Tafadhali Maribe tumechoka sisi!,Utapasuka msamba usipochunga

NA NICKSON TOSI

Mtangazaji wa kitambo wa runinga moja ya humu nchini Jacque Maribe amerejea tena mara hii na Denis Itumbi  baada ya kumtumia ujumbe wa kutatanisha akili za wengi siku yake ya kuzaliwa.

Jacque aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake  Instagram ambao uliwaacha wengi wakijiuliza maswali siku chache tu baada ya mpenziwe Jowie Irungu kutoka gerezani baada ya kuzuiliwa kwa takriban mwaka mmoja kutokana na madai ya kuhusishwa na kifo cha mfanyabiashara Monica Kimani.

Wengi walielekea katika mtandao huo wa Instagram na kumtaka Maribe awe wazi na kuchagua mtu mmoja baina ya Itumbi ,Erick Omondi na Jowie Irungu.

Huu ndio ujumbe aliouwandika Maribe kwa  Itumbi.

“Hakuna fasihi leo,hakuna kumbukizi za mwaka mpya,hakuna malengo ya mbeleni,lakini ni kukushukuru tu ujumbe wa urafiki ambao unasimamia ukweli na maana,kila la heri unapoadhimisha siku ya kuzaliwa muhibu”.aliandika Jacque.

Jacque Maribe’s message to Dennis Itumbi as he celebrates birthday

Mwaka jana disemba Maribe alipokuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ,Itumbi aliandika ujumbe ulioibua hisia kali miongoni mwa watu alipomtaja Maribe kama mama anayejua  kudekeza mwanamume kwa penzi ,na kusifia urembo wake alioumbwa nao Maribe.

Itumbi alitaja uhusiano wao kama kitu ambacho hakiwahi katizwa na mtu yeyote yule akisema ni urafiki uliohidhinishswa na Mola .

itumbi-maribe-1-1

Haya yanajiri wiki moja tu baada ya Maribe kumuarifu shabiki mmoja katika mitandao ya kijamii kuwa Yesu ndiye Bwana wake baada ya shabiki huyo kutaka ufafanuzi kutoka kwake kuhusiana na wanaume watatu ambao wote walikuwa na uhusiano  wa kimapenzi na Maribe.

ndegwabeyonce Nasikia bwana amerudi eric nae amerudia bibi😂” aliandika shabiki.

Yesu ndiye bwana wangu ,alijibu Maribe

jowie na maribe

Dear KOT,’ Itumbi awajibu wakenya kuhusiana na kuachiliwa kwa Jowie.

 

Wakenya almaarufu kama KOT jana wailitoa hisia mbalimbali kuhusiana na ujumbe wa Itumbi huku wakimwambia kuwa siku ya wapendanao imening’inia kwa sababu Jowie ameachiliwa.

Jowie alikuwa kuzuizini kwa zaidi ya mwaka mmoja kwa mauaji ya Monica Kimani, Jambo ambalo liliacha wengi wakifikiria kuwa Itumbi hataweza kuwa na Maribe kwa maana Jowie ameachiliwa.

Nakutakia siku njema ya wapendanao Itumbi amwambia Jowie

Akiongea katika mahojiano na runinga ya kiss 100 Itumbi aliwajibu mashabiki na kusema,

Screenshot-from-2020-01-29-12_29_12

“Kwa muda sasa sijasoma jumbe za KOT, na nina hakika kuwa wanasema niko kwenye shida kwa sababu Jowie ameachiliwa

Nafurahiya #KOT huu hapa ukweli mimi na Jacque Maribe ni marafiki wa dhati, kwa kweli uwa tunatembea sana na Jacque

Familia yake pia ni marafiki zangu hata marafiki zake ni wangu kwa hivo tutabaki kuwa vile.” Alijibu Dennis.

Jana mashabiki wengi walijaza mtandao wa twitter kwa hisia zao kuhusiana na uhusiano wake Dennis na Maribe baada ya mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanabiashara Monicah Kimani kuachiliwa.

Siku ya Siku!:Penzi la Itumbi laning’inia ,’ KOT watoa hisia kuhusiana na Jowie kuwachiliwa na mahakama.

Mmoja wa mashabiki aliandika hisia zake,

HATA NAJUA HUJASKIA VIBAYA. JOWIE AMEACHILIWA ON THE EVE OF VALENTINE. NDUGU ZILE POEM UTAKARIRIA NANI MSEE?. CHEST PAINS.”

Wengine waliongeza hisia zao,

“THE RELEASE OF JOWIE IRUNGU GIVES JACQUE MARIBE A CHANCE TO RECEIVE A FOURSOME ON VALENTINE’S DAY.”

Mwingine aliandika na kuuliza ni nani atakaye sherehekea na Maribe siku ya wapendanao.

‘Spoil your man this Valentine’s Day’ Julie Gichuru awashauri wanawake

“SO WHO TAKES MARIBE FOR VALENTINE’S DAY…JOWIE OR ITUMBI?”

Lakini unapoona umesoma yote na umesikia yote kumbe si hayo tu mmoja alisema na ujasiri kuwa

“JOWIE ATAPEWA TU UKIONA KWANZA VALENTINES.”

Dennis Itumbi atetea kitendo cha kufurushwa jukwaani, apondwa Twitter

Mwanablogu na mwanastratejia wa kidijitali katika ikulu hatimaye ameeleza tukio la kufurushwa katika jukwaa wakati ripoti ya BBI ilikuwa ikiwasilishwa kwa wananchi jana Jumatano.

Sanura Sandra ahamia kwa Tanasha kumlea Naseeb Junior

Dennis Itumbi alijipata taabani baada ya kusukumwa kutoka kwenye jukwaa na afisa wa polisi.

Kitendo kimewafanya wengi wazungumze katika mtandao wa kijamii wa Twitter.

Wengi wanahoji kuwa Itumbi ni afisa katika ikulu ya rais na kwa hivyo haikuwa busara kutolewa katika sehemu hiyo.

Aidha, Itumbi amewajibu kupitia mtandao huo,

“Askari alikuwa kazini. Itumbi kazini pia. Sote tulikuwa kazini…Wacha polisi afanye kazi yake… Mimi ni mtu mdogo sana….I have only one advantage, Inshallah, TIME! Haya turudi kwa mambo ya nchi… Salute! Mr. Muriithi, you did well,” Alichapisha katika mtandao wa Twitter.

Image result for ITUMBI CHASED PODIUM

Mwingine na ambaye alijipata katika balaa ni kiongozi wa wengi Murkomen.

Rayvanny afunguka A-Z kisa cha kutemwa na mkewe, asema sio kiki

Murkomen alinyamazishwa na hadhira baada ya kutilia shaka jinsi maoni kinzani katika ukumbi huo yalilengwa.

“Mimi kama kiongozi lazima niseme, siwezi kusimama hapa nitarajiwe kupigia upato siasa mbaya. Waandalizi wa hafla hii wameipanga kwa njia ambapo watu wenye maoni tofauti wamefungiwa nje,” alisema Murkomen.