‘Pastor alinipa mimba, akanishawishi niitoe na akaniacha’ Mwanamke ajutia

 Amewashangaza watu wengi mwanamke mmoja jijini Nairobi akisumulia jinsi mhubiri katika  kanisa lao alivyomshawishi kuavya mimba  baada ya kuwa katika uhusiano wa kisiri na mhubiri huyo.

Mwanamke huyo alitumia mitandao ya kijamii kusimulia masaibu yake  na kueleza jinsi pasto huyo alivyomtumia , kumpa mimba kisha akamwacha  hoi .

‘ Napenda mashosho.’ ‘Kahaba mwanamume aeleza anavyoishi kama mfalme kwa kuwapa ngono wanawake Nairobi

 ‘ Nilikuwa nikiendesha shughuli zangu katika shule moja  wakati nilipomaliza shule, kisha baadaye nikaalikwa katika kanisa moja hapa jijini. Kila kitu kilikuwa sawa na hata nilikuwa nafanya mahubiri pia mimi. Nikakutana na pasta mmoja aliyekuwa single na alikuwa akinijali sana kwani mara nyingi angenipigia simu kuniuliza mbona sijakuja kanisani .

 HE WAS SOO COOL DAT WE BECAME VERY CLOSE. HE WAS PRACTICALLY MY BEST FRIEND..WE USED TO HANG OUT ALOT ESPECIALLY GO TO THE MOVIES…HE TOLD ME ALOT OF THINGS ESPECIALLY ON HOW HE WANTS TO GET MARRIED BEFORE THIS YEAR ENDS. ONE EVENING, HE TOOK ME TO DINNER N WHEN HE DROPPED ME BACK AT HOME, WE STARTED MAKING OUT N DEN HAD SEX. I FELT BAD COZ I COMMITTED D SIN WITH A PASTOR BUT HE WASN’T BOTHERED. HE EVEN WANTED ANOTHER ROUND…AFTER EVERYTHIN, WE PRAYED ABOUT IT BUT IT DIDN’T STOP THERE. WE WERE HAVING SEX ALMOST EVERYDAY N REPENTING EVERYDAY.

‘Alikuwa shoga! Alionioa kuwafumba watu macho…’ Mwanadada asimulia yaliyomkumba

  Nilijua tulichokuwa tukifanya hakikuwa sawa lakini alikuwa akisema maisha yetu yatakuwa mazuri wakati tutakapooana . Tulikuwa tukionana kila siku lakini alikuwa akijificha kanisani. Ilifika wakati kila mtu akajua tulikuwa pamoja lakini hakuna aliyeweza kufikiria kwamba tulikuwa tukifanya mapenzi .

   Matatizo yalianza wakati nilipopata mimba. Sikujali kwa sababu alikuwa ameniahidi kwamba atanioa  . Alipojua alinikataa na tukatengana kabisa .. Baada ya Jumapili mbili nilimuona  na msichana mwingine aliyemtoa kutoka kanisa lingine .

  Aliniambia sasa kwamba msichana huyo ndiye aliyekuwa mpenzi wake na hata alifanya uhusiano huo kuwa wa wazi na watu walijua . Kisha akasema alikuwa na mpango wa kumuoa msichana huyo mwaka ufuatao  . Nimejipata na aibu kwa sababu kuna watu waliotuona na yeye usiku na  amemtambulisha kwa mhubiri mkuu .

‘Alihepa na msee wa boda boda nikashindwa nilikosea wapi’

I HAD NO CHOICE DAN TO ABORT D BABY COZ NO1 WUD EVA BILIV HE WAS RESPONSIBLE. MY CONFUSION IS DAT EVN THO HE HAS A GIRL, HE STILL WANTS US TO B BESTIES N ALSO TO KEEP HAVING SEX. I’V TRIED PUSHIN HIM AWAY COZ I WANT TO GET OVER HIM BUT HE WONT LET ME. EVEN IF I DONT PICK HIS CALLS, HE COMES TO MY OFFICE N D MORE I C HIM, D HARDER IT IS TO FORGET HIM..

 

 

Makubwa haya! Mhubiri West Pokot awalazimisha vijana kuabudu uchi

Mhubiri wa magharibi ya Pokot ametiwa mbaroni kwa kuwalazimisha watoto waache shule na kuenda kanisa lake ambapo yeye huwalazimisha waabudu wakiwa uchi.

Samwel Kalwsri ajiitaye Eliya alidai kuwa, aliamriwa na Mungu awache kazi yake na kuanza kumuabudu.

