Mwanasiasa asimulia uchungu alionao baada ya watu 48 wa familia kupatikana na corona

Huku Wakenya wengi wakiamini kuwa janga la corrona ni mzaha, familia moja ya aliyekuwa spika wa bunge la Migori Gordon Ogola imejitokeza na kusema kuwa virusi vya corona viko  baada ya jamaa zake 48 kupatikana na virusi hivyo huku mmoja akiangamizwa na virusi hivyo chini ya saa 24.

Mwendazke tayari alikuwa mfanyakazi wa wizara ya ugatuzi ambaye alistaafu, atazikwa nyumbani kwake  hii leo God Ngoche katika kaunti ya Migori.

Ogola alisema kuwa wanaamini kuwa mama yao wa miaka 80 ndiye aliambukizwa virusi hivyo kisha akawaambukiza wanawe, wafanyakazi wa shamba wajukuu wake na baadhi ya jamaa zake. Mama yake Ogola yuko hospitalini katika kitengo cha ICU akipigania maisha yake.

FILE PHOTO: Test tube with Corona virus name label is seen in this illustration taken on January 29, 2020. REUTERS/Dado Ruvic/File Photo
FILE PHOTO: Test tube with Corona virus name label is seen in this illustration taken on January 29, 2020. REUTERS/Dado Ruvic/File Photo

Wiki moja sasa kumekuwa ugumu kwa familia ya Ogola na ukoo mzima. Katika chini ya siku saba watu 48 wa familia wameambukizwa akiwemo mama yangu wa miaka 80

Amekuwa akipigana na maisha yake akiwa ICU kwa muda wa siku tano, ndugu yangu wa miaka 61 aliaga dunia chini ya saa 24 baada ya kuplekwa hospitalini

Kila mmoja aliyekuwa na mama yangu na kutangamana na mama yangu amepatikana na virusi vya corona, mama yangu wa kambo, wakwe wake na wajukuu wake na hata wafanyakazi

Gordon Ogola
Gordon Ogola

Kama vile waziri Mutahi Kagwe tusichukulie ugonjwa huu kwa kawaida ama utatuzidia, hofu yangu kubwa ni kwa ajili ya familia yangu na kijiji changu kikipatikana na virusi hivyo na kisha kiweze kuisha chote, tuombeeni.” Ogola Alieleza.

Gordon alikuwa spika wa Migori kati ya mwaka wa 2013 na 2017. Kutoka kwetu wanajambo tunawaombea afueni ya haraka na Mungu alaze roho ya ndugu yake mahali pema peponi.

Mwalimu mkuu amchapa hadi kumuua mwanawe kwa kuwa na mpenzi

Ni mambo ambayo anaendelea na yanazidi kutendeka haswa wakati huu wa janga la corona na wakati ambao wanafunzi wengi wamo nyumbani na wazazi wao.

Mwalimu mkuu wa shule ya upili alimchapa hadi kifo mwanawe wa miaka ,17, duru za habari zinaarifu kuwa alimfumania mwanawe kwa nyumba ya mpenzi wake, na kuanza kumchapa bali hakujua hawakukosea waliposema hasira hasara.

UNYAMA!Polisi wamtia mbaroni mwanamke aliyewauwa wanawe wanne

Mtoto huyo alikimbizwa katika hospitali ya Migori kupokea matibabu ya kwanza.

Mwalimu huyo aliyefahamika kama Abidha Rabet, kulingana na mashahidi ni mwalimu mkuu wa shule ya upili ya St Juliane Ugari, mwanamume aliyekuwa na mwanafunzi huyo alitoroka baada ya kuona kisa hicho.

Jamaa za Rabet walichukuwa mwili wa mwendazake na kutaka kuuzika bali polisi waliingilia kati, mkuu wa polisi wa kaunti ndogo ya Uriri  Peter Njoroge alithibitisha kisa hicho na alikuwa na haya ya kusema,

“We coordinated with police manning a roadblock in Homa Bay town and intercepted the vehicle which was heading to Bond. They intended to inter the body secretly.” Alizungumza Njoroge.

Mwili wa mwendazake ulipelekwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha St Joseph Onbo, huku polisi wakizidi kufanya uchunguzi na kubaini nini kilichosababisha kifo cha mwanafunzi huyo.

Kwa kweli Unyama umetoka kwa wanayama na kuwaingia wanadamu, mshukiwa kwa sasa yuko mikononi mwa polisi uchunguzi unapoendelea.

