mbusii.na.lion

TOBOA SIRI: Napiga mke wa mfanyikazi mwenzangu kuni

Mara kwa mara habari nyingi zisizokuwa za kupendeza moyo ni za mabosi au waajiri kushiriki ngono na wake wa wafanyikazi wao. Hata hivyo sio mara nyingi utaskia visa vya wafanyikazi kunyemelea wake wa wafanyi kazi wenza.

Katika kitengo cha toboa siri, jamaa mmoja alifunguka jinsi alivyo katika uhusiano na mke wa mfanyikazi mwenzake ambaye ni jirani yake.

Anadai kuwa mwanadada huyo ndiye alimfuata na sasa hivi bado wanapigana kuni na haoni dalili yao kuacha vituko vile.

Isitoshe, anasema kila anapotaka kuhama anakumbuka kuwa hana imani kuwa atapata ploti ambayo watu watamlindia nyumba akiondoka.

Soma usimulizi wake;

Kuna vile nilikuwa napiga jirani yangu kuni kama mzee wake yuko kazini. 

Nina miaka na mke wa jirana ana miaka 26.

Hata mimi bibi yangu alikuwa anatoka kila asubuhi na akitoka ilikuwa inabidi pia mimi nakimbilia kwa jirani, unajua bibi ya jirani ni mzuri.

Unajua hata bibi yake alikuwa ananitongoza na nilikuwa najaribu kulenga lakini yeye ndiye alifanya nitende hicho kitendo.

Nataka kurobolea jirani na bibi yangu hii siri ili waishi wakijua mimi hupiga bibi ya jirani kuni. Bado uhusiano unaendelea kwani sasa hivi ndio kameshika.

Nina mtoto mmoja na jirani yangu ambaye nanyemelea mke wake ana mtoto mmoja pia.

Najaribu kuhama hii ploti lakini kupata ploti ambayo ukitoka mtu anakulindia nyumba  ni ngumu.

https://www.youtube.com/watch?v=AvzzfbmXVkM&feature=youtu.be

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments