Sijui walikosania nini lakini ni maneno ya shamba. Sasa baba alipanda majani chai na akipata fedha anashughulikia familia yake na kusahau mama yetu, na sasa nikama jambo hilo lilimuuma.

Nikama alikuwa anasubiri watoke nje usiku wote lakini hawakutoka, asubuhi mama mdogo alipotoka ndugu yangu aliingia na kumkata baba. Mama mdogo aliposikia mayowe alikimbia na kupatana na ndugu yangu akamkata pia.” Alieleza Vicky.

Aliongeza kuwa baada ya kisa hicho, mama na baba walipona.

PATANISHO: Mke wangu hanipii furaha kwani mimi mnyama?

Bwana Joel alipopigiwa simu alisema kuwa mama mdogo bado yuko hospitalini kwani alipungukiwa na damu ila yeye yuko sawa.

Ninakuuliza, hasira yake ilikuwa ya nini na hatukuwai gombana naye? Alikuwa kwake nami nilikuwa kwangu. Yeye ndiye anapaswa kuomba msamaha kwa korti sio kwangu. Alisema bwana Joel akiongeza, hata huyo mke wake alikuwa kwa njama ya kuniua ili apate mali.

Bwana Joel alikuwa na wingi wa hasira hakumpa Vicky fursa ya kutosha kujieleza na alikatiza mawasiliano yetu mara kadhaa.

PATANISHO: Ndugu yangu alinipeleka kwa polisi nikatwangwa twangwa

Ernest Okonji alituma ujumbe akiomba apatanishwe na ndugu yake mkuu bwana Stephen, ambaye walikosana mwaka wa 2007 na hadi wa leo hawazungumzi.

Alisema kuwa walikosana juu ya mabibi zao na juhudi za wazazi wao kuwapatanisha ziligonga mwamba.

Mabibi zetu ndio walifanya tukosane vibaya sana. Kuna bibi nilikuwa naye huo wakati ikafika mahali tukakosana na akabeba vitu na kwenda kwa bibi yangu mkuu. Alisema Okonji.

PATANISHO: Babangu alitutoroka tukiwa wadogo kwa miaka 11

Aliongeza;

Alienda huko ili niende tuzungumze turudiane kwani naishi upande wa Kiambu kaunti. Nilipofika huko tukazungumza na ikashindikana kwani nilipata ameshauriwa akodishe nyumba ajikalishe.

Sasa vitu mke wangu alizokuwa ameacha kwa ndugu yangu, mke wa ndugu yangu alizuia nibebe mali yangu na ndugu yangu akadai kuwa kama nazitaka niende kwa polisi akidai kuwa najidai nina nguvu sana.

Nilipoleta polisi ndugu yangu alipigana nao huku mke wake akininyunyuzia matusi kabla yetu kupigana sana. Hapo ndugu yangu alisema kuwa niwe natembelea juu yeye akitembelea chini.

Ernest ana miaka 31 huku nduguye akiwa na umri wa miaka 41.

Alipopigiwa simu, bwana Stephen alidhibitisha kila kitu nduguye alisema.

PATANISHO: Hutaki kunirudia lakini nirudishie kitambulisho changu!

“Sikukatalia bidhaa zake kwani bibiye ndiye alisema zisitoke hapo hadi yeye azichukue. Nataka kwanza aniombe msamaha ila sio mimi nimuombe msamaha na nataka akubali hayo makosa.” Alisema.

PATANISHO: Bwanangu alioa mfanyi kazi wetu na hajawahi niongelesha miaka saba

Katika kitengo cha Patanisho, mtangazaji wetu alisoma ujumbe uliotumwa studio.

Gidi alisoma kisha akampigia simu.

Jambo Gidi an Ghost mimi naitwa Raeli, aomba mnipatanishe na mme wangu Msomba. Tuliachana miaka sita iliyopita, na hata sijui chanzo ni nini.

Nini ilitokea?

