Je sababu ni gani?Bibi aruhusu mpango wa kando kuwa kati ya ndoa yake na mume wake

Ninaamini kuwa sote tunakubaliana na maneno wanawake husema kuwa hawawezi kubali mume wao awe na wasichana wengine.

Hata hivyo nilishangazwa kujua kuwa wako wanawake ambao hawana tatizo na mume wao kuwa na wanawake wengine wakidai kuwa endapo mume wake ana mawazo mengi,huyu mpango wa kando anaweza kusaidia kusuluhisha mambo kwenye boma ile.

Siku za mwisho ama?Wanawake wajivunia kushiriki ngono na waume wasio wao

Amini usiamini mwanamke mmoja alifunguka wazi kwenye vyombo vya habari na kusema kuwa,uhusiano kati yake,mume wake na mpango wa kando uko wazi na hana tatizo lolote na maisha haya.

Aidha,mpango wa kando alisema pia,kila mara mume wa mke huyu wana tatizo,mke huyu humpigia simu na kumwomba mwanamke huyu amsaidie kusulihisha tatizo lao.

”Nimekuwa mpango wa kando kwa miaka nne sasa na wakati wapenzi hawa wako na matatizo,mimi hupigiwa simu na bibi ya huyu bwana na ninaingilia kati na kusaidia kusuluhisha tatizo hili.”

Vilevile,huyu mpango wa kando alisema kuwa,mara kwa mara huwa anaenda kuwachukua watoto wa mama huyu kama mama yao hayuko.

Wanaume wa Lamu wahimizwa kuendelea kuzaa na wake zao

Aisee!Uhusiano wa wanawake hawa na mume wao ulinifurahisha kwani wao huishi pamoja kama familia na hakuna siku ambayo wao huwa na matatizo kwani bibi huyu anajua mpango wa kando wa mume wake ni nani.

Mbali an hayo,mke huyu alisema, kuwa  na wapenzi wawili si tatizo mradi tu wote wanajuana.

”Kuwa na wapenzi wawili si shida kwangu bora tu tunajuana na hakuna mwenye anasema uongo.”Bibi alisema.

Je?Wewe unaweza ishi katika uhusiano huu?

Taveta: Idadi ya wanaume wanaopigwa na wake zao yaongezeka

Idadi ya wanaume wanaopigwa na wake zao katika kaunti ya Taita Taveta imetajwa kuongezeka huku matumizi ya mihadarati yakilaumiwa pakubwa.

Kulingana na chifu wa Voi Abel Mwangemi, kuna haja ya hamasisho zaidi kufanywa ili kunusuru wanaume ambao wameingia katika ulevi na matumizi ya mihadarati.

Habari na Matukio Muhimu Unayofaa kujua kwa Sasa ,26th Septemba

Kwa sasa Mwangemi amependekeza kuundwa kwa vikundi ili kukabiliana na dhulma mbalimbali zikiwemo kupigwa na wake zao na kusema kwamba wataungana kuhakikisha serikali inasikia kilio chao.

Hayo yakijiri, wakazi wa kaunti ya Taita Taveta wameapa kujiunga na maandamano makubwa ya wafanyikazi wa idara ya afya kaunti hiyo yanayotarajiwa kuandaliwa hii leo ili kuishinikiza serikali kumalizamgomo wa wiki moja ambao umelemaza huduma za matibabu kaunti hiyo.

Serikali yakata bajeti ya shughuli zake, zikiwemo ziara za wabunge

Wakiongozwa na mwanaharakati Waki Jarongo, wamemshtumu gavana Granton Samboja kwa kuvumbia macho mgomo huo na kumtaka kukubaliana na wafanyikazi ili huduma za kawaida kurejea hospitalini.

Wafanyikazi hao wanalalamikia kucheleweshwa kwa mishahara pamoja marupurupu.

“Madereva wa Uturuki ndio wasiojali zaidi duniani,” Massawe afichua

Ufalme wa Saudi Arabia waruhusu wanawake kusafiri bila uangalizi

Wanawake nchini Saudi Arabia sasa wanaweza kusafiri nje ya nchi bila kusindikizwa na wanaume, limesema agizo la ufalme.

Chini ya sheria mpya iliyotangazwa ijumaa, mwanamke mwenye umri wa miaka zaidi ya 21 anaweza kutuma maombi ya paspoti bila idhini ya mlezi wa kiume.

Watu wazima wote wanaweza sasa kuomba paspoti na kusafiri hatua inayowapatia haki sawa na wanaume.

Ken Okoth, mahakama yaruhusu kufanyika kwa mazishi yake

Agizo hilo la ufalme pia linawapa wanawake haki ya kuwasajili watoto wao wanapojifungua, kufunga ndoa au talaka.

