‘Asante baba for the top up,’Zari amshukuru Diamond kwa kumnunulia gari

Je, Diamond na Zari wamerudiana? Wawili hao wamekuwwa katika mahusiano mema hivi maajuzi  baada ya Diamond na Zari kukosana na msanii huyo kukataa kuwasaidia watoto wake kwa muda wa miaka miwili.

Mwanawe Zari aweka bayana uhusiano kati ya mamake na Diamond

Diamond alianza kuzungumza na wanawe na kisha kuwasaidia, baaada ya zari kupitia kwenye mitandao ya kijamii kusema kuwa hajakuwa akiwasaidia wanawe.

Zari Hassan
Zari Hassan

“TWO YEARS DOWN THE LINE DIAMOND REALISED WHAT HIS MISTAKE WAS WHERE HIS PROBLEM WAS AND HE SAID, HE IS NOT GONNA LET THIS CONTINUE AND HE DECIDED TO BE IN HIS KIDS’ LIFE. SO HE STEPPED UP, WHY CAN’T I GIVE CREDIT FOR THAT?” Aliandika Zari.

Inaitwa co-parenting,’ Zari Hassan awaambia Watanzania baada ya kusema anataka kurudiana na Diamond

Siku ya kusherehekea kina baba duniani, Zari aliposti picha huku akimuonyesha Diamond mapenzi tele, awali kupitia kwenye mitandao ya kijamii Zari aliposti picha ambayo iliwaacha wengi wakizungumza na kuulizana maswali yasiyo na majibu.

Screenshot-from-2020-07-08-21_46_35

Mama huyo wa watoto watano alimshukuru aliyekuwa mumewe huku wengi wakisema Diamond alimsaidia kununua gari hilo.

“ASANTE BABA T FOR THE TOP-UP.” Aliandika Zari.

Je, Diamond ndiye alimtumia pesa kununua gari hilo au mambo vipi?

Mwanawe Zari aweka bayana uhusiano kati ya mamake na Diamond

Mwanawe Zari Hassan, Raphael Ssemwanga amezungumzia kwa mara ya kwanza uhusiano wa kimapenzi kati ya mamake na mwanamuziki Diamond Platinumz

Rapheal alisema hangeingilia kati uhusiano wao kwani Diamond alikuwa akimpatia raha alohitaji mamake.

Nyama ya mauti! Kipande cha nyama chamsakama jamaa hadi akafariki

Akiulizwa iwapo alikuwa akiwasiliana na Diamond, Rapheal alisema haikuwa kila wakati kwa sababu alikuwa shuleni muda mwingi.

“Jambo hilo halikunitatiza kwa sababu Diamond alikuwa akimpatia mamangu raha wakati huo, singefanya lolote huyu ni mamangu na atabaki kuwa mama, sikuona tatizo yeye kupendwa na Diamond,” Rapheal alisema.

Aidha, Rapheal alifichua kuwa sio rahisi azungumze na Diamond kwa sababu yeye hupiga simu kwa wakati mwingi akitaka tu kuzungumza na Tiffah na Nilan ambao ni watoto wake.

Uhasama haupo tena! Bahati na Willy Paul wazika tofauti zao

Rapheal pamoja na ndugu zake wanaishi Afrika Kusini na mama yao ambako pia wanasomea.

 

Zari akana madai ya kumtumia mamake Diamond zawadi

Mwanamitindo kutoka Uganda Zari Hassana amekana madai kuwa amekuwa akimtumia mamake Diamond zawadi.

Familia hizo zimekuwa zikiimarisha uhusiano wao huku ikidaiwa kuwa huenda wawili hao wakarudiana siku za hivi karibuni.

Asanteni wote! Anerlisa Muigai amewashukuru watu wote walioombea familia yao

Mitandao ya kijamii kutoka Tanzania ilinukuu kuwa Zari alimtuma mama Dangote chakula alichokuwa amekinunua kutoka Afrika Kusini.

 

Aidha taarifa hizo alizikana na kusema ni udaku tu.

