Mnatarajia mapacha? Msanii wa bendi ya Sauti Sol Polycarp ajibu

Polycarp Otieno almaarufu Fancy Fingers anatarajia kuwa baba hivi karibuni, kupitia kwenye mitandao ya kijamii Polycarp aliposti video na kuandika ujumbe huu ufuatao.

“Wakati wa maajabu kama umesikiza na mtoto akipiga teke katika tumbo la mama yake ni maajabu makuu na wala si madogo, ndugu zangu @SAVARAFRICA AND @IAMCHIMANO mlijawa na mhemko najua lilikuwa jambo tamu sana 

116214379_217102232968387_2104746899035604942_n-1

Jambo ambalo ni la maana limekuja na covid-19 ni kuwa nime experience safari hiyo yote kila siku ya wiki, na nashukuru hivi karibuni atakuja.”

Mama wa mapacha wawili na mtangazaji Grace Msalame alidokeza kuwa Polycarp na Mandi wanatarajia mapacha.

 

Screenshot_20200807-104801-e1596787616369

“IT REALLY IS MIRACULOUS ISN’T IT🤗♥️AND ALSO I’M SEEING TWO👶🏽👶🏽IS THERE SOMETHING YOU’RE NOT TELLING US🤗.” Alisema Msalame.

Ni jambo ambalo Polycarp hakukana wala kukubali mbali alisema,

“Vizuri vizuri utafiti umefunguliwa.”

Sauti sol inajiandaa kwa kuweka hafla ya tarabu kwa ajili ya kuzindua albamu yao ya ‘Night train’ itakayo fanyika tarehe 22, Agosti mwaka huu saa tatu usiku.

Huku akiwa kwenye mahojiano Sol alisema kuwa msanii mwenzao anatarajiwa kuwa baba tarehe hizo

‘Natumaini akiba yetu itatuwezesha,’ Msanii wa bendi ya sauti sol Bien Azungumza

Janga la corona limeathiri kila mwanabiashara na mwananchi, kutoka kwa wasanii maarufu zaidi, msanii wa bendi ya Sauti sol Bien alisema kuwa amelazimika kuishi kwa mrahaba.

Akiwa kwenye mahojiano Bien alisema uwa virusi vya corona vimemuathiri sana kifedha.

‘Walikuwa wa kushangaza,’ Size 8 awasifu Bien na Bensoul kwa kufanya haya

“Kwa sasa natagemea mrahaba kwa aana nimeandikia watu wengi nyimbo,mapema mwaka jana nilienda Germany kufanya nyimbo nyingi huko

Bien_Easy-Resize.com_-696x447

Na kazi hiyo na nyimbo hizo ndizo zimekuwa zikinisaidia wakati huu, pia mrahaba unaopewa sauti sol wanaptia wakati mgumu akiba zangu zimeenda sana kwa maana mimi kama msanii napaswa kuwekeza

Natumaini akiba zetu zitatuwezesha mpaka pale janga hili litaisha.”Alizungumza Bien.

Alisema kuwa hili si jambo rahisi kwa maana alikuwa na miradi nyingi kama vile kulipa wafanyakazi wake mishahara.

‘Sitaki ufala, comments za kijinga,’Bien azungumzia ni kwa nini hajawahi kuposti picha za harusi

“Tuna video vya Bensoul na Nviiri na lazima zifanywe ili zisikae na wapoteze mwelekeo pia tuna nyimbo zingine zetu ambao zinahitajika kufanywa bali zimeathirika.” Alisema.

Bien aliuliza serikali kuangalia ushuru kwa wasanii kwa ajili ya janga hili la corona kwa maana limewaathiri sana

Mashabikia washabikia hatua ya Samidoh kushirikiana na Sauti Sol

Wiki moja tu baada ya wanamziki wa kikundi cha Sauti Sol cha humu nchini kuzindua albamu yao ya Midnight Train,sasa mmoja wa kikundi hicho Bien,amefichua kuwa watashirikiana  na mwanamziki wa humu nchini Samidoh kutoa nyimbo.