Nilikaa na yeye miaka kumi na nne nai miakia hiyo sikuona akiwa na shida. Sasa wakati moja nikaenda nyumbani kutembelea mamangu. Mamangu mzazi hakuwa na nyumba na ni yeye alinituma akaniambia niende niangalie mambo ya ma nyumbani. 

Aliendelea, ‘nadhani nilipotoka nyumbani nikarudi huko nikapata nikama amebadilika vile anabehave, haongeleshi mtu anatoka anenda kazi akirudi jioni hakuna kuongelesha mtu na hakuna kukula. Siku moja yenye nilijua kabisa kama amebadilika tulikuwa na mshichana wa kazi akawa amepika chakula ameweka kwa meza Sasa wakati tulikaa mimi nilukuwa na huyo msichana na yeye alikuwa bado hajafika. Tukakula chakula kila mtu alikuwa akijipakulia chakula tukakula na ingone tukaweka. Yeye alipokuja sasa mimi ndio niliamka niakenda kumpakulia akule.

Alipofungua chakula akaniuliza, kwani hii chakula iko na nini? Mbona hii chakula iko na vitu ndani?

Nikamuuliza vitu kama gani? Akasema chakula imekaa kama imewekwa vitu Nikamwabia kama imewekwa vitu pakua tukule na wewe Akaniambia hapana mimi hiyo chakula, na akaenda kulala.

Sasa tukakaa tukisumbuana tuu muda mrefu nikimuuliza ni nini shida si uniambie shida ni nini kama ni mimi nimekukosea. Haniambii ananyamaza tuu. Mimi nikaona kama imezidi nikapigia mamake simu nyumbani, nikamwita akuje aongelesha mtot wake kuna mahali naona hatuendi vizuri. Mamake hakukuja. Mimi nikajitoa Mombasa nikaenda nyumbani, kufuata mamake.

Haikufaulu nikaita pastoralafu siku moja nikiwa kanisani, amepanga vitu zake ameenda.

Je, tangu aende amewahi rudi tena?

Hapana hajawahi rudi tena, alirudisha swali Raeli.

Pia Raeli alisimulia kwamba bwanake aliweza kuoa huyo mfanyi kazi wao na kupata mtot mmoja.

Je Raeli anataka kuridian na mume wake, anataka arudi awe kama mke wa kwanza na huyu maid awe mke wa pili?

‘Nataka kurid kwangu nikojenga, alijibu kwa ufupi.

Bwana Musomba aliweza kuchukua simu ya Gidi, na kusema kilochofanya atoroke Bi Raelia anajua, na apatiwe mda afikirie.

‘kuna issues, mpaka watu wakae waongee’

Skiza kanda

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

PATANISHO: Mke wangu alisema atarudi kwangu baada ya miaka miwili

Michael alituma ujumbe akiomba kupatanishwa na mke wake, bi Maggie, ambaye walikosana msimu wa Krisimasi mwaka wa 2018, na tangia siku hiyo hajawahi rudi.

PATANISHO: Mwanamke akikosa kumtunza mume wake atatunziwa na mwingine

“Enyewe kusema ukweli sikumfukuza kwani tuligombana na sababu ni alikuwa akitaka kwenda kwao na akaniomba fedha za kununua bidahaa ambazo nilimpea. Tukaagana akienda akae siku moja ili siku ifuatayo twende kwetu.” Alisema Michael.

Pilka pilka ya kumpa fedha akadai haitoshi na aliomba niongeze elfu moja mia tano ili iwe elfu tatu na mia tano. Akaniambia hataenda nazo kwani hazikutosha na akanirushia fesha kwa meza na kusema nielekee kwao. Aliondoka na kurudi kwetu baada ya siku kama nne. Kumuuliza aliniambia kuwa juu sikuenda kwao pia yeye ana kwao ambapo anaweza pumzika na atosheke.” Aliongeza akisema mkewe alidhibitisha kuwa hatorudi kwao kabla ya miaka miwili.

PATANISHO: Tulikosania pesa na mke wangu

Nilitoka nikaenda kesha na kurudi nilipata ameondoka na akasema atarudi baada ya mika miwili.

