Dadangu amemdanganya mumewe kuwa ana STI ili asimpatie haki yake-mwanamke afichua siri ya dada yake

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii, mengi husemwa na siri nyingi kufichuliwa na baadhi ya watu, mwanamke mmoja aliwaacha wengi midomo wazi baada ya kusimulia siri ya dada yake.

Mwanamke huyo alisema kuwa amepanga shemeji yake ukweli kuhusu mke wake ambaye kwa muda amekuwa akimdanganya ili kufanya ngono na mwanamume mwingine.

“Dada yangu anamdanganya mumewe na siwezi shuhudia hayo yakitendeka, mume wake ana sura nzuri, ni muombaji na pia mwenye bidii

cheattt-696x481

Huwa anampa kila atakacho ilhali dada yangu huwa anapekejeng na wanaume tofauti. Awali amekuwa  akifanya ngono na wanaume wengi hadi kuharibika

Amekuwa akivaa diapers kwa wiki kadhaa sasa na kudanganya mumewe kuwa ameambukizwa STI, hajakuwa akimpa mumewe haki yake huku akijifanya ana ugonjwa wa STI

Namhurumia sana shemeji yangu, nataka kumuambia kila kitu dada yangu amekuwa akimfanyia.” Alieleza Mwanamke.

Wengi wlishangazwa na usimulizi huo na walikuwa na haya ya kusema;

b_zainabb Just say you’re interested in your sister’s husband 😒

wanjaripj instead of you to advise your sister you want to take her husband. Better mind your business.

sansabankz Please leave her. Karma awaits her but just leave her alone.

mrolawoyin Babe, as much as you feel for the man, it’s not in your place to date or marry him. Also, report to your mother and not her husband.

 toyosii_ Sister from hell! But why do some married folks do all these stupid things!!!

regina559 So you want us to encourage you on how to date your sister’s husband?? You are no different from your sister then.

kemifit Good purpose, but bad intentions. There’s no difference between the two of you since you’ve had your eyes on your own sister’s husband for a while. How do you want to marry your sister’s ex if he leaves her? I can’t say you’re doing something entirely good since you want to gain something at the end. You can tell him to save his life and remove him from the dark but this your own intention is 0.

‘Nilikopa nusu millioni kulipia mpenzi wangu nyumba na kuanza kuishi na baby mama wake -Mwanamke Asimulia

Ni kwa kila mwanamume au mwanamke kuthibitisha na kuhakikisha mwenzake amepata mafanikio endapo wanapendana. Hawakukosea waliposema kuwa mtu anaweza kufanya chochote kwa ajili ya mapenzi.

Kama mazungumzo hayajazidi, je ni jambo lipi ulimfanyia mpenzi wako na mwishowe anakuacha kwa jambo lisilo na maana ilhali lile ulimfanyia ni zaidi na lile amekuacha na kuanza kufanya.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii, mwanamke mmoja alieleza jinsi alikopa nusu millioni kumlipia mpenzi wake nyumba kwa maana alikuwa amepata kazi na kisha akaanza kuishi na mwanamke mwingine aliyekuwa na mtoto wake yaaani kwa kimombo ‘baby mama.’

“I borrowed nearly half a million for him to rent an apartment because he got a new job in a new city.Dude actually moved into the new apartment with his baby mama.”

Wengi walieleza mambo ambayo walipitia na kuwafanyia wapenzi wao ilhali uhusiano wao haukudumu kwa sababu moja au nyingine.

Haya hapa mambo yao;

Chinedu:I’d saved all my stipends to buy a guitar and because I was eyeing one babe, I gave the guitar to her brother who has never returned it till this day.Of course, I never even got to date the babe. Smh.

iamtopmaestro:I was a poet back in High School. I’ll write poems for my crush to give her crush.

Olamide:My daily allowance in uni was about 3k per day.I spent most of that calling my boyfriend who was abroad at the time.I couldn’t afford most of the stuff I needed. Of course, we didn’t end up marrying each other.

Adeola:I scammed my parents for money in Uni and bought my boyfriend a 43K wrist watch.I actually do not regret it.

