Tanzia: Bintiye shujaa Nelson Mandela, Zindzi aaga dunia

9Kok9kpTURBXy80ODRjYmZkNzM2NWJmNTE4NTBkNmIzMzk0MzVlMjdlNy5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB
9Kok9kpTURBXy80ODRjYmZkNzM2NWJmNTE4NTBkNmIzMzk0MzVlMjdlNy5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB
Bintiye aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela ameaga dunia akiwa kwenye hospitali ya Johannesburg alipokuwa anapokea matibabu.

Zindzi, 59, alihusika katika vita vya kupata uhuru nchini Afrika Kusini. Mama yake, Winnie Mandela ambaye pia ni marehemu aliwacha historia ya kupambana kumaliza ubaguzi wa rangi nchini humo.

https://twitter.com/Siseko_Soga/status/1282552683405217794

Kabla ya kifo chake, Zindzi alihudmu kama balozi wa Afrika Kusini nchini Denmark.