Tazama wanahabari waliotengana kwenye kazi ya uanahabari

Mashabiki na wakenya wengi waliwapenda wakisoma habari pamoja lakini hali ya maisha haikuwakubalisha kukaa kwenye vyombo vya habari pamoja kwa muda bali wengi walitengana katika kazi hiyo ya uanahabari licha ya kuwa marafiki wa karibu.

Hii hapa orodha ya wanahabari waliokuwa wanasoma habari pamoja lakini wakatengana kwa sababu moja au nyingine.

1.Lulu Hassan na Kanze Dena

Wanahabari hao wawili hakuwahi dhani kuwa watatengana katika kazi yao kwa maana walikuwa marafiki wa karibu sana huku kazi yao ikiwapendeza wengi sana

lulu.hassan.and.kanze.dena

Kanze alipata kazi ikuluni huku ikimlazimu kuacha kazi yake ya uanahabari huku Lulu naye akianza kusoma habari na mumewe Rashid Abdalla.

2.Andrew Kibe na Kamene Goro

Watangazaji hao wa redio ya kiss kutengana kwao kuliwashtua wengi baada ya Kibe kuwasilisha barua yake ya kuacha kazi mnamo Juni 2020 huku nafasi yake ikichukuliwa na Jalang’o.

3.Janet Mbugua na Hussein Mohamed

Wawili hao waliachana mwaka wa 2015 ambapo Mbugua alichukua fursa ya kwenda kujifungua na kutorudi tena huku akimuacha Hussein ambaye baadaye alitoka kwenye runinga ya Citizen.

Janet-Mbugua-1-696x696HUSSEIN-2-e1572368194979

4.Kalekye Mumo na Shaffie Weru

Walikuwa wafanyakazi ambao walikuwa bora katika redio ambapo wengi waliwapenda. Kalekye alitoka mnamo mwaka wa 2016 huku Shaffie akimpata mtangazaji mwenzake Adelle Onyango.

 

5.Victoria Rubadiri na Larry Madowo

Wawili hao walikuwa wakifanya kazi katika runinga ya ntv na wengi walisema kuwa wamo kwenye uhusiano wa kimapenzi, huku madowo akitoka kwenye runinga hiyo na kwenda katika runinga ya BBC ambapo amekuwa akifanya makubwa.

Victoria Rubadiri
Victoria Rubadiri

larry madowo

Mwishowe Rubadiri alitoka pia na kujiunga na runinga ya citizen.

 

‘Hatuna wakati wa kuharibu,’ Wambui Collymore azungumza baada ya haya kufanyika

Mjane wa aliyekuwa mkurugenzi muu wa kampuni ya Safaricom Bob Collymore, Wambui Collymore amesuta vikali wanahabari baada ya wasia wa mwendazake kufichuliwa.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya twitter Wambui alisema kuwa kwa mara amezima wanahabari kutokana na mambo kadha wa kadha na kusema kuwa maisha yake si habari muhimu.

Bob-Collymore34

“Tangu mwaka wa 2016 wakati jina langu na maisha yangu yalikuwa kwenye vyombo vya habari nimefanya mahojiano mengi na hata kuzima mengi kuliko vyenye nilikuwa nimekubali

Mengi ya mahojiano yanahusu kazi ambayo nafanya na yamewatia wengi nguvu, hoja yangu imekuwa kuwa maisha yangu hayawezi kuwa habari.” Alizungumza Wambui.

https://twitter.com/WambuiKamiru/status/1305830531553284096

Wambui alizidi na kusuta wanahabari huku akisema kazi yao ni kujulisha,kuelimisha na hata kuwapa watu nguvu na wala si kuharibu wakati wa hadhira.

“Wakenya wana uwezo wa mabadiliko makubwa, wakenya wana uwezo wa uvumbuzi na uwezekano mkubwa,vyombo vya habari havipaswi kuharibu wakati wa kutufanya tuamini hamna habari kamwe

Pia hatuna wakati mwingi wa kuharibu, mimi si habari, habari ni kuhsu vile tunaishi kwa giza, vyombo vya habari vinaweza amua maisha yetu ya usoni ya nchi yetu kila siku.” Aliandika Wambui

 

Wakenya watuma jumbe za heri kwa waandishi waliofutwa kazi

Wakenya mitandaoni wameliwaza wanahabari 100 waliofutwa kazi kutoka kwa shirika la Media Max linalomilikiwa na familia ya Rais Uhuru Kenyatta mapema wiki hii

Mwanahabari Joab Mwaura na mkewe Nancy Onyancha ambao walikuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo walikuwa miongoni mwa wanahabari waliopigwa kalamu.

Mashabiki wao wamewatakia kila la heri na kuwatia moyo kuwa mambo makubwa yanakuja mbele yao na hawapaswi kukata tamaa.

DCI yawasaka wahuni wawili walionekama kwa kamera wakimwibia mpita njia kilimani

Mmoja wa mashabiki wao alielezea jinsi alivyofutwa kazi mara kadhaa lakini anamshukuru Mungu kwa sasbabu alikuwa akimfungilia njia kila mara ya kupata kazi nyingine.

Hatua ya kufungua uchumi wa taifa italingana na namna kaunti zilivyojipanga kukabiliana na corona- Uhuru

Tazama jumbe hizo.

Caroline Mumbua Kiungua Everything happens for a reason.Soon God is going to promote them.When one door shuts the same God opens a bigger one.For He is a True God.

Sherry Sherry They will get another job, nothing is permanent in this world,they don’t know what tommorow holds and everything happens for a reason,it’s not the end of their lives,Mimi hakuna kitu hunishtua nikijua Kuna Mungu mbinguni asikiaye maombi na anajibu no matter how long it gonna take

Margaret Mukundi Don worry guys… Juz hold hands as a couple and thank God even in the midst of wat you are going through. His promises are true! He will never leave you nor forsake you… You will soon see the reason you lost that job, God is preparing you for greater assighnments. Trust me…

Alfred M. Makabira The company ought to have retained one. Double dismissal at these times is a tragedy for the young family

Wanahabari wa runinga ya K24 watoa hisia zao baada ya kupoteza kazi

Ni siku au mwezi ambao wafanyakazi wa runinga ya K24 utakuwa katika nyayo za akili zao baaada ya kupoteza kazi katika runinga hiyo.

Miongoni mwa waliopoteza kazi ni Eric Njoka, Karen Karimi, Isabella Kituri, Nancy Onyancha, Caren Kibett, Shon Osimbo, Sara Adams, Joy Kariuki, Joab Mwaura,  Tony Khwalanda na wengine wengi.

Baadhi yao walitoa hisia tofauti na hizi hapa hisia zao;
EbF_daGWkAAa6kL-1-696x860
“I am switching to another station and taking sports to a whole new level. Thank you K24 for the 11 years of GREAT experience. WATCH THIS SPACE FOR MY NEXT MOVE!!! #AVLCHE #WalkofShame #VirusSafaris #MerseysideDerby #SundayLive #tiktokteens #TrumpMeltdown #MercyAndIkeOnCH151.” Aliandika Tony Kwalanda.
Naye mwanahabari Karimi karen alikuwa na haya ya kusema
“Halo Twitter Fam
It’s been an absolute pleasure gracing your screens at

Thank you for all the love and support! Its time for bigger, better things ahead.”

Erick Njoka alisema haya;

“I did my part, I played my role with poise and dignity, and I’m proud of it. My 7 year journey

has ended, now #Anchorman is ready to take over the world
Focus Onwards, look inwards. Viva”