‘Ako tu sawa’, Wakenya watoa hisia kwa mwanahabari aliyejawa na mhemko baada ya kukutana na rais Uhuru

Wakenya wametoa hisia tofauti baada ya video ya mwanahabari wa runinga moja humu nchini kusambaa kwenye mitandao ya kijamii huku akiwa na mhemko kwa maana amekutana na rais wa jamuhuri ya kenya Uhuru Kenyatta akiwa katika ziara zake mjini Mombasa.

Mwanahabari huyo aliyejitambulisha kama Denis Mudy alijawa na mhemko huku akizungumza na kumtambulisha rais uhuru kenyatta.

Wanamitandao hawakulaza damu baada ya kuona video hiyo bali walikuwa na haya ya kusema.

_cashina He was overwhelmed we dnt blame him ata mimi i will act that way 🙌🙌🙌🙌 i cnt blame him at all

bwibo_namala_kavi: He was in AWE…. I personally don’t know what I would do if I met him face to face … so I cannot judge this guy…. he was simply in a state of confusion … at least he remembered his name👏🏾👏🏾👏🏾

karanjabrian Noo…he should show some high levels of professionalism. Emotions aside

khaligraph_jones: Jamaa Ako sawa, Hope his Channel Grows, He did well, People here saying he should have Contained himself na wakiniona Kwa Street Wanaanguka Kwa mtaro Sababu Ya kustuka, sembuse President?

terencecreative: He has helped the nation at least we are sure now hakuna Corona tunaweza piga show,Bora audience waweke mask kwa kidevu 😂😂😂😂😂😂

nickmudimbaHe is good!

yycomedian: He has not wasted any opportunity…What most people don’t know is how hard it is to even be 10 meters around the president..men in black kwanza…we can actually count journalists who have interviewed the president because he is a big deal,….ako overwhelmingly speechless…he is helpless…Ako tu sawa…

Hii hapa video ya mwanahabari huyo;

Makachero wa DCI wamnasa mshukiwa wa wizi aliyevunja gari Mombasa

Makachero wa DCI wamemnasa mmoja wa wahusika wa wizi uliofanyika Mombasa na kuwaacha wanamtandao kinywa wazi. Kamera za CCTV zilirekodi jinsi kundi hilo la wahalifu lilivyopanga njama yao ya kuvunja gari moja na kuiba mkoba unaoaminika kuwa na pesa au bidhaa zingine zenye dhamana.

Ni video ambayo ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii huku wanamitandao wakishangazwa na wizi huo.

Polisi walisema mshukiwa mmoja kwa jina Boris Mutua alikamatwa nyumbani kwake eneo la Kiembeni na wengine wanasakwa.

Polisi walipata gari ambalo lilitumika kwenye wizi huo na kutambua lilikuwa limetundikwa nambari za usajili feki wakati wa kisa hicho.

“Baada ya kupata taraifa kutoka kwa umma, kikosi cha makachero kikiongozwa na CCIO Mombasa kimemkamata Boris Mutua Malai kutoka nyumbani kwake eneo la Kiembeni.” Ilisoma taarifa ya DCI.

Kile hawakujua ni kuwa kundi hilo lilikuwa limetumia ujanja na kuweka nambari zingine feki juu ili wasitambuliwe haraka.

 

“Tuliweza kupata gari aina ya Toyota Ractis lenye usajili KCX 726Q. gari hilo lilinaswa na kamera Septemba 17 na nambari KCU 113P katika eneo la kisa hicho kwenye jumba la Texas karibu na Cinemax eneo la Nyali.”

Walijaribu kwa mara kadhaa kufungua milango yake na lilipokataa wakaingia kwenye gari lao na kutoka na kifaa butu. Mmoja wao aligonga dirisha la nyuma na kupasuka akapata nafasi ya kufungua mlango wa nyuma upande wa kulia.

Under 18! Aliniambia ana umri wa miaka 23 kumbe alikuwa na miaka 17!

