‘ Tembea kubwa kubwa’ Size 8 Asimulia jinsi alivyomfurusha DJ Mo

Size 8  na mume wake  DJ Mo wamepitia changamoto za ndoa kama tu watu wengine . wengi wanaweza kufikiri kwamba ndoa  yao haina sarakasi lakini masimulizi wa Size 8 kuhusu tukio ambapo alimfurusha mume wake DJ Mo linafaa kukupa taswira .

Akizungumza katika  kipindi chao cha  ‘Dine with the Muraya’s’, Size 8  kuna wakati alipomtupia kila kitu DJ Mo na ilibidi  wahubiri waingilie kati ili  afunue mlango .

Ndoa ni muungano ambao unahitaji nguvu za mola kila wakati .kwa miaka saba ambayo tumekuwa pamoja  ningezua drama nikimpata akifanya vitu vingine na hata katika simu yake nikipata vitu ambavyo hta havina maana bado ntazua mtafaruku.

ushauri wa Dj Mo KWA WANADNOA NI HUU

‘ FUNGA NDOA NA MTU AMBAYE NI RAFIKI YAKO  NA UWE TAYARI KWA LOLOTE . HAKUNA ALIYE SAWA KWA ASILIMIA 100  MATATIZO AMBAYO WATU HUPITIA NDIO TUNAYOPITA