‘Si ngono bali ni maarifa katika uhusiano,’mumewe msanii Vivianne amtetea Guardian Angel

Siku chache baada ya msanii wa nyimbo za injili Guardian Angel kumtambulisha mpenzi wa maisha yake ambaye ana miaka hamsini, mengi yamesemwa na hata maoni mengi yakatolewa na wakenya.

Mumewe msanii Vivianne Sam West amemtetea msanii huyo huku akitumia vifungu vya bibilia.

agel 7

Kupitia kwenye mitandao yake ya kijamii ya instagram Sam West alikuwa na haya ya kusema;

View this post on Instagram

Alot of you have asked me to respond to this question "Is it right to marry someone with a big AGE difference" Ok. I always seek the truth from the word of God. The Bible places NO marriage requirements in regards to AGE. What I would however say is that when two people come together, those are two HISTORIES coming together. When a 50 year old marries another 50 year old those are 100 years of HISTORIES in the same bed. History comes with previous relationships, life experiences, known or unknown children, break ups, mistakes, family etc What is most important to ensure that the marriage works are three things, KNOWLEDGE, UNDERSTANDING & WISDOM (Prov 24:3) It's never about Love or Sex. It's 👇👇 Knowledge is information of how relationships function, Understanding how love works and Wisdom is application of the Knowledge in the relationship. PS: I am starting relationship classes in OCTOBER. DM to register

A post shared by Sam West (@samwestke) on

“Wengi wenyu wamekuwa wakiniuliza nijibu swali la je ni sawa kuoa mtu ambaye ana umri mkubwa kukushinda, huwa najibu kulingana na neno la Mungu

Biblia haijazungumzia mahitaji yoyote ya ndoa hasa umri, hata hivyo naweza kusema kuwa watu wawili wanapokuja pamoja hiyo ni historia inakuja pamoja

vivianne na mpenzi sam west
vivianne na mpenzi sam west

Mtu ambaye ana miaka 50 na kisha aoe mpenzi wa miaka 50 hiyo ni historia mia moja zimekuja pamoja katika kitanda hicho, historia inakuja na kutoka kwa uhusiano wa awali, familia watoto, kuumizwa moyo.” Alieleza Sam.

Sam alisema ya kuwa ili ndoa iweze kudumu kuna mambo matatu muhimu ya kuzingatia kama vile kuelewana, maarifa na hekima na kisha kuandika kitabu cha (mithali 24:3).

“Si kuhusu upendo ama ngono, ni maarifa na habari kuhusu vile uhusiano unaendelea kuelewa jinsi vile upendo hufanya kazi na hekima ni mojawapo wa maarifa ya uhusiano.”

Tanzia:Msanii Guardian Angel aomboleza kifo cha babu yake

Msanii wa nyimbo za injili Gaurdian Angel almaarufu Music Doctor anaomboleza kifo cha babu yake. Kupitia kwenye posti  aliyoandika kwenye mitandao ya kijamii akitangaza kifo chake alisema kuwa ndiye aliyemlea tangu utotoni na alikuwa kama baba yake.

Pia Angel alifichua kuwa wiki mbili zilizopita aliagiza anunuliwe nguo atakazozikwa nazo siku atafariki, kumbe hakujua wakati umewadia.

imrk9kpTURBXy9iMTZhMDU4ODg0ZWE4MDVjYWI1ZDE0OGNhNGU4YjhmYi5qcGeSlQLNAxQAwsOVAgDNAvjCw4GhMAE

Kulingana na Angel, babu yake alienda kujichagulia nguo au suti mwenyewe, pia alisema kuwa babu yake alikuwa mgonjwa kwa siku moja na siku iliyofuatia akaaga dunia.

“My Guka my grandfather/ FATHER thank you for raising me like your own son. 2 weeks ago you said you want a good outfit to be buried in when you Rest.

You went to the shop and selected this particular one. You were so excited, I dint know it was going to be this soon. Only 2 weeks Baba 🙆‍♀️ you fall sick one day and the next day you are gone???!!! IT IS WELL. REST WITH ANGELS 🙏🙏.” Alizungumza.