Wakenya baada ya kuona jumbe hizo wameshabikia hatua hiyo wengi wakihoji kuwa wanasubiri kuona namna ushirikiano huo utakavyofanya.

Mamake Abenny Jachiga alazimika kukalia kaburi ili kuzuiya kundi la vijana kufukua mwili

 

Miaka michache katika tasnia ya muziki nchini japo msanii Samidoh ambaye ni afisa wa polisi nchini ametega anga na kujipata akiwa na mashabiki wengi wanaoshabikia nyimbo zake.

Bien alikuwa wa kwanza kutuma ujumbe na kuandika ;Mtajificha wapi?

Wengine walikuwa na haya ya kusema

Kate actress : Tumalizeni uuuuui 👐 👐 👐

Cate kaddy : You want to kill us now, huh?

Myk mukka : Rhumba Mugithi tukisonga

Tracy Waithera : Tuuukunyweni kabisa

Jayc ; I’m not ready to die out of good music

Dj Shiti : wataficha vichwa wapiii!!

Samidoh muchoki : itakuwa moto kama pasi ya makaa nani 🔥 🔥

John articles : Ghafla bin vuu 🔥 🔥 🔥 😂 😂

The Sarah Mwangi : Wowowowo hapa ndio mugithi na rhumba meet time make our lives happy

 

Hongereni! Sauti sol wazindua albamu yao mpya ya ‘Midnight Train’

Bendi ya Sauti Sol hatimaye wametoa albamu yao ya tano, albamu hiyo inafahamika kama ‘midnight train’ ni albamu ambayo ina vibao kumi na tatu, vibao hivyo vinaangazia hofu ambayo watu wengi hupitia katika maisha yao, majaribio na hata changamoto.

Moto kama pasi! Sauti Sol wazindua kibao kipya ‘Insecure’ kwa ushirikiano na Radio Africa

Kibao Midnight train kimezalishwa na Andre Harris (Justin Bieber, Kanye West, Jill Scott) kinazungumzia bidii yao ambayo wameweka katika kazi yao ya usanii, na hata kuweka blanketi kando na kisha kufanya kazi bila kusinzia.

Sauti-Sol-1-640x400

“WE’VE HAD AN AMAZING JOURNEY SO FAR AND IT’S LIKE AN EVER MOVING TRAIN. EACH TIME WE MAKE IT TO A DESTINATION WE REALIZE THE ROAD DOESN’T STOP THERE. WE CONTINUE TO BETTER OURSELVES AND LOOK FORWARD TO BRINGING OUR FANS ALONG WITH US AS WE GROW.” Alizungumza Chimano.

Awali bendi hiyo ilitoa kibao cha ‘suzanna’ ambacho kilipendwa na wengi. Baada ya hapo walitoa ‘insecure ambayo kwa sasa inafanya vyema kwenye mitandao ya kijamii.

Radio Africa kuzindua wimbo mpya wa Sauti Sol

sauti.sol

Katika albamu yao kuna kibao ambacho kinafahamika kama ‘Disco Matanga’ ambacho wamemshirikisha msanii Sho Madjozi, kama vile walivyosema kwa hakika wasanii au bendi hiyo wametia bidii kwa kazi yao.

Hivi hapa vibao ambavyo viko katika albamu hiyo;

1. Intro
2. Midnight Train
3. Insecure
4. Feel My Love
5. Brighter Days ft. Soweto Gospel Choir
6. Nenda Lote
7. Suzanna
8. Set Me Free (Interlude)
9. My Everything ft. India Arie
10. Wake Up ft. Mortimer
11. Sober
12. Rhumba Japani ft. Kaskazini, Bensoul, Xenia, Nviiri the Storyteller, Okello Max, NHP
13. Disco Matanga (Yambakhana) ft. Black Motion & Sho Madjozi

Radio Africa kuzindua wimbo mpya wa Sauti Sol

Bendi ya muziki wa Afro-pop Sauti Sol inajiandaa kuzindua kibao kipya mnamo Mei 22. Kibao hicho kinafahamika kama ‘insecure’. Sauti Sol wameshirikiana na Radio Africa group kutoa kibao hicho ili kujitayarisha kwa albamu yao mpya itakayozinduliwa Juni 5, ‘midnight train’.