Kazi ya Samwel ni uuguzi lakini alisema kuwa Mungu ndiye aliyemwambia aache kazi yake na kumwabudu.

Je ni wapenzi? Tazama picha za Akothee na Nelly Oaks kitandani

Zaidi ya hayo, amini usiamini, hata ikiwa Samwel ni muuguzi, huwa hawakubalii wafuasi wake kuenda hospitalini ikiwa wanaugua.

Jamaa huyu alitiwa mbaroni katika kitongoji cha waleteke.

Mke wake, Penina Lomatum alisema kuwa, mume wake alitoka nyumbani mwezi wa January mwaka wa 2017 kuenda kufanya kazi ya Mungu.

Mke wake, Lomatum alisema kuwa, jamaa huyu alikuwa anarudi nyumbani kila wiki kuwasalimia watoto wake lakini baada ya Januari mwaka wa 2017 hajarudi baada ya kupata mke mwengine.

”Tulipooana, nilimwambia siwezi enda kanisa lake na akaniwacha niende kanisa langu. Juzi juzi tu ndio nilijua kuwa ana jina jingine Eliya na ana mke mwengine.” Mke wake alisema.

Ajali ya ndege, Wilson Aiport – Nairobi

Vilevile, aliiambia serikali ifanye uchunguzi ili wahakikishe kuwa kanisa lake limeandikishwa kama kanisa katika orodha ya makanisa Kenya.

 Zaidi ya hayo, mke wake alisema kuwa,
”Nimesikia kuwa huwa hatumii chumvi na sukari na ata amekataa kutumia noti mpya za pesa. Niliskia pia amefungwa na ndio nikaamua nije kumsalimia.”Lomatum alisema.
Lomatum aliomba serikali imwachilie mume wake na kumruhusu arudi kwani hana kazi na alikuwa anategemea mume wake kukimu masomo na maisha ya watoto wake.
”Sina kazi na nilikuwa namtegemea akimu kila kitu cha familia. ”Mke wake alisema.

Mkubwa wa kitongoji kidogo cha Kipkomo bwana Mohammed Kofa alisema kuwa Kalwari alifungwa pamoja na wazazi wa watoto waliohusika.

”Tumemtia mbaroni mhubiri Samwel pamoja na wazazi wa watoto walioacha shule na kwa sasa, tunafanya uchunguzi ili tupate ujumbe zaidi kuhusu kanisa hilo na tujue ni nini haswa wao hufanya wakiwa wanaabudu uchi kule milimani.” Kofa alisema.

Kofa aliwaomba machifu wa mtaa huo wahakikishe kuwa, watoto wote wanaenda shule na mzazi yeyote ambaye hampeleki mtoto wake shuleni ameshikwa na kufungwa.

”Wazazi ambao hawawapeleki watoto wao shuleni wanafaa kushikwa na kufungwa gerezani kwani ni haki ya kila mtoto kuenda shuleni kulingana na sheria.” Kofa alisema.

 

 

Nina uhusiano na ma pastor wawili na sponsor – Emily

Kama ilivyo desturi, kipindi ukipendacho cha Massawe Japannni, Bustani la Massawe hukuwacha ukiwa mchangamfu, ukiwa umeelimika na isitoshe ukiwa umetosheleza kiu yako ya mziki na burudani.

Mhubiri James Ng’ang’a aomba Linus Kaika msamaha hadharani

Siku kadhaa zilizopita ilikuwa zamu yake mwanamke mmoja kwa jina Emily, kuwaacha waskizaji vinywa wazi. Hii ni baada yake kusimulia kuwa licha ya kuwa ameolewa, tatizo lake la kutopata mtoto lilimskuma kutafuta uhusiano nje ya ndoa.

Jitihada zake zilimfikisha kwa pastor mmoja ambaye baada ya uhusiano alimpachika mimba.

Isitoshe Emily hakuwachia hapo kwani alishikana na pastor mwingine kama mpango wa kando, kabla ya kuangukia jibaba kama sponsor.

Anasema pastor yule aliyempachika mimba sasa hivi hayuko kwa ndoa yake na alichobakia ni kumuahidi Emily kuwa atamuoa, na sasa anangojea aone jinsi mambo yatakavyokuwa.

PATANISHO: Mume wangu kila mara hutishia kunikata kata

Soma usimulizi wake,

Niliolewa na mume wangu sasa nilikuwa nimetoa mimba na nikakaa bila kupata mimba na akaanza kunisumbua kuwa siwezi pata. Nikaangukia pastor nikalala na pastor akanipa uja uzito.

