PATANISHO: Nataka kujiua baada ya mke wangu kunipata na jirani kitandani

James, 39, alituma ujumbe akisema mke wake bi Diana, alimpata kitandani na msichana wa jirani na kuondoka kwenda kwa dadake. Alisema kuwa ameshanunua kamba ya kujitia kitanzi na tayari ameandika barua ya mwisho.

PATANISHO: Mteja wangu ndiye aliniharibia ndoa

Alipopigiwa simu James alisema kuwa shetani ndiye alichangia yeye kuwa na mpango wa kando, huku akisema macho yaliona na mwili ukapenda.

Msichana ambaye alipatikana naye ni wa umri wa miaka 27 huku mkewe akiwa na miaka 31.

“Huyu msichana nimemjua kwa siku kiasi tu na si eti tulikuwa tumefanya chochote hadi iyo siku. Sikuwa najua mke wangu atarudi kwani haikuwa masaa yake ya kurudi.

Niliskia mlango umebishwa na kufungua ni yeye na nilishtuka niki wish dunia inimeze kwani hakukuwa kuzuri.” Alijieleza James.

Patanisho: Hii ni siku yangu ya mwisho kwa ndoa ikiwa hutanipatanisha

Wawili hao wana mtoto mmoja katika ndoa ya miaka saba.

Alipopigiwa simu bi Diana, alisema kuwa mumewe alimuudhi ndio maana hataki kuzungumza naye.

“Aliniudhi ndio maana staki kuongea naye, hito nishamaliza najipanga chuma yake iko kwa moto atajua mwenyewe na narudi najua kile nakuja kufanya.” Alisema Diana.

Mwambie amechelewa na anafaa kuharakisha.” Aliongeza akisema kuwa hiyo ilikuwa mara ya kwanza mumewe kuwa na mpango wa kando.

Alisisitiza kuwa hataki kuzungumza na mumewe huku akisisitiza kuwa ndoa yao imeisha.
Pata uhondo kamili.

PATANISHO: Heri Nimuue Mke wangu kuliko Nimuone na mwanaume mwingine

Muiruri mwenye umri wa miaka 28, alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe, Mary 26, ambaye alikuwa amepanga kumuua na alipofika pale akaamua kujiua lakini yule mke wake akamuokoa.

“Ilikuwa hivi tulikosana mwaka uliopita kisa na sababu ni fedha. Zile fedha nilikuwa nazo nilikuwa nashughulikia shamba fulani nilikuwa nayo Nairobi.” Alielea Muiruri.

PATANISHO: Mwanadada Aliwacha Shule Ile Ajilazimishe Kwangu

“Baada ya hayo yote akakubali turudiane na tukaishi pamoja hadi wakati mmoja akaamua kuondoka aniwache, na hapo nikasema kuwa heri nimuue kwani siwezi vumilia kumuona na mwanaume mwingine, lakini nilipofika kwake nikiwa nimejihami na kisu nikashindwa kumuua na hapo nikaamua kujitoa uhai. Nilikuwa nimebeba sumu lakini nilipojaribu kunywa mke wangu akanifungia kwa nyumba vile singeweza kufanya lolote.” Alijielezea Muiruri ambaye mkewe yuko Garissa huku yeye akiwa Nairobi ambapo anapokea mawaidha.

Wawili hawa wana mtoto mmoja.

Alipopigiwa simu bi Mary, alikatiza mawasiliano yetu pindi tu aliposikia sauti ya Gidi.

PATANISHO: Mke Wangu Alikuwa Akishiriki Ngono Na Mjomba Wake

“Kusema ukweli siwezi oa mtu mwingine kwani nimempeleka nyumbani na wazazi wangu wanamjua kwa hivyo inaweza kuwa aibu kuanza kupeleka wengine nyumbani kwa sababu nampenda sana na niko tayari kufa kwa ajili yake. Najua kuna wanawake wengine wazuri lakini siwezi taka mwingine.”

“Ananisumbua akili mimi mweleze huvyo kwani nilimpa nafasi afanye anachotaka lakini haskizi. Aendelee na maisha yake na anisahau. Mary alisema baada ya kumpigia simu kwa mara nyingine kabla ya kukata mawasiliano yetu tena.

Pata uhondo zaidi.

 

Musician Willy Paul’s Mother Goes Missing

Willy Paul with his mother. | image source: kiss100.co.ke

Gospel Musician Willy Paul is not at peace at this moment in time following the disappearance of his mouth.

The musician used his social media to call out to his fans to help him found his mother who according to him, is unwell and went missing on Monday while heading to a chama meeting.

Willy Paul also added that his mother can not be reached on phone and she was wearing black rubbers, white long skirt, black blouse and a leso.

The Facebook post can be seen below.

W. Paul
Screenshot of Facebook post by Willy Paul appealing to his fans to help him find his mother. | image source: kiss100.co.ke