Tanasha Donna asilimu na sasa jina lake ni Aisha – Msanii athibitisha safari yake mpya katika Uislamu

Tanasha Donna amesilimu na  sasa anaitwa Aisha .

Awali kabla ya kuachana na mwanamuziki wa TZ Diamond Platinumz, Tanasha alikuwa ameripotiwa kusilimu baada ya dadake Diamond Esma  kudai kwamba msanii huyo alikuwa tayari amesilimu alipokuwa katika uhusiano na Diamond .

 

Tanasha hata hivyo amekuwa kimya kuhusu hilo lakini mwanahabari wa  KTN Jamal Gaddafi ndiye aliyebainisha na kuthibitisha wazi kwamba ni kweli Tanasha sasa ni muislamu na pia atakuwa katika mfungo mwezi huu wa ramadhan .

Gaddafi aliiweka picha akiwa na Tanasha wakati wa iftar akisema ndio ilikuwa iftar ya kwanza ya Tanasha, sasa Aisha .

Jamal  pia aliwapa rai waislamu wengine kumuunga mkono Aisha katika safari yake mpya kwenye uislamu

hanif_physique Some will be soooo fast to judge. Kuweeni wapole and support her. Si kaazi yeeenu kumuhukumu but as a Muslim I should be friendly to her and welcome her sio faster mwatafuuuta kasoooro.

official_bless7 Follow me follow you back now

amfaizhusseyn MashaAllah.May Allah bless her

__.faded__abdul Ramadan Mubarak