Je sababu ni gani?Bibi aruhusu mpango wa kando kuwa kati ya ndoa yake na mume wake

Ninaamini kuwa sote tunakubaliana na maneno wanawake husema kuwa hawawezi kubali mume wao awe na wasichana wengine.

Hata hivyo nilishangazwa kujua kuwa wako wanawake ambao hawana tatizo na mume wao kuwa na wanawake wengine wakidai kuwa endapo mume wake ana mawazo mengi,huyu mpango wa kando anaweza kusaidia kusuluhisha mambo kwenye boma ile.

Siku za mwisho ama?Wanawake wajivunia kushiriki ngono na waume wasio wao

Amini usiamini mwanamke mmoja alifunguka wazi kwenye vyombo vya habari na kusema kuwa,uhusiano kati yake,mume wake na mpango wa kando uko wazi na hana tatizo lolote na maisha haya.

Aidha,mpango wa kando alisema pia,kila mara mume wa mke huyu wana tatizo,mke huyu humpigia simu na kumwomba mwanamke huyu amsaidie kusulihisha tatizo lao.

”Nimekuwa mpango wa kando kwa miaka nne sasa na wakati wapenzi hawa wako na matatizo,mimi hupigiwa simu na bibi ya huyu bwana na ninaingilia kati na kusaidia kusuluhisha tatizo hili.”

Vilevile,huyu mpango wa kando alisema kuwa,mara kwa mara huwa anaenda kuwachukua watoto wa mama huyu kama mama yao hayuko.

Wanaume wa Lamu wahimizwa kuendelea kuzaa na wake zao

Aisee!Uhusiano wa wanawake hawa na mume wao ulinifurahisha kwani wao huishi pamoja kama familia na hakuna siku ambayo wao huwa na matatizo kwani bibi huyu anajua mpango wa kando wa mume wake ni nani.

Mbali an hayo,mke huyu alisema, kuwa  na wapenzi wawili si tatizo mradi tu wote wanajuana.

”Kuwa na wapenzi wawili si shida kwangu bora tu tunajuana na hakuna mwenye anasema uongo.”Bibi alisema.

Je?Wewe unaweza ishi katika uhusiano huu?

Sikumdhuru mpenzi wangu licha ya kumfumania na mpango wa kando – Derrick Mbugua

Derrick Mbugua ndiye aliyekuwa mgeni wetu siku ya Jumatatu katika kitengo cha Ilikuaje naye Massawe Japanni.

Mbugua aligonga vichwa vya habari hapo nyuma alipo rekodi mazungumzo yake na mpenziwe ambaye alimfumania akila uroda na jamaa fulani.

Wawili wao walikuwa kwa uhusiano wa miaka mitatu unusu na wamejaliwa mtoto mmoja.

Ilikuaje: Mamangu alinipata akiwa mchanga – Moji short baba

Jamaa huyo anasimulia kuwa asubuhi moja alienda mpaka alipokuwa anaisha mpenziwe na alipobisha lango kuu hamna aliyemfungulia, huku ikiwa mida ya saa tisa asubuhi.

Ilimbidi akae pale nje hadi saa kumi na mbili akimsubiri mpenziwe na alipomuona alijijazia kuwa alikuwa kwa mpango wa kando. Anasema kuwa alipomkabili mpenziwe alikubali makosa yake na kusimulia kilichotokea.

Mda huu wote, Mbugua alikiwa anarekodi mazungumzo yao yote na mpenziwe hakuwa na habari.

 

Wakati nilimuona anaingia na ile kutembea nilijua mahali ametoka na nilipomuuliza alisema nimetoka mahali fulani kwa mtu anaitwa Chris anayeuza nguo Gikomba, ni mtu walipatana jioni akampa nambari yake. Alisimulia Mbugua.

Ilikuaje: Fatuma Gedi afunguka kuhusu kanda ya ngono aliyosingiziwa

Aliendelea,

Kupigia Chris alikuwa na wingi wa upole na akakiri kuwa hakujua alichokuwa anafanya. Kumuuliza mpenzi wangu anachotaka hakuwa na maneno ya kusema kwani alikuwa ameshtuka sana.

Mbugua anasema kuwa aliamua amsamehe mpenziwe badala ya kufanya jambo ambalo angejutia maishani.

