Mkusanyiko wa Habari 24th Juni Asubuhi

Mwalimu kushtakiwa kwa kumbaka Mwanafunzi Rongai.

Polisi wamemkamata mwalimu mmoja wa shule ya  msingi kwa madai ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha nne katika eneo la Lower Solai, huko Rongai. Mwanafunzi huyo pamoja na mwalimu huyo wamefanyiwa uchunguzi wa kimatibabu huku mshukiwa akiwa mahakamani uchunguzi utakapokamilika.

Mwili wa mfungwa alitefariki jela Naivasha kufanyiwa Uchunguzi.

Uchunguzi wa maiti utafanywa hii leo kwa mfungwa anayedaiwa kupigwa hadi kufa na askari jela katika gereza la Naivasha. Shirika la IMLU litaisaidia familia ya Simon Gitahi na mwanapatholojia ili kufanya uchunguzi huo.

Wagombea wa wadhfa wa afisa mkuu wa IEBC kuhojiwa.

Wagombea 10 walioorodheshwa kuchukua nafasi ya afisa mkuu wa IEBC aliyefutwa kazi Ezra Chiloba, wanatarajiwa kuhojiwa kuanzia hii leo. Kbla ya kufutwa mwezi Oktoba, Chiloba alitumwa kwa likizo ya lazima ili kupisha ukaguzi wa michakat ya ununuzi wa vifaa vya uchaguzi.

Mwanafunzi aliyemuu mwenzake Kakamega kushtakiwa leo.

Polisi huko Kakamega wanamzuilia mwanafunzi wa kidato cha nne kwa madai ya kumdunga kisu na kumuua mwanafunzi mwenzake wa darasa la nane kufuatia mzozo wa kimapenzi. Inaarifiwa kwamba mwanafunzi huyo alimshambulia mwenzake tumboni, akimshtumu kwa kumnyang’anya mpenzi. Atafikishwa mahakamani leo kukabiliwa na mashtaka ya mauaji.

Mgomo wa wahudumu wa afya Kirinyaga waingia siku ya 26.

Mgomo wa wahudumu wa afya katika kauni ya Kirinyaga umeingia siku ya 26 hii leo, huku wahudumu hao wakiapa kutoregea kazini hadi pale matakwa yao yatakapotatuliwa. Katibu mkuu wa chama chao Gor Goody anasema muungano huo hautatikiswa na vitisho kutoka kwa maafisa wa kaunti kwani mgomo wao umelindwa kisheria.

 

Ubalozi wa marekani Uganda walaani kitendo cha kumkamata na kumfungia Bobi Wine

Ubalozi wa Marekani nchini Uganda umelaani kitendo cha kumhangaisha msanii na mwanasiasa Bobi Wine kwa kumkamata kwa nguvu na kumfungia kitu na ambacho ni ukiukaji wa haki za binadamu.

Viongozi imara huwa hawanyamazishi raia wao. Mataifa yanayokuza demokrasia huwapa wananchi uhuru wa kuongea na kuikosoa serikali”

Kitendo cha kumtia nguvuni kufikia sasa kimepata kuvutia hisia za viongozi wengi duniani huku sababu za kumfungia msanii huyu zikielezwa kama kutofuata masharti yalikuwepo ya kutofanya fiesta sikukuu iliopita ya pasaka

Kufutilia mbali tamasha zake tatu alizozipanga kunamsababishia hasara kubwa kwa kutumia hela kuyaratibisha. Hali kadhalika inakadamiza haki na uhuru wake wa kutangamana na waganda wenzake

Mwananasiasa wa upinzani Robert Kyagulanyi almaarufu kama Bobi Wine atasalia katika kizuizi cha nyumbani kwa muda usiojulikana.Hii ni kwa  mujibu wa taarifa iliyotolewa na  mkuu wa polisi nchini humo. Hatua hii inaaminika wameichukua ili kumzuia mbunge huyu  wa Kyadondo Mashariki kutwaa barua rasmi  katika makao makuu ya polisi na kuomba ruhusa ya maandamano ya amani .Kwa kufanya kitendo kama hiki kunatishia usalama wa taifa kwa mujibu wa vyanzo mbalimbli nchini humo.

