Tazama jinsi mastaa na viongozi walivyowapa kongole Harambee Stars

olunga
olunga
Mechi ya jana kati ya Taifa Stars na timu ya kitaifa Harambee Stars imewavutia mashabiki wengi wa soka hapa nchini. Mastaa wengi nchini na viongozi serikali wametokea katika mitandao ya kijamii kutoa pongezi zao kwa vijana wa timu ya kitaifa.

Soma hadithi nyingine:

Kenya iliizamisha Tanzania jana na kuwanyuka mabao 3-2. Kuwashinda Taifa stars halikuwa jambo la mchezo. Tanzania ilitangulia kuchukua uongozi baada ya Simon Msuva kushambulia kwa mkwaju hatari ulioanzishwa na Mbwana Samatta.

Tazama baadhi ya mastaa walivyosema kuhusu ushindi huu:

Soma hadithi hii:

"What a splendid performance coupled with great composure coming from behind twice to deservedly win the game. Bravo! Kenyans are firmly rooting for you. All the best as you continue striving to qualify for the round of 16. Hongera " Raila Odinga.

"Hearty congratulations to  for beating Tanzania 3-2 and putting Kenya in contention for qualifying for the round of 16 at the. All the best as you prepare for the Senegal decider. Well in." William Ruto.

https://www.instagram.com/p/BzOpt6bhzOo/

https://www.instagram.com/p/BzPTog9oLVP/

https://www.instagram.com/p/BzOkFzNl4XB/