Toboa siri: Nilipata simu ya mke wangu imejaa ngono

mbusii na lion teketeke toboa siri
mbusii na lion teketeke toboa siri
Jamaa ambaye asijue la kufanya alituma ujumbe katika kipindi cha Mbusii na Lion teketeke, kitengo cha toboa siri, akidai kuwa mkewe anapenda sinema za ngono.

Alisema kuwa alipata sinema za ngono kwa simu ya mkewe baada ya kumtembelea nyumbani na sasa anashuku kuwa hiyo ni tabia ya mkewe.

Kulingana naye, yeye hufanya kazi Nairobi na mkewe huishi maeneo ya Kakamega ambapo anafanya biashara hapa kule.

Aliongezai kuwa yeye humtembelea mkewe kila wiki au kila baada ya wiki mbili na kuwa mapenzi kati yao hayajakuwa na utata wowote.

Huku asijue la kufanya, jamaa bado hajamwambia mkewe alichokiona na aliomba usaidizi kutoka kwa wanajambo.

Soma usimulizi wake.

Nina siri ambayo imenisumbua for the last three weeks.

Naishi upande wa Kakamega na bibi yangu anaishi sides za ushago na mimi huenda weekend au mwezi ukiisha, na juzi nimeenda kumtembelea.

Nikampata kwa nyumba na nikamuomba simu kwani nilitaka ku apply certificate of good conduct. Kuingia kwa simu kitu ikaniambia niangalie web history.

Nikapata kumbe bibi yangu alikuwa anaingia hizi sites za pono bana hizo chafu chafu nikashangaa bana. Nikaziona na zilikuwa nyingi bana na nikashikwa na butwaa.

Sasa sijui kama nimueleze kwani mimi siku enjoy hata kiasi.