‘Hii ni lodging?’Mashabiki wamwambia Willy Paul baada ya kuonyesha televisheni yake ya inchi 24

Kuwa msanii ni jambo ambalo si rahisi, ni lazima huishi maisha ya kifahari, na lazima huwe kamili la sivyo kila siku utapokea ukosoaji kutoka kwa mashabiki.

Willy Paul aliposti videoa akiwa anacheza wimbo akiwa nyumbani kwake, lakini mashabiki wake walichoona si mtindo wake wa kucheza lakini waliona televisheni ya inchi 24 iliokuwa kwenye ukuta wake.

‘Weka manzi yako mbali!’ Willy Paul awaonya wanaume

Wengi walishindwa Willy Paul kama msanii mashuhuri anaweza kuwa aje na televisheni kama hiyo?

Willy Paul
Willy Paul

Ni video ambayo iliibua hisia na gumzo kwa wanamtandao na haya hapa maonni yao;

Tedd Gee Na anavaa kiatu ya 10k😅😅 hata pengine hajanunua boxers hii mwaka

dunnymukenyi Kwani anaishi kwa bedsitter???

Adamdaffi Kiplagat Kwanza Inakaa HTC ama ni TCL🤔🤔

Jane Malesi When did the size on a TV represent someone’s bank account balance 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! She is one that will have the partner buy all the fancy staffs in a rented house instead of buying her own home 🤣🤣🤣🤣

Kula Chako Bedsitter pia iko na bedroom 😂😂😂

Uhasama haupo tena! Bahati na Willy Paul wazika tofauti zao

Willy-Paul-696x418

isma_esmile Unmount screen ya gari kwa nyumba?? I can’t can

Adjija Rourin Palmer Hii ni Airbnb ama lodging…Hakuna vile utaweka ka tv ka 24 inch as a secondary.

Peter Wanyoike Usishtuke kupata hio tv iko na nyuma kubwa kuliko ya aka Carol…🤣🤣🤣

g.i_charlie 24 inch TV 😂

Ale Jinx Hart I can see he also has a 24 inch chest

Steve Bedrooms hazinanga cable ya aerial…..hapa mkunaji alikuwa duty maha

‘Weka manzi yako mbali!’ Willy Paul awaonya wanaume

Msanii willy Paul anafahamika kwa tabia zake za kitandani kulingana na wana wengi wa mjini ambao wamemjaribu, tabia za msanii Paul zimekuwa zikifichuliwa na wanawake hao mara kwa mara kupitia kwenye mitandao ya  kijamii.

Pia wamekuwa wakifichua tabia zake za kuwatumia jumbe kwenye DM zao.

Uhasama haupo tena! Bahati na Willy Paul wazika tofauti zao

66859869_2840039862736849_9154003376886622899_n

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya Instagram willy Paul aliposti video akiucheza wimbo wake alioutoa hivi majuzi na mwanamke huku akiwa amemshikilia kiunoni sambamba.

Msanii Ringtone ajitolea kumfanyia Willy Paul jambo hili

Baada ya kuposti video hiyo aliandika ujumbe mfupi unaowaonya wanaume wao wawashikilie wapenzi wao ili asiwanyakue.

“THE KING HAS DECIDED TO ENTERTAIN YOU!! WEKA MANZI YAKO MBALI.. LOOK AT THE WAIST INA DE BEDROOM!!” Willy Aliandika.

Mashabiki wake hawakukimya wala kuacha video hiyo kupita bila hisia zao;

wicklife254 😂😂😂Kijana wa Salome 😀💪

carole.keysha 24 inch😂😂😂wah. Hawa macelebs kumbe ni shobo tu

‘Chungana na huyu kijana.’ Mashabiki wamuonya Vera Sidika dhidi ya Willy Paul

Willy-Paul-696x418

 

_tev_trig3 Ile mchezo uko nayo willy 😂🔥🔥

cute_iddah Fire waist😍

moisbridgian namwekea kofuli😂😂😂

mtengwa_one Uliomoka mbaka akili wewe unadai kuokoka sasa😂

mapenzitown Hatari

Msanii Ringtone ajitolea kumfanyia Willy Paul jambo hili

Msanii wa nyimbo za injili Ringtone Apoko amejitolea kumrudisha na kumuombea Willy Paul aokoke tena. Kupitia mitandao ya kijamii ya instagram, Ringtone alisema atajitolea kufanya jambo hilo bure.

