TOBOA SIRI: Jamaa afichua kuwa anapiga ng'ombe kuni

Visa vya binadamu kushiriki ngono na wanyama humu nchini vimekithiri na polepole watu wameanza kuhisi kuwa ni jambo la kawaida.

Katika kitengo cha toboa siri, wakenya kadha wa kadha wamejitokeza na kufichua kuwa wameshiriki mapenzi na wanyama wakiwemo; Kuku, mbuzi na hata ng'ombe.

Hivi juzi jamaa kwa jina George baba wa mtoto mmoja aliomba siri imtobokee mkewe akidai kuwa alifanya kitendo hicho mwaka wa 2014.

Anasema kuwa jambo hilo halikumfurahisha kamwe akidai kuwa tangia wakti huo, hali nyama kwani "roho ilichafuka".

Soma usimulizi wake;

"Nilikuwa naishi kwa mjomba wangu na kuna siku shosho alikuwa ametoka na hapo nikachukua ng'ombe na kuipiga kuni, hata sijui ni shetani mgani alifanyika.

Kutoka hiyo siku naona niko sawa kwani hata nimefanikiwa na mke sasa. Kisa hiki kilitendeka mwaka wa 2014 nikiwa na umri wa miaka 14 kwani sikuwa nimewahi shiriki ngono na mwanadada yeyote.

Nimeamua nitoboe siri kwani kuna siku niliskia kuwa ng'ombe yenyewe ilipata mimba na mtoto akafariki. Kutoka kisa hicho kitendeke, moyo wangu ulitoka hapo kwani hata huwa sili nyama.

Sasa hivi nina mke na mtoto na nilikuwa nataka afahamu haya.

&feature=youtu.be