Mashabiki wa Sauti Sol wanatarajiwa kuuskiza uzinduzi huo kupitia Radio Jambo, Classic 105, Kiss 100, Smooth fm na Homeboyz Ijumaa asubuhi.

radio africa

Kibao chao cha ‘Suzanna’ kimetamba sana katika mitandao ya kijamii huku kikifikisha mashabiki millioni tisa katika youtube.

Kibao cha ‘Brighter days’ kilichotolewa Aprili 17  tayari kina mashabiki zaidi ya millioni 1.2.

Bendi ya Sauti Sol ilisema kuwa wakati huu ambao nchi inapitia janga la corona wasanii wameathirika pakubwa na hata uchumi wa nchi kuzorota huku mamilioni ya watu wakipoteza ajira.

“It has forced us to not only postpone and/or cancel all local and international performances but also to isolate at a time we need to be together preparing for the launch and eventual performance and touring of our new album

It is the expectation of our fans and stakeholders that we launch this album with a concert/performance regardless of the circumstances.”  wanachama wa bendi hiyo walisema.

sauti sol

Baadhi ya watangazi wa Radio Jambo walizungumzia hofu zao maishani.

“Ninahofia kesho watoto wangu watakuwa akina nani na pia kesho nikiamka afya yangu ni duni.” Massawe Alisema.

Ghost naye alikuwa na haya ya kusema,

“Mimi kama baba nahofia nikirudi nyumbani watoto wanakuuliza baba vipi, labda karo ya shule hujamaliza kulipa, huwezi wanunulia chakula mambo kama hayo yananipatia mimi kiwewe.”Alizungumza Ghost.

 

MHARIRI; DAVIS OJIAMBO

Kongole Sauti Sol! Watashirikiana na Radio Africa Group katika uzinduzi wao wa Albamu ya 5

Kikundi cha wanamziki wa humu nchini Sauti Sol watashirikiana na kampuni ya Radio Africa Group katika uzinduzi wao wa albamu yao ya tano kwa jina Midnight Train Juni 5.

 

Mashabiki wa kikundi hicho wataweza kupata ngoma zote kwenye albamu hiyo kwa kufuatilia vituo vya Classic 105, Smooth Fm, Kiss 100, Radio Jambo na Homeboyz Radio kuanzia Ijumaa asubuhi.

Jamaa wa miaka 72 atiwa mbaroni kwa kumnajisi msichana wa miaka 17- Homa Bay

Wimbo wao Suzanna ambao ulizinduliwa Februari 6 uko na wafuatiliaji zaidi ya milioni moja kwenye Youtube.

sauti sol

Wanted! Maafisa wa polisi waanzisha msako wa jamaa wawili waliomuua mwanahabari

 

Wamesema kutokana na vigezo vilivyowekwa na serikali kama vile kupiga marufuku usafiri wa ndege umechangia pakubwa biashara kurudi chini.

“It has forced us to not only postpone and/or cancel all local and international performances but also to isolate at a time we need to be together preparing for the launch and eventual performance and touring of our new album,” wamesema Sauti Sol.

Sauti-SOl-696x545

Wamesema ni maombi ya mashabiki wao kushuhudia uzinduzi wa Albamu hiyo kupitia kwa matumbuizi ama kuwa na hafla tofauti kando na changamoto ambazo zimekumba ulimwengu kwa sasa.

 “It is the expectation of our fans and stakeholders that we launch this album with a concert/performance regardless of the circumstances.” wanmesema wasanii hao.

Baada ya Nyashinski kutoa albamu yake,macho yote sasa yaangazia Sauti Sol

NA NICKSON TOSI

Washindi wa tuzo ya Afro Pop Sauti Sol wanatarajia kuzindua albamu yao ya 5 ya  Midnight Train tarehe 5 Juni mwaka huu ikiwa ndiyo albamu yao ya kwanza kufanya chini ya lebo ya Univrersal Music Africa.

Kupitia kwa mtandao wao wa Instagram Sauti Sol walisema watazindua kanda hiyo ambayo itakuwa na nyimbo kama Suzzana mnamo juni 5.