‘Mama bila leso!’ Willy Paul amwita Ringtone baada ya kuzidi kumzungumzia

Msanii Willy Paul alikuwa anaimba nyimbo za injili lakini baada ya muda akabadilika na kuanza kuimba nyimbo za kidunia. Msanii huyo alikuwa anaendelea vyema alipokuwa anaimba nyimbo za injili lakini muda utatuambia baada ya kuhama kama atafikiria mara mbili kama atarudi kuimba nyimbo za injili.

Ringtone-vs-Willy-Paul

“WILLY POSSESED POZZE @willy.paul.msafi LEO NI JUMAPILI KUMBUKA PLACE GOD ALIKUTOA U CAN CALL ME TO COME AND READ INTO SALVATION AGAIN. PLEASE THINK OF THIS🙏🙏🙏🙏🙏.” Ringtone Aliandika.

Mashabiki wake walikuwa na mengi ya kuzungumza huku wengi wakisema ni jambo nzuri la kufanya huku wengi walimuuliza iwapo yeye ni mtumishi wa Mungu kama anavyosema na kwa nini tu msanii Willy Paul.

Uko na umama na wewe ni mwanamume,Shenzi sana ! Willy Paul amzomea Ringtone Apoko

ringtone

ck.bravo: Why willy paul?? just ask all Kenyans to remember that God one who is alpha and Omega, spread the gospel to everyone,wacha kutoa mtu maneno kwa mdomo

kevin.voke.3511: Pia. Mm nataka salvation call me 0713210571

vegas.mambichwa_: Kaabisaaaa……halleluyah

djdantemo254: Boss are you really man of God Or just an imposter

barack_brx: kamuombeee😂😂😂😂

geoffray_daniels: Unachoma bro🤣🤣🤣🤣

 

‘Chungana na huyu kijana.’ Mashabiki wamuonya Vera Sidika dhidi ya Willy Paul

Miezi kadhaa baada ya msanii Willy Paul kufunga ndoa sasa, ameanza tena kummezea mate mwanasosholaiti Vera Sidika. Pozze alionywa na mashabiki wa Vera awache kumtamani Vera baada ya Sidika kuwauliza mashabiki wake kama kuna kitu wangetaka kutoka dukani.

Soma pia:

‘Nilipe 3k kuona plastic?’ Wakenya wamkejeli Vera Sidika kwa kuuza picha na video

Kupitia kwa mitandao ya kijamii aliandika,

“HEADING TO THE GROCERY STORE …NEED ANYTHING? 😝
🍆🍑💦.”Vera Aliandika.

vera-sidika-thirst-trap1-480x600

 

Willy Paul hakukimya alimjibu kuwa yeye ni baby mama wake.

Screenshot_20200512-133701_2

Vera Sidika Unapenda watu wangapi? Baada ya kuachana na Chansa Vera sasa asema anampenda Xtian Dela

Vera naye alimjibu Pozze;

 ‘BABY DADDY 😝’

Mashabiki hawakupendezwa na kitendo cha Willy Paul kummezea mate Vera Sidika ilhali ameoa.

Mashabiki walikuwa na haya ya kusema.

@willy.paul.msafi @queenveebosset leta cucumber nyonga fest plz’

Willy-paul-696x522

@willy.paul.msafi bro iih huwezi @otilebrown alikimbia wewe nanii.

@willy.paul.msafi hahaha owadwa usimkune huyu nakuona.

@willy.paul.msafi kijana unachoma😂😂.

@queenveebosset walai mnaeza match na pozze.

@willy.paul.msafi bro iyo mali ni safi.

@queenveebosset: chungana na huyu kijana😂😂😂.

Joe Muchiri naye alijitosa katika mazungumzo hayo na kusema kuwa anamtaka Vera amtafutie mpenzi mrembo wa aina yake.

“ME NATAKA TU DAME MPOA 😅😅.” Joe Aliandika.

Vera kisha alimuuliza anamtaka mpenzi wa aina gani.

“SKINNY THICK, TALL, SHORT, LIGHTSKIN DARKSKIN, WHAT’S YOUR PREFERENCE 😝???” Vera Aliuliza.

Joe alimjibu,

“@QUEENVEEBOSSET I BELIEVE IN UR TASTE 😅😅 HII CORONA INA NI MALIZA JOWA.”

