Kibao kikali: Tazama kibao kipya cha msanii Nandy akishirikiana na Harmonize(Acha Lizame)

Katika sekta ya usanii, wanamuziki wengi karne hii hawapendi msanii mwenzao akiendelea lakini kwa msanii wa bongo Harmonize na Nandy wametupilia mbali ugomvi wa wasanii tofauti na kufanya kazi pamoja.

Waasanii hao wa Afrika mashariki kutoka nchini Tanzania Dar Es Salaam 255, wametoa kibao kipya ambacho kimependwa na mashabiki zaidi ya thelatini na kisha kutazamwa na watu zaidi ya millioni moja baada ya siku mbili tangu kiwe katika mitandao ya kijamii ya youtube.

103275915_1120012385045350_1262306395868748741_n

Kibao hicho kinafahamika kama ‘Acha Lizame’, Audio ya wimbo huo ilitolewa na producer Kimambo Beats na kisha video kuelekezwa na na mwelekezi Elvis.

Wimbo wa Acha Lizame ni wimbo ambao umeimbwa kwa lugha ya kiswahili, unazungumzia kuhusu wapenzi wawili ambao wanapeana sifa kwa kila mmoja kwa wamo kwenye maabara ya mapenzi na wako tayari kufanya chochote kwa ajili ya mapenzi yao na kudumisha uhusiano wao.

103370342_2819706491465753_5985990648819072991_n

Nandy na Diamond wakizungumzia kibao hicho walisema kuwa ulikuwwa umefika wakati wa kuwapa mashabiki wao ambacho wamekuwa wakitaka kwa muda mrefu.

Ni kibao ambacho kinaweza kusakatwa na kuchezwa na kila mtu nchini kote na hata dunia nzima licha ya kibao hicho kuimbwa kwa lugha ya kiswahili.

103415191_622699215001086_2446446921922384526_n

Hiki hapa kibao hicho;

‘Tukumbukeni condoms!’ Nandy awaambia mashabiki baada ya kupimwa HIV

Msanii wa bongo kutoka Tanzania Nandy amewashauri mashabiki wake watumie kondomu na kisha wapange uzazi ili wasiwe na viroja maishani mwao siku za usoni.

Hatimaye, Nandy apata mwanamume wa kumlipua ‘lungula’ ya kutosha

Alisema haya alipokuwa katika hafla ya kusaini mkataba na kampuni moja nchini Tanzania.

Nandy
Nandy

“I LAST TESTED FOR HIV IN NOVEMBER LAST YEAR, THAT WAS THE THIRD TIME MY FIANCEE AND I DID THAT’

PEOPLE SHOULD TAKE THIS THING SERIOUSLY, AS YOUTH WE REALLY DO ALOT OF THINGS BUT WE NEED TO REMEMBER CONDOMS, CONTRACEPTIVES 

OTHERS SAY THEY’LL TEST WHEN THEY GET PREGNANT.” Alisema Nandy.

You tube ,mtandao wa wakora Asema Nandy

collagenandy-1-1

 

Nandy alichumbiwa na rapa wa Tanzania Bill Nass, walikuwa katika uhusiano kwa muda wa miezi saba kabla ya kutengana.

Mapenzi yao yalinoga baada ya aliyekuwa mpenzi wa Nandy kuaga dunia.

 

MHARIRI: DAVIS OJIAMBO

Quarantine? Meneja wa Tanasha akana madai kuwa staa huyo yupo karantini

Meneja wa Tanasha Donna Castro amekana madai kuwa staa huyo yuko katika karantini wala katika kitengo cha kipekee kwa ajili ya virusi vya corona.

‘I choose jeje,’Diamond akana kumbukumbu za Tanasha hadharani

Hii ni baada ya nduru za ripoti kusema kuwa Tanasha alivunja na kukaidi amri ya kutotoka nje na kwenda kujivinjari na kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanabiasha Tim Matiba.

tanasha
tanasha

Meneja wake akizungumza alisema,

“WHERE DID YOU GUYS EVEN GET THAT INFORMATION FROM?” Castro Aliuliza.

Meneja huyo alikana madai hayo na kusema kuwa hamna kitu kama hicho na alikuwa na Tanasha jana nyumbani kwake.

