‘Akuje anitoe dry spell,’ Wanawake wanammezea mate Jowie baada ya kuachiliwa kutoka jela

 Hii Kenya ina mambo ! imagine ,Joseph Irungu al maarufu  Jowie Joe  aliachiliwa  kutoka gereza la kamiti siku ya jumatatno kwa bondo ya shilingi milioni tatu .Kabla hata hajavuta pumzi baada ya muda huo wote jela ,wanawake mitandaoni wanammezea mate ! wengi wamemtaka aende katika nyumba zao kuwamalizia hamu …

‘Ilikuwa jokes na akaniacha hivyo tu’ Mchezo wa kubana ngono wasababisha machozi

Jowie  hata hivyo ana mengi ya kumsumbua fikra kwani atalazimika kuripoti kwa chifu  kila mwezi huko Nakuru na sidhana atapata muida wa kuwaridhisha wote wanaomtaka kwa njia zao za kibinafsi .Jowie,  ni mshukiwa mkuu katika mauaji ya  mfanyibiashara  Monica Kimani  na amekuwa jela kwa mwaka mmoja unusu  wakati rafiki na  na jamaa zake wamekuwa wakichangisha fedha za kumwezesha kupata uhuru wake

Gay Husband! Mwanamke agundua mumewe ni mpenzi wa jinsia moja

Jana baadhi ya wanawake  walifurika mitandao  ‘kusherehekea’ kuachiliwa kwa  Jowie  na wengine walizidisha matamanio yao ..Tazama

Silverstain M Dan I hope you have known your friends now.

Kisozi Josh Joash Eeeee right from 2018 up to now?? Thank God

loycekones Si akuje tu anitoe hii dryspell ya one year

Komando Pop Cone Sweet Freedom bro, welcome back to the hustling Nation.

Lilian Njagi Wow.. finally Mr handsome is baaaaaack

Margaret Ngugi Welcome back cute criminal

jkamwana.w ❤️❤️❤️❤️💚come to me baiby😊❤😜😋

Sheila Makau Huh…such a cutie pie😘

Regina Mwangi Still cute welcome back to free world

Wanjau Liz But why is he this cute🤔😊

Musyoka David And a Nairobi slay queen will date him. They don’t care

theefree_faller Beast back on street #WaponeSasa.🤙

hassanoh_says leo maribe ako na siku mrefu😅

tamar_reborn Apewe arimis kwa bill yangu 😌

_khankenya For me am glad, this guy deserves  an 18 year old matured whisky.. Kesi badae literally

stella_5589 Happy for you Jowie

litmus_on_the_beat saa ataenda wapi. nani atampea kazi

ndihospartah Ile kutu ii ninja ako nayo.

desmond_odipo 😂😂😂Jacque Maribe akae ritho doshi imerudi

just_arabellarey yaaay 🙌 @jowie.jowi welcome back bro

makuba_her I hope he has learned his lesson…. friends

obiero_diana Ameiva maan😂😂

‘Jowie alikuwa afisa wa Interpol’ shahidi adai katika kesi ya mauaji dhidi ya Jowie

Shahidi katika kesi ya  mauaji ya Monica Kimani  alisema kwamba Joseph Irungu maarafu kama Jowie alitambulishwa kwake kama afisa wa polisi wa kimataifa (Interpol) na pia mtaalamu wa masuala ya usalama katika Afisi ya Rais.

Lee Omondi alitoa ushahidi Jumanne kuhusu kesi ya mauaji ya Monica Kimani ambapo Jowie pamoja na mpenziwe wa zamani Jacque Maribe walishtakiwa kwa madai ya mauaji hayo.

Omondi alimwambia Jaji James Wakiaga kwamba alienda nyumbani  kwa Monica Septemba 19,2018 ili kuchukua vyeti vyake na kukutana na Jowie na mtu mwingine aliyemtambulishwa kwa jina la Walid.

Mourinho: Mashabiki Wa Arsenal, Chelsea Na United Watoa Hisia Zao

Hapo ndipo Maribe alimtambulisha  Omondi kwa Jowie na  Walid. Alimwambia kuwa Jowie ni mtaalamu wa usalama wa Interpool na pia afisa wa usalama katika afisi ya rais.  Walid alitambulishwa kama jirani aliyekuja kumwona  Monica baada ya kutoka Juba ,Sudan Kusini.

Omondi alisema kwamba mtu aliyetambulishwa ni Jowie na alimwona na kumtambua kortini. Jowie ni mshukiwa wa kwanza katika mauaji haya ya Monica.

Omondi alisema walikutana na Monica kule Juba alipokuwa kazini.

