Magavana sasa waitaka serikali kuidhinisha kaunti zilizoathirika na mafuriko na nzige kwenye mipango yake

Magavana sasa wameirai serikali kuidhinisha kaunti ambazo zimeathirika na mafuriko na nzige nchini katika mikakati yake ya kufungua uchumi wa taifa.

Mwenyekiti wa jopo la magavana hao Wyclife Oparanya amesema anapania kukutana na rais Kenyatta ili kujadili swala hilo kuhusiana na kaunti hizo zilizoathirika pakubwa.

Kwa sasa, serikali inaangazia uwezekano wa kufungua uchumi wa taifa baada ya janga la corona kuathiri pakubwa shilingi ya Kenya kwenye soko la hisa.

Muwe macho! Msiruhusu watu kutoka Tanzania kuvuka ovyo ovyo – Wamalwa asema

Hatua ya kufungwa kwa mikahawa, baa na hata kupiga watu maarufu kumechangia pakubwa uchumi wa taifa kudorora.

oparanya

Huku serikali ikipania kuchukua hatua hiyo, Oparanya amehoji kuwa majimbo yaliyotatizika na mafuriko na mlipuko wa nzige ni sharti yaangaziwe katika mikakati hiyo mipya ya serikali.

Kufiki sasa, watu 237 wameaga dunia kutokana na mafuriko huku familia 161,000 zikiachwa bila makao baada ya nyumba zao kusombwa na mafuriko.

“As the Council of Governors, we support the President’s plan to come up with a post-coronavirus economic plan to bring the country’s ailing economy back on track after overcoming the pandemic but the floods menace should be part of the strategy,”  amesemaOparanya.

Council of Governors chairman Wycliffe Oparanya in Nairobi on January 16, 2019

Huenda serikali ikapunguza vikwazo ilivyowawekea wananchi wake na kuruhusu shughuli nyingine kurejelewa nchini

Oparanaya amesema kuwa mafuriko yameharibu chakula kilichokuwa kimepandwa na wakulima na kuwaacha maelfu ya watu yakiwa bila makao, jambo ambalo amesema ni sharti serikali iliangazie haraka.

“Kenyans affected by calamities should be factored in the strategy for an all-round recovery plan,‘ amesema Oparanya.

Kutokana na mafuriko hayo, Oparanya amesema wakulima hawatakuwa na cha kuvuna msimu huu kwani mazao yao yote yameharibiwa na mafuriko.

 

Corona yatua Magharibi mwa Kenya!Mwanafunzi wa miaka 19 apatikana na virusi vya Corona Kakamega

NA NICKSON TOSI

Gavana wa kaunti  ya Kakamega  Wycliffe Oparanya amethibitisha kuwa mwanafunzi wa miaka 19 mvulana aliyerejea nchini kutoka Uingereza amelazwa katika hospitali kuu ya kaunti hiyo baada ya kupatikana na virusi vya Corona.

Oparanya ameongeza kuwa mhudumu wa boda boda aliyembeba mwanafunzi huyo alipokuwa ametoka ughaibuni amepatikana na kwa sasa amewekwa chini ya karantini ili kubaini iwapo aliambukizwa virusi hivyo.

Familia ya mwathiriwa vile vile imewekwa chini ya karantini kufuatia tukio hilo.

19-year-old student in Kakamega tests positive for coronavirus, MCA quarantined

Gavana huyo pia amesema mwakilishi wa wadi ni miongoni mwa watu wanne walioshauriwa kujitenga na watu wengine baada ya kudaiwa kuwa walijumuika na mwanafunzi huyo.

 

 

 

NEW MANDATE:Oparanya Achaguliwa mwenyekiti wa CoG bila kupingwa .

Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya amechaguliwa  bila pingamizi kuwa mwenyekiti wa baraza la magavana . Kupitia mwafaka , magavana  wamewaruhusu Oparanya ,Mwangi wa Iria(Murang’a) na Kivutha Kibwana (Makueni)  kuhudumu kama mwenyekiti ,naibu mwenyekiti na kiranja wa baraza hilo.

BATTLE FRONT :Jinsi Hatma ya Waititu inavyozua vita vya ndani kati Uhuru na Ruto

Oparanya ambaye ana uhusiano wa karibu wa  kiongozi wa ODM Raila Odinga  ametetea kiti hicho kwa muhula wa pili na wa mwisho .Oparanya  alichukua wadhfa huo  januari mwaka jana kutoka kwa gavana wa Turkana  Josephat Nanok  ambaye aliongoza baraza hilo kwa miaka miwili .

PATANISHO: Shiro anataka kumrudia Kamau ‘Mruka mimba’.

Washililizi wa nafasi hiyo  wameweza kunufaika na  ushawishi mkubwa unaombatana na majukumu yao kwani  mwenyekiti wa CoG  ndiye hutumiwa kama kiunganishi kati ya serikali 47 za kaunti na serikali ya kitaifa .  Oparanya ,Nanok na mwenyekiti wa kwanza Isaac  Rutto aliyekuwa gavana wa Bomet waliweza kupepezwa katika siasa za kitaifa kutoka na wadhfa huo.

 

 

 

 

 

Raila, Wamalwa And Oparanya Cheeky Reactions To Kirinyaga Deputy Governor’s Video

Leaders turned cheeky at the devolution conference on Wednesday, in an apparent reference to a video of Kirinyaga Deputy Governor Peter Ndambiri.

Kakamega Governor Wycliffe Oparanya said he had declared a 24-hour economy and that reports indicated this was working.

“You know very well that yesterday I declared a 24-hour economy. And what you hear is that it is working,” he said.