Sababu kubwa ilifanya nimsamehe niliangalia tulipotoka, Facebook wasee wanasema nipate Chris nimmalize, marafiki wanasema tuungane tukamvamie. Lakini nikasema haifai.

Nilijaribu kumpiga nikasema hapana na nikaamua ku rekodi nikachapisha mtandaoni ili nione kama kuna mwenye amepitia hayo.

 

 

 

Toboa siri: Bibi anadhani nilifariki ila nimekuwa kwa mpango wa kando

Kila siku ya wiki kuna kitengo cha ‘Toboa siri’ ambacho huletwa kwako na watangazaji hodari, Mbusii na Lion katika shoo kali ya Mbusii na Lion teketeke.

Katika kitengo hiki, waskizaji hupata fursa murwa ya kufungua roho na kusema kile ambacho wamekuwa wakibeba moyoni. Hii ni kuwasaidia kuomba msamaha na pia kuwasamehe waliowakosea.

Basi kuna jamaa ambaye alifichua kuwa familia yake inaamini kuwa alifariki na akazikwa, baada ya ajali ya ndege ya Ethiopian Airlines.

Kulingana naye, mkewe alijua kuwa alisafiri hadi Ethiopia kikazi na alikuwa arudi tarehe kumi mwezi wa tatu, siku ambayo ndege hiyo ilianguka na kuua kila mmoja aliyekuwa ndani.

Toboa siri: Mimi hulala na mgomba ili nisipate ukimwi

Cha kushangaza ni kuwa jamaa huyo baba wa watoto wawili, alimdanganya mkewe kuwa bado yuko Ethiopia ilhali alikuwa Nairobi kwa mpango wa kando.

Akiwa na mwanadada huyo, ndipo alipokea habari kuwa kumetokea ajali mbaya ya ndege, ndege ambayo mkewe alikuwa amengoja imrudishe mumewe nyumbani.

Hapo ilibidi familia yake ifanye shughuli za matanga na kuuzika mgomba wa ndizi kwani mwili wake haukupatikana. Hiyo ni kulingana na mila na desturi zao.

Sasa hajui la kufanya kwani ana huzuni na pia anataka kuirudia familia yake.

Toboa Siri: Nilikuwa napepeta mke wa rafiki ya babangu

Soma usimulizi wake.

Nafanya kazi ya kuweka CCTV town na kuna hii tender ilitoka ya kwenda kazi Ethiopia.

Kazi ilipoisha siku yenye tulitoka Ethiopia nilimdanganya bibi yangu kazi haijaisha ila niko na mpango wa kando huku Nairobi.

Shida nilimwambia kuwa nitarudi tarehe kumi mwezi wa tatu na nikiwa kwa yule msichana tukaona ile ndege ilikuwa inatoka Ethiopia imeanguka na watu wote wamefariki. Hapo walijua kuwa nilikuwa kwa ile ndege na nilifariki.

Hapo walishiriki mambo ya matanga na wakaenda nyumbani na kuzika mgomba wa ndizi kama mwili haujapatikana.

 

Shida iko nataka kurudi nyumbani kwani baada ya kutoka kwa mpango wa kando nilikodisha nyumba na nikabadilisha nambari yangu. Mahali siko sina amani kwani mimi hutokwa na machozi nikikumbuka.

PATANISHO: Mke wangu hunidanganya kuwa mpango wa kando ni cousin yake

Baba Daisy, 31, aliomba apatanishwe na mkewe bi Eunice, 28, ambaye walikosana na akambebea kila kitu kwa nyumba na kuondoka. Anadai kuwa kila anapompigia mkewe simu yeye hujibu lakini hazungumzi na sasa hajui la kufanya.

Patanisho: Jombi aapa kutopiga bibi yake

Nimekaa na my wife for four years na kuna mtu alikuwa anampigia simu na kumtumia ujumbe usiku, na nikaanza kumuuliza huyo ni nani. Kila wakati alikuwa anajibu kuwa ni cousin yake na siku moja tulikosana hadi akaangusha simu yangu sakafuni.

“Siku moja nilitoka kazini na nikapata ameondoka tayari bila kunieleza sababu yoyote.” Alisema.

Wawili hao wana watoto wawili na wakekuwa kwa ndoa ya miaka minne.

Aliongeza kuwa yeye huskia wakizungumza na kila wakati huwa akimjulia hali usiku sana.

