‘Tell him I need him,’ Vanessa Kobe aandika ujumbe wa huzuni

Vanessa Kobe ni mjane wa mke wa aliyekuuwa mchezaji wa mpira wa vikapu Bryant Kobe amesema  angali bado anaomboleza kifo cha mume wake aliyekuwa mchezaji gwiji na mwanawe Gigi waliofariki kwa ajali ya helkopta.

Wawili hao na wengine saba walifariki walipokuwa wanaenda katika uwanja wa kufanyia mazoezi mita chache kutoka eneo ambalo ajali hiyo ilitokea februari mwaka huu.

Wakati wa maadhimisho ya  siku ya wapendanao Vanessa alituma busu za upendo kwa mumewe pamoja na mwanawe waliofariki katika ajali ya ndege.

Kwa miaka ishirini katika ndoa Vanessa kwa wakati huu na siku hiyo ya wapendanao amekuwa pekeyake licha ya siku kuwa ya maana na alioipenda Kobe.

Katika mtandao wake alituma wimbo wa msanii mmoja unao maanisha 'tell him i need him'.

Baada ya wimbo huo Vanessa aliandika ujumbe na kueleza kinagaubaga vile anawapeza mume wake na mwanawe.

Kobe alikuwa na wasichana wanne ambaye mmoja wao alifariki naye, waliobaki ni,Natalia, Bianka naCapri.

Huu hapa ujumbe wa mkewe alioandika katika mtandao wake wa kijamii;

"To my forever valentine, i love you so much.missing you so much on your favourite holiday.Te Amo or Sempre,kisses to you and Gigi in heaven.Happy valentines day,my babies"with all my love,your boo-boo." Aliandika Vanessa.