Our 5th studio album drops June 5th.waliandika Sauti Sol

Sauti Sol tena !,wajumuishwa katika video ya Queen Sono

View image on Twitter

Katika albamu hiyo kutakuwepo na wasanii kama vile India Arie katika wimbo wa My Everything , na msanii Burna Boy katika wimbo wa Time flies.

‘Msiniliake katika harusi zenu’-Bien wa Sauti sol awaambia rafiki zake waliokosa  kualikwa

Albamu ya Midnight Train itakuwa na nyimbo zifuatazo tazama.

 • Intro
 • Midnight Train
 • Insecure
 • Feel My Love
 • Brighter Days ft. Soweto Gospel Choir
 • Nenda Lote
 • Suzanna
 • Interlude
 • My Everything ft. India Arie
 • Wake Up ft. Mortimer
 • Sober
 • Time Flies ft. Burna Boy
 • Disco Matanga (Yambakhana) ft. Black Motion & Sho Madjozi
 • Rhumba Japani ft. Kaskazini, Bensoul, Xenia, Nviiri, Okello Max, NHP

Uzinduzi wa albamu ya Sauti Sol utajiri baada ya msanii mwengine kutokea humu nchini Nyashinski kuzindua albamu yake LUCKY YOU

Barafu ya Moyo:Mjue mwanamke aliyeteka moyo wa Savara wa sauti Sol

Iwapo  wewe ni mwanadada na ulikuwa ukiwanyemelea mojawapo ya wanachama wa kundi la sauti sol basi ole wako. Baada ya Bien kufunga ndoa wiki moja iliyopita sasa  Savara amechukuliwa !

‘Maamlaka yapo katikati  ya miguu  yenu’ Akothe awashauri akina dada  baada ya Tanasha kumshtaki Diamond kuhusu mtoto

SAVARA 2

Mwaka wa 2018  Fancy Fingers  ndiye aliyeanza kwa kufunga ndoa na  mpenziwe  Lady Mandy  na baada ya  Chiki Kuruka kumchukua Bien  imewadia zamu ya Savara .Savara  amekuwa akituma taswira zinazokinzana  kuhusu uhusiano wake na Yvonne Endo na hata ilidhaniwa kwamba huneda uhusiano huo ulikatizwa zamani .Lakini picha zinazotambaa mtandaoni  zinawoanyesha wote wawili  wakionekana kutekana nyoyo

SAVARA 3

Smiling again! Mkewe Willis Raburu arejea kwa tabasamu baada ya maombolezi

Picha hiyo iliyowekwa na  Savara ni ithibati kwamba uhusiano wao bado upo na thabiti tena .

SAVARA 4

Picha hiyo ilizua ndimi kweli na maoni yakaanza kufuata

SAVARA 5

Bien: Heri waliompokea Bwana Yesu, Wana uzima

Chris Kirwa: Aha #SisiKamaInlaws Twa ! I mean Twawapenda wakati huu wa wa kukaa nyumbani

Ephy Saint: Those babies shall be cute

Fancy Fingers: Kesi utajibu baadaye

SAVARA 6

Koikai: We Savara shindeni kwa kitanda ya 4 by 6… Kidogo kidogo ndio hiyo corona 6inch deep kwa vein

Some guy went ahead to break the hearts of the women who fantasize about Savara saying,

I keep telling y’all to stop fantasizing na mabwana za wenyewe hamsikii..sasa ona mmevunjwa roho tena. Si mtutake tu sisi wenye tunawataka.

 

‘Msiniliake katika harusi zenu’-Bien wa Sauti sol awaambia rafiki zake waliokosa  kualikwa

Msanii wa kundi la muziki la Sauti Sol  Bien aime Barza  alifunga ndoa na mpenzi wake Chiki Onwukwe,  katika harusi iliyokuwa ya waalikwa pekee mtaani lavington katika eneo la Pallet Cafe, Lavington,  ijumaa wiki jana .Bien  amesema hakuweza kuwaalika rafiki zake wote nkwa sababu harusi yake ilipangwa kuwahusisha watu wa familia na rafiki wa karibu ‘ni kwa wale wanaonifahamu kama Alusa sio Bien’”amesema msanii huyo.