Natamani sana kupigwa Kuni! Mume wangu hajakuwa nyumbani kwa wiki mbili sasa- mwanamke asimulia

Ni wazi kuwa mkurupuko wa virusi vya corona nchini umechangia pakubwa kwa familia nyingi kutengana kutokana na hatua ya kufungwa baadhi ya kuanti ambapo kumefanya baadhi ya watu kukosa kujumuika na familia zao kwa muda.

Kwa mwanamke mmoja ambaye sasa mumewe amefungiwa katika kaunti ya Nairobi amejikuta pabaya kwani hamu ya kumuona mpenziwe imeambulia patupu swala ambalo anasema linamkosesha usingizi na hata wakati murwa wa kushiriki ngono.

Hekaya za Abunuasi! Oparanya atangaza kuwania urais 2022

Kulingana na mwanamke huyo, kisima chake cha asali kimechemka na kinahitaji mtu wa kumlipua lungula ya kutosha japo hana wa kumfanyia hivo.

Mume wangu alifungiwa Nairobi baada ya serikali kutaka watu wasitoke eneo hilo kutokana na idadi kubwa ya virusi vya corona. Jambo hilo limeninyima hamu ya kushiriki ngono kama mwanamke mwingine. Wakati mwingine hata kisima changu cha asali huwa kinachemka kumaanisha kuwa kinahitaji mtu wa kukishughulikia lakini hayupo, swala hilo linanipa hofu kweli, amesimulia mwanamke huyo.

Woman Crying

Mwanamke huyo sasa anasema kutokana na penzi lake kuu alilo nalo kwa mumewe, haliwezi kumfanya kushiriki ngono na mwanamme mwingine japo ana hamu kuu.

Nampenda sana mume wangu, ndio nahitaji mtu wa kunilipua vilivyo lakini mapenzi yangu kwake siwezi kuyasaliti kwa mwanamume mwingine. Mwili wangu unahisi tu kuwa na mwanamume ambaye nampenda kwa dhati, alisimulia mwanamke huyo.

Unyama wa polisi! Mwanamke apigania uhai wake baada ya gari lake kufyatuliwa marisasi na polisi

Amesema kulingana na wosia ambao mamake mzazi alimpatia, unamfanya kuwa na nguvu za kustahimili mawimbi ya kibaridi kinachomkumba usiku. Kulingana na mwanamke huyo, babake alikuwa anagawia kwa muda ndiposa kufanya ziara ya kurejelea nyumbani japo mamake alisalia kuwa mwaminifu kwake.

Mamangu ameishi akiniambia kuwa ukishiriki ngono na mwanamume ambaye si wako huwezi ukafurahia utamu wake, amenishauri niwe mwanamke jasiri na ambaye atavumilia kila mtihani wa maisha. Amesimulia mwanamke huyo

 

 

Mambo 8 kuhusu Fibroids ambayo kama mwanamke unafaa kujua

Takriban asilimia 80 ya wanawake huathiriwa kwa wakati mmoja na tatizo la fibroids  au uvimbe katika ukuta wa mfuko wa uzazi . aiwapo una tatizo hilo unafaa ufahamu kwamba hauko pekee yako kwani wengi wanaathiriwa na fibroids wakati mmoja au mwingine . haya hapa yote unayofaa kufahamu kuhusu Fibroids kama  kama mwanamke .

Fibroids 1

1.   Hauko pekee yako . kuna wengi walio na tatizo hilo lakini hawana ufahamu kwa sababu ugonjwa huu hauna daalili kwa watu wengi . kuna uwezekano kwamba una uvimbe huo katika mfuko wa  uzazi bila kujua na hata ukawa nao kwa muda mrefu  uvimbe huo mara nyingi hauna hatari ya kusababisha kansa  lakini unaweza kufanya maisha kuwa machungu .

