Diamond amkumbatia Zuchu baada ya kumzawadi gari

Msanii Zuchu ni msajiliwa wa hivi karibuni wa lebo ya WCB huku akizingua albamu yake mpya inayofahamika kama ‘i am Zuchu’ jumamosi iliyopita.

Baada ya uzinduzi huo staa wa bongo Diamon Platnumz alimzawadi msanii Zuchu na gari lililokuwa linafanana na lile alimzawadi Tanasha mwaka jana.

Awali Zuchu alisema kuwa alikuwwa anatumia gari za abiria yaani matatu, huku nyimbo zake zikichezwa katika redio.

109776746_1144578172586942_1055565123920518882_n

Diamond kupitia kwa ujumbe wwake alimwambia Zuchu awe mwwenye heshima kama Mama yake mzazi, huu hapa ujumbe wa Diamond kwa Zuchu.

“Kwa kila maisha kila kitu inawezakana ilhali tunapaswa kuamini katika ndoto zetu na kisha tuombe sana kuwa mwenye heshima na nidhamu na kutakia kila laheri Zuchu.” Alizungumza Diamond.

Gari hilo lililetwa kwenye jukwaa na msanii Rayvanny ambapo Zuchu alikuwa anawatumbuiza mashabiki na wasanii wenzake huku akitiririkwa na machozi ya furaha na Diamond kumkumbatia wakati huo.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya instagram,Zuchu alichukuwa fursa hiyo na kumshukuru Diamond kwa kitendo hicho, na kuandika ujumbe ufuatao;

“Mwenyezi Mungu wangu nasema Alhamdulillah,Mbariki boss wangu na umuongeze kwa hiki kikubwa alichoniongezea kwenye maisha yangu.Si kila mtu anamoyo kama wako boss Hakunaaa cha kukulipa My brother hakuna kwakweli Allah akupe umri wa uhai wenye mafanikio zaidi unatuokoa wengi sana @diamondplatnumz Asante boss.” Aliandika Zuchu.

Tazama baadhi ya picha zao;

zuchu-03

zuchu-02

zuchu-01-

114585168_119972353115635_3922852045794843075_n

Ni mdau wa muziki wa bongo,’Hisia za Alikiba baada ya Rayvanny kusema anapenda kibao chake cha ‘dodo’

Msanii wa bongo Alikiba amezungumza na kumjibu msanii mwenzake Raymond Shaban almaarufu Rayvanny baada ya kusema kuwa anapenda sana kibao chake cha ‘dodo’ ni kibao alichokitoa hivi majuzi na kuwavutia wengi.

Akizungumza kwenye mahojiano na Bongo5 alisema kuwa matamsho ya Vanny boy yanaonyesha kuwa ni shabiki wa muziki wa Bongo flavour.

Ali Kiba alimshukuru Rayvanny na kusema pia naye husikiza baadhi ya nyimbo za Rayvanny na kuimba wimbo wake wa ‘kwetu na ‘natafuta kiki’ alizosema kuwa ni nyimbo ambazo anapenda sana za Vanny Boy.

Alikiba
Alikiba

“Ningependa kumshukuru ameonesha pia yeye ni madau wa mziki wa Bongo fleva kw asababu kitendo cha kupenda mziki wa mwenzako inaonesha kwamba wewe ni shabiki wa mziki. Sina la kusema Zaidi ila kumshukuru na kumpongeza kwa kazi zake nzuri. Napenda mziki wake.” Alikiba Alisema.

Usem wake unakucha siku chache baadae baada ya Rayvanny kuimba wimbo wake Alikiba wa ‘Dodo’ akiwa kwenye mahojiano na runinga ya Wasafi jumapili iliopita.

Rayvanny alipoagizwa kuupa wimbo huo asilimia 10 kwa 10 alisema kuwa anaupa wimbo huo alama kumi na kusema kuwa anaupenda wimbo huo.

rayvanny
rayvanny

“Huyu alikiba Dodo right. Kwenye kumi ntampa kumi. Btw this is my favorite song kwa Alikiba, napenda Dodo.” Rayvanny Alisema.

Kibao cha ‘Dodo cha Alikiba kimesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii huku mashabiki wengi wakikipenda na kusema kuwa Alikiba aliweza na kibao hicho.