“THERE IS NOTHING LIKE THAT. AS A MATTER OF FACT, I WAS WITH HER IN HER HOUSE YESTERDAY.” Alisema.

‘Umechoka kuwa na subira unavuta bangi?’ Mashabiki wamuuliza Tanasha baada ya kuonekana akivuta sigara

Kupitia mtandao wa kijamii wa instagram, Tansha aliposti video akiwa katika sherehe hiyo, pia alipost akiwa na msanii Nandy video ambayo imeenea sana katika mtandao huo.

Kulingana na Tanasha, wanawake wengi wanapaswa kung’aa na kufuata ndoto zao katika sanaa ya muziki.

 

 

 

Hatimaye, Nandy apata mwanamume wa kumlipua ‘lungula’ ya kutosha

NA NICKSON TOSI

Kwa miezi sasa msanii kutokea Tanzania Nandy amekuwa akihusishwa na wanaume kadhaa wanaosemekana walikuwa wanamchumbia lakini kichuna huyo huenda amepata mwanamume wa kulimpua lungula ya kutosha baada ya kuwa kwenye kibaridi kwa muda sasa .

Katika video iliyotumwa kwenye mitandao ya kijamii ,Nandy ameamua kutulia  na jamaa kwa jina Bill Nas ambaye kwa muda sasa wamekuwa wakionekana na Nandy pamoja japo swala la kuhusiana na iwapo walikuwa wanachumbia hawakuwa wameliweka wazi.

Bill Nas alionekana akimvisha Nanndy pete jugwaani mbele ya umma.

Kisa hicho kilitokea pale Nandy alipokuwa anawatumbuiza mashabiki wake na kisa Bill kutokea ghafla akiwa na kumkumbusha kule ambako wametoka na wawili hao kwa mapenzi yao.

Tumekuwa pamoja kwa muda sasa na tumepitia changamoto si hapa,kutoka kwa mazuri na mabaya ,nafahamu uzuri wako na pia ulegevu wako.Nataka ulimwengu mzima leo kufahamu kuwa mimi Bill Nas nakupenda na nitaendelea kukupenda ,alisema Bill Nas.

Juzi ilikuwa Zari!’ Ringtone ‘mashakani’ baada ya kuonekana na Tanasha

 

Nandy alitokwa na machozu baada ya kuvalishwa petre hiyo na Bill na kisha kumpa busu kama njia ya kumdhihirishia Bill kuwa yeye pia alikuwa ashampenda.

Diamond akanusha madai ya kumkabidhi Mbosso gari alilokuwa amemzawidi Tanasha (Video)

Wawili hao walikuwa wamewahi kuchumbiana miaka ya pale nyuma kabla ya kuachana na Nandy kuanza urafiki na Ruge ambaye aliaga kabla ya kufungu fungate.

Uvumi ulikuwepo kuwa labda Nandy alikuwa anachumbiana na Willy Paul swala ambalo kwa sasa ni kama limezikwa kwenyer kaburi la sahau.

 

 

You tube ,mtandao wa wakora Asema Nandy

NA NICKSON TOSI

Nandy msanii tajika wa nyimbo za kizazi kipya tokea Tanzania amekashifu hatua ya baadhi ya watu kupunguza idadi ya watu wanaofwatilia nyimbo zake katika mtandao huo kila anapofanya wimbo mpya.

Nandy hivi maajuzi alitoa wimbo mpya ambao anasema ulikuwa na watu wengi waliokuwa wanautazama katika mtandao wa You tube na ilikuwa imesalia idadi kidogo tu wimbo huo uweze kuweka rekodi ya kufikisha watu milioni moja walioutazama, lakini kufukia majira ya usiki ,alishtuka alipoona idadi hiyo imepungua kwa kile anachosema ni watu kutaka kumwaribia taaluma yake ya usani.

Nandy ametoa wimbo mpya kwa jina Na Nusu ambao umefanya vyema katika Afrika mashariki.