“Lies, I forgot its Udaku (gossip) page (sic),” Zari alisema

Naam, kama njia ya kujukumikia majukumu yake kama baba, Diamond alimtumia mwanawe Tiffah zawadi ya kifahari ambao kwa sasa wanaishi Afrika Kusini na mama yao.

Polisi anayedaiwa kuhusika kwa mauwaji ya George Floyd aomba msaada wa kulipia dhamana

Katika video hiyo, Tiffah alionekana mwenye kujawa na furaha na kumtumia babake video ya kudhihirisha furaha yake.

 

 

 

Don’t bleach! Zari atoa ushauri kwa wanadada dhidi ya kubadili ngozi zao

Mwanasosholaiti wa Uganda na mama wa watoto watano Zari Hassan amekuwa akisemwa zaidi kuhusiana na jinsi anavyoishi maisha yake  ya kifahari.

Hii Kenya hatuhami! MCAs walala kwenye bunge la kaunti ya Kirinyaga wakisubiri kumtimua Ann Waiguru

Kupitia mtandao wake wa Instagram Zari ametundika picha zake za awali akiwasihi wanawake kutobadili ngozi ya mwili wao ama bleaching kama njia ya kuwavutia watu.

 

 

Magix Enga ajitenga na madai ya kampuni inayodai mgao kwa wimbo mpya wa Tanasha

Katika picha hizo zote mzaliwa huyu wa Afrika Kusini alikuwa kati ya miaka 17-18  wakati ambapo alikuwa ameanza kuibukia katika sanaa tofauti.

 

‘Sikuwa nataka kumuoa,’Ringtone aeleza kwa nini alitaka kumpa Zari Hassan gari lake

Msanii wa nyimbo za injili Ringtone Apoko hatimaye amezungumza na kueleza kinagaubaga kwa nini alitaka kumpa Zari Hassan gari lake la Range Rover mwaka wa 2018.

Akiwa kwenye mahojino, Ringtone alisema kuwa hakuwa anataka kumuoa Zari bali alikuwa anataka kumpa moyo baada ya Zari kutengana na msanii wa bongo Diamond Platnumz.

Msanii huyo pia aliwashtumu na kuwalaumu wanahabari kwa kutafsiri vibaya habari hizo, alizidi na kueleza kisha kusema kuwa alimpenda Zari upendo wa kristo kwa maana yeye ni mkristu hamna cha kuongeza wala kupunguza.

“Zari sikuwa nataka kumuoa. Niliona Diamond amemuacha na anacomplain ati amekuwa heartbroken. Mimi kama mtumishi wa mungu nikaona nimuencourage. My first post nilisema Zari najua umeachana na Diamond ulishasema mwenyewe na kama unatafuta mwanaume hawezi kukuheartbreak ni yesu. Nikamwambia mimi kama Ringtone nakupenda kabisa venye yesu anakupenda.”Alisema Ringtone.

0RVk9kpTURBXy83NDYzYWRiODIyOTU3NGYwODgyYmE5ZWJkMjVjMmRiMi5qcGeSlQLNAxQAwsOVAgDNAvjCw4GhMAE

Ringtone aliweka wazi kuwa alikuwa amempa gari lake la pesa nyingi yaani range rover kwa sababu aliona posti yake akiwa amesema kuwa anatamani gari la aina hiyo.

Na kwa maana alikuwa na gari nyingi za aina hiyo aliamua kumpa au kumzawidi gari hilo,

Hio nilikuwa najaribu kumsaidia. Alikuwa amepost akisema anapenda range rover akapost ako na ya White, nikaona sababu nina nyingi na yeye ako na moja nikaona nimpe ya black.” Alizungumza.

Alipoulizwa kwa nini hajaweza kuoa wala kuwa katika mahusiano na mwanamke yeyote alisema wanawake anaowapata wanataka umaarufu.

“Wasichana wengi wenye ninapata wanataka fame, na wanataka pesa. Because I decided washichana nimewaona lakini ule msichana natafuta sijamuona.”Alieleza.

