robert burale

TANZIA: Mhubiri Robert Burale aomboleza kifo cha dadake

Mhubiri Robert Burale anaomboleza kifo cha dadake kwa jina Sarah.

Kulingana na Burale, alijua habari za kifo cha dadake kupitia madaktari waliompigia simu.

Cha kuhuzunisha ni kuwa alisema kuwa babake mzazi na ndugu zake wengine wawili walifariki hapo awali kabla ya Sarah, akiongeza kuwa dadake alipambana lakini sasa safari yake ilifika kikomo.

Kushiriki mapenzi na watu wengi haikufanyi mwanaume – Burale

“MY SISTER SARAH …WORDS FAIL ME …THE PHONE .CALL FROM THE DOCTOR THAT YOU ARE NO MORE HIT ME LIKE A THUNDERBOLT.THIS IS HARD….REALLY HARD ..REST WELL MY SISTER…DAD AND OUR TWO BROTHERS HAD GONE BEFORE YOU…ENTER INTO THE HEAVENS TRIUMPHANTLY..YOU FOUGHT A GOOD FIGHT ….YOU RAN A GOOD RACE AND HAVE NOW FINISHED YOUR RACE
REST WELL MY SISTER SARAH ….,” ALIANDIKA KWA MTANDAO WAKE WA INSTAGRAM.

Kifo cha Sarah chaja miezi kadhaa baada ya Burale kutangaza kifo cha mjombake na kulingana naye huyo ndiye aliyekuwa mjomba pekee aliyekuwa hai.

 

“REST WELL. MAY HEAVEN RECEIVE YOU WELL…..YOU HAVE FOLLOWED YOUR BROTHERS ABSALOM, APOLLO, JOHN, SAM, GEORGE…YOU WERE THE LAST OF THE STRONG BATTALION REMAINING. AS YOUR SONS/NEPHEWS WE WILL CARRY ON WITH THE LEGACY……REST WELL,”UJUMBE WAKE ULISEMA.

Nilikuwa naenda klabu kuskiza mziki tu; Asema mchungaji Burale

Zifuatazo ni jumbe za heri njema na rambirambi kwa Burale kutoka kwa mashabiki wake;

PierramakenaofficialPole sana! Praying for you

daddyowenPoleni sana my brother🙏

massawejapanni So sorry Burale

realmikewachira pole sana Burale may Sarah rest with the Angels and may God grant you peace and strength and hi Grace through this period.

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments