yusuf juma

Kauli ya Siku 20th September 2019

Nifute machozi nitakufuta jasho,Maisha ya sasa ni ya nipe nikurejeshee.
Yusuf Juma

Kauli ya Siku 19th September

Yaanike tu yote mtandaoni,Tutayaanua sote faraghani .
yusuf juma

Kauli ya Siku 18th September 2019

Mazito usioyabeba hujui utayafikisha wapi
yusuf-juma

Kauli ya Siku 17th September 2019

Ajabu ya kukubali zawadi ya nguo kutoka kwa aliye  uchi .
yusuf juma

Kauli ya Siku 16th September 2019

Maskini Yakhe amekabwa na penzi , ameaziachilia fikra zinabembea na mfuko wazi!  
Yusuf Juma

Kauli ya siku 15th September 2019

Kilio cha mbabe huangua kicheko cha mnyonge.
yusuf juma

Kauli ya siku 14th September 2019

Usiipande ngazi yenye msingi wa chumvi,Kuanguka  hakutajitangaza
yusuf-juma

Kauli ya siku 13th September 2019

Waliotangulia wapo mbele ila hawaoni kinachofanyika hapa nyuma tulipo .
Yusuf Juma

Kauli ya Siku 12th September 2019

Kilele cha kumaliza kisiwe tamati-Panga uanze kwa kishindo .
yusuf juma

Kauli ya Siku 11th September 2019

Usijutie kwa uliokosa ,jifunze kwa busara  uliopata
Yusuf Juma

Kauli ya Siku 10th September 2019

Mkosoaji sio adui, barakala ndiye hukuvuruga
yusuf juma

Kauli ya siku 9th September 2019

Umejivua mwenyewe ,sasa Jiingizie ujifikishe kote
Yusuf Juma

Kauli ya Siku 8th September 2019

Kilio cha mkatili hakihitaji huruma,kinataka jibu
Yusuf Juma

Kauli ya siku 7th September 2019

Wameyaona  mapana kwa  membamba,unafikiria mazito yatawasuta?
yusuf juma

Kauli ya siku 6th September 2019

Jianzie  kabla ya kutegemea msaada wa yeyote
Yusuf Juma

Kauli ya siku 5th September 2019

Asiyejua yake yametapakaa ,msitiri bila kutarajia faida
yusuf juma

Kauli ya Siku 4th September 2019

  Cha mwanzo hukumbukwa wakati cha mwisho kinapofeli  
Accident_COURTESY

4 waangamia katika ajali ya barabarani

Wafanyibiashara wanne waliuawa siku ya Jumatano baada ya lori lililokuwa likiendeshwa kwa kasi kuwakanyaga katika barabara kuu ya Nairobi – Nakuru karibu na eneo Soko...
Yusuf Juma

Kauli ya Siku 2nd July 2018

Kwanza fahamu kiini,kisha elewa sababu  halafu  badilisha mtindo
yusuf juma

Kauli ya Siku 1st July 2019

Akuchokoraye Peupe,Ankusongesha pazuri
eric-omondi1-e1525162246390-696x412

Eric Omondi amteka nyara Tanasha Donna

Mvunja mbavu mkenya Eric Omondi amemteka nyara mpenziwe Diamond Platinumz, Tanasha Donna. Eric Omondi kwenye kanda ya video aliyoweka kwenye mtandao wake wa instagram unamwonyesha...
yusuf juma

Kauli ya siku 26th June 2019

Mstaarabu haogopi,hata kuangaliwa
yusuf juma

Kauli ya Siku 24th June 2019

Komaa fikra ,Uelewe huyawezi
Embrace

Ubabe wa kisiasa baina ya Ruto na Raila watawanya wanasiasa wa kike

Wabunge wa kike wamegawanyika huku wengine wakivuta upande wa Naibu Rais William Ruto na wengine wakimuunga mkono kinara wa upinzani Raila Odinga. Mgawanyiko huo umepelekea...
Yusuf Juma

Kauli ya Siku 21st June 2019

Jichimbie Usipopapitia
kiatu

Kauli ya Siku 19th June 2019

Mwanamke Usiogope,Kwa ujasiri amka,kwa madaha tembea na  teka ulimwengu kwa kishindo !