Tanzia! Mchezaji wa zamani wa timu ya kitaifa ya raga Allan Makaka ameaga

EYrl8a3UwAAX593
EYrl8a3UwAAX593
Taarifa za hivi punde ni kuwa mchezaji wa kitambo wa timu ya taifa ya Raga Allan Makaka Shisiali ameaga dunia asubuhi ya leo baada ya kuhusika kwa ajali mbaya ya bara barani.

Ajali hiyo imetokea kwenye bara bara kuu ya Mombasa.

Mola ailaze roho yake palipo wema.