Je mnaamini Vera na Willy wanaweza kuwa wapenzi?

 

MHARIRI: DAVIS OJIAMBO

‘Diana saidia bwana yako Bahati Kuimba.’ Willy Paul amuambia Diana Marua

  Yaonekana bifu kati ya willy Paul na Bahati imerudi tena kwani wasanii hao wameonekana kutupiana vijembe mitandaoni .

pozze 2

Bahati maajuzi ameandika jinsi alivyokuwa akimsaidia Willy Paul kwa kumuandikia nyimbo  na kusema ;

 “The days I used to write songs for this small boy.  I’ve missed our childish days bro #WillisRadido,”

Akijibu hilo, Willy Paul  alisema katika instagram;

“So, I’m told Bahati mtoto wa Diana said amekuwa akiniandikia nyimbo. Never. What should I tell him? Anyway, that’s me driving with my legs just to pass a little message to that boy.”

 No Hard Feelings: Tanasha Donna amtumia ex wake Diamond  ujumbe mtamu  wa kumshukuru

Posti hiyo baadaye ilifutwa. Wawili hao wamejipata mashakani  baada ya kubadilisha muziki wao kutoka ‘gospel’ hadi midundo ya kisasa .

Katika video nyingine iliyosambazwa mtandaoni, Pozze alidai kwamba  muziki wa Bahati ulikuwa  ukididimia. Pia alimshauri Diana Marua kumsaidia mumewe kutengeza nyimbo nzuri badala ya kutumia pesa zake.

‘Alikuwa akinikojolea na kunifukuza nje uchi.’ Mtangazaji wa zamani wa KBC Rachel Wainaina asimulia masaibu na mume wake wa zamani

“Bwana Diana utatuonyesha mambo kweli. Si uache hata Diana aimbe. Diana saidia Bwana yako. We unataka ulishwe Bwana anapoteza vocals we uko hapo unakula tu. Saidia Bwana.”  Alisema  Pozze

Katika posti nyingine pozze alisema

“My brother Bahati naskia ulikua uniandikia songs….. mimi? Uko sure ni mimi?? Ooh lord, give mtoto wa Diana his memory back!! He’s mistaking me for Weezdom.. Let me remind you Baba:.. Naitwa KING POZZE. Much love… Pitia home kesho kuna maji moto na ndimu atleast itakuhelp… Guys, what should i do to this small boy??”

 pozze 3

 

‘Mama bila leso!’ Willy Paul amwita Ringtone baada ya kuzidi kumzungumzia

Saa chache baada ya msanii Willy Paul na Ringtone kurushiana matusi na cheche za maneno katika mtandao wa kijamii, Willy Paul hakutosheka na yale aliomtusi msanii huyo huku akizidi na matusi yake.

Uko na umama na wewe ni mwanamume,Shenzi sana ! Willy Paul amzomea Ringtone Apoko

Kupitia mtandao wake wa kijamii wa instagram, Willy aliposti ujumbe akimshauri Ringtone aende akashindane na wamama kama msanii Akothee.

Huu hapa ujumbe wa kwanza ambao uliwafanya wawili hao kurushiana maneno. Ijapokuwa wameokoka je wanapaswa kuwapa mashabiki mfano mwema au tabia za vijana wa mtaani wasio na mwelekeo?

“MATAKO WEWE RINGTONE @ringtoneapoko THE FACT THAT NIMETULIA ISIFANYE UONE KAMA MIMI NI UR FELLOW WOMAN!!! BLOODY NA UACHANE NA NADIA MUKAMI.. TOA WIMBO YAKO TUONE SHENZI, #NIKUNE IS A HIT AND UR LIFE IS A MISSSSS!!” alisema Willy Paul.

Willy paul hakutosheka na cheche za maneno yake na kupitia mtandao wake wa kijamii alimuonya ringtone na kumwambia yeye ni mama bila leso.

‘Wasimamizi wa vyama vya wasanii nchini hutumia hulipa malipo duni -Willy Paul asema

Ujumbe huo ni kama vile ufuatavyo;


#ringtone, mama bila leso…So this stupid man is still talking about me? Naona nikitandika huyu mkisii!! You are a disgrace to the Kisssiiii people!! Remember kelele yako haitazuia #nikuneKuenda.:: check the views and trend on YouTube alafu umeze wembe!!” Willy Aliandika.