Rue-Baby-with-MCA-Tricky-1

Zari na Diamond waliachana 2018, baada ya kuachana Zari alitua nchini kenya kwa miradi yake tofauti hapo ndipo Ringtone alipata fursa ya kumzawadi Zari.

Cha kushangaza mipango yake haikuenda vile alivyokuwa amepanga.

Simba kamili! Diamond awaposti Zari na Tanasha kwa kuunga mkono muziki wake

Msanii Diamond Platnumz sasa anaonekana yuko kwenye mawasiliano mema na ‘baby mama’  wake Zari Hassan na Tanasha Donna. Kwenye mitandao ya kijamii, Diamond aliposti vieo ya Zari na mwanawe Tiffah wakiusakata wimbo wake wa Quarantine.

Awali msanii huyo aliwaposti wanawe wakiucheza wimbo huo huku akiwaacha wengi wakisema wameruadiana na Zari.

Fears of a father! Diamond afichua kwanini anahofia mwanawe Tiffah kukua

‘Diamond si league yako,’Mashabiki wamwambia Otile Brown

Mnamo Juni 1, Tanasha alirekodi video ya msichana akiucheza pia wimbo huo na kisha kumtumia Diamond ambaye naye aliposti kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Baaada ya kuposti aliandika ujumbe mfupi.

Screenshot-from-2020-06-02-03_06_13

“THANK YOU FOR THE CLIP TANASHA DONNA. QUARANTINE MOVES WORLDWIDE HIT.”

Sasa ni wazi kuwa Tanasha hajampa Diamond block kwenye mitandao ya kijamii  baada ya kumpa block baada ya kutengana mapema mwaka huu.

‘Hatukuibia mtu,’ mwelekezi wa Diamond na Tanasha akanusha madai

Screenshot-from-2020-06-02-025354

Akiwa kwenye mahojiano Tanasha alifichua kuwa alimuacha Diamond kwa ajili ya udanganyifu.

“Ilipofika kiwango kile cha ukafiri niligundua kuwa napigana na hao watu peke yangu, nilimuuliza kisha nikampa block na nikamaliza uhusiano wetu

Ilikuwa mwisho wangu mimi kwa maana nilikuwa mwaminifu kwake kama mwendawazimu, ilikuwa bora kwangu kutoka kwenye uhusiano huo kwa ajili ya mwanangu na kwa ajili ya amani ya akili yangu.” Alizungumza Tanasha.

 

Fears of a father! Diamond afichua kwanini anahofia mwanawe Tiffah kukua

Msanii Diamond Platnumz na aliyekuwa mkewe Zari Hassan wanaweza rudiana baada ya kutengana mwaka wa 2018, wawili hao hawajakuwa wakizungumza tangu waachane ilhali hivi majuzi wameanza kuzungumza kwa ajili ya wanawao.

‘My loyal pumpkins.’ Diamond aposti video ya Zari na wanawe

Zari-Diamond-696x418

Zari ni shabiki wa nyimbo za Diamond na amekuwa akijirekodi akisikiza nyimbo zake kisha kuweka kwenye mitandao ya kijamii.

Hivi majuzi aliwarekodi wanawe Tiffah na Nilan wakiucheza wimbo wa Diamond wa awali.

Msanii huyo alipost video hizo na kunakili ujumbe mfupi na kusema kuwa anahofia kuwa mwanawe Tiffah anakua kwa haraka.

#QTCHALLENGE FROM MY PRINCESS AND LOVELY DAUGHTER ❤🌺❤ @PRINCESS_TIFFAH 🌺❤🌺❤… HAKA KATOTO KAKIKUA KATANICHUNA SANA 😂.” Aliandika Diamond.

Kifo hakina huruma! Familia ya Diamond yaomboleza

Msanii huyo alipost video nyingine ya Tiffah na kuandika maelezo mafupi,

“#QTCHALLENGE FROM MY GENIUS AND BELOVED DAUGHTER @PRINCESS_TIFFAH ALL THE WAY FROM THE SOUTH OF AFRICA….SHE KILLED EVERYBODY!”

