toboa siri

Toboa siri: Mimi hulala na mgomba ili nisipate ukimwi

Jamaa aliwaacha wengi haswa watangazaji Mbusii na Lion vinywa wazi alipofichua kuwa yeye hulala na mgomba wa ndizi.

Kulingana na jamaa huyo wa miaka 27, aliogopa kushiriki ngono na wasichana kwani ana hofu wa kuambukizwa ugonjwa wa ukimwi. Alisema alifanya uamuzi huo baada ya mjombake kufariki baada ya kuambukizwa ugonjwa huo.

Toboa Siri: Nilikuwa napepeta mke wa rafiki ya babangu

Akizungumzia katika kitengo cha ‘Toboa siri’ alisema kuwa angetaka siri yake imfikie mamake akidai kuwa “mrembo wangu ni mgomba wa ndizi”

Sababu alitaka siri imfikie mamake mzazi ni kuwa yeye na babake wamekuwa wakimshinikiza afunge ndoa kwani miaka inasonga lakini maoni yao hayafanani na yake.

Soma usimulizi wake.

Nilikuwa na uncle yangu na alikuwa ananisaidia kwani sisi kinyumbani tulikuwa chini sana, ikafika mahali akaiaga dunia.

Alipofariki mamangu akanidanganya uncle yangu alirogwa na nilipochunguza nikapata kuwa aliuliwa na ugonjwa wa ukimwi.

Nikaona kujihadharisha kwa huo ugonjwa kwani mwili wangu ulikuwa unasimama kila saa, heri nilale na mgomba wa ndizi. Mamangu huniambia kila mara nioe lakini kwa sababu staki kupata ugonjwa hubidi nilale na ndizi.

Nikikumbuka jinsi mjombangu aliaga sina hamu na wasichana kabisa na that’s why huwa natafuta ndizi nalala nayo. Hii ni kama kinga bwana.

At times mgomba wa ndizi huwa baridi lakini mimi huchemsha maji na namwagilia kisha najisaidia nao, nina mrembo na ni mgomba wa ndizi.

Toboa Siri: Nimezalisha bibi ya bro yangu na hajui juu yuko Somalia

Photo Credits: Radio Jambo

Read More:

Comments

comments