Mashabiki na marafiki walituma risala za rambirambi zao;

marie_ngatia: It is well 😊 take heart

ngenyi: My sincerest condolences to you and your family 🙏🙏

uCek9kpTURBXy8wZTM0YThlOTdlN2RjZThiMmQ5YmFhMjY3ZDU0YzhmNS5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB

the_antodawood: Izah bro man may he rest in peace

__miss_marrie: May God comfort you and your family. RIP Guka

kelvoblessed Pole sana…..my condolences to you and the family….

munuveeunice It is well Guardian,let grandpa rest in Jesus

krinchjosep My heartfelt condolences,may his soul rest in eternal peace. Take heart G man

_adarblessed Take heart bro 💔💯💙 it is well with your soul ..prayers all the way

memphissharniz Take heart and let guka rest in peace

shahz_timah Take heart uncle gman, may he rest in peace

monikybay May he R.I.P. I hope that our Lord brings you and your family the much-needed peace during this sad time. My condolences to you and your family🙏🏽.

ms_nimoh Deepest condolences, may Guka rest in power 💔🙏

Kutoka kwetu wana jambo Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Sababu za kumfukuza DK Kwenye Beat kutoka kwa wimbo wa msamaha – Guardian Angel

Guardian Angel hakuweza kumshirikisha msanii DK Kwenye Beat katika wimbo wake wa kuomba msamaha ‘mercy’ kwa sababu ya ukosoaji wa mashabiki katika mitandao wa kijamii.

“DK Kwenye Beat anapaswa kuwa na upatanisho na watu kwanza.” Guardian Angel alizungumza katika mahojiano.

52898963_561706217682994_4006171968061649086_n(2)

Ilikuaje: Niliwachana na baba wa mtoto wangu kabla ya kujua nina uja uzito – Pierra Makena

Mwezi mmoja ambao umepita msanii DK Kwenye Beat na msanii Hopekid waliweza kutuhumiwa na mwanamke mmoja kwa kuwa na ngono na yeye, kisha kumuambukiza maambukizi ya zinaa (S3xually transmitted Infection).

Ni jambo liliweza kuwafanya mashabiki na wananchi kuchangia huku wengi wakiwashtumu kwa kitendo hicho ambacho nichakusikitisha.

Raila Odinga Junior reveals Lamba Lolo hit makers are his favorite artists

Guardian Angel
Guardian Angel

Ni jambo ambalo lilikuwa katika mstari wa mbele katika vyombo vingi vya habari, na watu wengi kuwakemea na kuwashtumu wasanii wa nyimbo za injili.

Exclusive: Dj Mo addresses rumours that he cheated on Size 8

DK hajawahi omba msamaha hadharani, wala kuchukua hatua ya kumuomba mwanamke huyo msamaha kwa kile alifanya, msanii Guardian Angel alisema kuwa hataki watu na mashabiki waone kuwa anaunga mkono kwa kitendo ambacho DK alifanya.

Msanii huyo alishikwa na kuenda rumande kwa siku kadhaa, wengi wakimtetea na wengi wakimshtumu.

Sababu za kutomueka baba wa mtoto wangu kwenye mitandao – Awinja

“Sitaki kuwa katika utata ata hivyo niliweza kuucheza na kurekodi wimbo huo upya tena .” Aliongea Guardian Angel.

Wiki iliyopita msanii Bahati aliweza kupata kukosolewa katika mtandao wake wa kijamii baada ya kumshirikisha DK Kwenye Beat katika wimbo wake wa kuomba msamaha.

Bahati aliweza kujitetea na kusema kuwa alikuwa anamsaidia ndugu yake DK kuomba msamaha kwa yale alitenda “I was helping my brother say sorry”.

Video of the day: Watch Chelsea icon Drogba dance to ‘Tetema’ by Diamond and Rayvanny

Katika wimbo wao ambao uko katika mtandao wa kijamii ya Youtube, watu wameweza kutoa maoni mabaya kuhusu kashfa ambayo msanii DK iliweza kumkumba.

Ilikuaje: Guardian Angel aeleza jinsi alivyoteseka baada ya kukataliwa na babake

Mwanamziki Guardian Angel almaarufu Audiphaxad Peter amelelewa na mama peke yake kwa maana aliweza kukataliwa na baba yake akiwa bado hajazaliwa.

