Man United wakalifisha Chelsea huku blues wakilalamikia VAR

Manchester United walipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Chelsea katika mechi ambayo vijana wa Frank Lampard walilalamikia kutotendewa haki baada ya uamuzi tata wa VAR dhidi yao.

United walikaribia alama tatu na Chelsea katika nafasi ya nne kupitia kwa mabao ya Anthony Martial na Harry Maguire katika kila kipindi ugani Stamford Bridge.

Chelsea walikasirika wakati Maguire aliepuka kadi nyekundu kwa kumpiga teke Michy Batshuayi kunako kipindi cha kwanza licha ya kisa hicho kuangaliwa na VAR.

Manchester United yashindwa kutamba nyumbani

Msururu wa habari za spoti;

Lewis Hamilton na Lionel Messi jana walituzwa kama wanaspoti wa mwaka katika hafla ya tuzo za Laureus jijini Berlin. Hii ni mara ya kwanza tuzo hili limepewa wanaspoti wawili.

Bingwa wa dunia katika mbio za marathon kwa wanaume Eliud Kipchoge alikuwa miongoni mwa wateuliwa wa tuzo hilo. Simone Biles mwana gymnast alishinda taji lake la tatu la Laureus la mwanaspoti bora wa kike. Washindi wa kombe la dunia la raga Afrika Kusini, walishinda tuzo la timu bora zaidi.

Pep Guardiola amewaambia wachezaji wa Manchester City kua amejitolea kusalia katika klabu hiyo, akisema hata kama wataishia katika League Two, bado atakuwepo. Raheem Sterling pia anasema atasalia City licha ya UEFA kuipiga marufuku ya miaka miwili kushiriki mechi za ubingwa bara ulaya, kwa kukiuka kanuni za utumizi wa fedha zilizowekwa, uamuzi ambao City itakataa rufaa dhidi, katika mahakama ya masuala ya spoti duniani.

Kumekuwa na tetesi tangu uamuzi huo kutolewa ijumaa kwamba huenda Guardiola akaondoka City.

Manchester United wajiandaa kumnyakua Christian Eriksen Januari

Mkufunzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer haamini kuwa wakishindwa kujikatia tiketi ya kushiriki ligi ya mabingwa kutaathiri mpango wa uhamisho wa klabu hiyo. Wakati huo huo Solskjaer anasema uhamisho wa mkopo wa mshambuliaji wa Nigeria Odion Ighalo mwenye umri wa miaka 30, kuja Manchester United kutoka Shanghai Shenhua huenda ukafanywa wa kudumu.

Barcelona imekanusha madai kuwa iliajiri kampuni moja ya kuchapisha taarifa za kudhalilisha kwenye mitandao ya kijamii, zinazolenga wachezaji wake kama vile Lionel Messi na Gerard Pique.

Kituo kimoja cha redio kimedai kua Barcelona inataka kulinda hadhi ya rais wake Josep Maria Bartomeu na kuharibu ya wale ambao hawakubaliani naye.

Redio hio inadai kwamba klabu hio ilifanya kazi na kampuni ambayo huunda maoni katika akaunti za mitandao ya kijamii, ili kutekeleza hilo. Barcelona hata hivyo imejitenga vikali na akaunti hizo.

Visanga vya VAR ligi kuu nchini Uingereza

Ligi kuu nchini Uingereza ilirejea wikendi iliyopita huku utumizi wa VAR ukiwa jambo lilowaacha wengi na furaha pamoja na ghadhabu vile vile.

VAR ilikuwa na matukio sabini kwa ujumla wikendi hii.

Tokeo la picha la VAR

VAR inatumika kuangalia iwapo mchezaji anastahili kadi nyekundu au hafai, iwapo faulo inafaa kuwa penalti ama mchezaji mwingine alidanganya pamoja na kuyakubali magoli au kuyakataa kutokana na kuotea kwa mchezaji, kucheza vibaya na hata kunawa mpira kabla hujaingia wavuni.

