‘Diamond anahofia ndoa,’ Asema dadake, Esma

Esma Khan, dadake Diamond Platnumz amesema kwamba mwanamziki huyo anahofia sana kufunga ndoa kabla ya kujiandaa.

“Sisi hujadiliana sana kuhusu masuala ya ndoa, [Diamond] ni mtu anayehofia sana kujiingiza kwenye ndoa. Anataka ajiandae ipasavyo kabla ya kuamua kufunga pingu za maisha” 

Itakumbukwa kuwa, Diamond alisogeza mbele ndoa yake na Tanasha iliyokuwa imepangiwa siku ya wapendanao 14, 02, 2019. Tanasha alisema harusi ilikosa kufungwa kwa kuwa familia yake hawakuwepo.

Hizi majuzi, aliambia Wasafi Media kwamba mwaka huu wa 2020 ataweza kumuoa Tanasha

“Tumuombe Mwenyezi Mungu atubariki Inshallah mwaka unaoingia itakua zamu yangu maanake ndugu zangu wte washaaondoka.”

“Sina sababu yangu mimi kuchelewa kuoa wakati nin akila sababu ya kuweza kuoa. Nina mwanamke mzuri, amenizalia mtoto mzuri, riziki ya kula sikosi, nina marafiki wazuri.”

Kabla hajapatana na Tanasha, Diamond alikua amepanga harusi na aliyekua mpenzi wake Zari Hassan na kusema kuwa, harusi hiyo itakua ya kimataifa. Aidha, Zari alimwandikia arafa ya utengano kwenye mtandao wa Instagram mnamo 14,02,2018.

Diamond Platnumz afunguka baada ya simu ya rais Pombe Magufuluni stejini

Inasemekana kuwa, Diamond kutaka kumuoa Tanasha siku kama hiyo (Siku Ya Wapendao) ni kama kulipa kisasi kwa Zari.

Bahati ampa kongole Diamond na Tanasha

Mwanamziki maarufu nchini Bahati ni baadhi ya wasanii waliompa kong’ole Diamond Platinumz na bibiye mtarajiwa Tanasha baada ya wawili hao kutangaza kuwa wanamgoja mtoto ndani ya miezi miwili ijayo.

Mwanamziki maarufu nchini Bahati ni baadhi ya wasanii waliompa kong’ole diamond platinumz na bibiye mtarajiwa Tanasha baada ya wawili hao kutangaza kuwa wanamgoja mtoto ndani ya miezi miwili ijayo.

tanashaspeaksinbirthdaycelebs

 

Wawili hao walitoa taarifa ya mtoto wao wa kiume anayetarajiwa kuzaliwa miezi mbili ijayo kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa yake Tanasha na Mamaye Dangote. Bahati aliongoza wasanii wengine kumpa kong’ole kiongozi wa wasafi records,Diamond Platinumz.

 tanshapreggersingreendress

bahatikenya

Let’s CONGRATULATE @tanashadonna as She’s about to give Birth to Babyboy🌟. Brother @diamondplatnumz I See Hulaliii You’re Following my Footsteps 🤣👏👏👏 CONGRATULATIONS.

harmonize_tz

Best Of All ….!!!!! Best Couples ❤❤❤ More Life My Boss 👸 @tanashadonna