Wakati mwingi wanaume wanatahadharishwa kuwa makini wasije wakajipata mashakani kwa kujihusisha na watoto wlaio chini ya umri wa miaka 18 katika mambo   ya utu uzima . Siku hizi watoto wan miili mikubwa inayoweza kukudanganya kwamba ni watu wazima . Emmanuel Chule yuko  na kesi kortini kwa kupatwa na mtoto wa shule ambaye alimdanganya kuwa na umri wa miaka 23 lakini ukweli ni kwamba  ni mwanafunzi wa kidato cha nne aliye na umri wa miaka 17 .

Jamaa kapatwa na mama mkwe lodging –Ungefanya nini?

Yote yalianza wakati walipokutana na katika eneo moja la Burudani  katika  huko Bamburi    Mombasa na wakabadilishana nambari za simu . wiki kadhaa badaye walikutana tena kwa chakula cha jioni katika mkahawa mmoja, Huku  Chule akikosa kufahamu kwamba alikuwa akitembea na mtoto wa shule . Mambo yake yalimwendea vibaya wakati  mmoja wa walimu wa msichana huyo alipowaona katika mkahawa huo na kumwita ili kumuuliza   mbona alikuwa  anatembea na mwanafunzi wake .

Chule alishangaa kwa sababu mtoto huyo wa skuli alikuwa amemhakikishia kwamba ametimu umri wa  kuwa mtu mzima n ahata akamuonyesha kitambulisho .  Baadaye  walipoendelea kuonana , kumbe mwalimu alikuwa amempigia simu  mamake  msichana huyo na kumshauri aripoti kwa polisi ili Chule akamatwe kwa ‘kumharibu’ msichana wa shule .

Vituko ambavyo baadhi ya wanaume walifanya baada ya kuachwa na wanawake

Chule alikuwa aktika utaratibu wa kujua ukweli iwapo msichana yule alikuwa na umri wa miaka 23 kama alivyodaiwa wakati maafisa wa DCI  pamoja na Chifu walipomkujia katika duka lake ka elektroniki mjini Mombasa na kumweka korokoroni kwa ‘kutembea’ na msichana wa shule .Ufichuzi baadaye umebaini kwamba msichana  yule alikuwa akitembea na kitambulisho  cha dadake na kwa sababu wanafanana hakuna aliyegundua kwamba  mtoto wa shuke alikuwa akijifanya kuwa dadake mkubwa .

‘Mpango wa kando’ alipoamua kujileta kwa sponsor baada ya kuachwa hoi kwa miezi mitatu

Chule ameachiliwa huru kwa dhamana lakini kesi dhidi yak inaendelea hasa wakati huu ambapo mashirika mengi ya serikali yamejitolea kupambana na wanaume wanaofanya mapenzi na vitendo vya utu  uzima na wasichana wadogo . Ameendelea kujitetea kwamba hakujua umri wa msichana huyo wa shule ,lakini polisi na mahakama haijamuamini ingawaje kwa bahati nzuri amefaulu kuwashawishi wazazi kwa msichana yule kwamba hakuwa na nia ya kumharibu binti yao hasa baada ya  kudanganywa na kitambusho cha dadake mkubwa alichokuwa akikitumia kama chake .

 

 

 

 

Hofu baada ya mlinzi mmoja wa Gavana Joho kupatikana na virusi vya corona

Mlinzi mmoja anayemhudumia gavana wa Mombasa Hassan Joho ameripotiwa kupatikana na  Covid-19.

Mlinzi huyo  ambaye ni miongoni mwa wanne ambao humlinda Joho  alipatikana na virusi hivyo akiwa Nairobi  na wote wamewekwa katika karantini, Mombasa Beach Hotel. Katibu wa kaunti Dennis Maganga Lewa,  alilieleza gazeti la The Star kuzungumza na waziri wa afya  katika kaunti   Hazel Koitaba,  ambaye amesema yuko mkutanoni.