It’s a boy! Mwanamuziki wa Uganda Juliana Kanyomozi ajifungua mtoto wa kiume

2.   Kuna aina moja tu ya fibroids ambayo huitwa majina kadhaa yakiwemo ;

.Leiomyomas

 • Myomas
 • Uterine myomas
 • Fibromas

Majina haya yote ni ya fibroids  ambao ni mkusanyiko wa uvimbe wa yama katika ukuta wa mfuko wa uzazi

3.  Fibroids  huja kwa size na shepu  malu mbali .

Kuna walio na uvimbe wa kiasi kidogo unaonekana kama matone ya mbegu  ambao hukuwamuda unaposonga na kisha kuhatarisha kubadilisha umbo la mfuko wa uzazi . kuna uvimbe ambao hukuwa mkubwa na kuwa misuli mirefu ya kuweza kushikilia uvimbe mwingine unaozidi kutokea katika mfuko wa kizazi .

Uvimbe ambao hukuwa  ndani ya ukuta wa kizazi huitwa  intramural fibroids.  Ilhali Submucosal fibroids hutoka nje ya upeo wa kizazi   na  subserosal fibroids  huonekana kutokea nje ya ukuta wa  mfuko wa kizazi .

No sex without pay! Mwanamke alivyoanza kumtoza mumewe ‘ada’ ya ngono

4.   Uvimbe wa fibroids wakati mwingine hauwezi kuonyesha daalili .

baadhi ya wanawake huwa hawana daalili za fibroids  na hushangazwa wkati vipimo vinapoonyesha kwamba wana uvimbe huo  . kulingana na uliko uvimbe huo ,wakati mwingine inawezekana kuhisi mamumivu ya fibroids unapofanyiwa vipimo vya sehemu inayokaribiana na  tumbo .

Hata hivyo wakati mwingine kuna uwezekano wa kupatwa na matatizo  ambayo hayana uhusiano na uvimbe wa fibroids .Daalili za baadhi ya matatizo kama hayo ni pamoja na ;

 • Kutoa damu nyingi wakati wa hedhi .
 •  Hdhi inayodumu zaidi ya  wiki moja
 • Uchungu au presha karibu na tumbo
 • Kwenda haja ndogo kila mara na kupata matatizo kuachilia mkojo kutoka kibofu cha mkojo
 • Kuvimbiwa tumbo
 • Maumivu ya mgongo au miguu

Fibroids  inaweza kusababisha  uvujaji wa damu nyingi inayowza kukutia katika hatari ya kupatwa na maradhi ya  anemia.  Uvimbe mkubwa wa fibroids pia unaweza kuvuruga umbo la  mfuko wako wa uzazi na kufanya kuwa vigumu kulea mimba .

Pia utapata ugumu wa kushika mimba endapo uvimbe huo utaziba  kibomba kinachounganisha  mfuko wako wa uzazi  au kuathiriwa maumbile ya mfumo wako mzima wa  uzazi .

‘Alichagua maid na akaniacha nijilipie nyumba.’ Mwanamke asimulia kuachwa na mumewe aliyetoroka na mfanyikazi wao wa nyumbani

5.   Unafaa kufanyiwa vipimo vya kufahamu iwapo una fibroids na kujua kiasi cha uvimbe huo endapo utapatikana kuwa nao.

6.  Watalaam wangali hawajafahamu kinachosababisha fibroids   ingawaje kuna vichochezi  ambavyo huchagia ukuaji wa uvimbe huo katika mfuko wa uzazi .hivyo ni pamoja na

 Historia ya fibroids katika familia

 • Kuanza heshi mapema .
 • Unenepaji
 • Lishe yenye kiasi cha juu cha nyama na kiwango kidogo cha maboga
 • Pombe

7.   Muundo wa ukuaji wa fibroids hutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine . ukuaji unaweza kufanyika pole pole au kwa haraka .wakati mwingine kiasi cha ukuaji huo kinaweza kusalia vivyo hivyo kwa muda mrefu ,na baadaye kupotea au kupungua.Kuna uvimbe mwingine wa fibroids ambao hutoweka  baada ya uja uzito . Pindi unapokaribia menopause ndivyo hatari yako kupatwa na fibroids inavyopungua

8.  Kuna njia kadhaa za kutiu fibroids ikiwemo inayojulikana  kama    hysterectomy  ambapo uvimbe  sehemu au  mfuko wa uzazi wako huondolewa .