Hatari! Watu 12 waliokuwa wamewekwa kwenye karantini katika mpaka wa Tanzania na kaunti ya Migori wametoroka

Mazingira duni na miundo msingi mbovu katika kituo cha kuweka watu kwenye karantini katika shule ya upili ya Mabera kaunti ya Migori inasemekana ndiyo ilichangia pakubwa kutoroka kwa jamaa 12 waliokuwa wamezuiwa kwenye kituo hicho.

Kituo hicho kinapatikana enebunge la Kuria Magharibi ambayo inapakana na taifa jirani la Tanzania,Kulingana na taarifa ,jamaa hao wanaripotiwa kuhepa kwenye kituo hicho mida ya saa 12 usiku .

 

Maafisa wa polisi kutoka kituo cha Isebania ,walidhibitisha tukio hilo saa nane baada ye baada ya jamaa hao kutoroka na kunakili tukio hilo katika kitabu cha OB nambari  30/22/5/2020.Watu wengine 20 wamewekwa  kwenye karantini.

A view of Isebania town.

Naibu rais amtakia Margaret afueni ya haraka baada ya kulazwa hospitalini

David Marwa Ikarai ,mhudumu  wa afya ambaye aliandikisha taarifa hiyo amesema kati ya watu 20 waliozuiliwa kwenye kituo hicho ,Erick  Otieno na Wyclife Opombe ndio tu walipeana taarifa za Ukweli na wengine wakakataa.

“Twelve of them with their unknown identities had escaped to unknown destination. Scene visited by police and search is underway,” Taarifa hiyo ilisema.

Mkuu wa afya kaunti ya Migoro Isca Oluoch na afiusa mkuu wa Polisi Mabera Cleti Kimayo wamedhibitisha tukio hilo.

Wamesema hatua ya kuwatafuta watu 12 waliotoroka imeanzishwa mara moja .

Yanajiri hayo huku serikali ikianza kuhofia kutokana na hatua ya baadhi ya wakenya kuanza kutoa taarifa za uongoz wanapojiwasilisha katika vituo vya kupimwa .

 

 

SAD: Mwanafunzi Migori aaga dunia baada ya kunyongwa na andazi .

Mwanafunzi wa darasa la tano  katika shule ya msingi  Onyalo huko Migori ameaga dunia baada ya kusakamwa na andazi akijaribu kulimeza ili kulificha kutoka kwa wenzake .Josiah Ombura  alikuwa akicheza wakati wa mapumizko ya asubuhi wakati kisa hicho kilipotokea . ‘Marehemu alikuwa akiligawanya andazi moja ili kuwapa wenzake lakini wengi zaidi walipokuja aliamua kulimeza lote lakini likamsakama’ amesema mwalimu mkuu  Dedan Odhiambo.

TUNZA MTOTO WAKO!Kizaaza katika boma la Kutuny baada ya mwanamke kudai fedha za matumizi ya mtoto waliyezaa naye

Odhiambo  amesema wanafunzi wenzake waliripoti kwamba mwanafunzi huyo hakuweza kuongea  na alikuwa akijaribu kupumua .‘Ameripoti shuleni akiwa na furaha  na tukio hilo limetutamausha’ amesema mwalimu huyo mkuu .

Finally:Shule ya Kakamega Yatoa majina ya wanafunzi walioaga dunia katika mkasa.

Jaribio la kumfanyia huduma ya kwanza ili kumwokoa  na kumpelekea katika hospitali ya rufaa ya Migori limetibuka baada ya kutangazwa kuaga dunia alipofikishwa hospitalini . Chifu wa lokesheni ya Suna ya kati  Caleb Ombura  ambaye ni mjombake marehemu  amesema tukio hilo limewashangaza na polisi wataanzisha uchunguzi baada ya uchunguzi wa mwili kufanyika . Mwili wa mtoto huyo umepelekwa katika hifadhi ya maiti ya   Migori .

 

 

Jamaa Migori akojolea kitanda baada ya kunyimwa tendo la ndoa

Kama wewe ni shabiki sugu wa kipindi cha Gidi na Ghost Asubuhi, basi unajua bayana kwamaba kila siku ya wiki kabla ya kitengo cha Patanisho, kuna kitengo cha Story za Ghost.