Kocha wa Harambee Stars Sebastain Migne ajiuzulu

 Mechi baina ya Manchester City ilishuhudia utumizi wa VAR ukiwanyima goli la pili kunako dakika ya 56 baada ya kugundulika kuwa Raheem Sterling alikuwa ameotea. Hata hivyo, VAR iliwazawadi City penalti mara ya pili baada ya mchezaji wa West Ham, Isa Diop kuonekana kukanyanga laini wakati wa upigaji wa penalti hio. Aguero alifunga penalti ya pili baada ya kuipoteza ya kwanza.

Kwenye mechi zingine, goli lake Ashley Barnes lilikataliwa na VAR baada ya kugundulika kwamba Chris wood alikuwa ameotea. Wolves kwa upande mwingine ilishuhudia goli lao limekataliwa na VAR ugani King Power Stadium baada ya Leander Dendocker kunawa mpira kabla hajacheka na wavu.

‘Bado kuna hali ya ati ati kuhusu hatma ya Pogba uwanjani Old Traford

Morgan Sneiderling wa Everton alilabishwa kadi nyekundu baada ya uamuzi wa VAR kukubaliana na mwamuzi Jonathan Moss kuwa Sneiderling alistahili kadi nyekundu. Yan Valery wa Southampton aliponea kupata kadi nyekundi baada ya VAR kubadilisha uamuzi kutoka kwa referee Graham Scott aliyekuwa tayari kumtimua uwanjani dakika ya 35 baada ya kumchezea westwood kiatu.

Roberto Pereira wa Watford alinyima penalti baada ya Glen Muray wa Brighton kunawa mpira. Hata hivyo, VAR iliamua kuwa haikustahili penalti kwani ilisemekana kuwa Muray hakunawa akitaka.

VAR imeibua maswali mengi hasa kutoka na mashabiki huku kocha wa Wolves, Nuno Santos akisisitiza kuwa VAR inaharibu mchezo licha ya kuleta usawa ndani yake.

SOMA MENGI HAPA

Do you support it? Champions league set to introduce VAR in 2019-20 season

Video assistant referees will be used in the Champions League from the 2019-20 season, Uefa has announced.

VAR will also be used in the 2019 Super Cup and at Euro 2020, as well as in the Europa League from 2020-21 and the 2021 Nations League finals.

The system – used at the 2018 World Cup in Russia – allows referees to review footage of key decisions.

President Aleksander Ceferin said Uefa was “confident” it would have time “to put in place a robust system”.

He added it would also provide sufficient time to train match officials to ensure an “efficient and successful implementation of VAR” in “the world’s flagship club competition”.

VAR was under intense scrutiny at the World Cup, where its use was allowed to clear up incidents around the awarding of goals, penalties, red cards and in cases of mistaken identity.

Australia’s A-League was the first top-flight league to use the system in 2017, with Major League Soccer in America soon following.

England’s Carabao Cup is using VAR in all fixtures held at Premier League grounds this season.

This is going to be part of a general falling in line from the major confederations and the big leagues over the next 12 months.

I think Uefa were waiting to see how VAR fared at the World Cup in Russia. It is not without its critics but I think, on the whole, people thought it worked.

There is a lot of money at stake and I think the clubs, critically, are in favour of it. They want to see more fairness and more justice in terms of those big decisions, given what is at stake for them.

The interesting thing is that Fifa has a number of protocols in place that it has been refining for about two and a half years.

Anyone who wants to implement VAR has to stick pretty rigidly to the rules that have been set by Fifa, so if the Premier League falls in line with this – I think the expectation is that they will announce before the end of this season that they are bringing it in – they have to stick to what has been agreed.

 

World Cup 2018: Morocco Winger Amrabat Labels VAR As Bull****

The climax of Group B provided plenty of drama but unfortunately the football was by no means the star of the show.

The video assistant referee was used frequently throughout both games and played a huge role in late goals which allowed Spain to climb above Portugal and finish top.

And Morocco winger Nordin Amrabat was was particularly unimpressed as he was seen telling the cameras that VAR is b******* following his side’s 2-2 draw with Spain.

Morocco had been on course to end their campaign with a victory before Iago Aspas found the net with a cheeky finish in injury time.

The goal was originally given offside but the referee’s decision was overturned after replays showed Nabil Dirar had played the forward onside. The African team may have been furious but justice was ultimately done. 

Watch the video below

 

-Dailymail