Madini Classic azungumzia Chuchuma ya Willy Paul, sababu za kutoipa shavu

Katika mahojiano ya simu na kitengo cha Papa Na Mastaa, staa wa muziki Madini Classic amefunguka mwanzo mwisho kuhusu swala wa Willy Paul kutomhusisha katika kuipa nguvu na kuipigia upatu nyimbo ya Chuchuma.

Staa huyu amesema kuwa Willy Paul kutomhusisha katika kuipa nguvu Chuchuma sio kwamba hapendi ngoma hiyo,

Haya yanajiri huku ngoma hiyo ikionekana kufanya vizuri katika mitandao ya kijamii na YouTube.

“Ile ngoma binafsi naipenda sana . Lakini ukiona zile clips Willy Paul alikuwa anatafuta msanii na kumuambia vile anafaa kuifanya.”

View this post on Instagram

Forget the Maps follow your instincts

A post shared by HandsomeWaMaghettoni (@madiniclassic) on

Soma hadithi nyingine;

(+ Video) Makovu ya kupoteza kazi Sportpesa, mama aangua kilio Twitter

“Mimi kutoifanya sio kwamba siipendi au kwamba hakunimind.’

Madini alikuwa anazungumza katika kitengo cha Phone Call Ya Rais akidokeza haya yote.

Aidha, Madini hakusita kuzungumzia nyimbo iliyofungiwa ya Wamlambez. Staa huyu haoni sababu ya wimbo huu kufungiwa.

Soma hadithi nyingine;

Machachari sio kipindi tena, Inspekta Mwala na Papa Shirandula kufanyiwa mageuzi

‘Ni ile nilichagua mwenyewe nikaona mbona generation ya leo wanasikiliza Wamlambez sana mi nikaona nidondoshe hii.”

“Wamlambez ndo aina ya ngoma zetu sasa ndo maana zinashabikiwa.”

Madini pia amemzungumzia Noble Mirror92 msanii ambaye amemshirikisha katika ngoma hii.

“Huyo ni kama kakangu wa kitambo. Ni ile mtu nimeshinda nikimuona kutoka kitambo. Halafu kingine ni rapa mzuri kiukweli so kipaji kwanza.”

Gusa hapa usome hadithi za Abraham Kivuva

‘Punani’ ya Madini Classic ipo YouTube, aogopa ichezwe redioni (+Video)

Staa wa muziki Madini Classic amedondosha nyimbo mpya ‘Punani’

Katika mahojiano na Radio Jambo katika kitengo cha Papa Na Mastaa hususan Phone Call Ya Rais, staa huyu amesema kuwa haoni kuwa bodi ya kutathmini ubora wa filamu nchini inaweza kufungia nyimbo hiyo

‘Punani’ ni jina la msimbo linalotumiwa kuzungumzia sehemu nyeti za kike.

Alipoulizwa maana ya nyimbo hii, Madini alisimulia,

“Kila mtu anajua Punani inamaanisha nini. Hivi vitu ni kawaida tu. Mbona watu wanaogopa kusema vitu wanavyofanya gizani gizani?”

“Yaani kama mtu anataka kujua tu si anaweza google tu na ajue maana yake. Kila mtu mature anajua Punani inamaanisha nini…”

Madini amesema kuwa ngoma ilirekodiwa katika studio yake.

Soma hadithi nyingine;

Jacque Maribe alamba dili nono baada ya kuitema runinga ya Citizen

“Ngoma yenyewe imefanyika kwa studio yangu tu. Unajua mimi nina ngoma nyingi. Nina ngoma kibao sana…”

Aidha, Madini hakusita kuzungumzia nyimbo iliyofungiwa ya Wamlambez. Staa huyu haoni sababu ya wimbo huu kufungiwa.

‘Ni ile nilichagua mwenyewe nikaona mbona generation ya leo wanasikiliza Wamlambez sana mi nikaona nidondoshe hii.”

“Wamlambez ndo aina ya ngoma zetu sasa ndo maana zinashabikiwa.”

Madini alisema pia Willy Paul kutomhusisha katika kuipa nguvu Chuchuma sio kwamba hapendi ngoma hiyo,

“Ile ngoma binafsi naipenda sana . Lakini ukiona zile clips Willy Paul alikuwa anatafuta msanii na kumuambia vile anafaa kuifanya.”

“Mimi kutoifanya sio kwamba siipendi au kwamba hakunimind.’

Madini pia alimzungumzia Noble Mirror92 msanii ambaye amemshirikisha katika ngoma hii.

“Huyo ni kama kakangu wa kitambo. Ni ile mtu nimeshinda nikimuona kutoka kitambo. Halafu kingine ni rapa mzuri kiukweli so kipaji kwanza.”

View this post on Instagram

#New #Punani

A post shared by HandsomeWaMaghettoni (@madiniclassic) on

“Ni msanii yuko pale studio kwangu kila siku…”

Aidha Madini amesema kuwa kwa sasa hana mipango ya kushoot video ya nyimbo hii.

Soma hadithi nyingine;

Machachari sio kipindi tena, Inspekta Mwala na Papa Shirandula kufanyiwa mageuzi

“Sijapangia Punani video bro…”

“Wacha tuseme hii ngoma ni ile ya kuimbia mpenzi wako .Hivi ni vitu watu wanaongea. Mimi sijaipeleka redioni.”