Ni mkristo ambaye amepitia mengi kisha kuja kuwa mwanamziki maarufu wa nyimbi za injili.

Guardian amekuwa akiimba kwa miaka nane mwaka wa 2017 ndivyo alivyojulikana mzuri na mashabiki wake.

Offences your favourite sportsmen have ever been charged with

“Ilifika kiwango mpaka nikasikia kuacha kuimba nyimbo za injili kwa maana nilikuwa naona nyimbo hizo zingine ziko na mashabiki wengi kuliko za injili hasahasa zangu.

“Nilikuwa nimepanga niimbe wimbo wangu wa mwisho kisha niwache lakini na mshukuru mungu hakuniacha,” Alisimulia Angel.

guardian angel
                 Mwanamziki guardian angel

Mwanamuziki huyo aliweza kuachwa na mamayake ili aje kutafuta kazi Nairobi, ndipo aliweza kuachwa na nyanya yake.

Alieleza kuwa maisha kwake haya kuwa rahisi kwa maana babu yake alikuwa ni wa kambo kwa hivyo aliweza kusisitiza apelekwe kwa baba yake aliye pachika mamake mimba.

Guardian alitoroka nyumbani kwa sababu ya mateso akaenda kuishi mitaani.

“Nilienda kuishi mitaani nikakua chokora yaani kijana wa mtaani katika eneo la western Butere kwa mwaka mmoja ndipo mamangu alipokuja kutoka Nairobi kunichukua,” Guardian alielezea.

Aliweza kuongezea na kusema kuwa ni yeye alikuwa kijana wa mtaani wa kwanza katika eneo hilo la Butere.

guardianangelartworkforradiojambo
Guardian Angel alijiunga na Massawe Japanni

Walipokuja Nairobi na mamake kazi iliisha na kuanza kuteseka tena ndipo alipo rudi mitaani tena hili kujikimu, alikaa mitaani kwa miaka miwili.

Heartbreaking: Body of missing Nation employee found at city mortuary

“Nilikuwa nishaa zoea maisha ya mitaani kwa hivyo nilitoka nyumbani nikaenda mitaani tena lakini mamangu hakujua ama nimerudi mitaani tena,” Aliongea Guardian.

Mama yake aliweza kuongea na babake mzazi wa Angel akiwa na miaka kumi ilhali hakuwasaidia na chochote.

Baada ya miaka miwili rais Uhuru Kenyatta kuamuru vijana wote ambao wako mitaani washikwe na kupelekwa shuleni mwa mayatima.

“Baada ya rais kuamuru tupelekwe shuleni mimi nilienda baroni kwa miezi miwili kisha nikapelekwa ‘Approved school’ baada ya hapo tuliweza kuambiwa ambao wanajua kwao wapelekane ili kuona jamii zao,” Alisema Angel.

Baada ya mwana mziki huyo kutoka shuleni, waliweza kuhama Kibera kisha wakaenda Mwiki na mamake ambapo maisha yalikuwa magumu zaidi.

Exclusive: Gospel singer Pitson reveals his valentines day plans

“Niliokoka nikiwa jela na kutoka nikue mndogo mama yangu alikuwa mkristo, huwa naomba sana katika maisha yangu,” Alizungumza Angel.

Angel ni mwanamziki ambaye hajaoa, aliweza kusema kuwa wana mziki wengi huwa wanaimba tu ili waweze kuonekana lakini si kusambaza injili ya yesu.

Baada ya kutoka ‘approved school’ Guardian alirudi nyumbani ili aweze kukamilisha masomo yake. Alipofika kidato cha tatu aliweza kutoa wimbo wake wa kwanza ambao unaitw ‘Amaizing grace’.

 

 

 

Mungu hamsahau mja wake! Meet the Kenyan celebrities who were once street kids

Most people wish to grow up in a family setting with parents or guardians to take care of you.

Although some are born into families that support them until they’re old enough to cater for themselves, there are those who don’t enjoy these benefits. Some are forced into the streets while still young where they grow up not knowing about their origin.

What are the reasons why many end up being street kids?

Peer pressure, poor parenting, and running away, passing on of parents, discrimination or being seen as an outcast, poverty, being chased away and others do it out of their own wish.

Kids who end up in the streets sometimes resort to robbery, drug abuse and in the end, some of them are killed while others get rescued by good Samaritans.