Maswali yasiyo na majibu miongoni mwa wengi ni  kwa nini serikali ya Museveni mara kwa mara umzuia mkali huyu kufanya maonyesho pindi tu alipojitosa katika siasa. Waziri wa usalama wa ndani nchini humo ananukuliwa  kusema kuwa msanii huyu ukiuka masharti ya kazi anayoekewa.

 

 

Je, ushawahi jiuliza ni nani huyu “kijana fupi round”?

Ucheshi wa “kijana fupi round” umeteka anga za ucheshi kwa takriban mwezi mmoja sasa.

Tamko hili ambalo limewafanya wakenya kulifurahia katika mitandao ya kijamii lilifanyika wakati na ambapo gavana wa kaunti wa Pokot Magharibi mheshimiwa  John Lonyangapuo alikuwa akihutubia wananchi na kuonekana kupandwa na mori sana.

Gavana huyu alionekana kugadhabishwa na mwanasiasa aliyegombea kiti cha mwakilishi wodi na kupoteza kwa mpinzani wake wa karibu. Katika hotuba hiyo gavana huyu anadai kuwa mwanasiasa huyu alipata kura tatu na kuaibisha chama chake cha KANU.

President Uhuru bursts out laughing with Governor Lonyangapuo about ‘kijana fupi amenona’ joke

Gavana huyu alikuwa anamtupia vijembe mwanasiasa katika kaunti yake anayefahamika kama Dennis Ruto. Mwanasiasa huyu ni katika ya watu wanaopinga uchaguzi wake gavana John.

Ruto alitaka kujua na kuelezwa sababu zinazomfanya naibu wa gavana kaunti hiyo kuwahudumia wananchi akiwa nchi za ng’ambo Marekani badala ya kuwahudumia watu akiwa nchini.

Rais Kenyatta amtembelea na kumfariji Rais Mstaafu Moi kufuatia kifo cha Jonathan Moi

Tamko la gavana huyu linaonekana kutamba kwa kasi sana na kukamata hisia za wengi huku Rais Uhuru Kenyatta akiwa miongoni mwa wakenya wanaofurahishwa sana na jinsi ucheshi huu unavyotokea. Wawili hawa walikutana hapo jana kipindi na ambapo Rais alikuwa ameenda kumfariji aliyekuwa rais wa Kenya mzee Moi kwa kumpoteza mwanawe Jonathan.

Denis Ruto ambaye ameanzisha vuguvugu la kumpinga Lonyangapuo linalokwenda kwa jina Mulmwas katika mahojiano na vyombo vya habari  anadokeza kuwa alihisi vibaya sana aliposikia kwa mara ya kwanza.

Ruto aligombea kiti cha mwakilishi wa wodi ya Lelan katika mkoa wa Pokot Kusini na tikiti ya chama cha KANU  na kupoteza kwa mpinzani  wake Johnson Lokato .

Nominated Senator Paul Njoroge Caught Up In Gun-Drama

Nominated senator Paul Njoroge was caught up in a gun-drama involving himself and workers from a fuel company.

The controversial senator had to shoot in the air to stop the workers from closing down Shell petrol station along the Nairobi-Nakuru highway.

The senator shot once in the air forcing the workers to flee from the petrol station located near Raini trading center and that he is currently running.

The workers had been hired by Vivo Energy company to confiscate all the equipment at the Shell petrol station after the senator allegedly failed to follow some rules.

Ukitaka Nikukate Bolingo, Nitazikata! MP Threatens To Castrate Citizen Correspondent

Among those caught up in the late afternoon incident were the company MD Polycarp Igathe who is also KEPSA chairman and had come to effect the closure notice.

Trouble started in the afternoon after the workers moved in and demolished part of the petrol station entrance before embarking on carting away the fuel pumps.

It was then that the senator arrived and stopped the exercise after obtaining a court order from the Naivasha law courts.