Sasa hivi nina sponsor na pastor mwingine. Pastor huyu aliwachana na nyumba yake na aliniahidi atanioa lakini tutaona tu.

Say what? Kichwa cha jamaa cha kwama siku tano ngazini

PATANISHO: Pastor alimdanganya mke wangu eti alimuombea akapata mimba

Hillary ambaye alikiri alikosana na mkewe bi Emily vibaya sana aliomba apatanishwe.

PATANISHO: Mke wangu nimekuwa mchafu tangu uende

“Mke wangu tulijuana mda mrefu, tukapendana tukaskizana. Mimi nilikua naishi Rongai naye Pipeline.” Alisimulia.

Aliendelea;

Sasa tukaskizana tuishi pamoja, wakati niliwacha kazi nikapigwa transfer Mombasa nikaona hapana tumejuana na huyu mtu na hatuja kaa mda mrefu na yeye, siwezi enda Mombasa. Nikakataa nikaamua kuishi naye. 

Kufikia hapo msichana akasema twende kwao nikajua wazazi wake na nikakubali mwezi wa Disemba. Tulipoenda kwao hapo ndipo mikosi ilianza, tukaanza kugombana na kutusiana kwa simu na nikashindwa nini mbaya.

PATANISHO: Niliogopa kuwa mume wangu anaweza niua

Nikarudi Nairobi bila kumwambia. Wakati nilifika nilipata nguo zangu zimetolewa kila mahali na kufichwa chini ya kitanda. Nikamuuliza kwa nini na hakunijibu lakini nashuku kuna pastor anayempotosha.

Pastor anasema eti nitoe pesa elfu kumi eti ng’ombe na mbuzi ndio atuombee ndoa yetu iwe nzuri na nilipokataa tukazidi kugombana. Saa hii bibi yangu ni mja mzito na pastor anaambia bibi yangu eti amemuombea hadi amepata mimba.

Kwa sasa wawili hao hawaishi pamoja kwa mda wa wiki mbili na kila anapompigia simu wanagombana.

Alipopigiwa simu bi Emily alisema kuwa mumewe amekuwa na tabia ya kumkosea na kuomba msamaha kwani kuna maneno kadha wa kadha yalikuwa yanaleta migogoro kati yao.

“Makosa aliyofanya ni makubwa sana siwezi eleza kwa redio kwani pia yeye mwenyewe anajua alichofanya. Kama yeye alikuja kuomba msamaha mbona hajachukua hatua ya kwenda kwa wazazi?” Alimuuliza bwanake.

Skiza uhondo wote.

Man confesses to sleeping with pastor’s wife in front of congregation (Audio)

On his ‘story za Ghost’ segment, breakfast presenter, Ghost Mulee never ceases to amaze his audience come rain come sunshine.

On Friday, Ghost narrated of how a young man from Kandara, Murang’a shocked the entire congregation after an altar call, when he revealed that he was sleeping with his pastor’s wife.

The young man was doing so as part of repentance to God and to the people he had hurt in one way or another.

When the young man received the microphone he first started by thanking his pastor who had been mentoring him on his spiritual journey, before he dropped the bombshell.” Narrated Ghost.

So he asked for forgiveness from his pastor because he was having an affair with his wife. Upon hearing it the pastor passed out and his wife could not help but weep bitterly before confirming that she indeed was cheating on her husband with the newly born again christian.” He added.

Listen to the clip below.

#SemaNaRaey: Nilimkatia Pastor Wangu Na Akaingia Box

 

Katika kipindi cha Sema Na Raey siku ya Jumatatu, mjadala mkuu ulikuwa kuhusu wanawake ambao wameolewa na bado wana mipango ya kando.

Huku mada ikiwa imeshika moto, mwanamke mmoja alifichua kuwa yeye ana mpango wa kando na isitoshe mwanaume yule ni mchungaji.

“Wanawake tumeolewa lakini bado tuna mipango za kando. Nina umri wa miaka 34 na nimekuwa kwa ndoa ya miaka minane.” Alisimulia.

Tena mwanaume yule ni pastor ambaye tulianza uhusiano mwaka uliopita mwezi wa nane.” Aliongeza huku akisisitiza kuwa haoni ubaya wowote wa uhusiano ule, kwani mhubiri ndiye anayemchezea mwenyezi mungu.

Isitoshe mwanamke mmoja kwa jina Mary alifichua kuwa wanawake ndio wanaowatongoza wahubiri, kwa mtindo wa nguo zao na tabia kadha wa kadha.