‘Alikuwa akinikojolea na kunifukuza nje uchi.’ Mtangazaji wa zamani wa KBC Rachel Wainaina asimulia masaibu na mume wake wa zamani

Mafanikio  katika teknolojia ya matibabu pia yamerahisha matibabu sasa kwani kuna njia za kukabiiana na uvimbe huo mapema bila kufanyiwa upasuaji . Tiba hizo ni za kupunguza uvimbe huo lakini sio wa kuumaliza kabisa . iwapo fibroids zinaathiri uwezo wako wa kupata mimba ,kuna upasuaji unaofanyika kuondoa uvimbe huo bila kuathiri mfumo wa uzazi .

Mume wangu hulala na wanawake wa kila kanisa tunaloshiriki-Mwanamke Asimulia

Wakati na maisha ya sasa ndoa hazipewi heshima na hata wanandoa hawafuati kanuni ambazo akina babu zetu walikuwa wanafuata, na hata hawashtuki wala kujuwa kama watabeba laana.

Wakati huu ni bora watu waonekane wameoana, kufika kwa nyumba heshima zote za ndoa zinaisha, na hata kutowapa wazazi heshima.

Kupitia mtandao wa kijamii mwanamke mmoja alijitokeza na kusimulia jinsi analala, na ndugu ya mume wake kulipiza kisasi kwa maana mume wake amekuwa akilala na wanawake kwa kila kanisa ambayo huwa wanaenda.

“MY HUSBAND THINKS HE IS THE KING OF CHEATING. HE CHEATS A LOT AND THIS HAS FORCED ME TO CHANGE CHURCHES THREE TIMES BECAUSE HE SLEEPS WITH WOMEN FROM ANY CHURCH WE ATTEND. I DECIDED TO REVENGE AND SEDUCED HIS BROTHER WHO STAYS WITH US AND RECENTLY I ENTERED HIS ROOM NAKED AND HE COULDN’T RESIST. WE HAD SEX AND I LIKED IT. WE’VE BEEN DOING IT FOR QUITE A WHILE NOW AND IF I GET PREGNANT I’M NOT WORRIED BECAUSE NO ONE WILL KNOW I CHEATED. SOMETIMES AFTER HAVING SEX WITH HIM (BROTHER-IN-LAW) I ALWAYS ASK MY HUSBAND TO GIVE ME CJ SO THAT HE CAN TASTE HIS BROTHER’S SPERMS.” Alisimulia.

Baadhi ya watu walikuwa na haya ya kusema;

mz_charisma When a woman wants to revenge even the devil sits and take lessons from her 🙆

eyekay_ben What the hell is wrong with men and cheating? Can’t U just be faithful

gbemi_f Couples have run mad finally 😡

ogeyinka Angel Gabriel please blow the trumpet

stelzygodwin 🤦🏻‍♀️ You served him really hot. Cheating it’s allowed 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Congrats to u both

that_blackgel Will some women see heaven?

streetsaint_10 I’m not getting married 😂

jenas_bio It’s end-time my people!! Repent and give your life to Christ

chimmy_afiana What’s all this rubbish that some of you women do in the name of ‘payingBack’ this is very very belittling

‘ Mume wangu wa zamani alizaa watoto 9 na wanawake tofauti kabla ya kifo chake’

Mjadala kuhusu mbona wanaume wa Kenya huwa hawawatambui wanao hukithiri kila mara mtu mashuhuri anapoaga na kisha msururu wa wanawake kujitokeza kudai kwamba ni baba ya watoto wake .

Wicked Family! Jinsi Diamond na familia yake ilivyomhadaa Tanasha kwamba yeye ndiye Tosha

Je ni vyema kuficha watoto uliozaa nje ya ndoa? Mwanamke mmoja amesimulia jinsi marehemu mume wake alivyozaa watoto 9 na wanawake nje ya ndoa kabla hajafa.