”nimekuwa nikinyamazia swala hilo kwa kina kirefu,kuna vitu ambavyo vinafanyika katika mtandao wa youtube na sijui labda shida iko wapi,wakati video yangu inafikia watu alfu 900 walioutazama na kutoa maoni,kidogo tena idadi hiyo inapungua hadi 700 ama 800 alfu ya watu waliotoa maoni yao‘alisema Nandy

willypaulandnandy-1 (1)NA NICKSON TOSI

Nandy alisema hataki kutaja majina ya watu ambao anawafahamu kama wanaohitilafiana na kupunguza idadi ya watu wanaotoa maoni yao kuhusiana na nyimbo ambazo akikariri kuwa haoni haja ya kufanya hivyo.

‘Sitaki kutaja majina ya watu lakini nataka wanao husika na maswala ya usimamizi wa mtandao huo kuwa makini,manake maelfu ya wasanii wanapata hasara kutokana na tukio hilo.’alisema Nandy

 

Nandy
Aidha ujumbe huo Nandy alioutoa katika mtandao wake wa kijamii muda mfupi tu baada ya kuandika katika ukurasa wake.

Kwa sasa ,Nandy anatamba na wimbo mpya ambao unafanya vyema katika mitandao ya kijamii .

Nandy

 

 

Moto sana! Angalia hii mpya kutoka kwa Nandy

Ameangiusha kibao kipya msanii wa Tanzania Nandy kwa jina  Na Nusu ambacho kimeanza kuvuruga kwa ajili ya mpigo wake mzuri wa biti na sauti yake tamu . ‘The African Princess’  hajafelisha kwani nyimbo zake hadi kufikia sasa zimweza kuwavutia wengi katika kanda hii ya afrika mashariki na kuuweka muziki wake katika ramani .Bila  shaka Nandy Ni miongoni mwa wasanii ambao wanauweka muziki wa afrika mashariki katika hadhi ya juu na kibao chake hiki Nan Nusu hakijafadhaisha .Skiza hapa

Ringtone amkemea Bahati baada ya msururu wa sakata na wasanii wenzake

Wanamuziki wa kike wanaozengua wenzao wa kiume

Licha ya wanamziki tofauti kujitokeza nchini na talanta zao ,kunao wengine wa kike ambao wanawakosesha wenzao wa kiume lepe la usingizi kutokana na maumbile na urembo walio nao.

 

Katika muziki wa kale ni wengi waliowazengeun wenzao wa kuime kutokana na urembo wao ni kama Lady Jay Dee,Saida Karoli na katika kisasi kipya na cha kisasa waimbaji kama vile Avril,Akothee,Victoria Kimani wanawakosesha waume usingizi.

Simba! Je,Diamond Platinuz ‘Ataonja’ asali ya Afika Nzima ama ametosheka na Tanasha?Orodha Nzima ya Wapenzi wake wa zamani .

Wengi wa Wanamuziki hawa wanaimba nyimbo za Bongo  wakitokea taifa jirani la Tanzania na baadhi yao ni kama ifwatavyo.

1.Nandy

Anajulikana sana kwa nyimbo zake ambazo ametoa na kwa sauti nyororo inayofanya waume wengi kushika tama.

Nandy alienea sana alipotoa wimbo wake wa HALLELUJA NA NJIWA  akimshirikisha mwanamziki kutoka kenya Willy Paul.

‘Hallelujah na Njiwa’.

Nandy
Nandy

2.Ruby

Rubi anafahamika kwa nyimbo zake zinazoenea mitandaoni na amekaa katika sanaa ya mziki wa kisasi kipya kwa muda mrefu sasa.

Kuna wakati mmoja alikiri kuwa yeye ni shabiki nambari moja wa Victoria Kimani miongoni mwa wasanii wa Kenya.

Ruby
Ruby

3.Vanessa Mdee

Ni malkia wa nyimbo xza kisasa akitokea taifa jirani la Tanzania na alianza kutawala mawimbi ya mziki alipotoa wimbo wake wa kwanza na mwanamziki mwemnzake Ommy Dimpoz kwa jina ME and YOU.

Kama vile Ruby Vanessa amekaa katika sanaa ya muziki.

81891491_2698095543616299_8307906163011919204_n(1)

4.Rosa Ree

Mmmh sema mrembo kupindukia, Rosa alitambaa mitandaoni baada wa wimbo wake akimshirikisha mwimbaji tokea kenya Timmy T Dat.

