Esther Passaris

Tazama vazi lake Esther Passaris linalozua gumzo kwenye mitandao

Kuna ubuyu mwingi umetokea mtaani baada ya viongozi wa kaunti ya Nairobi  Mike Sonko na Esther Passaris kuhusika katika drama tangu mosi ya Juni katika sherehe za Madaraka. Viongozi hawa wawili wameteka vichwa vya habari nchini kwa kutoleana povu na kupashana hadharani.

‘Wanawake Kenya ni kama njugu’ shouts Pastor Deya on fighting temptations

Parris hangestahimili mipasho ya gavana Sonko na kumjibu. Baadaye Mike akizitoa sauti za simu hadharani kwa walimwengu.

Dogo fulani amechapisha picha ya kitambo yake Esther Passaris katika mitandao ya kijamii akisema kuwa hafurahishwi na jinsi rinda lake mwakilishi huyu wa wanawake linavyokaa. Anahoji kuwa linamwonyesha sana maungo ya mwili yake kiongozi huyu.

Katika mtandao maridhawa wa Twitter ,@mike_wamunyinyi1 anatoa maoni yake ya moyoni.

“Absolutely no integrity. 52years and you give Kenyans this ? @EstherPassaris . Please respond to this pic #Passaris”

Passaris anaonekana ku-mind sana na kumjibu:

“My husband bought me that dress and I have no apologies when I wear it. #MyDressMyChoice

esthertweet
Jombi ampasha Passaris

Wakenya wanaotumia mtandao wa Twitter wanafuata mazungumzo yale ya kutoa maoni yao.

Miss Kirui🇰🇪
@charity_kirui..
Imagine being bothered by what a woman is wearing and thinking you have an opinion on it .

Tragic😭

chichi
@ItsMbegu..
😂😂kwani mnataka avae aje si ni binadamu ka nyinyi mnasumbua😂😂

KOT react to learning Chinese will be your new sweet talking mitumba sellers in Gikomba

EFFIE ALINA™
@theeffykindagal..
No apologies required! Do you sis!

Rolex Warren masika kerre
@rolexmasika..
it’s modelling event not an officially event .. so to me she killed it .. wacha wakuzoom tufanye kazi we get VAR zetu
Apeironjohns
@apeironjohns..
So long as my mum is at home wearing her best to please daddy. I don’t care whether others wear sacks or go naked. Anyway the Women Rep wore her best that time only that idlers are everywhere doing what they love best.

 

Hadithi imetafsiriwa na kuhaririwa na Abraham Kivuva

Photo Credits: twitter

Read More:

Comments

comments