Alisema kuwa alipofika, alipewa mvinyo na kukunywa pamoja na Monica na Jowie. Hata hivyo, alisema kwamba kinywaji chake kilikuwa na wiski huku hao wawili wakinywa mvinyo.

Aidha alisema kuwa Jowie alikuwa amevalia kanzu . Monica alimwambia kuwa haikuwa desturi yake kuvali hivyo huku akisema,“Havaangi Kanzu lakini leo amevaa,”

Wakati mmoja tuliongea kuhusu usalama wa nchini Jowie akakubali kunitafutia bunduki wa kila namna na hapo ndipi niliamini kuwa anafanya na idara ya usalama,” alisema.

Pia, walizungumzia kuhusu ziara ya Monica ya kwenda Dubai ambapo alisema alifaa kwenda mkutano wa Unicef ulioratibiwa siku iliyofuata.

Alisema kwamba waliendelea kunywa mvinyo kwa muda mrefu huku wakila jikoni.

Korti iliambiwa kuwa Walid alikuwa wa kwanza kuondoka mahali pale.

EACC: Ufisadi Na Ukosefu Wa Ajira Ni Changamoto Kwa Wakenya

“Nilikaa kwa muda mrefu kidogo baada ya Walid kuondoka. Baadaye niliwasihi kuondoka na Monica akasema ‘ Jowie anakufuata sasa,”’ Omondo alisema.

Siku iliyofuata, Omondi alisema kwamba hangeweza kuwasiliana na Monica tena. Mwanzo alidhani kuwa alikuwa ameenda ziara yake ya Dubai, ila alifahamishiwa kuwa alikuwa ameuawa.

‘Kiti Cha Urais Ni Ndoto Kwa Jamii Ya Luhya Iwapo Hawataungana,’ – Aden Duale

Maisha ya raha mstarehe aliyoishi Monica Kimani

Wakenya wamepata jipya la kuangazia kutoka kwenye kesi ya mauaji yake Monica Kimani.

Monica alikuwa mfanyi biashara maarufu hapa nchini. Alipatana na mauti yake nyumbani kwake eneo la Lamuria Gardens. Monica alitambulikana sana kwa maisha yake ya kistaarabu pamoja na kuendesha magari makubwa ya kifahari.

Afisa wa polisi aliyefika eneo hilo mapema, Jennifer Sirwa alitoa picha za sehemu ya shingo ya marehemu Monica. Mdomoni alikua amefungwa na kamba nyeusi huku miguu ikifunganishwa nyuma nayo mikono ikafungwa nyuma.

Moja kati ya picha zilizotolewa zilimwonesha monica akiwa kwenye bafu huku amevalia vazi refu ya kijani kibichi, miguu yake ikiwa imeinuliwa juu na mkato wa sentimita sita kwenye shingo lake.

Kwenye mkono wake uliojaa michoro mlikua na huku kamba za kushindilia  paa la nyumba. Sirwa alidai kuwa Monica aliuliwa sebuleni mwake kisha mwili wake ukavurutwa hadi bafuni.

“Mlikua na taulo iliyolowa damu ambayo tunashuku ilitumika kuosha damu kutoka sebuleni.” Alieleza Sirwa.

Hata hivyo wakili wake Joseph Irungu,Hassan Nandwa, alidai kuwa huenda Monica aliaga dunia kutokana na njaa kwani uchunguzi wa mwili ulionesha ukosefu wa chakulab mwilini mwake.

“Je, mlifugua umio wake ili kubaini alichkuwa kale hio siku? Je, mlifumgua tumbo lake? Je, twaweza kusema kuw kifo chake ni sababu ya kukosa kula kwani hamkua na chakula tumboni mwake?

Monica KimaniMonicah Kimani
Marehemu Monica Kimani

Wakili Hassan pia alikuwa amedai kuwa labda shingo lake monica ilikatika baada ya kupiga dunia teke.

Ndegwa alisema,”Mwili ulikua unatoa damu. Hakuna mwili mfu hutoao damu. Alikuwa na mkato kwenye shingo lake ulionekana  na damu iliyojaa kwenye mapua.”  Uchunguzi wa mwili ulifanyika tarehe 24 kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha Chiromo. kulinganan na uchunguzi ,monica aliaga dunia kutokana na kidonda cha kitu chenye makali. viuno vyake vyote vilikuwa na vimefungwa na kanda nyeusi.