Madini amesema kuwa haoni kuwa mtu yeyote anaweza akafungia nyimbo kama hii.

“Mi siwezi kujua. Atakayeifungia lazima atanipa sababu kwa sababu pia mimi ni msanii wa kenya.”

“Ngoma mimi sijapeana ichezwe redioni nimeweka YouTube anayetaka kusikiliza akikosa sawa.”

Soma hadithi za Abraham kivuva

ILIKUAJE: Eric Omondi alitumia fedha zangu kujijenga – Madini Classic

Msanii John Philip Ouma almaarufu, Madini Classic, kutoka Migori kaunti aligonga vichwa vya habari wiki iliyopita baada ya kufichua kuwa mcheshi maarufu, Eric Omondi alimtapeli fedha.

Kulingana naye, Omondi naye walikuwa wafanye mipango ya kujenga taaluma yake ya usanii na kufanikisha hilo, alikuwa ampatie shilingi 60,000.

Kutoka Mahrez hadi Pepe: Wachezaji ghali zaidi barani Afrika

 

Alieleza,

Juzi hizi wiki mbili nimekuwa nikiongelewa sana story yangu na Eric Omondi na watu wanasema nimemtelekeza mtoto wangu, na pia kuna msanii niliibia fedha.

Eric ni comedian mzuri sana na kipaji kweli na kwenye entertainment ili u grow lazima ushikane na watu kama wale. Aliponifuata Instagram nikamuomba usaidizi fulani akaniambia tukutane.

Tulikutana mara kama tano na akasema kwa sababu yeye ni president wa ucheshi lazima tungefanya introduction kubwa na angehitaji 60,000 ili apate magari na pikipiki.

Paulo Dybala akaribia kujiunga na Totenham Hotspurs

Madini Classic anasema alibidi aambie management yake wawekeze kwa ile idea na hakujua kumbe Eric Omondi alikuwa anatumia zile fedha kwa manufaa yake.

Aliongeza kuwa Eric Omondi alionesha lile gwaride kwa mtandao wake wa Youtube bila ruhusa yake, isitoshe pia alikuwa anauza bidhaa vya kampuni nyingine.

Licha ya hayo alipomuongelesha, Eric Omondi hakutaka kuzungumza naye kwa miezi miwili na mabosi wake na hapo anasema amejifunza kuwa kuna watu hawatakii wengine mema.

Na je licha ya muziki ni lipi lingine hufanya?

Ndugu zangu alifariki akaniwachia watoto watano na pia watoto wa dadangu pia ni mimi huwalea baada ya kifo chake. Halafu pia nina wazazi wakongwe ambao wanahitaji usaidizi.

Zile fedha zilinikera sana kwani hata shilingi hamsini pia ni kubwa kwangu, isitoshe management pia tulikosana nao.

Wasichana walioacha masomo kutokana na mimba za mapema waregeshwe shuleni – Margaret Kenyatta

Eric Omondi alinipa shavu kimuziki, Bahati hakuweza- Madini Classic

Staa wa muziki nchini Madini Classic amefunguka katika kikao cha Papa Na Mastaa kuwa mchekeshaji Eric Omondi alikuwa wa kwanza kumshika mkono na kumpa moyo wa kufanya muziki. Muimbaji huyu alimtaja Eric kama nguzo muhimu katika maisha yake ya sanaa. Madini Classic aliirithi jina lake kutoka kwa babu yake ambaye alikuwa mchimbaji migodi katika kitongojiduni cha Migori.

 

Soma hapa:

King Kaka afunguka kuhusu kufanya collabo na mzazi mwenzake Sage

Madini alimueleza Papa mwanzo mwisho jinsi alivyotoka kijijini na kuja Nairobi kujituma kwenye haso zake za kimziki.

“Kipindi natoka nyumbani kweli sikuwa na muziki. Nimekuja kuimba nikiwa hapa Nairobi . Muziki ulionitambulisha kwenye mainstream media unaitwa Nikaribishe. Kikawaida safari ya muziki huwa ndefu sana. Sio kitu unaweza ukabumburuka na ghafla utusue.” alisema Madini.

Madini aliweza kueleza ukaribu wake na Eric Omondi na jinsi alivyomhimiza afanye muziki mkubwa.

“Eric Omondi ni mtu na ambaye anapendana sana kipaji changu. Alimuuliza Bahati huyu Madini ni nani. Bahati akamwambia kuwa mimi ni rafiki yake. So akamwambia mbona usisaidie huyu jamaa atoke kimuziki kwa sababu bahati alikuwa ashatoka na akawa mkubwa lakini inaonekana mikakati za Bahati na shughuli zikawa nyingi mpaka akasahau.” Madini alimueleza Papa.

Pata uhondo hapa:

 

“Nikiingia Mombasani nione Fatuma sitambania” – Mbusii

Madini alisema kuwa anatamani sana angefanya muziki na mastaa kama Sauti Sol, Alikiba na Diamond Platnumz. Kupitia kuwashirikisha kwenye ngoma, staa huyu alisema anaweza jifunza mengi kimuziki.