Kuwafilisha:Diamond aziweka picha zake na kipusa wa Jeje mtandaoni

Baadhi ya rafiki zake hawajafurahi baada ya kuachwa nje ya orodha ya wageni walioalikwa katika harusi hiyo . Lakini Bien hana cha kumpa wasia wasikwa sababu harusi ilikuwa yake na hakuna anayeweza kudai kuwa na haki ya kuhudhuria harusi ambayo hajapewa mualiko .

Kuwafilisha:Diamond aziweka picha zake na kipusa wa Jeje mtandaoni

” Sina haja ya kuhudhuria harusi kwa sababu nimeenda katika harusi  nyingi.Ilikuwa njia yangu ya kuadhimisha kujitolea kwangu kwa mke wangu’ amesema  Bien .

‘Nataka mimba!’ Mwanadada asema katika twitter akihofia ‘kufa’ kwa ajili ya Coronavirus

Bien amewashauri wanaopanga kufanya harusi kuhakikisha kwamba wanaanda hafla  wanazoweza kugharamia kwa urahisi .”Harusi ni mwanzo wa maisha yako .kwa hivyo usitumie pesa zakozote kufanya harusi .Fanya kitu unachoweza kugharamia .Hakikisha unatumia pesa nyingi katika fungate yako kuliko unazotumia katika harusi yako’ amesema Bien . Bien alitumia kiasi kisichozidi shilingi laki tatu katika harusi yake .Bien na Mke wake  hawajaenda honeymoon kwa sababu ya mkurupuko wa virusivya Corona

 

 

 

 

 

 

Sauti Sol tena !,wajumuishwa katika video ya Queen Sono

NA NICKSON TOSI

Waimbaji wa wimbo wa Suzzana  Sauti Sol aliingia katika rekodi baada ya kutoa wimbo utakaotumika katika filamu ya kwanza ya Afrika itakayotumika katika itakayoonyeshwa katika television Netflix kwa jina  “Queen Sono”.

Alihamisi wasanii hao wa kenya wa mitindo ya  afro-pop walikuwa Afrika Kusini katika uzinduzi wa filamu hiyo ya  Queen Sono,ambapo walitangaza wazi kuwa wao ndio walioimba wimbo utakaotumika katika filamu hiyo wakiwashirikisha wasanii  Sho Madjozi na  Black motion  kutokea Afrika Kusini.

“HISTORY! ✊🏿– This is @neflix‘s first African original and we’re on the official soundtrack w/ @shomadjozi & @realblackmotion . Cc @queensononetflix @netflixsa #QueenSono,” Ulisoma ujumbe wa Sauti Sol.

Sauti Sol makes history as the feature in Netflix's first African original series Queen Sono

Queen Sono ni filamu ya Afrika kusini inayoangazia maswala ya visa vya ugaidi na iliyoandaliwa na Kagiso Lediga na itaanza kuonyeshwa kwenye Netflix kuanzia Februari 28,2020.

Watakao shirika katika filamu hiyo ni, Pearl Thusi, Vuyo Dabula, Sechaba Morojele, Chi Mhende, Loyiso Madinga, Rob Van Vuuren, Kate Liquorish, Khathu Ramabulana, Enhle Maphumulo, Abigail Kubeka, Connie Chiume, Otto Nobela and James Ngcobo.

Katika filamu hiyo, Pearl Thusi [Quantico]mwana mitindo na mtangazaji wa televisheni anaigiza kama afisa wa ujasusi katika k8itengo cha ujasusi cha Afrika Kusini,na ambaye anatumia milango ya nyuma kupata kazi hiyo.

Sauti Sol makes history as the feature in Netflix's first African original series Queen Sono

Sauti Sol makes history as the feature in Netflix's first African original series Queen Sono

Queen Sono inasemekana kuwa itafunguwa milango ya filamu za kiafrika katika mataifa mengine kutokana na weledi wa waigizaji walioshirikishwa katika filamu hiyo wako nao.