(+VIDEO)Rayvanny azungumzia mipango ya kutoka WCB

Msanii wa bongo Shaban Mwakyusa almaarufu Rayvanny amekana madai kuwa anatengana na msanii Diamond Platnumz na kutoka katika lebo ya Wasafi.

Rayvanny alikana madai hayo alipokuwa na mazungumzo na mashabiki wake katika runinga ya wasafi, mmoja wa mashabiki wake alikuwa na haya ya kumuuliza.

Tabia ya mentor! Rayvanny achukua gari alilokuwa amemnunulia mkewe

zU5k9kqTURBXy85YjQxZmYyMTE2NjEzMjg4N2NiNjMwOGIxOTVlZmRhNS5qcGVnkpUCzQMUAMLDlQIAzQL4wsOBoTAB

“Kwa mfano sasa hivi inatokea unaambiwa sasa hivi kuwa unahama label ya wasafi, Label gani nyingine ambayo unahisi unaweza ukaenda?”

Msajiliwa huyo wa WCB alisema kuwa hatoki katika lebo hiyo hivi karibuni na kama ni kutoka katika lebo ya WCB atakuwa ameenda kufungua lebo yake.

Green light? Rayvanny azima akaunti yake ya matandao wa kijamii wa Instagram

“Before sijaongeoa chochote, Vanny Boy, Wasafi for Life Beiby. Kwanza nisema naishukuru sana Management yangu, WCB Wasafi, Namshukuru sana Diamond Platnumz kwa sehemu niliyofika. Nikiamua kuwa na label, naweza hata kuwa na label hata tano. So there is no way kwamba nitoke Wasafi alafu niende kuwa chini ya Label nyingine, Labda niwe na label kumi zingine za kwangu mimi.” Alisema Rayvanny.

rayvanny
rayvanny

Rayvanny ameimba nyimbo nyingi akimshirikisha Diamond, alisajiliwa katika lebo hiyo mnamo mwaka wa 2015 na kisha kuutoa wimbo wake wa kwanza mwaka wa 2016.

Msanii huyo ameshinda tuzo kadhaa katika sanaa ya muziki.

Hii hapa video yake;

Tabia ya mentor! Rayvanny achukua gari alilokuwa amemnunulia mkewe

Baada ya msanii Diamond kuchua zawadi ya gari alilomnunulia aliyekuwa mpenzi wake Tanasha Donna, inaonekana Rayvanny ameomba mawaidha kutoka kwake.

Green light? Rayvanny azima akaunti yake ya matandao wa kijamii wa Instagram

Rayvanny sasa amemiliki gari alilokuwa amemnunulia mkewe Fahima. Mashabiki wake wanasema kuwa ameomba maiwaidha kutoka kwa mshauri wake na msanii mwenzake.

e712a26701e7e982d86e092f5c7b5479

Kabla ya uhusiano wao kugonga mwamba, inasemekana kuwa msanii Rayvanny alikuwa amemnunulia mkewe gari la aina ya Landcruiser Prado.

Mara nyingi Fahima alionekana akiliendesha gari hilo mjini Dar Es salaam baada ya wawili hao kuachana. Fahima awali alionekana akiendesha gari ndogo la Fun Cargo.

‘Weka ya baby mama.’ Rayvanny aambiwa baada ya kuchora tattoo yake ya kwanza

Fahima
Fahima

 

Awali Fahima akiwa katika mahojiano na Wasafi media alisema alinunua gari hilo na pesa zake mwenyewe na hamna mtu yeyote anaruhusiwa kulichukua.

“I WILL NOT LIVE A LIFE OF PROVING MYSELF TO PEOPLE BASED ON ANY RUMOURS OR GOSSIP ABOUT ME.” Alisema Fahima.

Alipoulizwa kwa nini huwa hamposti Rayvanny katika mitandao ya kijamii alijitetea hivi,

12b01b72c02c8e6bdfaba87753ea50fd

“IT IS NOT A MUST SOMEONE POST YOU FOR IT TO BE A RELATIONSHIP…SOMEONE MAY NOT POST YOU BUT STILL HAVE A HAPPY RELATIONSHIP IT IS NOT A MUST SOMEONE POST YOU FOR IT TO BE A RELATIONSHIP…SOMEONE MAY NOT POST YOU BUT STILL HAVE A HAPPY RELATIONSHIP.”

