Dhamira ya wanandoa: Wapenzi maarufu wanaotoa wengi mate kwa mavazi yao ya kisasa.

Naam leo ikiwa ni siku ya wapendanao inayosherehekewa duniani kote na wapenzi, kuna watu mashuhuri ambao wanapendeza wengi na kumaliza wengi wanapotokelezea na mavazi yao pamoja na wapenzi wao.

Dear KOT,’ Itumbi awajibu wakenya kuhusiana na kuachiliwa kwa Jowie.

Baadhi ya watu mashuhuri wala si watu tu bali wasanii mabalimbali ni kama vile wafuatao;

Size8 na DJ Mo

Wawili hao wamekuwa kwa ndoa kwa muda sasa, wamebarikiwa na watoto wawili na  licha ya wao kuwa wazazi katika mavazi huwa wanawapendeza wengi.

83187743_107784877323182_1006480435524814990_n(1)

 

Wahiga Mwaura na Joyce Omondi

Wamekuwa katika ndoa kwa miaka sita sasa,mbali na kazi yao mavazi yao yanaibua mchechetomiongoni mwa  mashabiki wao kwa nia mbalimbali, kuwa kwa ndoa miaka hiyo yote si mchezo lakini Joyce na Wahiga wanaangazia sana malengo ya wanandoa

PHOTO: Baada ya kukosa patanisho ya leo, Gidi afichua mahala alipo

83801540_2907710252582451_185893594841791434_n(1)

Julie Gichuru na Anthony Gichuru

Mwanahabari Julie mbali na mavazi yeye ni mrembo wa kupindukia, Julie na mume wake Anthony huwa wanawamaliza wengi hata katika mavazi yao ya kawaida.

73319176_669433540252016_958860647244628284_n(1)

Nameless na Wahu

Wapenzi hawa wamo katika sanaa ya uimbaji, ambayo wametoa nyimbo zao nyingi na kushirikisha waimbaji tofauti katika baadhi ya nyimbo zao.

76918981_2462990110582528_4237791953039475545_n(1)

Wawili hao wamekuwa kwa ndoa zaidi ya miaka kumi lakini penzi lao linakaa ndio linaanza, ni wanandoa wa kupigiwa mfano na hata kimavazi.

Sauti Sol’s Bien na Chiki

Wawili hawa ni wapenzi wenye umri mdogo katika sekta ya kimapenzi lakini mavazi yao yanavutia wengi katika sanaa ya usanii na hata mashabiki.

bien-and-chikki-2(1)

Janet Mbugua na Edward Ndichu

edd

Janet anafahamika sana kwa kazi yake ya utangazaji, yeye na mume wake kila wakati wanapendeza kwa mavazi yao.

Bahati na Diana

Hawa hawawezi kosa katika sekta hii ya mavazi kwa maana huwa wanajitoa ifikapo upande wa mavazi, si mavazi tu bali mavazi ya kisasa.

84637781_603527827096842_1672437840336698370_n(1)