 Nilikutana  naye baada ya shule ya upili  na kuanza kupata watoto. Watoto wangu sasa wana umri wa kati ya miaka 16 na 19  hata hivyo hatukufunga ndoa  naye akapata watoto wengine watano  na wanawake tofauti

Anaongeza

 Nawajua watoto wote na huwa anawatunza. Hata najua mwanamke  ambaye anaishi naye  na kati ya wanawake wote aliopata watoto nao. Ni mimi pekee ambaye nimempa mtoto msichana. Ndio kwa sababu hawezi kuniacha

 ‘Alinipiga uchi wa mnyama mbele ya mwanangu.’ Mwanadada Mercy aeleza aliyoyapitia katika ndoa ya dhulma

Anaongeza

 Niligundua kwamba alikuwa na mke na watoto wakati nilipopata mimba yake. Kinachoshangaza ni kwamba, alinifanya nihisi kwamba nilikuwa mwanamke pekee katika maisha yake, baadaye niligundua alikuwa na watoto wengine tisa

 Nilipoitwa na kuambiwa kwamba ameaga dunia, niliamua kusalia kimya kwa sababu sikutaka drama

Msichana apata mimba ya babake na kumpokonya mamake mume

Kwa kutamatisha anashauri hivi

 kama mwanamke, ni uamuzi wako kujua utakavyochukulia habari za kugundua kwamba  mko wengi katika maisha ya mwanamme .

 

 

 

 

 

Namtafutia mume wangu mhubiri mrembo kumtega ili anipe zawadi.

Dunia imejaa vijimambo na sarakasi zinazowaacha wengi vinywa wazi.

Kila mwanamke hupigania ndoa yake ili isivunjike na hata kupenda mumewe asiwe na mpenzi mwingine.

Kati ya watoto wanne tulionao na mume wangu,wawili ni wa babamkwe,Asema Mwanamke

caught-cheating-696x453

Hii ni baada ya mwanamke mmoja kufichua kuwa anataka mume wake ambaye ni muhubiri aende nje ya ndoa.

Alifichua haya baada ya kusema katika mtandao wa kijamii sababu ya kufanya hivyo, lengo likiwa kumwekea mumewe mtego ili amfumanie na kisha kumpa masharti ndiposa asimseme kwa waumini wa kanisa lake. Alisema anataka gari na zawadi zingine za thamani.

 

Mama yangu anafikiria nina mume wa kiroho-Mwanamke Asimulia

“THE ONLY TIME I GET ATTENTION FROM MY HUSBAND IS ONLY WHEN HE CHEATS ON ME, HE WILL SHOWER ME WITH GIFTS AND CHANGE MY CAR. THIS HAS BEEN GOING ON FOR 6 YEARS NOW AND AM SO USE TO HIM CHEATING ON ME NOW BECAUSE I GET ALL I NEED. I EVEN USE TO SET HIM UP WITH GIRLS WHEN HE IS TOO BUSY TO CHEAT,I PLANT GIRLS TO GO AROUND HIM AND MAKE SURE THEY GET HIM TO BED AND LEAVE EVIDENCE FOR ME TO CATCH HIM SO HE CAN BUY MY GIFTS.” Alisimulia.

Aliendelea kusema,

Nilikuwa msagaji nikiwa katika shule ya rehab kwa sababu ya kutumia dawa za kulevya-mwanamke Asimulia

“BUT MY PROBLEM NOW IS THAT RECENTLY HE SAID GOD ARRESTED HIM AND HE WANTS TO BECOME A PASTOR,BUT AM NOT HAPPY BECAUSE HE HAS BECOME SO STINGY WITH GIVING SO I JUST NEED HIM TO CHEAT.I HAVE TRIED USING GIRLS AS USUAL BUT HE WILL NOT FALL AGAIN,AM SO MISERABLE MY CAR IS ALREADY OLD AND I NEED TO TRAVEL OUT BUT ALL I KEEP HEARING IS BIBLE BIBLE BIBLE .PLS HOW DO I GET THIS MAN TO GO BACK TO HIS OLD WAYS, I LOVE HIM AS A CHEAT. AM USED TO HIM CHEATING I NEED SUGGESTIONS. PLEASE DON’T PREACH TO ME ABOUT FIDELITY JUST SUGGEST TO ME. THANKS.” Alieleza.

MHARIRI: DAVIS OJIAMBO

Alipachika mamangu mimba,nami nikaamua kushiriki ngono na babake,asimulia mwanamke

NA NICKSON TOSI

Katika kisa kisichokuwa cha kawaida,mwanamke wa makamo amesimulia jinsi amekuwa akishiriki ngono na babamkwe kufwatia hatua ya mumewe kumpachika mamake mimba .