PATANISHO: Ukibadilika nitajua tu kwani CCTV Ni mob

“Ule staki mambo yake staki mambo yake amenichosha sana!” Alisema bi Eunice kabla ya kusitisha mawasiliano kati yetu.

Kulingana na Baba Daisy, wawili hao walioana kirasmi na tayari wazazi wa familia hizo mbili wamekutana. Isitoshe alipata habari kuwa mkewe huwa havumilii nyumbani na kuwa huondoka na kuwacha watoto pekee yao.

“Nishawahi zungumza na yule jamaa na akazima ile laini na kubadilisha laini nyingine. Kumpigia na laini nyingine ili nimuulize mbona hajawahi kuja nyumbani tujuane huwa hazungumzi.” Aliongeza Baba Daisy.

PATANISHO: Sina wanawake wengine hao ni ma customers!

 

‘Mpango wa kando aliniona war after kumwacha!’ City woman narrates

We all know many married men and women seek mpango wa kando services just for a short term thrill or rather use them as a distraction.

But according to one lady named Emily, her mpango wa kando got pretty attached to her thrills and could not stomach being dumped.

Sababu Massawe Japanni hatokuwa hewani kwa mda

Speaking to Massawe Japanni, Emily said she noticed the mpango being too clingy and needy compared to her husband and told him she was thinking of ending the affair.

The man never took it lightly and when Emily started ignoring his calls, he made his way to her work place and pounced on her beating her up mercilessly.

Irked by his actions she planned to get one over him and this she did after the mpango wa kando invited her over for a chill out.

She tried to talk herself out of the relationship but he would not take no for an answer and the two ended up exchanging blows before breaking up.

Read her narration below.

‘Safiri salama dadangu’ Massawe Japanni mourns her best friend

 

Mimi nilikuwa na mpango wa kando na nikaona anakuja sana hata kuliko mzee wangu, na nikataka kumtoka. Nikajaribu mbinu zote kumtoka ikakataa.

Sasa siku ingine sikushika simu zake zote, wacha anikute job si aliniona war. Ushawahi ona mtu anapigwa na mpango aki ya mungu? Nilionwa war aki ya mungu.

Alinipiga kwa sababu nilitaka kumwacha sasa nami nikaamua dawa ya moto ni moto, akaniita mahali na nikaenda.

Nikamwambia mimi vile nilikwambia ni ivo, nikaona anataka kuleta fujo tulionana war sasa ni mtu na mwingine. Sasa ni kupigana, moto juu ya mwingine mpaka ikaisha ivo.

Unajua huwezi ambia bwana shida ni gani unamdanganya kuwa unaskia mwili ni mchovu, halafu anajua mimi ni mchokozi.

 

I’m using Kamuti to prevent someone’s hubby from leaving me – Kenyan woman

 

Like Jim Reeves sang, this world is not my home I’m just a passing through, that is exactly my to go song whenever I hear/witness nasty stuff.

Well I have been humming to that jam the last few days, after one chic called in and confessed to using Kamuti on someone’s husband.

According to the chic named Cate, she has a moneyed ka sponsor who is obviously someone’s husband. She revealed that thanks to her mom’s assistance, she uses kamuti to keep the man hypnotized for their own benefits.

Bustani la Massawe: I have been smashing my boss’ wife for the last 6 years

She says that her mother who is a mganga, helps her get some bizarre stuff which she mixes in the poor man’s food to get him hooked. In return she gets monetary benefits in exchange for sex.

After being with the sponsor for a few years, the man has already bought Cate and her mom a house while his wife and kids live in a rented house.

Read her confession below.

Siku hizi mapenzi lazima uingize kamuti. Mimi nilikuwa na date bwana ya wenyewe lakini mganga aliniambia nimpatie private parts za crocodile.

First mamangu mwenyewe kwanza ni mganga, sasa ananipatia namuekea kwa chakula, ana perform na hakuna mahali ataenda.

Wakati wa kula zile chakula, unajifanya mgonjwa ili yeye mwenyewe ale.

Video of the day: Massawe Japanni’s dancing skills are top notch!

Why didn’t she look for her own husband?

Mwanaume mwenyewe ni mtamu, nimekuwa naye kwa miaka miwili na siwezi mzalia kwani nataka tu pesa. Mapenzi ninayompa ni ya uchawi.

How much does she get from the sponsor?

