Siezi jitoa uhai na nimwache mke wangu! Pastor Ng’ang’a asema

Mwanzilishi wa Neno Evangelism, mhubiri Ng’ang’a katika video amesema kuwa hajapanga kujiua kama inavyo daiwa na mashabiki wake.

Kulingana na mhubiri huyu, alisema kuwa ana sababu nyingi sana za kuishi na hivyo hawezi ata fikiria kuchukua maisha yake.

”Niliskia eti vyombo ya habari vimeandika eti Pastor Ng’ang’a anataka kugombea, kiti cha ubunge wa Kibra,really?

“Niliskia pia eti nilionekana nikiendesha  V8 eti nikiwa na huzuni kiasi cha kutaka kujitoa maisha.”

Je, wamjua mwanamziki stadi Kambua? Soma umfahamu zaidi

“Tuwe ‘serious’ kwanza, nitajiua alafu nimwache bibi yangu mrembo hivi na nani,ataishi na nani? magari yangu nitayaacha na nani?” Ng’ang’a alisema.

 


Zaidi ya hayo, aliuliza nani atarithi mali yake  iwapo atakufa.

Mhubiriri Ng’ang’a alisema pia, ikiwa watu hawajui, majirani wake ni wazungu, basi ni wazungu, na huwa wanasalimiana tu hakuna mambo ya kubisha mlango.

Patanisho:Shemeji amwibia mume wa dadake pesa kwenye akaunti

”INCASE YOU DID NOT KNOW MY NEIGHBORS ARE WAZUNGU’S WE JUST SAY ‘HI’ TO EACH OTHER HAKUNA MAMBO YA KUSHINDA TUKIBISHANIA MLANGO.”

James Nganga

 Licha ya hayo, alisema kuwa, watu wakimwita  fidhuli,”Arrogant,” yeye anawaita Rubbish.Wanaosema kuwa nataka kujiua wajiue wenyewe kwanza.

Ilikuwaje; Pasta Ng’ang’a aeleza jinsi alivyojizolea wafuasi Kanisani mwake

Pastor Ng’ang’a amekuwa muhubiri mkubwa sana hapa nchini Kenya huku hivi karibuni akigonga vichwa vya habari kufuatia mzozo kanisani mwake. Ng’ang’a mwenye umri wa miaka 66  amekuwa mgeni wetu kwenye kipindi cha ilikuwaje na Massawe Japanni.

Ng’ang’a alianza kufanya kazi mwaka 1965 huku akilipwa mshahara wa shillingi sita na wazungu kwa kufanya kazi ya kuchunga kondoo. Hata hivyo, mambo yalianza kumgeuka mwaka wa 1972.

“Mwaka 1972, nilikuwa napigana na mtu mmoja nikiwa na umri wa miaka 18 na hivyo ndivyo masaibu yalinianza. Nilitiwa mbaroni na kupelekwa jela ambako niliishi miaka ishirini hadi mwaka wa 1992.”

Akiwa gerezani, pasta anaeleza kuwa alipatana na muhubiri mmoja aliyemtabiria kuwa mwenyezi Mungu atambadilisha na kumpa neema maishani mwake. Alipoachiliwa, alianza na kazi ya mkokoteni. Mwaka wa 1995, pasta anaeleza kuwa wito wake Mungu ulimgusa. Wito wake Mungu na bidii ndizo chanzo cha wafuasi wake kuwa wengi.

 

IMG_6526 (1)

“Nilifungua duka hapo Mombasa na kuanza kuuza maembe. Nilikuwa nahubiri kisha nakuja kufungua duka langu. Walimwengu sio wakuaminika na hivyo, wahubiri wa kanisa nililokuwa walinifukuza kwa madai ya kujifanya muhubiri huko nje kila wakati nikitoka kanisani.”

Kulingana naye pasta Ng’ang’a, ukiwa na wito mwenyezi mungu hawezi kuacha uteseke hivyo lazima atakupa samaki kama alivyo wafanyia Petero walipoenda kuvua  samaki. Baada ya kufukuzwa, pasta alifanikiwa na kuanzisha kanisa lake.

Ng’ang’a anasema kuwa sio lazima usomee jambo fulani ili ufanikiwe.