COVID 19 : WHO yasema mataifa yanachukua mkondo hatari katika vita dhidi ya virusi vya Corona

” Mtu bora wa kujibu hilo ni waziri. Tafadhali mpigie’ Lewa amesema

Wakati wa kuichapisha taarifa hii waziri huyo hakuwa ametoa jibu kuhusu ripoti hizo . Duru zaarifu kuwa  mlinzi huyo alikuwa na gavana kwenda Nairobi kwa vikao  vya senate na alipatikana na ugonjwa huo  baada ya vikao  hivyo ,siku chache kabla ya Joho kusafiri nje ya nchi .

Wote walipelekwa kwa ndege hadi Mombasa  na iliainika kwamba hakuwa na daalili wala hali yake haikuwa mbaya ili kulazimu lazwe hospitalini . Gavana Joho na wafanyikazi wake wa karibu hufanyiwa vipimo vya kila mara kila baada ya wiki mbili .

KPLC: Wakurugenzi 5 Wa Kenya power wajiuzulu +Podi Maalum kuhusu mahangaiko ya wakenya kupata huduma za umeme

” Wakati huo walikuwa wamekwenda kwa vipimo hivyo ,Joho hapendi kujitia hatarini  .kwa sababu unajaua wanatangamana na watu wengi’ duru zimearifu . Mombasa ni kaunti ya pili kwa kuwa na visa vingo vya wagonjwa wa Covi 19 baada ya Mombasa . kufikia jumatatu Mombasa ilikuwa na visa  1, 726 .  Mkuu wa wafanyikazi katika afisi ya Joho Joab Tumbo hata hivyo amesema hajajulishwa kuhusu kisa hicho .

Polisi Mombasa aponea baada ya kuchapwa na umati kwa kuwaambia wavae barakoa

Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Mombasa walizua vurugu, na kuanza kumchapa polisi mmoja kichapo cha mbwa hii ni baada ya kuwaambia wavae barakoa vyema kama vile wizara ya afya iliagiza.

Kikundi hicho kilisema kuwa polisi huyo alikuwa anawasumbua mbali na kuwaambia wavalie barakoa vyema.

Polisi huyo aliponea chupuchupu baada ya kupiga mayowe, yaliyosababisha wenzake kumsikia na kisha kuaj kumsaidia kutokana na kichapo cha wakazi hao.

Kupitia kwenye ripoti ilinakiliwa katika kituo cha polisi ilisema kuwa polisi huyo alipatwa na majeraha ya kichwa na mwili.

“The victim was rushed to Coast General Hospital and is in a stable condition.”

Muuguzi kutoka hospitali hiyo alisema kuwa polisi huyo alipata majeraha ya kichwa bali anaendelea kupokea matibabu.

Hiki ni kisa cha awali ambacho polisi wanakabiliana na umati kwa kukaidi maagizo ya wizara ya afya, kisa cha Juni,6, wakazi wa kaunti ya Kisii walichoma kituo cha polisi cha Rioma kufuatia mauaji ya mwanabiashara wa eneo hilo huku wakidai kuwa polisi ndio walitekeleza kitendo hicho.

Ina maana kuwa wananchi wamechoka na vitendo ambavyo polisi wanawatendea au polisi wamechoshwa na ukaidi ambao wananchi wengi wanatekeleza licha ya kupewa maagizo na wizara ya afya?

 

Wanafunzi 15 waliorejea nchini kutoka Sudan wapatikana na Covid 19

Wanafunzi 15  walowasili maajuzi Mombasa kutoka Sudan wamepatikana na virusi vya corona .

Waziri wa afya wa kaunti ya Mombasa  Khadija Shikely amesema wanafunzi hao walikuwa katika kundi la wanafunzi 129 waliosafirishwa kutoka sudan wikendi iliyopita . Walitua katika uwanja wa ndege wa JKIA Jumamosi wiki jana  baada ya kusafiri kutumia ndge ya KQ

Walifanyiwa ukaguzi wa matibabu baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege  kabla ya kupelekwa katika  shule ya  serikali  ya  Kizingarea   ili kuwekwa karantini kwa siku 14.

 

 

Hatari! Makahaba 100 walio na HIV wakataa kutumia ARVs wakiendesha shughuli zao za kila siku

Mashirika ya kijamii kaunti ya Mombasa sasa yanahofia kuwa huenda idadi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ukanda huo ikaongezeka kutokana na hatua ya makahaba 100 eneo hilo kukataa kutumia dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo za ARVs wakati wa kuendesha biashara zao za kila siku.