Je Rayvanny amefuata mtindo wa Diamond au alikuwa amepanga hayo kutoka kichwani mwake, alifanya haya kwa maana mshauri wake hakumuonyesha tabia njema?

 

‘Muulize analala na nani.’ Baby mama wa Ravanny asema akiwa kwenye mahojiano

Fahima almaarufu Fayvanny ni ‘baby mama’ wa msanii Rayvanny ambaye hivi majuzi walitengana na kuthibitisha kuwa habari hizo ni za ukweli kuwa wametangana. Wawili hao wamebarikiwa na mtoto mmoja.

Green light? Rayvanny azima akaunti yake ya matandao wa kijamii wa Instagram

Mambo yanaonekana bado hayajasuluhishwa kati ya hao wawili. Akiwa katika mahojiano, Fahima hakuwacha mambo yaende rahisi bali alisema kuwa hawaishi kama awali.

Rayvanny-Nana-mpasho0

Akiwa kwenye mahojiano na Wasafi media aliulizwa huwa analala na nani kando yake na alikuwa na haya ya kujibu.

“MIMI NALALA NA MTOTO WANGU.”

Kidosho aliyeshukiwa kuvuruga penzi la Rayvanny na Fahyma aolewa

Alipoulizwa ni nani analala na Rayvanny, Fahima alijibu hivi.

 

“MFUATE YEYE UMUULIZE.”Fahima Alisema.

rayvanny111

‘Weka ya baby mama.’ Rayvanny aambiwa baada ya kuchora tattoo yake ya kwanza

Aliongeza na kusema kuwa ameacha kuwa video vixen. Fahima awali amekuwa video vixen kwa nyimbo mbili pekee ambazo ni za Rayvanny alikiri na kusema kuwa endapo Rayvanny anataka awe Video Vixen atamuitisha mamillioni ya pesa.

“I’M DONE BEING A VIDEO VIXEN AND IF ITS RAYVANNY’S VIDEO, I MIGHT DO IT BUT HE WILL PAY ALOT OF MONEY FOR ME TO LEAVE MY BUSINESSES AND DO THAT. IT IS BUSINESS AT THE END OF THE DAY.”

Matamshi ya Fahima yanakuja siku chache baada ya Rayvanny kutoa picha zake zote kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

 

‘Weka ya baby mama.’ Rayvanny aambiwa baada ya kuchora tattoo yake ya kwanza

Msanii wa nyimbo za bongo Rayvanny kwa mara ya kwanza amechora tatoo katika shingo lake kama wale wasanii wengine huanza na kuchora mikono.

Ulianzia Ukambani kwa jina Colona,sasa Rayvanny aja na Corona!

Yake iliwavutia wengi hasa wasanii wenzake, ambayo alichora ikisoma ‘blessed’ yaaani kubarikiwa.

Kupitia mtandao wa kijamii, aliposti picha na kuandika maelezo mafupi.

rayvanny-

 

“BLESSED. NGOZI TAA IMEWAKA .” Aliandika Rayvanny.

Wasanii wenzake Diamond Platnumz na Mbosso walionyesha upendo wao kwake kwa kunakili na Emoji za upendo huku nduguye Diamond, DJ wa WCB na Rommy Jones wakimshawishi afuate nyayo za Diamond.

“HAPO BADO JINA LA MTOTO, MAMA NA MAUA YAAANZE RASMI.” Aliandika.

Si akaunti yangu hiyo,asema Rayvanny

Kwa mkono wake wa kushoto, Diamond amejaza majina katika tatto zake huku jina la kwanza likiwa la baby mama wake Zari Hassan.

Tatto ingine ya majina ya watoto wake wakiwa na Zari.

diamond1diamond1

 

MHARIRI: DAVIS OJIAMBO

Corona yawanyima raha wafuasi wa Bongo Eldoret

NA NICKSON TOSI

Msanii Rayvanny kutoka taifa jirani la Tanzania amelazimika kufutilia mbali tamasha lake la mziki lililokuwa linatarajiwa kuandaliwa Eldoret Sports Club mnamo Aprili 11 mwaka huu kutokana na Corona.