Per day yule jamaa huniwachia elfu tano bora tu nimuoshe miguu na nimpe kila kitu anataka.

Mimi nimenunuliwa nyumba na bibi yake ndiye anakodisha, mimi mambo ya kukodisha siwezi. Akileta nyokonyoko tutamfukuza na mamangu kwani kila kitu tume register na mamangu kwa jina langu.

Mimi nampa dawa kila siku na ikiisha nguvu narudi, akiruka akili.

Jambo Massawe: Bwanangu alinifukuza na akaoa dadangu (AUDIO)

Niliwacha kuhanya, mke wangu naye akaanza na akaniambukiza ugonjwa – Kenyan man

Maybe by now you have heard of the now popular phrase ‘The game is the game’.

It is normally used when there is a form of revenge or retaliation especially in relationships. For example if a hubby cheats, the wife finds out and cheats in return then the game is the game!

My hubby used to sneak out of bed to smash the mboch – Narrates Kenyan woman (AUDIO)

This happened to one mzee Mogaka from Langas, Eldoret who had a mpango wa kando till his wife found out.

Upon finding out, the two agreed that they won’t engage in unprotected sex till Mogaka changes his ways. While mzee was busy reforming, his wife was busy scheming on how to get back at him.

She got a mpango wa kando and infected her husband with a sexually transmitted infection in the process.

Hurt by the events, he decided to chase the wife away and he is now a single man reaping the fruits of his infidelity.

Jambo Massawe: Rafiki ya mume wangu alinitoa kwangu na kunioa

Read his narration below.

Mjadala wa leo ni mzuri na una mafunzo maanake mimi nilikuwa na bibi tuliyekuwa naye kwa miaka miwili.

Sasa akaniambia amaeona mienendo yango sio mizuri so wacha tuanze kutumia kinga hadi wakati ataona mienendo yangu iko sawa, na nikakubali.

Lakini maajabu ni kwamba sote tulitii umri lakini baadaye akaenda akakosea. Makosa ni kuwa nilipowacha hiyo tabia kumbe yeye ndiye anaamka ndio hivo alivyopata ugonjwa na akaniambukiza.

Sasa nikaenda hospitalini lakini sikupona hadi wakati nilipoanza dawa za kienyeji na nikapona baada ya siku saba, hapo nikampeleka hospitalini.

Baadaye nikamwambia kuwa hawezi badilika na nikamtuma nyumbani kwao. Cha kushangaza ni kuwa hajawahi nipigia simu wala kunijulia hali wala kusema amebadilika.

Jambo Massawe: Bwanangu alinipea notice nihame

Listen to his narration below.

 

 

 

 

PATANISHO: Tulikosana na mke wangu kwa ajili ya mpango wa kando

Ian alituma ujumbe akiomba usaidizi ili apatanishwe na mkewe Bi Esther, ambaye walikosana miezi mitano iliyopita.

Kulingana na Ian walikosania maneno ya simu na tangia siku hiyo mkewe hajakuwa akijibu simu zake.

PATANISHO: Nilifungwa jela na watoto baada ya mke wa tatu kuleta kisirani

“Tukiwa kwa nyumba na mtu anipigie simu yeye alikuwa analeta shida. Nilikuwa nyumbani Bungoma nikifanya kazi ya bodaboda na kuna msichana tuliyepatana huko na tukawa na urafiki na akawa mpango wangu wa kando.

Sasa nilipopata kazi Nairobi alijua nilikuwa na mpango wa kando na licha yangu kuwachana naye, bado mke wangu alikuwa ananishuku”

Wawili hao ambao wamekuwa kwa ndoa ya miaka mitano, wamejaliwa watoto wawili na walienda na mama yao.

PATANISHO: Bwanangu alileta msichana kwa nyumba akidai ni cuzo

Alipopigiwa simu bi Esther alidhibitisha kuwa wawili hao walikosania maneno ya simu lakini shida kuu ilitokea baada ya huyo mwanamke kuwatesa watoto wake.

“Hayo yote yalinifanya niamue kutoka kwake na kwenda nyumbani. Isitoshe ni mwanamke mkuu ki umri kumshinda na ana watoto karibu saba.

Nilienda kwa bwanake na akasema kuwa waliwachana baada ya yule mwanamke kuwaacha watoto wake.” Alieleza Esther.