Katika mahojiano na jarida moja la humu nchini ,mwanamke huyo alisimulia kuwa alifahamu kuwa  mamake na mumewe wamekuwa wakishiriki ngono kwa muda baada ya kupata jumbe za mapenzi kwa simu ya muwe alipokuwa amelala.

Nilipata jumbe za mapenzi za kwa simu ya mume wangu zilizokuwa zimetumwa na mamangu mzazi,kuna ,hata wakati mume wangu alikuwa ananiambia eti amekutana na ‘mamangu hapo nikaanza kujiulizi ni vipi uhusiano baina ya mume wangu na mamangu umekuwa hivyo wa karibu,nilipomuuliza kuhusiana na  jumbe hizo za mapenzi kwa simu yake,alishtuka na kusema eti ni za utani tu!alisimulia mwanamke huyo.

To go with AFP STORY BY ZOOM DOSSO - A 15 year old woman seeking medical treatment waits at the Doctors Without Boarders (MSF) clinic in Monrovia on November 30, 2009 after being raped. In Liberia where rape is surrounded by social taboos medical charity Doctors Without Borders (MSF) is trying to get victims to come forward and get treatment after their ordeal. AFP PHOTO / Glenna Gordon (Photo credit should read GLENNA GORDON/AFP/Getty Images)
Aliongeza kuwa ilifika mahali mumewe aliaanza kubadili majira ya kufika kwa nyumba kisa ambacho kilimfanya kuanza kushuku kuwa mambo hayakuwa vyema jinsi alivyokuwa anatarajia.

Aidha mwanamke huyo alidai mazungumzo baina yake na mamake mzazi yalibadilika na kila wakati alipokuwa anampigia simu kumjulia hali ,alikuwa anazungmza shingo upande na hata wakati mwengine kumuuliza iwapo mumewe alikuwa kwa hali nzuri .

Kuna wakati nilikuwa nampigia simu mamangu kumjjulia hali tu kama mtoto wakem,lakini kuzungumza kwake kulikuwa kumebadilika kweli,wakati mwengine  alikuwa ananiuliza iwapo mume wangu yupo mzima,wakati mwengine ananiuliza iwapo ameamka ama amelala,hapo nilianza kushuku kitu,nilianza kuhisi kuwa jumbe hizo zilizokuwa katika simu yake ni za ukweli na walikuwa wapenzi wa siku nyingi.Alisimulia mwanamke huyo.

Kwa muda mwanamke huyo sasa anadai kuwa mumewe ametokomea kabisa na hata kuonekana nyumbani imekuwa nadra sana ,anasema kuwa baada ya kufahamu kuwa mamakwe ni mjamzito kisa hicho kimemfanya kukwepa nyumbani kutokana na aibu alizojipatia .

Kutokana  na tukio hilo la mumewe kumpachika mamamkwe mimba,mwanamke huyo anadai aliamua kushiriki ngono na babamkwe kama  njia ya kulipisha kizazi baada ya kudhalilishwa na mumewe.

Pia mimi niliamua kushiriki ngono na babamkwe ili mume wangu ahisi uchungu ambao nilipata baada ya kumpachika mimba mamangu mzazi,nimekuwa nikipigwa mikiki na babamkwe kwa muda na hata sioni aibu kwa sababu iwapo mume wangu hakuona haya kushiriki ngono na mamangu, mimi ni nani wa kuona haya?alielezea mwanamke huyo

Je iwapo mumeo amempachika mimba mamamkwe ,unaeza shiriki ngono na babamkwe jinsi alivyofanya mwanamke huyou?

 

 

 

Penzi la sumu: Jinsi mwanamke alivyomhadaa na kumuua mume wake wa zamani kinyama

Wakati  Mary Wanjiku  na mume wake  Kelvin Maina walipotengana kila mmoja walitarajia kuendelea na maisha yake .  Lakini mawasiliano walioanza kubadilishana  kupitia jumbe za simu yaliwapa matumaini kwamba huenda wangerudiana na kuendelea na maisha yao .

