Tazama kasri alilokuwa anaishi Tanasha wakati uhusiano wake na Diamond ulikuwa shwari

81398355_2679758918816566_8887379754524635756_n
81398355_2679758918816566_8887379754524635756_n
NA NICKSON TOSI

Wakati Tanasha Donna na Diamond uhusiano wao ulikuwa umechacha, mwanadada huyo alikuwa amenunuliwa kasri la mabilioni zaidi ya Ikulu ya rais wa Tanzania na mpenziwe huyo wa kitambo.

Hapa nimekuandalia namna Tanasha alivokaribishwa kwa nyumba hiyo na mamake Diamond.

Tazama na utupe maoni yako

Baada ya Tanasha kufunganya na kutia kikomo katika mahusiano yake na mwanamziki huyo, wiki jana kidosho huyo kupitia kwa ukurasa wake wa Instagram alithibitisha kuwa amenunua nyumba eneo la Runda jijini Nairobi ambayo alikuwa anapanga kuhamia ndani rasmi wiki ijayo.