Je wawili hao wana maadili mema kwa mashabiki wao hata baada ya kupewa pesa na rais Uhuru Kenyatta kwa sababu ya janga la corona?

‘Wasimamizi wa vyama vya wasanii nchini hutumia hulipa malipo duni -Willy Paul asema

Baada ya msanii Willy Paul kumwandikia barua Uhuru Kenyatta ili awakumbuke wasanii wa humu nchini na rais kufanya hivyo alipokuwa anahutubia nchi sasa anamlilia na kumwambia kuwa amewapea watu pesa hizo ambao wanawalipa malipo duni..

Willy Paul Apongezwa na wenzake kwa kumrai rais Kenyatta walipwe kama wasanii

Wengi walifurahi baada ya Kenyatta kusema kuwa ametenga millioni 200 kwa ajili ya wanamuziki wa Kenya wakati huu wa janga la corona.

willypaulbrownsuit

Kupiti mtandao wa kijamiii wa instagram Willy alimshukuru Rais kwa kusoma ujumbe wake .

“I SAID IT HERE, THANK YOU MR PRESIDENT FOR READING MY LETTER AND RESPONDING WITHIN SUCH A SHORT NOTICE..

FORTUNATELY OR UNFORTUNATELY, YOU’VE JUST DIRECTED THE MONEY TO THE SAME PEOPLE THAT’ HAVE BEEN PAYING US PEANUTS.” Willy Paul Aliandika.

 

Tukumbuke wakati huu wa wingu jeusi,’ Willy Paul amwandikia Uhuru barua

“WHAT WE WANT NOW IS TRANSPARENCY, THEY SHOULD TELL US HOW THEY INTEND TO DISTRIBUTE THE MONEY…

WHAT SYSTEM ARE THESE BOARDS USING TO PAY US?? THEY SHOULD KNOW THAT WE HAVE OUR EYES ON THEM.” Alisema.

Hakukimya wala kunyamaza alizidi na kuzungumza,

“AND THIS TIME TUTAKUA NAO KWA HIO MEZA TUKIFANYA MAAMUZI PAMOJA.

MY FELLOW ARTIST, ACTORS, PRESENTERS, COMEDIANS, PRODUCERS, DJS… LEARN TO SPEAK UP PLEASE.

MTAKUFA NJAA JUU YA UWOGA AMA KUJIPENDEKEZA.. ONE MORE THING, LET’S UNITE. REMEMBER WITH UNITY WE ARE UNBREAKABLE AND EVEN STRONGER ….

A BIG THANK YOU TO ALL OUR SUPPORTERS ( WANANCHI ) IT’S BECAUSE OF YOU NDIO TUKO HAPA. MAY GOD PROTECT ALL OF US AGAINST #CORONAVIRUS .”

Je nani atakaye tumia pesa hizo inavyostahili?

Willy Paul Apongezwa na wenzake kwa kumrai rais Kenyatta walipwe kama wasanii

NA NICKSON TOSI

Ni wiki moja ambapo msanii Willy Paula alimwandikia rais Kenyatta barua ya kumrai kuweka mikakati ya kuhakikisha kuwa wasanii wa humu nchini wanalipwa haswa wakati huu ambao taifa la Kenya linakabiliana na vita dhidi ya Corona. Hatimaye, rais Uhuru Kenyatta alitangaza kuwa serikali yake imetenga takriban milioni 200 na milioni 100 kutoka kwa wizara ya michezo na zitamadu kama hela zitakazotumiwa kulipa wanamziki wa humu nchini.

willy paul 2 (2)

Akisifia hatua ya rais Kenyatta, Willy Paul alikuwa na haya ya kusema .

Asante rais Kenyatta kwa kusoma barua yangu na kujibu maombi yetu kama wasani, lakini cha kusikitisha ni kuwa hela hizo zinapelekwa kwa afisi ambazo zinaongozwa na vibaraka ambao wamekuwa wakitulipa malipo duni. Aliandika Willy Paul.

willy paul 1

Akimpongeza Wiliy paul, alikuwa msanii Frasha ambaye alisifia pakubwa hatua za msanii huyo kumwandikia rais Kenyatta barua, akisema ni sharti wasanii wa humu nchini wasimame wima na kupigania haki zao.