“Nilikuwa nashiriki katika kanisa moja ambalo sitataja, sasa nilikuwa namtongoza pastor na akaingia box.” Alisema Mary. Nilikuwa namvutia na mavazi na jinsi nilivyokuwa najipodoa.

Tulikuwa na uhusiano naye kwa miezi sita na isitoshe alikuwa na bibi na watoto”

Pata uhondo kamili.

Patanisho Loading? Pastor’s Wife In Eldoret Flees After Row Over Love Text message

 A prominent pastor in Eldoret has recorded a statement with the police over the disappearance of his wife after they differed over a text message from another man.
Douglas Mutua says his wife went missing a week ago after he questioned her on the source of the text message.
He is pleading with his wife of 16 years and a mother of two to return because he has forgiven her.
-Mathews Ndanyi

Pastor causes a stir as 17 wives visit him in jail

A Zimbabwean pastor who is serving 40 years in jail for rape and possessing pornographic material, has caused a sensation after 17 of his 21 wives visited him in prison yesterday.

The man of the cloth was jailed in 2014, after being accused of rape by his female congregants, has also been accused of owing Sh7.6 million shillings to a furniture shop, a debt he has denied owing.

The man named Robert Metin Gumbura runs the Independent end time church in Zimbabwe.

The pastor has married 21 wives and together have 34 children, according to newsday in Zimbabwe.

The wives of incarcerated RTG Independent End Time Message Church founder Robert Martin Gumbura yesterday vowed to stand by their husband, dismissing the rape allegations leveled against him.

During the visit in prison, the beaming pastor declared, ‘I am still the man of the house’.

Asked why his wives have not left him, he proudly declared how he has taught them the ways of the bible, and moreover,’

“I taught them to understand that although they were many, they were one and I was their only husband”.

Check out some pictures of his slay queens:

Gumbura-Wives-Friday-550(1)

Gumbura-wives

Pastors-wives

 

PATANISHO: Pastor Alionesha Mke Wangu Kwa Ndoto Kuwa Nina Mke Mwingine

Martin alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe bi Catherine ambaye alifunganya virago na kuelekea kwao nyumbani.

“Mimi nilikuwa mombasa, sasa mke wangu nilikuwa nimemfungulia kazi maeneo ya Kitui lakini niliporudi nikapata kuwa kuna mambo hafanyi mazuri.

PATANISHO: Nilimfumania Mke Wangu Akibugia Chang’aa Na Mpango Wa Kando

Nilipata vitu nilivyomnunulia alikuwa ameanza kutumia na watu wengine, kwanza nilikuwa nimemshuku kuwa ana uhusiano na mchungaji lakini baadaye nikagundua kuwa hakukuwa na lolote. Sasa nikamweleza kuwa tulifaa tusafiri naye hadi Mombasa lakini akadai kuwa lazima angemuomba mamake ruhusa kabla ya kuondoka nami, na hapo nikamuacha Kitui.”

Wawili hao wamekuwa kwa ndoa ya miaka miwili na nusu na alimuoa mkewe akiwa na watoto wawili.

Martin ana umri wa miaka 40 huku mkewe akiwa na miaka 28.

PATANISHO: Annette Amsamehe Wycliffe Mwenye Tabia Ya kubugia Chang’aa

Alipopigiwa simu bi Catherine alisema kuwa hana hamu yoyote ya kwenda Mombasa kwani kuna mambo kadha wa kadhaa ambayo yanamzuia kufanya uamuzi huo.

“I Was A Chang’aa Taster At 14!”, Reveals Ghost Mulee

“Mume wangu alinikosea sana kwani alinipiga bila sababu yeyote.” Alieleza.

“Alinieleza kuwa mchungaji wake alimueleza kuwa ameoneshwa kwa ndoto kuwa nina mke mwingine huko Mombasa, sasa nikaelekea kwa ile kanisa ambayo mke wangu alikuwa amempelekea mbuzi kama jamii ya kwao. Kumbe yule mchungaji akampigia simu mke wangu kudai kuwa nilikuwa namuulizia na hapo mke wangu alianza kudai kuwa nilitishia kumuua mchungaji.” Alieleza Martin.

Pata uhondo kamili.

Peace Crusader Pastor Mbugua collapses and dies in Eldoret

One of Eldoret’s well known peace crusaders who played a role in reconciling communities during the 2007/8 violence collapsed and died last night.

Pastor Sammy Mbugua collapsed after complaining of breathing problems and died before being taken to hospital.

Uasin Gishu governor Jackson Mandago and County Commissioner Abdi Hassan  have mourned Pastor Mbugua as a cleric who contributed to peace in the region.

Courtesy Mathews Ndanyi