Katika ujumbe wake kwa mashabiki wake ,Rayvanny aliwadokeza kuwa kutokana na hofu ya kuenea kwa virusi hivyo,waandalizi wa tamasha hilo watatoa tarehe mwafaka ya kufanyika.

“Watu wangu wapendwa wa  254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tamasha letu limefutiliwa mbali kutokana na hofu ya virusi vya Corona 😭 !! tusubiri tangazo lingine ambalo tutatoa tarehe mwafaka … 🙏🙏” aliandika Rayvanny.

rayvanny

Siku chache zilizopita,Diamond alilazimika kufutilia mbali tamasha lake ughaibuni wakati ambapo alikuwa alikuwa anatarajiwa kuwatumbuiza mamia ya mashabiki wake ,lakini kutokana na amri za baadhi ya mataifa ya kutaka wananchi wake waepukane na maeneo yaliyojaa watu,ilipelekea tamasha hilo kusongeshwa .

Diamond.platnumz.and.Rayvanny

Rayvanny with Daimond Platnumz.

Ulianzia Ukambani kwa jina Colona,sasa Rayvanny aja na Corona!

NA NICKSON TOSI

Msanii wa nyimbo za kizazi kipya Rayvanny ametoa wimbo kuhusiana na virusi vya Corona ambavyo vimeathiri zaidi ya mataifa 123 ulimwenguni.

Katika wimbo huo Rayvanny anachukuwa fursa yake kuwaelimisha watanzania kuhusiana na jinsi ya kuzuiya virusi hivyo siku moja tu  baada ya kisa cha kwanza kuripotiwa nchini humo.

Rayvanny vile anamuomba Mwenyezi kuokoa ulimwengu dhidi ya virusi hivyo kutokana na idadi kubwa ya watu ambao ni maskini na hawana uwezo wa kukabiliana na virusi hivyo.

Rayvanny_Nana_mpasho7__1575275289_51088

Rayvannya aidha alimshirikisha kiongozi wa Taifa John Pombe Mgufuli ambaye anasikika katika wimbo huo akitoa maelezo jinsi ya kuzuiya virusi hivyo.

Haya hapa ni maneno yake aliyoyasema katika wimbo huo wa Corona.

“Tanzania hatuwezi tukajiweka Pemebeni bila kuchukua hatua. Hatua zimeshaanza kuchukuliwa na waziri wa Afaya ameshatoa Tahadhari mbali mbali amabzo tunapaswa kuchukua. Napenda nirudie Ndugu zangu watanzania kwamba ni vizuri sana tukaendelea kuchukuwa tahadhari kwa nguvu zote. Ugonjwa huu unauwa na unaua haraka sana. Niwaombe Ndugu zangu watanzania tusipuzee ujongwa huu hata kidogo. Ni lazima tuanze kuchukua hatua za kujikinga na ujonjwa huuMugufuli anawasihi Watanzania katika wimbo huo.

magufuli

Jumatatu wizara ya Afya ya Tanzania ilidhibitisha kisa cha kwanza cha Corona baada ya mwanhamke wa miaka 46 kuwasili kutoka Ubelgiji kufanyiwa vipimo vya matibabu na kupatikana na virusi hivyo.

Rayvanny

Si akaunti yangu hiyo,asema Rayvanny

NA NICKSON TOSI

Msanii wa bongo Rayvanny ametupilia mbali madai kuwa akaunti yake ya Facebook ilitumiwa kumkejeli aliyekuwa baby mama wa Diamond Tanasha Donna.

Katika ujumbe alioutuma kwenye ukurasa wake wa Instagram, Rayvanny amewataka wanaotumia akaunti hiyo ya uongo kukoma kuendeleza uvumi huo na kuangazia shida zao ambazo zinawakumba.

Aliongeza kuwa hatumii vyovyote vile mtandao wa facebook na kuwarai wafwasi wake kutupilia mbali madai hayo.

That’s not me- Rayvanny forced to respond after Facebook using his name mocked Tanasha

“I DON’T USE THIS ACCOUNT!!!!!! THAT’S NOT ME 😡😡😡 ( RESPECT MY NAME) I DON’T USE FACEBOOK …….” alisema Rayvanny.

Akaunti inayotajwa kuwa ya uongo ilikuwa na ujumbe huu.