Asante kaka kwa kutuwakilisha vyema na pia ifahamike kuwa tunawakashifu wale watu wanaowanyanyasa wasanii wa humu nchini haswa katika shirika la kutetea maslahi ya wasanii MCSK . Aliandika Frasha .

 

 

Tukumbuke wakati huu wa wingu jeusi,’ Willy Paul amwandikia Uhuru barua

Msanii wa  humu nchini na ambaye anafahamika sana tangu aanze uimbaji wake Willy Paul kupitia mtandao wake wa kijamii wa instagram amepost picha ya rais Uhuru, kisha kumwandikia ujumbe akimsihi awakumbuke wakati huu kama wasanii wa nchi ya Kenya.

Kulingana na Willy serikali haijafanya jambo lolote kuhusu wasanii wa humu nchini huu hapa baadhi ya ujumbe ambao aliandika.

“Dear Mr president, my president. First and foremost I’d like to congratulate you for the good work that you’ve done so far n ur still doing. Especially in this time of #corona.” Aliandika.

Alizidi na kusema kuwa sekta ya muziki imeathiriwa sana na janga la corona ilhali hamna mtu yeyote ambaye anashughulika kwa ajili yao.

“My president I have an issue. The entertainment scene has been hit badly and sadly no one seems to care about whatever is happening to us… entertainers from other countries e.g musicians, actors , producers, directors and comedians are getting help from their governments.. and here no one is even saying a word.” Aliandika.

Hakutia kikomo mbali aliendelea,

“The other day you had a press conference and all of us expected to hear our president’s thought on the entertainment scene. Unfortunately you did not mention a thing. Mr president, most of us depend on shows, gigs n e.t.c as we all know that our board of music has been having issues with the artists. They’ve been stealing from us.. from ringback tones to every other thing.. most of us depend on music for everything Mr President. We have families that look upto us.. right now we’re all home, not making any money…. …” Alisema.

Akimalizia Alisema,

“Dear Mr President, I’m just speaking from a musical perspective, if an established musician can feel the pinch like me, what about the uprising who only makes 5000 shillings per gig and they still have to pay rent and feed their families? What about the common #mwananchi who’s only hope is on mjengo, juakali, watchmen, mama mboga???

Mr President, I know ur a fan of Kenyan music, Kenyan content , Kenyans and you love your people.PLEASE REMEMBER US IN THIS DARK MOMENT.” Aliandika Paul.

 

Huyu ‘light skin’ ni wangu sasa ,nimelipa mahari Asema Willy Paul

NA NICKSON TOSI

Siku chache tu baada ya kufichua kuwa alikuwa ashafunga pingu za maisha na mpenziwe ambaye hadi wa leo hakuna mtu anayefahamu jina lake rasmi, msanii Willy Paul amefunguka tena na kudai kuwa ashalipa mahari ya msichana huyo mwenye asili ya Jamaica.

Taarifa hizo zilianza na picha katika mitandao ya kijamii zikiwemo za harusi na jumbe za mapenzi katika mitandao yake ya instagram, kisha wakatao wimbo uliokonga vichwa vya habari kwa jina Byebye.

Willy Paul with the pretty model

Siku chache baadaye, Willy Paul alitoa wimbo mwingine kwa jina Magnetic na akiwa katika mahojiano na jarida fulani la mtandao, pozze alikuwa na haya ya kusema.

Huu wimbo unazungmzia tu vile umependezwa na maumbile ya mtu fulani, uzito wa mvuto wake na nilihimizwa na mke wangu. Alisimulia Willy.

Willy Paul

Akizungumzia kuhusu mkewe, ilibainika wazi kuwa wapenzi hawa wanaeza kuwa wamefahamiana kwa muda kabla ya kuamua kufunga pingu za maisha.

Hivi ndivyo Willy alivyomzungumzia mkewe katika mahojiano hayo.

Anatoka Jamaica, tumejuana kwa muda sasa, katika muda huo tumepitia  katika changamoto si hapa, mengi yalifanyika na mimi niliona hakuna haja ya kutuma picha zikionyesha mimi nikilipa mahari kwa sababu hakuna mtu atanisaidia kuishi na yeye. Alielezea Willy.

Willy-Paul-lady-696x418

Willy aliongezea kuwa mkewe huyo sasa atamsaidia kulea mwanawe mvulana wa miaka miwili wakiendelea na mipango ya kuongeza mwengine.