The order from Naivasha Principal Magistrate Esther Kimilu restrained the fuel company from interfering or taking over or terminating the contract until the case is heard and determined.

And as the senator engaged the workers in a heated argument, some tried to continue with the demolition forcing him to fire in the air.

Suspected Thug Killed, Gun Recovered In Kibera

The irate and emotional senator blamed business rivalry for the incident adding that he had complied with all the laid down regulations.

He denied that the petrol station had ran our of fuel adding that the new move was meant to cancel the dealership and hand it over to the rival trader.

“I paid Sh2.5m to Vivo comp and I have an Insurance of Sh6m and the fuel company has decided to ignore a court order,” said the senator.

Later, the senator and his workers trooped to Naivasha police station to record statements as police embarked on their own investigations.

And addressing the press at the police station, Igathe denied ever receiving the court order adding that they were closing the petrol station due to poor management.

He said that for the last couple of days the station did not have fuel a move that had adversely affected their customers along the highway.

Igathe added that the dealership had since been revoked adding that the petrol station would remain closed until a new investor was found.

“I had come to enforce the closure notice only for the senator to open fire and I have recorded a statement with the police over a threat to my life,” he said.

A senior police officer who declined to be named said that an inquest file had been opened as part of their investigations following the incident.

“The two parties involved have recorded statements with our officers and we shall take the necessary action once out investigations are done,” said the officer.

NAIROBI: Police Officer Found Dead In A Lodging

Police are investigating an incident in which a police officer was found dead in a lodging in Huruma area, Nairobi.

It is not clear what caused the death but police are investigating it. The officers handling the matter say they were informed the officer was dead in the room before they moved there and transferred the body to the mortuary. His weapon was missing at the time the body was moved out.

Meanwhile, a man was last evening electrocuted in the Ngara area, Nairobi following the heavy downpour that was experienced in the area.

KPLC Responds To Deaths Due To Illegal Power Connections

The man was walking home amongst huge puddles when he stepped on a live wire. He died on the spot before police were called to pick up the body. Police say many cables are open in various areas and blame illegal power connections for the situation.

Electrocution incidents are common in informal settlement areas amid campaigns to address the situation.

 

BREAKING: Two People Dead And Five Injured After Accident Along Lang’ata Road

Two people have died and five injured after an accident involving two private cars along Lang’ata Road, Nairobi.

Police said the two cars were moving in the same direction when the accident happened near Carnivore restaurant today.

READ; Kaeni Kwa Nyumba! Should We All Stay In Bed To Avoid Bad Luck This Friday the 13th?

“One of the cars was carrying eight passengers and the driver lost its control before he hit the other car and rolled into a ditch,” police said.

The bodies were transported to Nairobi’s Chiromo Mortuary for identification.

Separately, two people were also killed in Kayole and another killed along Eastern by-pass in Nairobi on Thursday.

ALSO; Three people killed, several injured in fresh Pokot – Turkana attack

This comes after 11 people were killed and seven injured in an accident involving a matatu on Katito-Kendu Bay road in Kisumu county on January 6.

Nyanza traffic boss Andrew Naibei said the 11 died at the scene of the crash.

On December 10, 40 people died after a petrol tanker exploded in Naivasha county.

 

20 Schools May Not Reopen In Kerio Valley Due To Increased Banditry Attacks

More than 20 schools may not reopen in Kerio Valley due to tensions over increased banditry attacks in the region where four people have been killed in the last three weeks.

Coordinator of Catholic Peace and Justice Commission, Samwel Kosgey says the government should intervene to restore security in the region where 600 teachers have also vowed to boycott classes.

ALSO READ: VIDEO: Kericho Police Officer Suspended After Assaulting Female Motorist

 

Kosgey says political leaders should also engage communities in dialogue over peace and reconciliation.

Late last year, more than 3,000 people were left homeless in a series of attacks in Baringo and other parts of Kerio Valley. According to the Catholic Church, the increased attacks by bandits in the region were being instigated by some political leaders.