Afika GPO na umaskini, Hii leo CEO wa Njue Foundation

Katika kitengo hiki, bwana Ghost Mulee huwa na fursa ya kuwapa waskizaji wa Radio Jambo pamoja na Gidi, uhondo wa kufurahisha uliotokea kote duniani.

Basi siku ya Jumanne, bwana Ghost alisimulia kisa kilichotokea Migori ambapo inakisiwa jamaa fulani aliyejawa na hamaki aliamua kukojolea kitanda chake. Kisa na maana? Alinyimwa tendo la ndoa na mkewe.

Kulingana na Ghost, jamaa huyu alienda kubugia pombe na kurudi usiku wa maneno akiwa mlevi kupindukia.

Jamaa aliporudi alimuamsha mkewe akimuomba tendo la ndoa, mkewe ambaye alikuwa ameshinda kazini siku mzima alikuwa amechoka na hangekubali.

Yule jamaa alikasirika sana na ili kulipiza kisasi, alikojolea kitanda chao jambo lililomkasirisha mkewe na kuondoka na watoto wao watatu.

Daah! Akothee azua balaa bungeni kwa kuvaa nguo fupi

Eric Omondi alinipa shavu kimuziki, Bahati hakuweza- Madini Classic

Staa wa muziki nchini Madini Classic amefunguka katika kikao cha Papa Na Mastaa kuwa mchekeshaji Eric Omondi alikuwa wa kwanza kumshika mkono na kumpa moyo wa kufanya muziki. Muimbaji huyu alimtaja Eric kama nguzo muhimu katika maisha yake ya sanaa. Madini Classic aliirithi jina lake kutoka kwa babu yake ambaye alikuwa mchimbaji migodi katika kitongojiduni cha Migori.

 

Soma hapa:

King Kaka afunguka kuhusu kufanya collabo na mzazi mwenzake Sage

Madini alimueleza Papa mwanzo mwisho jinsi alivyotoka kijijini na kuja Nairobi kujituma kwenye haso zake za kimziki.

“Kipindi natoka nyumbani kweli sikuwa na muziki. Nimekuja kuimba nikiwa hapa Nairobi . Muziki ulionitambulisha kwenye mainstream media unaitwa Nikaribishe. Kikawaida safari ya muziki huwa ndefu sana. Sio kitu unaweza ukabumburuka na ghafla utusue.” alisema Madini.

Madini aliweza kueleza ukaribu wake na Eric Omondi na jinsi alivyomhimiza afanye muziki mkubwa.

“Eric Omondi ni mtu na ambaye anapendana sana kipaji changu. Alimuuliza Bahati huyu Madini ni nani. Bahati akamwambia kuwa mimi ni rafiki yake. So akamwambia mbona usisaidie huyu jamaa atoke kimuziki kwa sababu bahati alikuwa ashatoka na akawa mkubwa lakini inaonekana mikakati za Bahati na shughuli zikawa nyingi mpaka akasahau.” Madini alimueleza Papa.

Pata uhondo hapa:

 

“Nikiingia Mombasani nione Fatuma sitambania” – Mbusii

Madini alisema kuwa anatamani sana angefanya muziki na mastaa kama Sauti Sol, Alikiba na Diamond Platnumz. Kupitia kuwashirikisha kwenye ngoma, staa huyu alisema anaweza jifunza mengi kimuziki.

 

 

 

So Sad: Migori Senator Ben Oluoch dies from cancer

Migori Senator Ben Okello died at MP Shah Hospital in Nairobi on Monday night.

Okello had been suffering from throat cancer and had been treated at places including India. His body was taken to Lee Funeral Home.

Richard Solo, who is former North Kamagambo MCA and the manager of Okello’s office, said the Senator will be missed as he was a dedicated leader.

Okello, a former radio journalist, surprised his opponents when he won the August 8, 2017 election as he had not been campaigning actively.

While receiving his certificate from the IEBC at Migori TTC, he jokingly said: “I congratulate my worthy opponents … as you can see I have lost weight.”

He succeeded Wilfred Machage who opted to vie for the Kuria West parliamentary post.

Okello’s victory was attributed in part to his popularity as Ramogi FM morning show presenter and his closeness to Governor Okoth Obado.

When he spoke to the Star on March 1 while receiving treatment in India, he said he was doing well and that he was still performing his duties.

Okello asked residents to work closely with their leaders to ensure development after the heated elections season.

“Despite being sick, he continued to manage his office and often sent leaders to represent him at major social functions,” Solo said.