Lakini si urembo tu pekee bali mtirirko wa nyimbo zake zinaweza tu kuimbwa na si mwingine bali ni Khaligraph.

81384730_111869630167003_3377638780356293012_n(1)

5.Queen Darleen

Wengi wanamfahamu kama dada  mwimbaji wa nyimbo za kisasa  Diamond lakini talanta yake haiwezi fungiwa wala kukataliwa katika sanaa yake.

Aliutoa wimbo wake akimshirikisha Ravanny’kijuso’ uliogonga  katika uganda wa afrika mashariki na hata magharibi kwa kipindi kirefu.

17882522_158972517962040_7741075206919159808_n

6.Aika (Navy Kenzo)

Aika ni mpenzi wake Narheel na wawili hao walijulikana sana baada ya kutoa wimbo wao wa kwanza  ‘Kamatia’

navy-kenzo

Kenya hadi Bongo: Collabo 5 bora zaidi mwaka huu

Mwaka wa 2019 umekuwa wa kufana sana katika sekta ya sanaa nchini kwani kando na miaka iliyopita, wasanii wetu wamejikakamua kisabuni. Kutoka wasanii waliokithiri, kina Khaligraph, Sauti Sol, Nameless, Wahu hadi wasanii wa kizazi kipya kina; Ethic, Ochungulo family na Sailors wote wameonesha ubabe wao kupitia nyimbo walizozindua.
Isitoshe, baadhi yao wameonesha uhodari wao na kuvuka mipaka ambapo wameweza kufanya collabo na wasanii kutoka mataifa jirani, huku Tanzania ikiwa kivutia kikuu cha wasanii hawa.
Radio Jambo hii leo tunakupa orodha ya collabo kumi bora zilizofanywa na wasanii kutoka Kenya na Bongo mwaka huu.
1. Nandy ft Sauti Sol – Kiza Kinene
Kusema wimbo huu ulizinduliwa wiki moja tu iliyopita na kulingana nami, tayari huu ni wimbo wa mwezi! Nandy amewashirikisha magwiji hawa wa Afrika na kuonesha upande tofauti sana, kwani watu wamezoa nyimbo zao huwa za party ama zimejaa vidosho wenye makalio kweli.
Wimbo huu tayari umetazamwa zaidi ya mara milioni moja, Youtube.

2. Nandy willy paul – Hallelujah
Kwa mda sasa, kumekuwa na tetesi kuwa Willy Paul ambaye sasa hivi ni bayana kuwa sio msanii wa nyimbo za injili, anachumbiana na Nandy. Hili lilifuatwa na collabo murwa kwa jina Hallelujah ambayo hadi sasa hivi imeshika Kenya na Tanzania na kama kawaida, Nandy aliwakilisha Bongo vilivyo.
Video ya wimbo huu tayari imetazamwa zaidi ya mara milioni saba.

3. Ali kiba Ommy Dimpoz, Willy Paul – Nishikilie
Willy Paul ambaye tayari amekuwa na mwaka wenye mafanikio mengi kimziki licha ya scandal kibao, alishirikiana na King Kiba na mwenzake kutoka Tanzania bwana Ommy Dimpoz kwenye kibao hiki.
Watatu hawa ambao ni marafiki sugu wa gavana wa Mombasa, mheshimiwa Hassan Joho, waliwapa wanadada kibao cha kunengulia viuno na ambacho kimewateka wengi.
Hata hivyo, video ya ngoma hii haikuvuma sana kwani imetazamwa mara milioni moja nukta tano pekee kufikia sasa.

4. Rose Muhando Ringtone – Walionicheka

Wimbo huu ambao unatumika kama ushuhuda wake bi Muhando baada ya kupambana na ugonjwa kwa siku nyingi, unamshirikisha bwana Ringtone kutoka humu nchini. Ringtone amabaye amekuwa akigonga vyombo vya habari kwa mda, kwa sababu ya mambo ayafanyayo kwenye mitandao ya kijamii, anasifiwa sana na mashabiki kwa ustadi wake.

Wimbo huu ambao ulizinduliwa wiki moja pekee iliyopita, umetazamwa mara 750,000.