Devolution Minister Eugene Wamalwa said: “Indeed it is working and [Kirinyaga] Governor [Anne] Waiguru can attest to it.”

They spoke before Opposition leader Raila Odinga took the state to deliver his keynote address.

Raila also lightened the mood at the conference when he said most of the guests seemed tired from working at night without lights.

“Some of you seem to be tired because Oparanya said this is a 24-hour economy…,” he said to laughter.

“The Governor told me that although it’s a 24-hour economy, some decided to save electricity bills by working at night without lights.”

In his response, the DG termed the video concocted and edited.

“I wish to state clearly and categorically that this so-called video has not emanated from my end, neither have I invited anyone for a date.”

He went on to say: “I can only describe it as panic action from some faceless, politically unworthy opponents who are using my name to advance their diabolical games.”

Ndambiri asked the public to “treat the video full of lies and malice with the contempt it deserves.”

Police termed the video strange and said they were investigating.

Reports indicate the ordeal may have been part of a set-up.

-Nancy Agutu

Support Mudavadi Or Go Home After Elections, Oparanya Tells Luhya Leaders

Kakamega Governor Wycliffe Oparanya has asked Luhyas to embrace the appointment of Amani leader Musalia Mudavadi as the community’s spokesman.

Oparanya said supporting Mudavadi was the only sure way to send the Jubilee administration home come the August 8 2017, General Election.

He added in an address in Webuye on Tuesday, that the community can now solve its problems and get political direction ahead of the poll.

Mudavadi was crowned the community’s spokesman at a colourful New Year’s Eve ceremony led by Cotu Secretary General Francis Atwoli.

Oparanya said those opposing the appointment will be perceived as enemies of the community.

“Others are saying that it wasn’t to be Mudavadi… We are beyond that. We want unity for our community,” he said.

NASA Is My Brainchild And I Will Be It’s Flagbearer – Mudavadi

The Governor asked leaders from the region, who have opted to back Jubilee, to reconsider their steps and return to the community’s fold.

“We are appealing to the lost sheep of our community, who are blinded by Jubilee goodies, to come back so that we move ahead as one,” said Oparanya.

He further urged Water Cabinet Secretary Eugene Wamalwa and Bungoma Governor Kenneth Lusaka to join them for the election.

“The Luhya community [has faced serious discrimination] by this regime in terms of development. We need to elect a new regime that will serve Kenyans without bias,” he said.

The Governor downplayed the recent revival of Pan Paper Mills saying: “The factory had been bought by the same people who revived it at a price that we cannot accept.”

Source

Hassan Joho kuwania urais mwaka wa 2022

Photo source: kenyan-post.com

Gavana wa Mombasa Hassan Joho amesema atagombea wadhfa wa urais mwaka wa 2022.

Joho amesema taifa linafaa kujitayarisha kwa rais wa kwanza kutoka pwani, huku akiishtumu serikali ya Jubilee kwa kuendeleza uongozi wa maeneo mawili ya taifa. Ameishtumu serikali kuu kwa kujaribu kuchukua sifa za ustawi uliotekelezwa na serikali za kaunti.

Joho amesema mradi wa shilingi bilioni 200 wa kuimarisha mitaa ya Mombasa utaendelea licha ya pingamizi kutoka kwa baadhi ya viongozi.

Hayo yakijiri, Gavana wa kakamega Wycliffe Oparanya anamtaka seneta wa Bungoma Moses Wetangula kutupilia mbali azma yake ya kuwania urais ili kumpa Raila Odinga nafasi hiyo. Oparanya amedaiwa kuwambia Wetangula kwamba iwapo ataendelea na jitihada za kutaka kuwa mgombeaji wa urais, basi asizindue mpango huo katika kaunti ya Kakamega.

 

KAKAMEGA: Wakaazi Wazua Hofu Kuhusu Kudodora Kwa Usalama

Waendeshaji wa boda boda katika mji wa Kakamega. | picha: the-star.co.ke

Wakaazi wa Kakamega wamelalamikia kudorora kwa usalama na ongezeko la visa vya wahudumu wa bodaboda kunyang’anywa pikipiki zao na hata kuuawa.

Malalamishia haya yanafuatia mauaji ya wahudumu wawili wa bodaboda usiku uliopita licha ya serikali ya kaunti kutoa magari kwa idara ya usalama kupiga doria usiku.

Tension high in Malava as Nandi youth raze Luhya homes

Photo source: dialaradio.com

Tension is high in Malava sub-county between the Luhya and Nandi communities after 23 houses were razed on Sunday.

The exact cause of the tension is however unclear as conflicting reports by security officers in the area attribute the torching of the houses to the killing of a Nandi man by a Luhya last month.

Other reports indicate that the houses belonged to the Luhya were torched after two youths from the Nandi allegedly attempted to snatch cattle from Luhya boy herders who were grazing the cattle on the Nandi escarpment.

“The boys raised alarm and their relatives responded and managed to recover the animals and drove them back to Khubasali village on the Kakamega side,” a senior security officer told The Star on the phone.

The officer who declined to be named said the Nandi youth after having been foiled in their attempt to take the cattle, started throwing stoned and arrows downhill at the Luhya homesteads on the escarpment.

The officer reported that the Nandi youth then came down the hill and burnt the houses before police arrived on the scene he added.

A month ago, the man at the centre of controversy killed a neighbour over a land dispute sparked off tensions between the communities leading to burning of three houses on the Kakamega side of the border.

Police however gave conflicting accounts on the burnt houses. Kakamega county police commander Manegene Warui said that only seven houses were burnt.

Kakamega governor Wycliffe Oparanya and his Nandi counterpart Cleophas Lagat rushed to the scene and cooled the tensions.

-The-star.co.ke