Diamond naye hakusalia nyuma alipost video ya mwanawe Nilan akiucheza wimbo wake wa Quarantine.

“A #QTCHALLENGE FROM MY GENIUS PRINCE @PRINCENILLAN ❤🌺❤…. I BET THIS ONE IS GOING TO BE THE NEXT MARK ZUCKERBERG 🌍”

 

 

Upendo bado upo! Zari ajirekodi akisikiza wimbo wa Diamond wa Jeje

Zari Hassan aliyekuwa mpenzi wake staa wa bongo Diamond Platnumz ameonyesha na kuthibitishia mashabiki wake kuwa bado anamjali Diamond licha ya wao kutengana na kutemana.

Bado Zari anapendwa! Mama Dangote afichua kuwa wanazungumza na Princess Tiffah mara tatu kwa siku

Zari bado anafurahia kusikiza nyimbo za Diamond, hii ni baaada ya kurekodi video akiskiza wimbo wa Diamond ambao unafahamika kama Jeje.

View this post on Instagram

Guess who still listens to Diamond's music.. 😍

A post shared by Urban News (@urbannews254) on

Akisikiza wimbo huo, Zari alikuwa anawakashifu wananchi wengi wa Afrika kusini kwa kuchukulia janga la corona kama virusi vya kawaida licha ya watu kuendelea kuambukizwa na hata wengine kupoteza maisha yao.

‘Thamani yako katika macho yangu haitawahi kubadilika.’ Diamond amjibu Zari baada ya kumuita deadbeat father.

Awali Zari alikuwa amemuita Diamond deadbeat father kwa kutojua wanachokula watoto wake.zari 3Baada ya Diamond kuitwa majina hayo alifanya hatua moja na kuwapigia simu wanawe, kwa muda huo wote wawili hao wamekuwa wakizungumza au kujuliana hali kupitia kwa mawakili wao.

Akiwa katika mahojiano na runinga ya Wasafi, Diamond alijibu madai hayo na kisha kusema ana matumaini virusi vya corona vikipungua wataweza kuwalea watoto wao ipasavyo na si kama awali.

Alisema thamani ya Zari katika macho yake haitawahi kubadilika.

 

 

Bado Zari anapendwa! Mama Dangote afichua kuwa wanazungumza na Princess Tiffah mara tatu kwa siku

Familia yake Diamond bado inampenda baby mama wake Zari Hassan licha ya hao wawili kutengana na kuachana wakiwa wamebarikiwa na watoto wawili.

Muachane na Diamond, ni mtu mkarimu na mzuri.’ Wema Sepetu ajitokeza kumtetea Diamond baada ya kushambuliwa na Zari

Mama yake Diamond Sandra kwa muda na mara kadhaa amekuwa akimsifu kuwa mke bora kwa mwanawe kwa maana alimpa wajukuu wa kwanza.

Mama-Diamond-and-hubby-696x418

“ZARI NAMHESHIMU. NI MWANAMKE AMBAYE NDIYE WA KWANZA KABISA KUMFANYA MWANAGU AITWE BABA. NITAENDELEA KUMHESHIMU NA KUMPA HESHIMU KWA KILE ANASCHOSTAHILI. SIMKATAZI DIAMOND PLATNUMZ KUOA LAKINI SIO HAMISA. NATAKA MWANAMKE AMBAYE ANAJIHESHIMU, MWENYE HESHIMA NA ANAYEJUA KUPIKA LAKINI SIO MOBETTO.” Alisema Sandra.

Baba wa kambo wa Diamond Rally Jones aliposti video wakiongea na Princess Tiffah na kusema baadaye. Mmoja wa mashabiki wake kuona video hiyo mmoja wao aliandika,

‘Thamani yako katika macho yangu haitawahi kubadilika.’ Diamond amjibu Zari baada ya kumuita deadbeat father.