Pia sheria hiyo mpya inazungumzia sheria za ajira ambazo zinapanua fursa kwa wanawake.

Kwa mujibu wa sheria hiyo, raia wote wana haki ya kufanya kazi bila kukabiliwa na ubaguzi wowote kwa misingi ya jinsia, ulemavu au umri.

Hadi sasa, wanawake wa Saudia wamekuwa wakiomba ruhusa kutoka kwa mwanaume mlezi wa kiume, Mme , baba au ndugu mwingine wa kiume kuomba paspoti at kibali chochote cha kusafiri nje ya nchi.

Mambo yanayochangia sana Saratani mwilini – Emily Ochieng

Wanawake wa Saudi Arabia

Mtawala wa Saudia Mwanamfalme Mohammed bin Salman amelegeza masharti katika nchi hiyo kama vile kumzuwia mwanamke kuendesha gari kama sehemu ya juhudi kubwa za kufungua taifa hilo.

Sitakata tamaa, Mungu pekee ndiye hupeana watoto – Agundabweni

Mwaka 2016, alifichua mpango wa kufanya mageuzi ya kiuchumi ifikapo 2030, kwa lengo la kuongeza ushiriki wa wamawake kwa 30% kutoka 22%.

Hata hivyo kumekuwa na kesi kubwa za wanawake wanaotaka uhamiaji katika nchi kama vile Canada, kutokana na madai ya unyanyasaji wa kijinsia wakidai.

-BBC

Wanawake mashuhuri wanaolea watato wao pekee yao

1.Betty Kyalo

kyallo

‘Sijawahi hisi hivi kwa maisha yangu’ Vera Sidika asema

Betty Kyalo ambaye ni malkia wa runinga, amekuwa akimlea bintiye Ivanna, peke yake baada ya ndoa yake na mwandishi wa habari wa upelelezi Dennis Okari kuvunjika.

Betty alifunua kuwa Okari hakuwa akitimiza majukumu yake kama mzazi.

2. Akothee

akotheee_

Akothee ni mama wa watoto watano na baadhi ya watoto hao ni kutoka baba tofauti.

Ata baada ya kuwapoteza watoto watatu, Akothee hakufaa moyo kwani aliendelea kuwalea watoto wake.

3.Pierra Makena

makenaaa

Pierra Makena ambaye ni DJ, ni mmoja wapo wa wanawake ambao wanalea watoto wao bila usaidizi wa baba zao.

Pierra ana binti mrembo aiitwaye Ricca Pokot.

Jamii yadai haki baada ya wana wao kuuwawa na umati kule Saboti

4.Avril

avrill.

Avril ni mwimbaji anayefahamika vizuri hapa Kenya.

Avril ana mtoto mmoja.

Uhondo wa wanahabari wasagaji na ‘mdhamini’ wao

Wanawake wawili wanaojulikana kwa kuwa kwa vyombo vya habari, wamekuwa wakisamba kwa sababu zisizofaa. Wanawake hao pamoja na kikundi chao, wamekuwa wakisafari kila mwisho wa wiki wakiwaacha wengi wakiyatamani maisha yao.

Ulikuwa umeenda kusukwa nywele zako? Akothee hamwamini Rue Baby

Hivi karibuni, kikundi cha wasichana hao kilisafiri tena na walikuwa wafadhiliwa na mfanyabiashara ambaye alisafiri pamoja nao. Mwanabiashara huyo anasemekana kuafikiana na mmoja wa wanawake hao, ambaye ni maarufu licha ya kuwa ni shoga na mwanabiashara huyo anafahamu yale.

Mkurungenzi mkuu wa NYS afikishwa hospitalini baaya ya kunywa chai

Mwanamume huyo aliyekaribu na wanawake wale alialikwa na hata kupewa mwanamke ili kufurahia likizo yake na lakini alikataa jambo hilo.

Soma mengi hapa

Ilikuaje: Nilibaka wanawake wengi bila kutumia kinga – Chock Dee

Katika kitengo cha ilikuaje katika kipindi cha Bustani la Massawe, Chock Dee, aliweza kueleza jinsi alivyoingia katika uhuni katika umri mdogo.

Alianzia wizi wa vitu vidogo vidogo kama kuku, nafaka na vingineo hadi kufikia kiwango cha kutumia bunduki na kuendeleza wizi wa kimabavu.

Chock Dee

Baada ya kuiba na kupelekwa gerezani anadokeza kwamba hakuweza kujipata katika mateso kama kulawitiwa kwani alipata mzee aliyemsaidia sana “Nikiwa gerezani kuna mzee tulipatana gerezani tukakuwa marafiki na wakati mwingine kunicheka jinsi nilikuwa naiba vitu vidogo vidogo.”

