Toboa Siri: Nina Sugar Mummy Na Bibi Yangu Hana Shida

Jamaa fulani aliwashtua wengi katika kipindi cha Mbusii na Lion Teketeke katika kitengo cha 'Toboa Siri' alipofichua kuwa ana sugar mummy Nairobi huku mkewe akiwa mashambani.

Isitoshe, mkewe anajua kuwa jamaa ana Sugar mummy lakini hana shida kwani amefanya kila juhudi ili kumpa maisha bora.

Kuna huyu mama tulipatana naye huku tao, tukaanza urafiki kidogo kidogo mwishowe ikawa mapenzi.

Sasa unajua huyu mama ni tajiri sana. Mimi niliacha bibi ocha na huyu mama anadai nimpeleke nyumbani kwetu na sijawahi mwambia nina bibi. Tumekuwa na uhusiano na huyu mama kwa miaka mitano na huyu mama tumekuwa kwa uhusiano wa miaka mitatu.

Mimi huenda nyumbani lakini inabidi nimemdangaya kuwa naenda kumsalimia mama mzazi. Huyu mama tunaishi naye kwake na ni mzee kiasi kwani ameniwacha na miaka kumi na miwili.

Kazi yangu na yeye ni kumpeleka kazini na gari halafu narudi baadaye akimaliza kazi. Kuni nayo naitembeza vibaya sana. Aliongeza akidai kuwa mkewe anajua hayo yote lakini hana shida kwani namfanyia mazuri nyumbani kama kujenga nyumba.

Skiza uhondo kamili.

&feature=youtu.be