Thought Of The Day By Yusuf Juma, 27th March 2017

Wakati mwingine unapoteleza, kubali kuanguka. Ukiwa chini, tarajia kupaa.