Fans Condole Comedian Professor Hamo Following Dad’s Death

One of Kenya’s most celebrated comedians Herman Gakobo Kago aka Professor Hamo has lost his loving dad.

The sensational comic’s dad, whom he recently introduced to his adoring fans during one of the live recording sessions of popular TV show Churchill Show, died on Wednesday night following a heart attack.

Iconic comedian Daniel Ndambuki aka Churchill took to his social media pages on Friday morning to announce the sad news.

He wrote: “Please join me in condoling our very finest #ChurchillShowComedian Professor Hamo who lost his dearly beloved father through a heart attack on Wednesday night.

“Give him words of encouragement and hope at this trying moment. All shall be well @ProfHamo.”

Professor Hamo with his dad and mum at Churchill Show.
Professor Hamo with his dad and mum at Churchill Show.

Following the announcement, Hamo’s adoring fans went out to condole him.

Ian Fitch wrote: “Prof Hamo don’t worry, be strong brother, I know now he is watching you from up there, a place where there is no pain, or suffering… Take heart, na ujue we are with you in thought and prayer. May he rest your dads soul in eternal peace. Amen.”

Mercykinanu Mukindia posted: “My condolences to you my favourite comedian. At this trying moment may our good Lord comfort you n your family. God is our comforter. He is our strength. Remember the good times you were together. It is well. May His good soul rest in eternal peace.”

Alfred Vybz Ateka wrote, “Young man, I love your work, etiquette, discipline, hardwork, respect and determination, endure this challenge now, as you always say “Mungu ni mwema” I expect God to comfort you, rest your dad in eternal peace, have courage and be strong Hammo!!! A blessing to many…. dad you left us a blessing Hammo!!!”

Ruto Mercy Cherotich said: “Oh no. Pole sana Hamo. May the Lord strengthen you and give you peace that surpasses all human understanding. It is difficult but you will get through it. It is well. May his soul rest in eternal peace. Amen.”

Our heartfelt condolences to Hamo and his family. Mungu ni mwema!

Gang Kills Two Guards In Eastleigh Mall, Steals Goods Worth Millions

Two security guards were on Saturday night killed in an attack on a mall in Eastleigh, Nairobi.

Two others are still missing after the attack at Moyale Mall.

Read: Night guard brutally killed in Katoloni Market

The gang broke into nine shops and stole property including electronic goods valued at millions of shillings.

“We were informed of the incident long after it had happened and after the gang had escaped with the goods, it seems they were only interested in the goods from the shops,” a police officer said.

The bodies of the two guards have taken to the city mortuary.

Also Read; Killed thug shot dead his aunt

In an investigation that took six months, Star correspondent Kassim Mohamed previously uncovered two cocky and aggressive criminal gangs operating in Eastleigh who kill, rob and maim residents and visitors alike with reckless abandon.

Eastleigh estate is regarded as the fastest growing business hub in Nairobi with emerging skyscrapers; tens of buildings are under construction and the streets are dotted with shopping malls. But amid the glittering window panes and the booming business lies a tale of fear. Residents are faced with a daily dilemma of dealing with criminal gangs that are now a thorn to business opportunities here.

Assault Survivor Jackline Mwende’s Husband Denied Bond In Attempted Murder Case

Battered woman Jackline Mwende’s husband will remain in custody until his attempted murder case is heard and determined.

A Machakos court today denied Stephen Ngila release on bond, citing his security was at stake and that he might interfere with witnesses. The 34-year-old was accused of attempting to kill Mwende on July 18 at Ilinge village in Masii location, by chopping off her hands using a panga and inflicting other injuries.

“From the probation report presented, the background finding magnifies the existence of community hostility over the action,” resident magistrate Kipukurui Kibellion said in his ruling.

“I therefore have no doubt in mind that the threat on the accused’s personal safety is real.”

Defence lawyer Moses Kamolo told journalists outside court that they would appeal the decision.

“The mere fact that my client lives in the same locality with the prosecution witnesses does not amount to compelling reasons,” Kamolo said.

The case will be mentioned on September 20. Mwende is receiving treatment at Kikuyu Hospital in Nairobi.