Wawili hao wamekuwa kwa ndoa ya miaka miwili na wamejaliwa watoto wawili ambao mkewe aliondoka nao.

Maggie alidhibitisha kuwa alimkasirikia bwanake na kuwa amekuwa na mazoea na pia anataka kumtesa.

“Tuliachana 25th asubuhi na tulikuwa twende kwetu, hakufika na hakupiga simu. Sasa tarehe 28 nikarudi kwangu na tangia hiyo siku hajawahi kuja wala kusema lolote. Aje azungumze na wazazi na tutasuluhisha hayo mambo.” Alieleza.

Pata uhondo kamili.

PATANISHO: Jirani yangu aliniseti kwa bibi nina mpango wa kando

Douglass alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe Irene.

PATANISHO: Mke wangu huleta wanaume nikiondoka

“Sasa Ghost nilikuwa naishi Kisii na bibi yangu, sasa kuna dem mwingine nilikuwa naye wa kando ambaye alikuja kuniona kwa jirani yangu. Tukaingia kwa nyumba na huyu mwenye nyumba ambaye ni rafiki yangu akapigia bibi yangu simu na kumwambia nina msichana kwa nyumba.” Alifichua Douglass.

Mke wangu akatufumania tukiwa tunatoka na tangia siku hiyo mke wangu hajawahi niongelesha, tangia mwezi wa saba mwaka huu. Nikimpigia simu anakataa kuniongelesha akidai hanitaki kamwe.” Aliongeza akisema kuwa aliyemuuza ni mzee wa miaka hamsini.

Mkewe alienda kwao na kubeba mwanao.

PATANISHO: Bibi yangu alinishika na mpango wa Kando

 

Aliniletea msichana hadi kwa jirani yangu alipo omba room. Mimi nilikuwa nampigia simu nikiwa nimesimama nje na nikaona pikipiki ikipita na nikamuona na msichana mwingine.

Sasa nilienda huko na nikaingia walimokuwa. Douglass alinitusi na nikamuacha na nikamwambia ‘I just came to witness.’ Alisema bi Irene akisisitiza aliondoka bila hata kumtusi mumewe.

Mimi naweza tu kusamehe mwendelee na huyo msichana wala sio eti turudiane, madharau ulinionesha mimi sijawahi ona hii dunia tafuta tu mwingine lakini sio mimi. Alisema Irene.

Gidi and Ghost mark 10 years together on radio in style! (VIDEO)

Celebrated breakfast presenters, Joseph Ogidi and Jacob ‘Ghost’ Mulee on Monday marked exactly 10 years since the iconic duo teamed up to host the ‘Gidi na Ghost Asubuhi’ show.

The two presenters both without prior experience in media (Mulee with football background and Gidi a musical legend) defied all the odds to venture into uncharted territories, where they went on to become household names.

Radio Jambo morning breakfast hosts Gidi and Ghost celebrate 10 years working together

To mark the special moment, Gidi took to his Instagram page to celebrate the milestone, thanking his millions of fans as well as the almighty God for life and guidance.

He wrote.

On MonToday is exactly 10 years since @ghost_mulee and I started working together at @radiojambokenya breakfast show. It has been a journey full of fun, laughter and fulfilling lessons. Thanks to all our fans all over Kenya who have kept us going. We thank God for life and guidance 🙏🙏🙏 #GidiNaGhostAsubuhi

Mulee marked the occassion by posting a photo of him and Gidi as well as Carol Radull, the person who introduced and nurtured the two into Radio.

Photo of the day: Gidi Gidi hangs out with Betty Kyallo

He posted.

10 years ago we started Radiojambo with Radul and Gidi time flies we celebrate this today
ghost.mulee.and.radull

The two celebrated the fete in style by cutting a huge sumptuous cake where they were surrounded by their colleagues as well as Radio Africa group CEO, Patrick Quarcoo.

Congratulations to Gidi and Ghost!

Watch the video below.