Shujaa:Tazama mchango wa Marehemu Tony Onyango katika raga ya kenya

tony Onyango 2
tony Onyango 2
Mchezaji wa raga ya wachezaji saba kila upande Tony Onyango ameaga dunia . Ripoti zaarifu kwamba Onyango alianguka akiwa katika nyumba yake mtaani Ngong jana usiku na kufariki .

https://twitter.com/EricNjiiru/status/1235061468808097792

Aliichezea Kenya simbas  kuanzia aprili mwaka wa 2012  kwa miaka sita kabla ya kuhamia Homebpoyz na maajuzi amekuwa akiichezea KCB . Onyango alikuwa nahodha wa timu ya raga ya shule ya Maseno mwaka wa 2009 na pia aliichezea Kenya sevens katika msimu wa mwaka wa 2014/2015 chini ya kocha Paul Treu.

https://twitter.com/ItsMoe254/status/1235074720715943936

Mashabiki wengi wa raga  walituma risala zao za rambi rambi kwa familia yake baada ya kupata habari za kifo cha mchezaji huyo .