 

Nkoko Iju Africa, shirika lisilo la serikali kaunti ya Mombasa, limesema kuwa chini ya miezi 3, idadi ya makahaba wanaochukua dawa hizo imepungua hali ambayo huenda ikafanya idadi ya maambukizi kuongezeka.

Kuanzia leo tunapandisha bei hii kitu! Makahaba Mombasa waamua kupandisha bei ya kisima cha asali

Marilyne Laini, ambaye ni mkurugenzi mkuu wa shirika hilo amesema kuwa asilimia kubwa ya makahaba eneo hilo wameacha kutumia dawa hizo baada ya kushiriki kwa biashara zao, jambo ambalo anasema limechangiwa na masharti makali yaliyowekwa na serikali.

“We are worried that the sex workers who have stopped taking ARVs would have higher viral loads, consequently increasing chances of infecting their clients,” “At least 100 commercial sex workers, whom we had registered for our ARVs programme, have stopped taking the drugs,” Laini

SEX-WORKERS-730x414 SEX-WORKERS-730x414 (1)

Laini amesema miongoni mwa vigezo vinavyostahili kufuatwa wakati wa kutumia dawa hizo za ARVs, ni sharti mwathiriwa ale vizuri.

“With the current economic hardship wrought by COVID-19, most sex workers cannot afford three meals a day. And, because the drugs could leave you drowsy if you take them on an empty stomach, most sex workers have resorted to abandoning their prescriptions,”  Laini.

 

Kuanzia leo tunapandisha bei hii kitu! Makahaba Mombasa waamua kupandisha bei ya kisima cha asali

Makahaba katika kaunti ya Mombasa wametishia kuongeza bei ya kisima cha asali kwa wateja wao iwapo serikali haipo tayari kulegeza baadhi ya masharti yaliyowekwa eneo hilo la Pwani ya Kenya.

 

Millicent Auma, mmoja wa makahaba hao kutoka Bombululu amesema kuwa chini ya miezi mitatu wamekuwa wakipitia changamoto si haba ikiwemo kukosekana kwa wateja tangu aanze biashara hiyo .

“After the shutting of nightclubs and entertainment joints in Mombasa by both the national and county governments, the number of my clients reduced significantly!” .“My colleagues and I have been unable to feed our families,” added Auma.“We are now grateful to the County Government for reopening eateries and tourism sites as that would make it easy for us to meet our clients.”

Kiongozi wa kanisa amuua rafikiye baada ya kumpata akimlipua lungula mkewe

Auma na wenzake sasa wametoa onyo kwa wateja wao kuwa mambo hayatakuwa namna wanavyotarajia kwani wanapania kuongeza bei ya huduma zao kutokana na hali ya kiuchumi kuwa ngumu.

“They should be ready to pay higher prices than what we used to charge before the outbreak of COVID-19. We’ll now be forced to buy sanitizers and face masks before getting intimate with any customer. Given we are in business, we’ll be forced to transfer that extra cost to the clients,” Auma.

SEX-WORKERS-730x414

Mary Karen, kahaba mwingine wa Mombasa amesema kuwa muungano wa wafanyakazi hao kaunti hiyo sasa umepitisha mswada huo na hivi karibuni wataanza kutoza pesa tofauti.

“Before coronavirus crisis, the only extra cost we would incur was on condoms. Now, face masks, sanitizers and other hygiene equipment have been added to our expenses list. We’ve agreed that the minimum charge will be Ksh800 and the maximum cost a sex worker — in our association — can charge her client will be Ksh1, 200 per session ,”  Karen.

Mkahaba hao sasa wanasema kafyu ya kuanzia saa 9 usiku hadi saa 4 asubuhi imeathiri pakubwa biashara zao na kuwalazimu kupunguza malipo kutoka kwa 1000 hadi kwa shilingi 200.

