Wachezaji gwiji ambao mikataba yao inakaribia kutamatika

Huku msimu mpya wa kadanda ukikaribia kung’oa nanga, timu zimetia bidii kusajili wachezaji wapya, makocha wapya wameteuliwa na pia mikataba mpya zimetiwa sahihi.

Juhudi hizi zote ni za kuhakikisha kuwa timu hazijapoteza ma staa wao na pia kuwahakikishia kuwa klabu zao zahitaji huduma zao.

Marcus Rashford kusalia Oldtrafford hadi 2023

Kwa mfano, mshambulizi  wa Manchester United Marcus Rashford amesaini mkataba wa malipo ya £200,000 kwa wiki ili kusalia na kilabu hiyo hadi  Juni mwaka wa 2023, akiwa na chaguo la kuongeza muda huo kwa mwaka mmoja zaidi.

“Nitafanya kila niwezalo ili kuifanya kilabu hii kurejelea hadhi yake na kuipa mafanikio ambayo mashabiki wetu wanastahili” Alisema  Rashford baada ya kusaini mkataba mpya.

Hata hivyo, kuna wachezaji gwiji bara ulaya ambao mikataba yao inakaribia kutamatika huku wengi wakitarajiwa kuwa wakala wa bure (free agent) ifikiapo mwisho wa msimu ujao.

Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya wachezaji ambao watasalia kutafuta timu mpya ifikiapo mwisho wa msimu ujao.

Marcus Rashford and De Gea unsure about Manchester United direction

Luka Modric

modric

Bingwa huyu wa tuzo la mchezaji bora duniani al maarufu Ballon d’Or mwaka wa 2018, alikuwa na wakati mwema katika kombe la dunia la 2018 lakini hakuwa na msimu wa kufana na klabu yake Real Madrid.

Kiungo huyu wa kati anamezewa mate na vilabu vingi duniani na haijulikani kama Madrid watampea kandarasi mpya.

David De Gea

de gea

Kipa huyu wa Manchester United ni miongoni mwa wachezaji ambao bado wanaringa kuweka saini katika mkataba ambao klabu hiyo baada ya kuitisha pauni millioni 350 ambazo mashatani wekundu hawako tayari kulipa.

Christian Eriksen

eriksen

Raiya huyu wa Denmark amemwacha kocha wake wa Tottenham Hotspur, Mauricio Pochettino na tumbo joto baada ya kukata kuongeza mkataba wake ndani ya White Hart Lane.

Kulikuwa na habari kuwa Eriksen huenda akajiunga na klabu ya Real Madrid lakini kufikia sasa hakuna habari zozote kuhusu hali yake na ikisalia hivo, ataondoka Spurs kama wakala wa bure mwishoni mwa msimu mpya ujao.

Wachezaji wengine ambao wamejipata katika hali ile ni Ilkay Gundogan wa Manchester City, Nabil Fekir wa Lyon, Timo Werner wa RB Leipzig na Edinson Cavani wa PSG.

cavani (1)

Modric Beats Ronaldo to win Fifa Best award, here’s how each nation’s manager and captain voted

Luka Modric brought an end to a decade-long duopoly of football’s biggest individual prize by claiming FIFA’s Best Men’s Player of the Year on Monday night.

The award has been shared between Lionel Messi and Cristiano Ronaldo equally over the last 10 years, but Modric ran out as a resounding winner at the Royal Festival Hall with 29.05 per cent of the vote.

Captains and managers of nations from around the world were asked to pick three players for the award, and the full list of votes were published shortly after Monday’s ceremony had concluded.

modric fifa best

As ever, the votes made for a compelling read with some notable figures in the world of football making some telling decisions.

France manager Didier Deschamps, who claimed Coach of the Year after guiding his team to the World Cup, made his allegiances clear by choosing three of his players.

Modric, Salah and Ronaldo nominated for UEFA 2017/2018 player of the year award

Deschamps gave his first vote, which awards five points, to Atletico Madrid striker Antoine Griezmann while his second (three points) and third-placed (one point) vote went to Raphael Varane and Kylian Mbappe.

It was also a surprise to see Barcelona star Lionel Messi, who finished outside the top three for the first time since 2006, hand a nomination to his arch-rival Cristiano Ronaldo. Messi placed Ronaldo third on his personal list, choosing eventual winner Modric and fourth-placed Mbappe ahead of him.

fifa best team

Ronaldo could not find it within himself to return the favour and also surprisingly gave his top vote to his Real Madrid team-mate Varane. The French defender finished ninth in the overall vote. Perhaps sensing a challenge to his crown, Ronaldo placed Modric in second and France striker Griezmann in third.

England captain Harry Kane, who himself finished 10th with just under one per cent of the total vote, showed his striking allegiances by giving his five points to Ronaldo. He also selected Messi (second) and fellow Premier League star Kevin De Bruyne (third).

MEN’S AWARD – FINAL STANDINGS

1. Luka Modric – 29.05%

2. Cristiano Ronaldo – 19.08%

3. Mohamed Salah – 11.23%

4. Kylian Mbappe – 10.52%

5. Lionel Messi – 9.81%

6. Antoine Griezmann – 6.69%

7. Eden Hazard – 5.65%

8. Kevin De Bruyne – 3.54%

9. Raphael Varane – 3.45%

10. Harry Kane – 0.98%

-DailyMail

List of fifteen midfielders shortlisted for FIFA FIFPro World XI 2014

Photo source: thefootballchronicle.com

FIFA have today announced the 15 midfielders shortlisted for the FIFA FIFPro World XI 2014 as part of the final 55-player shortlist.

After the unveiling of the five goalkeepers and 20 defenders who made the shortlist, the 15 midfielders to be added to it are now also known:

1.Xabi Alonso (Spain / FC Bayern München)

2.Angel Di Maria (Argentina / Manchester United FC)

3.Cesc Fabregas (Spain / Chelsea FC)

4.Eden Hazard (Belgium / Chelsea FC)

5.Xavi Hernandez (Spain / FC Barcelona)

6.Andres Iniesta (Spain / FC Barcelona)

7.Toni Kroos (Germany / Real Madrid CF)

8.Luka Modric (Croatia / Real Madrid CF)

9.Mesut Ozil (Germany / Arsenal FC)

10.Andrea Pirlo (Italy / Juventus FC)

11.Paul Pogba (France / Juventus FC)

12.James Rodriguez (Colombia / Real Madrid CF)

13.Bastian Schweinsteiger (Germany / FC Bayern München)

14.Yaya Toure (Côte d’Ivoire / Manchester City FC)

15.Arturo Vidal (Chile / Juventus FC).

-Fifa.com