“Mwili huo ulikuwa wa mtu mwenye umri wa miaka 28, alikuwa kavaa nguo ya rangi ya samawati  na alikuwa na vazi refu la kijani kibichi,” Ndegwa alisema. kulikuwa na wakati ambapo jaji aliuliza,”Je, mlikuwa mnaitazama kana ya soap  ama cinema ya Nigeria? Hii ni baada ya daktari wakufanya uchunguzi wa wafu kuleta picha nyingine..

 

Women Senators concerned over increasing cases of murder, violence against women and girls

Women Senators have raised concern over increasing cases of violence against young women and young girls in the country.

The Senators however said the violence was also affecting men and young boys in society.

The Kenya Women Senators Association (KEWOSA) members met in Eldoret and urged the police and the DPP to ensure all those perpetrating murder and violence against women are arrested and prosecuted.

Chairperson of the association Mary Seneta Yiane and Ten other senators said the country was recording an increase in cases of murder, rape, defilement and attacks against women.

They cited the recent murders of Sharon Atieno, Merbel Kaplon and Monica Kimani as a worrying trend of gender based violence.

“We know many cases go unreported and the violence also affects men and young boys. We condemn the violence and call for restraint in society”, said Senator Alice Milgo.

Christine Zawadi who is a nominated Senator said the entire society was to blame for the violence and time had come for Kenyans to rethink about having a morally just society free from such violence.

She said courts must also play their role of meting out harsh punishment against those perpetrating such violence.

“Many suspects are going free and we urge our judiciary to help us fight the violence against women,”said Zawadi.

The Senators said they would team up with other groups to sensitize society on the need to avoid the violence and instead sort out disputes through dialogue and counseling.

Senator Yiane said young girls should be careful on the friendship they keep and avoid falling into traps of dangerous relationships because of money and drugs.

“Parent should take up their roles in guiding and counseling girls to be careful on the relationships they engage in to avoid falling into dangerous hands”, said Yiane.

Zawadi said they were also against those seeking legalization of dangerous drugs like bhang which were also to blame for the increased violence.

She said young children did not deserve to die in such cases of violence bacause they were innocent and had no capacity to offend anyone.

The Senators said they would seek to strengthen the legal framework against violence in society.

-By Mathews Ndanyi

Lawyers opposed to the bid to detain Joe Irungu for 14 days

Lawyers for Kilimani woman’s murder suspect Joseph Irungu on Wednesday opposed an application by the DPP to have him remanded for 14 days.

37744524_2048169242140514_8108696661968027648_n

Citizen TV’s Jacque Maribe’s fiancé Joe irungu arrested over the death of Monica Kimani, woman killed in bathtub in Kileleshwa

This was after the DPP, through lawyer Christine Mbevi, sought more time for probe before the suspect takes plea in Monica Kimani’s murder case.

Irungu was arraigned at the Kiambu law court following his arrest on Tuesday in connection with the September 25 killing at an apartment on Dennis Pritt Road.

jowie jacque maribe's fiance

 

His lawyers said before senior principal magistrate Stella Atambo that their client cannot be detained since he has a bullet wound which needs to be attended to.

Samson Nyamberi, Mugambi Laichana, and Lawrence Mbambu told the court that Irungu was treated at Kijabe Mission Hospital but has not been allowed to see a doctor since his arrest.

“The respondent has not been given a chance to get medicine, even painkillers, despite him having a bullet wound,” Laichana said.

“He was supposed to go for an MRI yesterday and was denied the chance. Doctors had warned he has to be treated in four days or he risks his arm being amputated.

The lawyer told the court that they needed four days for the respondent to receive treatment before the court hears the application.

Mbambu asked the court to review the matter adding that the DCI has the suspect’s medical records showing he needs medical attention.

Mbevi said that since the accused is yet to take the plea, the application for more time will also cater for his need for medical attention.

The magistrate is expected to make a ruling on the prosecution’s application today (Wednesday).

Citizen TV’s Jacque Maribe’s fiancé Joe irungu arrested over the death of Monica Kimani, woman killed in bathtub in Kileleshwa

Jacque Maribe’s fiance Joe Irungu has been arrested as the person of interest regarding Monica Kimani’s death.

35617536_273431643224517_8333890799548760064_n

He was questioned at the Kilimani police station over the killing of 29-year-old Monica Kimani.

The woman’s lifeless body was found in a bathtub at her house by relatives who went to check on her on Friday.

 

kimani

A senior police officer at Kilimani told the Star that an inquiry was launched immediately after the lady was killed.

She was found inside a bathtub by her sister who came visiting.

 35617820_212037109446256_1987167499686248448_n

The sister told police they had to break into the house having failed to get a response after knocking several times.

37744524_2048169242140514_8108696661968027648_n

They were shocked to find the body in the bathroom with a slit neck. Monica lived alone.