Kingpin? Gideon Moi apewa ‘rungu’ ya Mzee Moi na familia yake.

Seneta wa  Baringo na mwanawe rais mstaafu Marehemu Daniel Moi leo amepewa rungu ya Mzee Moi ili kumpokeza jukumu la kuiongoza familia ya Moi kisiasa . Kakake mkuu Raymond Moi ambaye ni mbunge wa Rongai ,alimkabidhi Gideon Rungu hiyo akisema sasa ndiye atakayekuwa na jukumu la kuipa familia ya Moi   mwelekeo wa kisiasa .

‘Nilidanganya Mzee Moi kwamba nilikuwa bafuni’ Rais Kenyatta awachekesha waombolezaji Kabarak

Hatua hiyo huenda ikatafsiriwa kama  kumpepeza Gideon katika kilele cha usemi katika jamii ya wakalenjin. Gideon  na naibu wa rais William Ruto wamekuwa katika  nipe nikupe ya kujaribu kuchukuwa uongozi wa jamii hiyo kisiasa lakini baada ya uchaguzi  wa 2013 ambapo Ruto aliungana na Uhuru Kenyatta kuunda serikali ,amechukuliwa kama ‘kiongozi’ wa wakalenjin kisiasa . Wakati wa hafla fupi ya kumpa Gideon Rungu hiyo Raymond amesema –

KWA  VILE MZEE   ALITULINDA ,NA KULINDA KENYA VIZURI ,TUNAAMBIA HUYU(Gideon) KANU IAMKE.. NA TUKO NA BBI ,WE WANT TO  BE PART OF IT..WE SUPPORT BBI’  amesema Raymond .

giedeon na Rungu

Toka Hapa! Mike Sonko afurushwa jukwaani Kabarak wakati wa mazishi ya Mzee Moi

Alipoichukua rungu hiyo ,Gideon aliahidi kufanya kadri ya uwezo wake kufaulu katika jukumu lake la kuiongoza familia ya Moi kisiasa .

‘HATA KUSHIKA HII RUNGU…ANYWAY…NITAJARIBU ..NIKIWEKA MWENYEZI MUNGU MBELE,MENGI TUTASEMA BAADAYE’. Amesema Gideon .Kakake

 

 

PICHA: Viongozi ambao wanahudhuria mazishi ya mzee Moi

Mwili wa rais mustaafu hayati Daniel Toroitich Arap Moi tayari umewasili katika uwanja wa Kabarak kabla ya mazishi baadae leo.

Moi anazikwa leo nyumbani kwake Kabarak katika kaunti ya Nakuru. Maombi ya mazishi yanaandaliwa katika shule ya msingi ya Kabarak kabla ya mwili wake kusafirishwa takriban kilomita nne hadi nyumbani kwake atakapozikwa mkabala na marehemu mkewe Lena Moi aliyefariki mwaka wa 2004.

Wakenya wa tabaka mbalimbali na Viongozi wanazidi kumiminika katika uwanja huo.

Tazama picha za viongozi hawa;

uhuru

Wiper leader Kalonzo Musyoka and Bungoma senator Moses Wetangula Moi philip moi Matiang'i Moi magogha Moi kibicho moi Governors Jackson Mandago (Uasin Gishu), Stephen Sang (Nandi) and Kapseret MP, Oscar Sudi Moi Former Chief of Defence Forces Julius Karangi moi Foreign affairs CS Rachael Omamo

Salamu tu? Rift Valley leaders criticize Mzee Moi for denying DP Ruto greetings

Rift Valley leaders have criticized retired President Daniel Moi resistance to greet Deputy President William Ruto saying the two used to be close friends.

Former Tiaty Member of Parliament (MP) Asman Kamama terms it incredible for Mzee Moi to deny Ruto greetings yet he was his close ally and friend during the KANU regime.

“DP Ruto was Moi’s trusted hand boy during the Youth Kenya (YK) 92 when the country underwent trials of becoming multiparty state” Kamama said.

His statement comes barely a two days after over 80 jubilee leaders bashed on Baringo Senator Gideon Moi for allegedly denying Ruto access to his father’s house.

They also railed on Tiaty MP William Kamket for criminating Ruto saying he trespassed to Moi’s residents without permission.

The leaders further urged the former head of state son, Baringo Senator Gideon Moi to consider dropping his presidential ambition for Ruto in 2022.

Gideon and Ruto met during the burial ceremony of the late Baringo South Member of Parliament (MP) Grace Kipchoim at Kimoriot in Mochongoi on Saturday.

Gideon however retorted urging the politicians to stop dragging his father on politics, “instead of insulting him, heap everything on me…I am ready to carry his burden” said Gideon.

On Thursday last week, the Deputy President accompanied by his supporters were locked out from seeing retired President Moi in his Kabarak home over reason that Mzee had a date with his regular medical doctors.

“It is inconsiderate for Moi to lockout such a friend like Ruto from accessing him and even find out how he is faring on” said Kamama.

The former National Assembly Chair Security chair also confirmed that DP Ruto had earlier booked an appointment to see Moi.

“Residence of former head of states is always governed under restricted areas act and nobody whatsoever attempts to visit the place without an appointment” he said.

-Joseph Kangogo