Naye Ian alijitetea akisema, “Hata sikuwa najua hayo, ningalijua ana watoto saba singekuwa nayeye, hii mafuta ilikuja wanajipaka wanakaa nyororo sasa huwezi jua.” 

PATANISHO: Mama alimkosea mke wangu akitaka kujionesha yeye ndio kichwa

 

Patanisho: Mke wangu alipachikwa mimba na mpango wa kando

Bwana Otieno aliyekiri kuwa mkewe bi Betty, alienda nje ya ndoa, alituma ujumbe akiomba apatanishwe. Isitoshe, katika harakati ya mipango ya kando alipachikwa mimba.

PATANISHO: Pastor alimdanganya mke wangu eti alimuombea akapata mimba

“Mke wangu alienda nje ya ndoa na nikagundua kuwa ana mimba ya yule mpenzi wake. Kisa hicho kilinikasirisha na niliondoka na kwenda akiwa miezi kadhaa kabla hajajifungua.” Alieleza Otieno akisema anataka apatanishwe na mkewe huku akidai aligundua kuwa haoni kama atapata mke mwingine kama yeye.

Otieno alifichua kuwa wawili hao waliingia kwa ndoa huku mkewe akiwa na watoto watatu tayari.

Mke wangu alikuja akanidokezea kuwa mkewe alidanganywa na msichana wa kazi aende nje ya ndoa.

Wawili hao wamekuwa kwa ndoa ya miaka mitano.

PATANISHO: Mke wangu nimekuwa mchafu tangu uende

Betty alipo ombwa msamaha alikiri kuwa hana shida kwani yuko tayari kurudiana na mumewe.

“Ni sawa sina shida wacha nishughulike mambo na watoto shule tutaongea.” Alisema Betty akiongeza, Sina shida naye tumesameheana.”

Cha kushangaza ni kuwa Betty alisema kuwa mimba ni ya Otieno na kuwa aliyemdanganya mimba sio yake ni kama alikuwa na nia ya kumuoa. Swala hilo lilimfurahisha mumewe Otieno.

Pata uhondo kamili.

PATANISHO: Niliogopa kuwa mume wangu anaweza niua

Patrick alituma ujumbe akiomba kupatanishwe na mkewe Sylvia, mwenye umri wa miakaa 28, mbaye alipata amefunganya virago vyake na kuondoka mwezi wa Disemba tarehe 30.

PATANISHO: Bibi yangu anatetea mpango wake wa kando

Kuna kijana fulani ambaye alikuwa anamtaka na mimi kuja kugundua hayo maneno, kumuuliza ikawa tunakosana naye na baadae akaja akaniambia huyu kijana alikuwa anamtaka, lakini alimueleza kuwa yeye ni mpwa wake na hawawezi pelekana mahali. Alijieleza Patrick.

Sasa nikamweleza kuwa sikuwa naelewa hayo maneno na sasa kwa ajili nimeelewa basi hayo maneno tuyaache. Na hapo baadae akanitumia ujumbe akisema nimsamehea maneno yote aliyonifanyia.

Nikamwambia nishamsamehe na tuishi na amani, sikujua on Sunday nikitoka kazini nitamkosa. Nilipata amekusanya vitu vyake na ameenda huku watoto akiwa amewapeleka kwa mamake. Aliongeza akidai kuwa hajui kwenye mkewe aliko kwani alimwambia yuko Naivasha.

Kulingana na Patrick 31, wawili hao wamekuwa kwa ndoa ya miaka mitano lakini bado hawajaona ki rasmi.

PATANISHO: Bwanangu alikatwa kichwa na mpango wa kando na bado akamrudia

Unajua Gidi wacha nikuambie, mapenzi inakuanga ya watu wawili lakini mtu wa tatu, nne akiingia inakuwa tu hivo. Kwa hivyo mimi niliboeka. Alisimulia Sylvia.

Mimi niligundua kuwa tukivuruga kidogo yeye huenda kuambia ndugu zake mpaka anaingiza wazazi wake na tukimaliza maneno, hatukai hata wiki moja kabla ya kurudisha yale maneno. 

So niliona hakuna haja ya kuendelea na yeye, unajua mtu anaweza kuambia amekusamehe na kwa roho hajakusamehe. Mimi niliogopa kwani mtu hata anaweza kuua. Aliongeza.

 

Pata uhondo kamili.