Screenshot-from-2020-05-04-12_43_55

“Hahahahhaa mama dangotee presha itanzaa kuwa juuu 😂”

Mama Dangotte hakusita bali alimjibu,

“@DR_SANDRA_MAMADANGOTE LAZIMA QUEEN KASHANZA MAWASILIANO NA MUME WANGU TENA KWA SIKU MARA 3 @PRINCESS_TIFFAH NIACHE BWANA 🤣🤣🤣.” Alijibu Sandra.

Muda wa miaka miwiwli sasa Diamond hajakuwa akiwaona wanawe, hivi majuzi aliweza kuwapigia simu na video, hii ni baada ya zari kuposti ujumbe huu kwenye mtandao wake wa kijamii.

“BUT YOU DON’T KNOW WHAT YOUR KIDS EAT, OR HOW THEY SLEEP IF FEES AND MEDICAL INSURANCE IS PAID. YOU WILL NEVER PLEASE THE WORLD WHEN YOUR OWN ARE NOT HAPPY AND TAKEN CARE OF. YOU SELLING A LIE. SOME PEOPLE HAVE BECOME CLOWNS TO SOME OF US.” Aliandika Zari.

 

 

Haya hapaa!!! Mambo Zari, Hamisa na Tanasha wanapaswa kufanya ili kumfunza Diamond adabu

Kwa hakika Diamond ni ‘father Abraham’ jina ambalo alipewa na mashabiki wake baada ya kuwa na watoto na baby mama watatu.

Miezi kadhaa waliachana na aliyekuwa mpenzi wake Tanasha huku mengi yakisemwa kuwahusu, huku wengi wakimlaumu mama Dangote kwa mambo yote ambayo mwanawe amekuwa akiwafanyia wasichana wa wenyewe.

diamond
diamond

Kwa kweli Diamond hajakuwa baba mzuri kwa wanawe.

Ni ukweli sisi si makatibu wa baby mama wake, wa kwanza alikuwa zari ambaye walibarikiwa na watoto wawili na Diamond huku wakitemana baada ya Zari kumfichua kuwa si baba mzuri au hatekelezi majukumu yake kama baba.

Hamisa ndiye babay mama wa Diamond wa pili huu wakiachana baada ya kubarikiwa na mtoto wa kiume.

Diamond Zari

Hasa wa tatu watu wanamfahamu sana kwa sababu walitoa wimbo naye na ambaye ni Tanasha kutoka humu nchini, haya hapa mambo ambayo wanapaswa kufanya ili kumfunza simba adabu

  1. Wawe na mafanikio

Badala ya kuachana na kisha waanze kulia na hata kujifungia kwa chumba chao, watoke nje na waanze kufanya kazi kwa ajili ya watoto wao ili wafanikishe ndoto zao.

Hamna kitu huwa kinamuuma mwanaume akiona humwitaji tena katika maisha wala humtegemei

Diamond na Mobetto
Diamond na Mobetto

2.Kuendelea na maisha kama kawaida 

Zari alipoona hamna maisha kati yake na Diamond alimtema kama takataka au kitu ambacho hakina maana

Hamisa akiwa katika mahojiano alisema hana haja ya kurudiana na Diamond, na hajapata mchumba wa kupendeza roho yake

Tanasha anajaribu kuendeleza maisha yake lakini machungu anayo bado ushauri wangu kwake ni endelea na maisha kama kawaida kama vile wale wengine wameendelea.

3.Wapeni watoto wenu maisha mema na chochote watakachotaka

Njia nyingine ya kumpa Diamond adabu ni hakikisheni watoto wenu wanaishi maisha ya kifahari na kuwapa ambacho wanataka katika maisha yao

Diamond-and-Tanasha-Donna-in-the-past

Kupitia mitandao wa kijamii Zari huwa anawapa watoto wa Diamond maisha mema kamili

4. Kuweni na uchanya kila wakati

Watatu hao wakiwa na mafikira ya kusaidia kila wakati hamna kitu chochote ambacho kitawarudisha nyuma wala kuwafanya walie na kumfikiria Diamond.