5. Willy Paul Ft Rayvanny – Mmmh

Miezi sita sasa tangu wawili hawa wazindue wimbo huu, wakenya na watanzania bado wanaupenda kwa ustadi na upole wake. Wimbo huu ambao unazungumzia tu mapenzi yao kwa wapenzi wao tayari umetazamwa zaidi ya mara milioni kumi.

6. Gabu Ft Mbosso – Mastory

Gabu ambaye kitambo alikuwa wa kikundi cha P-Unit alirudi na kishindo mwaka huu, yeye pia akimshirikisha mtanzania kwa jina Mbosso mwezi Januari. Wimbo huu licha ya kuchezwa sana kwenye klabu humu nchini, ulitizamwa mara milioni moja pekee.

Baadhi ya nyimbo zingine ambazo ziliwashirikisha wasanii kutoka mataifa haya mawili, ni Wakati wa mungu wimbo wake Paul Clement na Guardian Angel na Bahati ft Mbosso – Futa, nyimbo ambazo pia zilionesha ushirikiano mwema dhidi ya wasanii kutoka mataifa haya.

Hamisa Mobetto ajidai kuwa anafanyaa vyema zaidi maishani kuliko Nandy

Binti Hamisa Mobetto kutoka Tanzania hana uhusiano mzuri na mwanamziki Nandy.

Akizungumza na vyombo vya habari,Hamisa alisema kuwa mwanamziki Nandy ajulikanaye  kwa wimbo wake ‘Ninogeshe’ alikosana naye vibaya baada ya tofauti kuibuka baina yao.

Ameumbwa akaumbika! Tazama picha za mtoto wao Diamond na Tanasha Donna

Vilevile,Hamisa alisema kuwa, haoni haja ya kuzungumzia binti huyu kwani  hataki kuongea naye hata kidogo.

“I don’t think we should talk about her. She has blocked me,” Hamisa alisema.

Zaidi ya hayo, alisema kuwa,ni heri wasizungumze kuhusu Nandy kwani Nandy anafanya vyema kwenye sekta yake na yeye anafanya vyema zaidi.

It’s better not to talk about her because there are more important things to talk about. She is doing good, I’m doing even better.”Hamisa alisema.

“Uso wangu ulikuwa kama nyama ilioteketezwa,” – Kelvin Kairo

Hamisa alizidi kusema kuwa yeye hana kiburi na ndio maana anafanikiwa sana .

Kwa sasa, Hamisa anajaribu kuuza wimbo wa’Sensema’ na pia anapanga kufanya kolabo na wanamziki wa kenya.

We spoke about a collabo with Sauti Sol. It will be good and I also have a song with another Kenyan artiste,” Hamisa alisema.

 

Miyeyusho ya insta! Willy Paul ampiga kijembe shabiki

Mashine hatari ya kuendesha barabarani yake  staa wa nyimbo za injili afrika mashariki Willy Paul imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hususan kwenye mtandao wa kistaa wa instagram. Kinawafanya mashabiki wake kushangaa zaidi ni kuwa gari ile haina nambari ya usajili mpaka ikasukumia shabiki mmoja kuuliza kulikoni.

“Willy how comes hii gari haina numba plate ama ni ya showroom,” aliuliza shabiki.

” Coz I’m a star,” Willy Paul hakusita na akamjibu. 

Tazama hapa:

Tazama hapa hadithi nyingine:

“Nitwange? Nikule? Nitetemeshe? Ama ni kanyage Hamisa Mobeto”- Eric Omondi

Ni kutokana na bidii na kujituma kimuziki zinazomfanya Pozze kuwa na hela ya kununua gari kama hii. Muimbaji huyu ana ratiba kubwa ya fiesta atakazofanya humu nchini na mataifa ya nje yanayotarajiwa kuanza muda wowote ili kuwakonga nafsi mashabiki wake.

Tazama hapa hadithi nyingine:

Umri wangu mchanga, sitaki stress !- Bahati amwambia Diana marua

Tuhuma na ubuyu wa kutoka kimapenzi na Nandy unaonekana kuzima ghafla baada ya muimbaji huyu kukana taarifa hizo. Kilichowafanya wengi kuona kwamba wawili hawa wapo katika mahusiano ni ule ukaribu uliokuwepo majuma kadha yaliyopita.