Well, in the local showbiz  industry we have several celebrities who grew up in the streets and we’re proud of them for transforming into great people in the society.


From multi-talented singer Guardian Angel to Radio Jambo’s Annita Raey, meet the celebrities who tasted the hard and bad street life.

Guardian Angel
The gospel singer whose songs are currently topping the music charts grew up in the streets. In past interviews, Guardian has always narrated his past sad life experience and how he ventured into music to inspire the youth.

“We happened to have gotten to a place where it was a bit hard for us to hold on because my mother had lost her job and life was just hard and me being that kajamaa who doesn’t want to look at his mother go through some stuff so that life goes on and couldn’t just watch so I decided to go my way and let my mum figure her way out. I got arrested when I was in the streets. I was on the streets and I think the President at that time said the streets should be cleared. So I was among those who were cleared from the streets.”

Bahati

His mother died when he was young, and was forced to the streets where growing up was tough.  He later went to ABC orphanage in Mathare slums and from there, he was nurtured into the man he is today.

Bahati

Annitah Raey

The radio Jambo presenter, now a mother of two, is never afraid of sharing details of her past. She’s been through a lot and just like some, her life hasn’t been a smooth path. Annita went to the streets when she was 13-years-old.

“I was so rebellious because I was raised by a very harsh mother. I started running away from home at a very tender age of 13 years and started living in the streets. I lived in the streets of Nairobi with the worst people in the society. Those were my friends. They used to treat me like I am the baby in their crew. You are the one who carried the drugs for them,” she narrated.

Adding:

“Then one day I was coming in with one of them, so we are at Moi Avenue, then someone hit me from the back, nkafikiri ni mwizi and I was like, anataka nini. I fell down and became unconscious. I did not have money but anyway I had drugs with me. They dragged us towards Jevanjee. They were two guys and both were from my tribe, I understood all what they were planning for me. So they raped me and that was the worst thing in my life.”

MCA Tricky

Self-proclaimed Member of Chokora Assembly joined the streets at the tender age of 12 after his peers convinced him to accompany them to Nairobi in search of greener pastures without the knowledge of his parents.

“For three years, I experienced the vagaries of street life in Nairobi’s Saika estate, during which I worked as a vegetable errand boy to and from Gikomba market to survive,” he said in previous interviews.

MCA Tricky

Paul Clement

The Tanzanian gospel artiste also went through hell while growing up. He stayed in the streets depending on borrowing and searching bins for food as it is a norm by street urchins.

“I was a street kid for 8 years, My father had always wanted me to pursue another career and not music. Nia yake ilikua niwe laywer kama yeye. Issue za familia ndio zilichangia niwe street child. Nmashukuru Mungu kwa sababu malengo yangu yalitimia na bado yanaendelea kutimia. Nilikiwa street niliandika nikiwa kwa situation ngumu wimbo unaitwa ‘Juu ya mataifa yote’ huo wakati nilikua bado naenda kanisani.”

Paul-Clement

Ringtone

The controversial gospel singer spent most of his time on the streets. And just like street urchins, he ate from the bins.

Ringtone
Ringtone in sharp suit

In past interviews, Ringtone has always narrated that his mother dumped him at the doorstep of a bar in Nairobi’s Tom Mboya Street and left him at the mercy of the streets of Nairobi.

His uncle later found him and sent him to the village to stay with his grandmother who later passed away, leaving him once again at the mercy of the world.

He was forced to flee to the streets where he did everything urchins do because his family had allegedly rejected him until when he was rescued by a good Samaritan.

Papa Dennis

The flamboyant gospel singer also tasted the rough life of the streets.

In past interviews, Papa Dennis revealed that his parents passed away when he was very young and in Class 8, leaving behind three children. With no one to support or care for them, Denno had to turn to the streets to fend for himself and his siblings.

“I’ve been through a lot, and growing up an orphan really takes a toll on you. It affected me after primary school seeing other kids go to high school while I couldn’t. It hurt a lot. So I started taking on menial jobs to survive.”

He was later rescued by Sadat Muhindi, the CEO of Maliza Umaskini foundation that helps the needy and nurtures talent.  Papa Dennis celebrated his birthday yesterday.