;“Asanteni kwa Watoto ..tumemalizana na East Africa Jee ..Mantaka Simba Asongee Nchi gani tena. Oooh!!! Poleni Bado Naskia Rwanda and Burundi ndo tumalizane na Mambo ya East Africa.”

That’s not me- Rayvanny forced to respond after Facebook using his name mocked Tanasha

Jumbe ziliibua hisia kinzani kutoka kwa baadhi ya wakenya ambao walitumia muda wao na kuanza kumkejeli msanii huyo ,wengine wakisema maneno yaliyotumika katika akaunti hiyo yalikuwa ya kukejeli.

Kando na Rayvanny kudai kuwa si ukurasa wake rasmi wa facebook,baadhi ya wafwasi wake walidai ni akaunti ambayo anatumia kutuma jumbe zake akiwa ametoa wimbo mpya.

That’s not me- Rayvanny forced to respond after Facebook using his name mocked Tanasha

Mashabiki walikuwa nahaya ya kusema kuhusiana na hatua hiyo

wanjikustephens “Yani ata iwe niwewe haiwezi stuka tabia zako hizo 🙈”

maryjames355 “Aaiii and ur addressing it after 24hour datz was so trashy”

recorder_og “Kawadanganye wanyakyusa wenzio”

djbwasafi “😭😭😭😭😭😭😭😭 RAY vany is not on Face Book 😭😭😭”

merickywathamani “😂😂😂 boss wako atakumind mdogo Wang 😂😂”

tonberna_18 “🤣🤣bora mana hawachelewi kuongea ujinga”

fudealdeny “Acha uongo vanny boy😂😂😂”

khadsixdozen “Sawa mzee Chui watu wanatembelea Nyota

Mnataka Simba aende nchi gani sasa? Swali la Ravanny baada ya Diamond kumtema Tanasha

Aisifuye mvua imemnyea, kilicho tarayajiwa kifanyike kishaa fanyika baada ya Tanasha kutengana na Diamond Platinamz, hali ilikuwa si hali tena wakati Diamond almzuia Tanasha kuondoka na mtoto wake siku ya Jumapili.

Wizi!Tanasha na Diamond wapigiwa simu kuhusiana na wimbo wao mpya

Msukosuko wa uhusiano wao ulianza pale msanii Simba alitoa wimbo wa jeje na mwanamke mwenye urembo wa kupindukia.

Diamond-and-Tanasha-Donna-in-the-past

 

Kupitia mtandao wa kijamii, msanii Rayvanny aliwauliza mashabiki wake wanataka Simba awe na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke wa nchi gani

Aliwashukuru wanawake ambao wana watoto wa Simba, msanii Simba ana watoto tofauti na wanawake tofauti wa nchi tatu za afrika mashariki.

Aliandika ujumbe huo baada ya mwenzake Diamond na mpenzi wake Tanasha kuachana.

” 🇰🇪 🇹🇿 🇺🇬 Asanteni kwa watoto😂😂😂 tumemalizana na east africa,😂 mnataka simba asongee nchi gani tena? Rayvanny Aliandika.

Soma alichosema babake Diamond kuhusu uhusiano wa mwanawe na Tanasha

05422DD9-69E4-400C-AE7C-9AEB0B6CF814

Diamond anajulikana sana kwa kuwazalisha wanawake na kuachana nao hii ni kwa sababu ana macho ya mapenzi kila mahali anapoenda.

diamond-rayvanny2-e1549699123560-324x160

Alizidi kuandika kuwa kuna nchi ambazo Diamond almaarufu Simba hajaweza kuziguza, kutengana kwa Diamond na Tanasha kunajiri tu mwaka mmoja baada ya Rayvanny kukosana na mkewe

9A215417-B99C-4C30-A2E3-B9A35ED6B7FB

Ni post ambayo iliwafanya wengi wachangamke na kupeana hisia zao

yung_ahmed Jaribu wakamba uone kama hautageuka nyoka😂😂…na unajiita simba

joyous_86 What’s so funny about this break up🙄🙄🙄 did they have to remind us smh

chiwa5628 Father of all nations 😝😝😝😝😝😝😝

bridgetnajjuma I swear this is not funny how could they play with women’s feelings like this so stupid