Residents started asking questions when Okello missed Nasa’s last rally, before principal Raila Odinga’s swearing-in, on January 26.

“He skipped the rally in Homa Bay because he had sought treatment in India. He went there for the second time before going to MP Shah,” Solo said.

Raila explained the Senator’s absence at the Opposition’s rallies in the county.

On March 1, during the Migori county devolution forum which the Senator missed, Uriri MP Mark Nyamita told residents that his treatment had been going on well.

“I know there has been the complaint that our Senator is unavailable. On behalf of MPs in Migori, I inform you that Okello is unwell,” Nyamita said.

By phone today, the MP termed the Senator’s death a big loss for the county.

“He was a leader who embraced all his colleagues and never quarreled with any of them because he loved peace,” he said.

It was reported in May that nine MPs and four Senators were among thousands of Kenyans being treated for cancer in Indian hospitals.

The identity of the MPs could not be revealed but most of them were booked at Apollo Hospital outlets in New Delhi and other cities in the country.

Baringo South MP Grace Kipchoim, former Ganze MP Joseph Kingi, Nyeri Governor Nderitu Gachagua and former ministers David Mwiraria and Gilbert M’Mbijiwe are some of those who died from cancer.

MPs once asked President Uhuru Kenyatta to declare cancer a national disaster and inject more resources into research, screening, prevention, treatment and cure.

-The Star

SO SAD: Migori Girl Kills Self After scoring C Minus

A girl committed suicide in Migori county on Wednesday night after scoring C- (minus) in the just released KCSE results.

Caren Onyango, 22, of Moi Nyabohanse Girls Secondary School took her own life by jumping into a well after failing to make it to the university entry cut-off point.

The girl, who hails from Osingo village in Suna East, had repeated form four probably with the hope of doing better than last year when she scored the same grade.

Migori county police commander Joseph Nthenge said the girl’s parents castigated her after they received the results via SMS.

“They started to quarrel her and castigated her on why she failed for a second attempt without getting university cut off point,” Nthenge said over the 11pm incident.

“The family was alerted by a younger sibling that the girl had threatened suicide after she left her parents still quarreling.”

The family, which took time to locate the girl, found her dead in the well. The body was taken to Migori referral hospital mortuary.

Nthenge warned parents against piling pressure on candidates over the results.

“It is not the end of life,” he said.

-MANUEL ODENY

MIGORI: Gold Miner Kills Self After Wife Left Him Over ‘Mpango Wa Kando’

A gold miner from Migori committed suicide after his wife left over claims he was having an affair with another woman.

PATANISHO: Nilipiga babangu lakini mpaka sasa sina imani hadi anisamehe

James Juma, 30, reportedly hanged himself on Tuesday night after he found his wife and children had left him.

“When he realised his wife had left, he entered their rental house and used a rope to commit suicide,” Suna Lower location chief Samuel Yogo said.

Neighbours said they got suspicious past 10pm when there was no sign of activity in Juma’s house.

“When they checked, they found him dead in his bedroom,” Yogo said.

PATANISHO: Tulikosana Na Mke Wangu Baada Ya Kupigiwa Simu Na Mwanadada Mwingine

Relatives took the body to Migori Referal Hospital mortuary as police investigate.

-The Star|MANUEL ODENY

Siku Za Mwizi ni 40, Jamaa Akamatwa Kwa Kumiliki Sare Za Polisi Migori

Polisi huko Rongo kwenye kaunti ya Migori wamemkamata mtu mmoja aliyekuwa ametoweka mara mbili kutoka mikononi mwa polisi alipokuwa amekamatwa kwa kumiliki sare za polisi pamoja na bunduki aina ya Ak 47 ambazo alikuwa akitumia kufanyia ujambazi mjini humo.

OCPD wa Rongo Jonathan Kisaka Muganda anasema ,mwanamume huyo ambaye alitambuliwa na umma na kisha waliowaarifu a polisi alikuwa ameenda mafichoni baada ya kutoroka mikononi mwa polisi aliyekuwa akimleta mahakamani mjini Migori mwishoni mwa mwaka uliopita na amekuwa akihepa mitego ya polisi lakini kwa sasa  anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Kamagambo mjini Rongo.

Mshukiwa huyo anayetambulika kwa jina la utani Waiganjo atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya kumiliki silaha ya bunduki na pia kutoweka kutoka mikononi mwa polisi mara mbili.