“Nilifungua kanisa langu huko Mombasa na kuanza kuhubiri injili. Mwaka wa 2000, niliacha kanisa hilo lililokuwa na wafuasi zaidi ya 4500 huko mjini Mombasa na kuja haopa mjini Nairobi kufungua kanisa langu. Nilihamia Ng’ara na kufungua kanuisa langu kabla cijanunua mahali nimelijenga kanisa kuu kwa sasa.”

Kando na sadaka, Pasta Nga’ng’a anasema kuwa yeye hujitegemea kwani yeye ni mkulima mkubwa sana pamoja na mfanya biashara.

“Mimi ni mkulima na mwaka uliopita nilikuwa na gunia mia tano za mahindi. Kabla nihame Mombasa nilikuwa na nduka kubwa lilokuwa linaniletea pesa.

IMG_6522 (1)

Pasta Ng’ang’a amekubwa na kashfa nyingi hivi karibuni ila amejitokeza na kusema kuwa hizo zote ni porojo.

“Mimi sijawahi kumchapa mke wangu na pia ijulikane kwamba ndani ya ndoa lazima kuwa na mizozo midogo kabla ndoa hio haijakomaa. Pia, mimi sijawahi kunywa pombe kama ilivyokuwa inadaiwa wakai wa ajali iliyotokea mjini Naivasha. Niliitana mkutano na wakati watu walikuja mimi sikujua ni gari li[pi ila nilisikia baadaye kuwa kuna gari lilosababisha ajali na kuyapoteza maisha ya mkenya mmoja.”

Pasta Ng’ang’a ambaye hivi juzi aliwakashifu makasisi kanisani mwake amesema kuwa alifanya hivyo kwa ajili ya mkewe.

“Mkewe wangu ni mdogo kiumri hivyo hawakuwa wanamheshimu kila wakati akiitana mkutano jambo lilonikasirisha sana kwani natumai kuwa atanichunga siku zangu za uzeeni. Kama vile tulikuwa tunamtii baba tukiwa wadogo, namimi kwa sasa ndiye baba kanisani hapo na hivyo nikikohoa lazima mtu aitike!”

Kwa sasa Pasta Ng’ang’a anapania kuendeleza injili yake hadi ulimwenguni kote na hasa kupitia kituo chake cha televisheni.

Soma mengi hapa

 

Pastor Nganga to appear in court over fraud allegations of Ksh.3.6m

Neno evangelism Pastor Nganga is expected to appear in Milimani Law Courts after his arrest on Thursday over fraud allegations.

Nganga was arrested for allegedly defrauding a businessman Sh3.6 million.

“He had agreed to pay but he has been delaying  to honour that agreement. So we decided to process him and take him to court,” Central police commander Stanley Atavachi said.

Nganga was released on police bond on Friday morning after spending the night at Central Police Station in Nairobi.

Two weeks ago, he was arrested and charged with threatening to kill journalist Linus Kaikai

He was also charged with incitement to violence and disobedience of the law.

Read more

#IfikieMatiang’i: Matiang’i calls for fresh investigation into Pastor Nga’nga road crash case

Interior CS Fred Matiang’i has ordered fresh investigations into Neno Evangelical Centre pastor James Ng’ang’a’s accident case.

Last Friday he was acquitted of charges of causing a woman’s death by dangerous driving three years ago.

The preacher was freed by a Limuru court on grounds the prosecution failed to prove its case. Limuru chief magistrate Godfrey Odour presided over the case.

This sparked a public outcry. The victim’s family intends to appeal.

Matiang’i said the ministry noted with surprise that the pastor was acquitted “yet a brazen crime was committed”.

He tasked the DCI to conduct comprehensive investigations that will guide the Judicial Service Commission on what to do with those involved in the decision. “This should be done with a view to reaching a suitable corrective and deterrent action to take against persons found culpable for improper handling of this case,” Matiang’i said.

“While seeking a report on the investigatory and trial processes that may have caused this outcome, I urge you to appeal this judgment in its entirety.”

He asked the DCI to pursue justice for the victims and the public.

Ng’ang’a was freed alongside driver Simon Kuria, and police officers Christopher Nzioka and Patrick Baya. It was alleged that Ng’ang’a’s Range Rover Sport KCD 060Q was being driven carelessly on August 26, 2015, causing Mercy Njeri’s death. The vehicle collided head-on with a Nissan March, registration KBZ 709W, at Manguo, Limuru.