‘Nilibeba maiti ya mtoto wangu kwa handbag’ Mwanamke asimulia mateso ya kukosa pesa

Bila kujua kilichokuwa kinaendelea ,Kelvin Maina  hakujua mke wake wa zamani alikuwa na njama ya  kumuua .  Mshukiwa alifaulu kumhadaa hadi katika nyumba yake  mtaani Mathare na Kumdunga kisu kifunia mara mbili siku ya jumatatu . Baadaye Mary alikamatwa na maafisa wa DCI  na anazuiliwa kwa siku 14 huku uchunguzi kuhusu mauaji ya mume wake wa zamani yakichunguzwa .  Corporal Christopher Samoei  wa DCI pangani  aliongoza uchunguzi uliopelekea kukamatwa kwa Mary  pamojana kupatikana kwa silaha iliyotumiwa kwa mauaji ya mume wake wa zamani katika nyumba yake .

‘Kosa kazi ujue wanaokujali’ Aliyopitia Calvin Muga yamemfungua macho ( Part 1 )

Mshukiwa alikamatwa katika eneo la Muthaiga-Kosovo Machi tarehe 16  na uchunguzi dhidi yake unaendelea.Samoei  amesema kisu kilichotumiwa kumuua  Kelvin kilipatikana na mabki ya damu na kimepelekwa kwa mwanakemia wa serikali kwa uchunguzi zaidi .

Polisi wamesema wanahitaji kuzichukua simu za mshukiwa na mumewe kwa uchunguzi  wa kubaini jumbe walizokuwa wamebadilishana  kabla ya Kelvin kwenda katika nyumba ya mke wake  wa zamani alikouawa .

Mume wangu amewapachika wanawake wengi mimba na kuwaacha-mwanamke Asimulia

Nyakati za sasa watu wengi hawatiliii maanani ndoa na tamaduni kama ilivyokuwa enzi za zamani. Nyakati hizo noa ziliheshimiwa sana.

Baaddhi ya watu wanadharau wakwe zao lakini wakati ule heshima iliddumu katika ndoa na hata wazazi walikiwa wanawapa wana wao heshima.

Mwanamke mmoja alisimulia jinsi mume wake amewapachika wanawake tofauti mimba na kisha kuwatoroka.

“Najua mume wangu amewapachika wanawake mimba na kiwaacha walee watoto wao wenyewe. Hivi majuzi alipachika mama mwingine mimba baada ya mume wake kufariki.

Alimuachia mtoto alee, kitu ambacho kimenishtua ni kuwa alimpachika msichana wa wa ukoo wake mimba.” Alisimulia.

Si hayo tu alizidi kueleza jinsi mume wake ameacha majukumu yake na kutoroka nyumbani.

“Tumekaa na mume wangu kwa miaka kumi, tumebarikiwa watoto wanne lakini aliniachia majukumu yote.

Hivi  majuzi msichana wa ukoo wake alinifichulia jinsi alimpachika mimba nikiwa kazini usiku.

Aliniambia alikuja akiwa amelewa na kisha kumlazimisha msichana huyo kupekejeng, Della alikuwa na miaka kumi na saba alipofanya kitendo hicho

Mimi sikujua lakini hata mtoto wa msichana huyo anamfanana mume wangu kabisa kwa hivyo siwezi kataa madai hayo

Mbali na hayo najua wanawake wengi ambao amewapachika mimba, Della alipompigia simu ili awajibikie majukumu yake alikata simu na kumwambia kuwa huyo mtoto si wake.

Licha ya kufanya vitendo hivyo vyote alioa ibi wa pili lakini inaonekana hakumtosheleza.” Alisema.

Mwanamume huyo ni dereva wa magari, lakini ni nini kinamkuma mwanamume huyo kufanya kitendo kama hicho?

Na ni watoto wangapi wa shule ambao amewapachika mimba na kukimbia majukumu yake bila mke wake kujua

Kwa hakika anapaswa kuitwa ‘father Abraham’ ni hatua ipi ambayo wanawake hao wamechukua au wamekaa tu bila la kufanya na kumshtaki mwanamume huyo.