Ilikuaje: Nimemaliza miaka 14 na siku 14 bila dawa za kulevya – Chris Mwangi

Dee aliingia katika jiji la Nairobi mwaka wa 2001 ambapo aliishi na mamake, baadaye akatafuta jamaa fulani ambaye anasema alimkaribisha vizuri.

Alipohama kwa huyu jamaa aliweza kukodisha chumba chake na hapo anasema ndio alizama katika uhuni kabisa.“Kuishi pekee yangu sasa nikiwa huru na nikaendelea na bangi, pombe zaidi ya hapo nikaanza kujiunga na vikundi vya wizi”

Ilikuaje: Tom Osanjo asimulia jinsi alivyopambana na depression

Anaeleza kisa na ambapo aliibia muhindi na wakashikwa. “Tuliiba pesa ya muhindi elfu 100 na kupelekwa ndani, polisi akasema hatatuua wala hatatufunga jela ila tukaingia dili ya wizi na yeye. Wengi wa polisi wapo kwenye magenge ya wezi.”

Ameweza kufunguka jinsi alivyokuwa anawabaka wanawake “Niliwahi kubaka wanawake wengi bila kinga yoyote hadi sijui idadi yao.”

Alimalizia kwa kusema hawezi rudi katika tabia kama zile. Anasema kuishi maisha ya kujitafutia kuna amani zaidi

Ilikuaje: Johnson Mwakazi aelezea alivyojipata katika mtego wa sinema za ngono

Bwanangu ameniletea wanawake 15, ameniambukiza STD – Cries Nairobi woman

One lady has been left with no option but to end her marriage after 9 challenging years with his cheating husband.

Speaking to Massawe Japanni, the Nairobi resident revealed that her disrespectful hubby has brought a total of 15 different women in their matrimonial home, since they exchanged vows back in 2009.

Video of the day: Massawe Japanni’s dancing skills are top notch!

To make matters worse, he contracted sexually transmitted diseases and even went ahead to infect his ever loyal and forgiving wife.

 

According to the lady, the man shamelessly engages in s3x with the women in the same home where he lives with his children, a habit which has now negatively impacted their lives.

As a result, one of his children, out of curiosity was forced to engage in sexual activities and she is now four months pregnant.

The teen who now lives with her aunt, blames her pregnancy on her dad.

Read the lady’s narration below.

Kutana na familia ya mtangazaji maarufu Massawe Japanni (Picha)

 

Mimi mzee alileta wanawake 15, analeta huyu ananifukuza analeta huyu. Sasa cha kushangaza ni mtoto wake amekuwa form four last year na akapata D+.

Juzi nilimpigia simu usiku mwanamke akajibu simu na cha kushangaza mwanawe ana mimba na kumuuliza akaniambia ‘Daddy analetanga wanawake na wanafanya nikiskia sasa anadhani sina feelings?’

Mtoto ndio huyo ameenda amepata mimba ya miezi minne na alifanya mtihani wa KCSE akiwa na mimba. Huyu ni mtoto nimelea kutoka akiwa darasa la tano na aliniambia “Mum kama daddy hangekufukuza wewe akileta wanawake wengine mimi singepata mimba.”

Mtoto sasa ametorokea kwa shangazi yake na babake anasema akimpata atampiga. Nikamwambia utampiga aje na wewe mwenyewe ndio umefunza mtoto tabia mbaya?

Isitoshe sahii amenipa ugonjwa na nimeenda hosi juzi nikapatikana na STD.

Massawe Japanni cries on air after a domestic violence victim narrated her ordeal

Listen to the disheartening audio below.

Nimekuwa nikiletea mume wangu wanawake nyumbani

Cynthia kutoka Kawangware alimshangaza mtangazaji Annitah Raey aliposimulia jinsi yeye alikuwa na tabia ya kutongoza wanawake kwa niaba ya bwanake na kuwaleta kwa nyumba.

Kulingana na mwanamke huyo, bwanake alikuwa na tabia za mipango ya kando na kwa kuwa hakuwahi ona kiini cha kumpigania, ilikuw inamlazimu kuwaleta wanawake ambao alikuwa anawatongoza kwake nyumbani ili aelewe chenye kilimpendeza bwanake.

‘I found my husband, his cousin and a lady in the bathroom showering,’ – Annitah Raey narrates

“I am 36-years of age, 12 years in marriage. Mimi pia mimi nimeolea mume wangu bibi na nikamleta kwa nyumba. Miaka miwili ndani ya ndoa nilikuwa naishi vizuri na nikapata mtoto wa kwanza. Kidogo kidogo mpango wake wa kando akaanza matusi na maneno ya mipango ya kando.” Alisimulia Cynthia.