“Business has gone down! Nowadays, one can even go home with only Ksh200, and that comes from our regular clients, whom we can only get intimate with in their vehicles, given brothels and lodgings are not operational,”

Hii kitu tumeongeza bei! Makahaba Mombasa waonya wateja wao

Makaba mjini Mombasa wametoa onyo kwa wateja wao kuwa huenda wakaongeza bei ya Kisima cha asali iwapo serikali haitalegeza kamba kuhusiana na masharti yaliyowekwa ya kuingia na kutoka katika kaunti hiyo.

Millicent Auma,mmoja wa makahaba hao katika mtaa wa Bombolulu amesema kwa mierzi mitatu sasa ameshuhudia dry spel ya ukosefu wa wateja ,jambo ambalo hajawai lishuhudia kwa miaka mingi.

“After the shutting of nightclubs and entertainment joints in Mombasa by both the national and county governments, the number of my clients reduced significantly!” .“My colleagues and I have been unable to feed our families,” added Auma.“We are now grateful to the County Government for reopening eateries and tourism sites as that would make it easy for us to meet our clients.” Auma amesema.

Mahakama yasitisha kufungwa kwa miaka 15 kwa wachezaji wa raga Frank Wanyama na Alex Obara

Auma na wenzake sasa wanataka wateja wao kuwa tayari kugharamia malipo ya hudfuma zao iwapo serikali haipo tayari kupunguza masharti katika eneo hilo.

“They should be ready to pay higher prices than what we used to charge before the outbreak of COVID-19. We’ll now be forced to buy sanitizers and face masks before getting intimate with any customer. Given we are in business, we’ll be forced to transfer that extra cost to the clients,” Auma.

 SEX-WORKERS

Mary Karen, kahaba mwengine Mombasa amesema mashirika ya wafanyabiashara wa ngono mjini humo wamekutana na kukubaliana kuhusiana na bei mpya.

“Before coronavirus crisis, the only extra cost we would incur was on condoms. Now, face masks, sanitizers and other hygiene equipment have been added to our expenses list,”  Karen.

Makahaba hao sasa wanasema kuwa masharti ya kafyu yamewafanya kupunguza bei ya kulipisha wakati wa ngono kutoka kwa shilingi 1000 hadi shilingi 200.

The sex worker says the 9m-4am curfew has negatively affected their “business”, forcing them to lower their base charge from Ksh1, 000 to even Ksh200.“Business has gone down! Nowadays, one can even go home with only Ksh200, and that comes from our regular clients, whom we can only get intimate with in their vehicles, given brothels and lodgings are not operational,” 

 

Usikanyage Mombasa iwapo hutaki kufa kwa ajili ya corona – CAS Mwangangi

Wakaazi wa Mombasa wapo katika hatari ya kuaga dunia kwa ajili ya COVID 19 kuliko wale walio Nairobi.

Dr-Mercy

Katibu wa utawala wa  Afya Dr Mercy Mwangangi amesema ingawaje  Nairobi na Mombasa zote zimeorodheshwa kama kaunti hatari kwa ajili ya idadi ya juu ya  visa vya  COVID 19, Mombasa ina visa vya juu vya maambukizi ikilinganishwa na  Nairobi.

Watu 254 wamepatikana na virusi vya corona- Mwangangi

Nairobi  inaongoza kwa visa  2,428  ikifutwa na Mombasa kwa visa  1,304. Kaunti za Busia  na  Kajiado  ambazo zina visa vingi kutokana na uwepo wa madereva kutoka nchi jirani zina visa  361  na  179  mtawalia.

Kulingana na  Mwangangi,  licha ya Mombasa kuwa  ya pili kwa idadi ya visa  ina uwezo mkubwa wa maambukizi kwa asilimia  107.9 ikifuatwa na Nairobi kwa asilimia  55.2 kwa kila idadi ya watu laki moja.

Triple Trouble : Wasichana watatu wa shule kutoka familia moja wapachikwa mimba

Mwangangi amesema Kenya ndio nchi pekee  inayotumia utaratibu wa kuwapa utunzi na matibabu wagonjwa wa corona wakiwa nyumbani kama njia moja ya kupambana na virusi hivyo.