‘Hatuna wakati wa kuharibu,’ Wambui Collymore azungumza baada ya haya kufanyika

Mjane wa aliyekuwa mkurugenzi muu wa kampuni ya Safaricom Bob Collymore, Wambui Collymore amesuta vikali wanahabari baada ya wasia wa mwendazake kufichuliwa.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya twitter Wambui alisema kuwa kwa mara amezima wanahabari kutokana na mambo kadha wa kadha na kusema kuwa maisha yake si habari muhimu.

Bob-Collymore34

“Tangu mwaka wa 2016 wakati jina langu na maisha yangu yalikuwa kwenye vyombo vya habari nimefanya mahojiano mengi na hata kuzima mengi kuliko vyenye nilikuwa nimekubali

Mengi ya mahojiano yanahusu kazi ambayo nafanya na yamewatia wengi nguvu, hoja yangu imekuwa kuwa maisha yangu hayawezi kuwa habari.” Alizungumza Wambui.

https://twitter.com/WambuiKamiru/status/1305830531553284096

Wambui alizidi na kusuta wanahabari huku akisema kazi yao ni kujulisha,kuelimisha na hata kuwapa watu nguvu na wala si kuharibu wakati wa hadhira.

“Wakenya wana uwezo wa mabadiliko makubwa, wakenya wana uwezo wa uvumbuzi na uwezekano mkubwa,vyombo vya habari havipaswi kuharibu wakati wa kutufanya tuamini hamna habari kamwe

Pia hatuna wakati mwingi wa kuharibu, mimi si habari, habari ni kuhsu vile tunaishi kwa giza, vyombo vya habari vinaweza amua maisha yetu ya usoni ya nchi yetu kila siku.” Aliandika Wambui

 

Kuna kitu cha kipekee kuhusu msanii anayecheza gita.’ Wambui Collymore amsifu Samidoh

Ni tamasha ambayo ilikuwa imengojewa na kutarajiwa sana na mashabiki na hata wakenya wengi Kenya Ni Yetu, ni tamasha ambayo iliwaunganisha wasanii wote ili kupa nchi yetu tumaini baada ya kukumbwa na janaga la corona.

Si mmoja au wawili bali baadhi ya wasanii wengi waliwatumbuiza wakenya huku wengi wakiwasifu na hata kutoa hisia zao kuhusu tamasha hiyo.

Ilipeperushwa na runinga za humu nchini kama vile runinga ya KISS,Citizen,KTN,NTV na K24Baadhi ya wananchii walitazama tamasha hiyo kupitia kwa tovui ya www.yetulive.com.

118393958_3370346816388874_1233554957214364485_n

Huku mkewe wa mwendazake bob Collymore, Wambui Collymore alimpongeza mmoja wa wasanii ambao walitumbuiza wakenya kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya twitter na kusema,

There’s something beautiful about a musician who plays live regularly. A guitar and drums and it sounds like 5 people.@SamSamidoon #KenyaNiYetu.” Aliandika Wambui.

Pia tamasha hiyo ilifadhiliwa na benki ya Stanbic, kando na tamasha hiyo kupeperushwa na runinga za humu nchini pia wengi walisikiza kupitia kwa redio kama vile; Radiojambo,KISS, Classic, East FM,Capital, Homeboyz, Smooth na Hot96.

Hizi hapa baadhi ya hisia za wakenya kuhusu tamasha hiyo;

hexeqialkamau: Congratulations brother it was just amazing…..keep up

wanjikuisrael: That was an awesome performance and suit is on point #keep on winning #TrainKing.

kamau148: You performance was amazing my brother and the epic of it all was the Amazing Grace- Kikuyu version ….u sang it Soo well…be blessed and may the Almighty God always give you words that will always guide and educate our generation for years 🙏

Mohchei: I love this guy [email protected] he made me realize that am a musician also#Long live legend
Mercy Benson: Lovely singing it was