Nikambembeleza nikamwambia pia wewe ni mwanamke kama mimi na ulitongozwa kama mimi. Bwana kutoka kazini akapata mwanamke nyumbani na tukaishi pamoja, maanake si anampenda na anamtaka? Wacha basi nione uzuri wa huyu mwanamke nijifunze naye.

Aliongeza,

waliishi pamoja kwa miaka miwili na akachoka naye akaanza kumchapa kwa nyumba na wakafukuzana. Tena vile vile akapata mwingine, Annitah mimi huwa siongei akifanya jambo mimi humuangalia tu.

Alisema kuwa juhudi hizo zote zilimsaidia kupigania furaha yake kwani sasa amenenepa na yuaishi maisha mazuri pamoja na watoto wake.

Sasa sikuhizi huniangalia tu hivi, sahizi ukiniona nimenenepa, stress sina , house girl nimepata na wananifanyia kila kitu. Hiyo isitishe wanawake wacha wapate house girls wenyewe watajitoa tu.

Pata uhondo kamili.

#SemaNaRaey: Nilikatakata Elfu Ishirini Na Tano Baada Ya Kukosana Na Bwanangu

Mwanamke mmoja alimshangaza mtangazaji Annita Raey alipofichua alichofanya ili kulipiza kisasi kwa mumewe baada ya wawili hao kukosana.

Hayo yalitokea wiki iliyopita katika kipindi cha Sema na Raey huku mada kuu ikiwa waskilizaji wazungumzie vitendo ambavyo wamewahi fanya baada ya kukosana na wapenzi wao.

Mwanadada mmoja alifichua kuwa kinyume na chenye wengi hufanya ikiwemo kutafuta mpango wa kando, yeye hasira zake zilimuonesha kukata kata fedha za mumewe. Isitoshe, alivunja vunja saa ya ukuta.

“Nilijiuliza nifanye nini kwa hii nyumba? Nilichukua saa ya ukuta yenye anapenda kutoka kazini kuiangalia nikaivunja nikaiweka hapo chini. Nikasema ni nini nifanye cchenye kitamkasirisha sana, nikachuku pesa alikuwa amenipa shilingi elfu hamsini.

Nikachukua elfu ishirini na tano nikakata kata nikawekelea kwa meza. Nikachukua elfu ishsirini na tano zenye sikuwa nimekata nikaweka pamoja na hizo zingine na aliporudi kutoka kazini, nilidhani atanipiga lakini tangia siku hiyo hajawahi nikosea kwa mda wa miaka miwili.’ Alijieleza mwanadada.

Pata uhondo kamili.

PATANISHO: Nimemalizana Nawe Ukitaka Oa Wanawake Tano!

John mwenye umri wa miaka 38, aliomba apatanishwe na mkewe Jane kwani walikosana mwezi uliopita, kisa na maana; John alikuwa na tabia za mipango ya kando.

PATANISHO: Nilimgonga Mke Wangu Na Mtungi Kwa Hasira

“Kuna msichana alinipigia simu usiku tukiwa na bibi yangu na hapo tukakosana na mke wangu kwani yule alikuwa mpango wa kando. Ni shetani tu.” Alieleza bwana John akidai kuwa walikuwa kwa uhusiano wa wiki moja pekee. John na mkewe wamekuwa kwa ndoa ya miaka minne na wawili hao wamejaliwa watoto.

PATANISHO: Nikilipa Deni La Elfu Nane Nataka Lihesabiwe Kama Mahari

Kulingana na Jane, alikuwa anampata bwanake na mwanamke mwingine kwa nyumba huku wakati mwingine kupata mwingine akimtayarishia chai.

“Si unaona hiyo ni kazi? Unapata hata mwanamke yule yule amemtumia ujumbe akidai kuwa anahitaji ampe mapenzi.” Alijieleza.

“Si ulikuwa ukitaka wenye wanakuonesha mapenzi na mimi hutaki mapenzi yangu? Nenda ukae nao sahii roho yangu imefika mwisho msamaha sitaki enough is enough. Nimemalizana nawewe sahizi ukitaka hata kuoa wanawake tano sina shida nawe, nilikusamehe nikachoka.” Alimueleza mumewe akishikilia kuwa mapenzi yameisha kwa ajili ya madharau yake kwani hata akijilazimisha namna gani hawezi mpenda tena.

PATANISHO: Nilinyang’anywa Mke Na Team Mafisi, Akampachika Mimba Na Kumuacha

Aliongeza kuwa anahitaji miezi kama mitatu ili amsamehe na amrudie.